Bradley....leave this people alone. Usirudi nyuma..Sikuhizi watu wanajinunulia shamba ya kuishi na familia yake...Hizi za kupewa ni makaburi utakufa bure...
So far Kenyans are proud to have zakayo, Goliath, Mungu endelea kutuonyesha hawa watu tunawaskia kwa mahubiri,usisahau kutuletea Judas is cariot,tutamchoma akht!!😅😅
Bradley anekula taabu hawakuwa wakumsaidia sasa sai wameona ameanza kung'aa ndio wanajitokelea..niliona mwingine anadai ati ni aunty yake na anasema atamlaani asipomtambua..weee hii kenya weee
TWO INDIVIDUALS CANNOT GIVE A VALID PROVE FOR YOUR STATEMENT. LUHYAS ARE THE BEST PARENTING PEOPLE. CHECK THE LEVELS OF SINGLE LOTEHRS IN OTHER COMMUNITIES
Sasa madem Wacha niwaambie ukweli wanaume Wa kibaluhya ukataa mke wake kW dharau bt mtoi anapo fanikiwa Ni hivyo ujipendekeza nawachukia Sana waluhya wenzagu Kwanza bukusu from Bungoma hivyo kabisa😂
IF THIS MAN WAS A GOOD FRIEND, WHY DIDN'T HE LOOK FOR BRANDLY AND THE MOTHER SO THAT THEY ARE SETTLED IN HIS PARTANAL HOME. NOW THEY WANT HIM TO GO HOME. BECAUSE HIS STAR IS ALMOST SHINNING, WHEN HE WAS LANGUISHING IN POVERTY WITH NO SHOE, NO ONE WAS LOOKING FOR HIM OR HIS MOTHE SO AS TO ASSIST HIM. BRANDLY BE WISE AND JUST MIND YOUR BUSINESS, LEAVE YOUR VILLAGE PEOPLE ALONE, SOME OF THEM ARE WICKED
Sasa huyu akisema alikuwa rafiki ya babakeBradley mara babake amemshinda na mika kidogo si ni uongo juu huyu hawezi zaa Bradley juu Bradley sio 20yrs na huyu hajafika 50 angekuwa more than 50 ningesema ataeza kuwa umri wa kumzaa Bradley but ni muongo huyu
Bradley....leave this people alone. Usirudi nyuma..Sikuhizi watu wanajinunulia shamba ya kuishi na familia yake...Hizi za kupewa ni makaburi utakufa bure...
Ongeza volume huko ni home kwetu Bradley na mamake wametezeka sana huko nikiwa mdogo nilikua naona sai ndio wanajua yy😂😂😂
Ongeza volume
Ongeza volume,Mimi nilinunulia mamangu shamba Na Sahi story eti za familia Na mambo mengi hatufuati
🤞
Kabisa
Fallen ones 😮
Yes. Nephelim
Pashwa TV mambo unajuwa habari mzuri hata mimi ni mwana mziki naitwa ras edu RUclips 🎬🎙️🎸📷📡📺
So far Kenyans are proud to have zakayo, Goliath, Mungu endelea kutuonyesha hawa watu tunawaskia kwa mahubiri,usisahau kutuletea Judas is cariot,tutamchoma akht!!😅😅
😅😅😅😅😅hii nayo ni kali
Na niko hapa naitwa Pilato
@@kelvinouma6648 😂😂😂😂😂sasa wewe tukutume kwa Yesu wa tongareni umfanyie ile kitu
😂😂😂 umemkasirikia Judas before aletwe
😂😂 your brain
Nice hopping your brother idol❤️❤️❤️❤️
The father lived in Bungoma, both seeds are his
Ausio npitie pia please ❤❤❤
Udaku wa Kenyan bloggers na AI Hamna tofauti sana
wapatanishe Goliath 1 and Goliath 2. We also want to see them
Ausio npitie pia please ❤❤❤
🤣🤣🤣🤣
It is sad relatives will watch single Mothers struggle. When the kids make it, they want help 😠
Kijana Shikiria Mamako hadi mwisho.
Bradley anekula taabu hawakuwa wakumsaidia sasa sai wameona ameanza kung'aa ndio wanajitokelea..niliona mwingine anadai ati ni aunty yake na anasema atamlaani asipomtambua..weee hii kenya weee
Man 😂😂😂
Sasa hamtaconcentrate na venye Zakayo anatuibia, mtashinda Kwa Hawa maGoliath surely
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
hello
Nyota ya MTU iking'ara ndio watu Wa Kwa wanajitokeza lakini MTU akipata shida wako faaaar faaaar kabisa😢 Bradly Mungu azidi kumuinua kimataifa Ameen
Very true 👌😂
Waluhya Nani aliwandanganya mtoto ni Baba,alafu mnakuaga wapi when the mother is struggling with the kid
TWO INDIVIDUALS CANNOT GIVE A VALID PROVE FOR YOUR STATEMENT. LUHYAS ARE THE BEST PARENTING PEOPLE. CHECK THE LEVELS OF SINGLE LOTEHRS IN OTHER COMMUNITIES
Sasa madem Wacha niwaambie ukweli wanaume Wa kibaluhya ukataa mke wake kW dharau bt mtoi anapo fanikiwa Ni hivyo ujipendekeza nawachukia Sana waluhya wenzagu Kwanza bukusu from Bungoma hivyo kabisa😂
Umeongea ukweli nikiwa mluyha haba😂😂😂
Mm pia kama mbukusu
Kwa hiyo,njaa ndio inawasumbua,hapa na pale.
Kwa kina huyu kijana kulikua na shamba kubwa babake akauza ikabaki ya wasichana @@justinamusyoka4986
Mbona ni waluhya tu huwa vituko ka hizi
Akumbuke nyumba kwani mulimulea tsisimbwa😂😂😂
IF THIS MAN WAS A GOOD FRIEND, WHY DIDN'T HE LOOK FOR BRANDLY AND THE MOTHER SO THAT THEY ARE SETTLED IN HIS PARTANAL HOME. NOW THEY WANT HIM TO GO HOME. BECAUSE HIS STAR IS ALMOST SHINNING, WHEN HE WAS LANGUISHING IN POVERTY WITH NO SHOE, NO ONE WAS LOOKING FOR HIM OR HIS MOTHE SO AS TO ASSIST HIM. BRANDLY BE WISE AND JUST MIND YOUR BUSINESS, LEAVE YOUR VILLAGE PEOPLE ALONE, SOME OF THEM ARE WICKED
Sasa huyu akisema alikuwa rafiki ya babakeBradley mara babake amemshinda na mika kidogo si ni uongo juu huyu hawezi zaa Bradley juu Bradley sio 20yrs na huyu hajafika 50 angekuwa more than 50 ningesema ataeza kuwa umri wa kumzaa Bradley but ni muongo huyu
Napenda akili ya huyo jamaa pesa iregeshwe Bradley apate pa kujenga
Kabla ya raha angeuliza miaka yake...amesema ameshindwa na miaka kidogo...!!!
Nephelim. Yikes!!!
Wamugundae ety umesema muletewe nani nanani jemeni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hawa hawaezi kuwa twins uyu wa Bungoma anaeza kuwa baba ya Bradley 😂😂
Tafuta camera man mwingine. Huyu anakuficha sana
Weuh! Ni kama mama alizaa pacha mmoja akaibiwa au baba akatembea hiyo kijiji ingine Nkt
Sasa mtu nyota inaanza kungara ndio watu wanajitokeza desturiya mtu mzima nikujijenga sio kugawa 😂
Why DNA now,where have they been the so called relatives?
NEPHILIM
All this days hawajamtafuta bt vile wameona matunda ndio wanamngangania nkt sio poa
What is the big deal here ?????.
Adi shamba ilikua imeuzwa anarudi wapi
DNA will show
Sasa sai waendelee tu kukula Raha mbona hii miaka Yote wajei mtafuta aiiii ajitafutie maisha yake
Lugari haiko bungoma
Wamepata api Bradley ndo wakafanya DNA aki bloggers yawa😂😂😂😂😂😂 mtatuaa
SURPOSE ONE STOLE A TWIN FROM THE HOSPITAL.
Isaac ata anakaa mzee sana
True 💯 😂😂
Haki watu🤔🤔Kwani hamuoni Bradley ni young huyu mwingine ni mzee.Story ya twins inatoka wapi🥺🥺🤔🤔
Esther, umefikiria kuliko wote,tukipatana nitakunulia kachai😂😂😂😂
Doki? 😂😂😂😂
Wabukusu na wivu tunawajua
Huku n kakamega Bado hawajafika bungoma kakamega sio wabukusu
Hata sio mlefu kama southsudan huyo mi motor chenille nimwambie
Same time I don't understand people
Very confused villagers,utakosa aje kujua mtu wa village yako
Wapigane mwenye atashda aitwe daudi,wa kushindwa aitwe goliathu.😊
Wewe ni mama wakupenda vita.
Nn Iko hapo ya kupiganiwa sasa
Hawa wapatanishwe😂😅
😢😮walikua wapi wakati anateseka shame on you guys
Ss wameona ni mtu mkubwa Dio wanajitokeza ati mtoi wao
Wameona aneazq kuomoka ndio wanamwitaji
Mutaalibu Mbao a ya watu BWANA huyo wa Bungoma mamake ameolewa na akakaa miaka kadhaa bila mtoto ndio akampata Isaac
Anaweza kua alinunua mtoto
Weehhh😂😂😂
But hao watu sio age moja mmoja ni mzee mwingine ni mtoto,they can't be twins
Mbona waluhya ndio huletewa.sarakasi kila Mara
😆😆😆😊
😂😂😂😂😂
Luhya is a nation not a community. When things happen in a nation, it's easier to know than in a community...
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ety mikono kama mbao mungu wangu
One kid was stolen probably
Just interview that man and know may be they were twins
Besides,I heard the name Barongo( spelling*) means 2, but "shangazi" alisema Bradley alizaliwa peke yake
DNA ya nn ss mnataka kuwapea job ama
Tun̈afwatilia mpaka dna mlete
Give us a break with your clout chasing
Kapoko
Haki bloggers
Bukusu wauzwe Uganda wako na tamaa kama ya m7n
😂😂😂😂
🇪🇺🇩🇪🇩🇪🇩🇪🙏🙏🙏
Bradley ako na Bibi na mtoto