Pole sana dada Suzane, jamani wanawake wana nyanyaswa sana Mungu wangu. Ipo siku nita kutafuta ili nikufariji kidogo. Dada zetu waki Africa wana pitia unyanyasaji sana kwenye inchi za Asia. Tafuta sehemu ambayo uta Kanisa na mchungaji mwenye kuhoka, umpe Yesu maisha yako utafarijika .😭😭😭😭😭😭
Pole dadangu,,,,kwa kweli nimekufwatilia na moyo wangu nimeumia sana na kilio,,,,,ingawa sina chochote cha kukupa ila tu nakusii umpe maisha yako kwa Jesu christo yeye ni mwanzo tena mwisho,,,nakwambia utawahi bungukiwa na kitu,,,,haki kama kuna mtu amemfuatilia na ako na cheo kiasi plz ukimsaidia kuwapelekea watoi shule nakwambia mungu wa mbinguni atakureward
Susan usijali Mungu yuko na ni wetu sote. Siku moja Mungu atakunyeshea baraka zake..watoto watasoma nautafanikiwa bora tu mkubali Mungu akuongoze siku zote
Nimelia sana Suzani😢 Mungu akuondoleee shida zote ulizopitia.... Nitafunga kwa ajili yako Suzani... Na Mungu atakubariki ndugu yangu atakupa furahaa maisha yoote yoote.
Huyo mama hakukufanyia vizuri naomba mungu amkoseshe amani.chenye amekufanyia na watoto wako kimkule na generation yake! Mimi pia nilizalizalishwa na nikaachwa but nilipambana tu. pole dada!
Subhannallah ! Pole mama, umepitia matatizo mengi kwenye maisha. Lakini ningekushauri usiridie tena kutowa mwili wako kwa wanaume, jitahidi tuu kufanya kazi ya kulima, kujenga. Allah SWT atakusaidia kulea watoto wako.
Huyu Mama ni mvumilivu wa kiwango cha juu kiasi kwamba nashindwa hata kueleza,Ila Mungu wetu ni mwaminifu atakulipa stahiki yako na yote yatapita.Huyo ndo mama hadi tone la mwisho la damu yake kwa ajili ya watoto wake😢😢
Kwa wanaume wote mmewatch hii vedio tujaribu kuwa utu hii machozi anatoa inaanzia kwa babake mzazi kwa kuoa mwanamke mwingine, ule kijana wa kumpa watoto na ule mama wa kumpeleka Saudi 🇸🇦 hatawapata amani kwa hii dunia ila tu wamutafute wamuobee musamaha. Pole mama kwa uchungu umepitia Mungu atxkuonekia mazuri siku moja na utayasahau hayo yote umepitia. 😢😢😢
Pole sana kwa mkasa, mungu halali iko siku utafurahi na watoto watapata masomo. Tunaomba wenye kutoa mimba wanyonge na kuwaachia jukumu la watoto mama wachukuliwa hatua ili wasitese vizazi innocent
Mungu akuonekanie na akupe nguvu. Yani lmekuwa kama rewind& come again .pole dada. Kufungua roho umepona ln jesus name .& sometime we learn how 2 pray.& how 2 say No .where necessary. God bless u & go to church.tolea mungu kidogo kwa kile uko nacho na atakufungulia Milango watoi watasomaAmin
Let me advice every maid in Nairobi ukiona mzee wa nyumba anakutaka don't you ever tell madam wait your salary akope ndo uondoke hii yote ilikupata juu ukua mjaja kia akili mtu wangu nilitezeka hadi nikalala gekomba but I was promise myself I Will never get pregnant or disease juu nilikua najua the situation in my home village.kitu ulifanya vibaya kuzazaa mtoi mmoja anakufunzi adabu.
The ball is at the court of those who benefited with her. Saudi's money. They will be role models to all who have been enjoying other pple's sweat. This is a dealt with issue. May God light the dark secret and being in charge of God's secret truth I will exercise my power and represent the faithful to the next stage. Am catholic missionary.
Pole sana mdogo wangu..si Suzan peke yake huko Saudia bali kuna mabinti na wanawake wengi sana wanateseka..kuwepo na utaratibu wa wafanyakazi wote wanaokwenda nje hata wa kazi za ndani,waorodheshwe ubalozini..hivi hao Waarabu asilimia kubwa wana Mungu kweli!! hawana hofu na Mungu kabisa ni wakatili sana.pole sana dada Mungu yupo atakukwamua katika matatizo.Mungu akubariki na kukulinda wewe na familia yako.
Subhanna Allah usixhoke kumuomba mungu dada angu usijiuze kwa sasa tizama wanao hao ndio kila kitu chako achana na wanaume akisha kutumia anakuona huna dhamani tena pole sana umetufunza kitu kwenye hii stor yako ktk hii dunia wakumuamini ni moyo wako2 😢mungu atasimama nawe utayasahau ukiwa na imani hofu 7a mungu na ukijitambu kabla hujafanya kitu jixhukue kikao wewe mwenyewe kisha jitadhimini unatoka wapi wewe ni nani nikitu gani unataka mtu akikuambia jambo jiongeze na lako pia sio watu wote ni wazuri
Imagn huyu mama anatanganya nnamjua vzuri sana ako na watoi wawili na alikua ameoleka na mkisii, mm nlimuaja kenya hata hakua na mpango wa kukuja saudia nnashindwa alikuja lini
Pole sana dadangu umeyapitia mengi lkn huyo mama mwenye alikula pesa zako akose amani kabisa jwa maisha yake,but mungu atakuonekania watoto wasoje na uishi maisha mazuri in Jesus name 🙏
Pole sana sana susan, nimeguswa sana na hali unayo pitia. Nashauri kwako, mtafute MUNGU sana, palipo na Gina nene hapo MUNGU yupo. Tafuta kanisa LA kweli, lenye mchungaji mwenye mzingo na kazi ya MUNGU. Ndani ya kanisa, kunakarama tofauti tofauti. Roho ya upendo na huruma ya matendo, yakufanya kitu kwao. MUNGU ameipanda kwenye mioyo ya watu. Kujiuza utajiongezea matatizo mengi kuliko haya. Nenda kanisani. Muone mchungaji.
Ktk hii dunia ukisema unamaisha magum hakika kuna wengine wamezd allah akusameh makosa yako hukufanya kwakupenda allah akupe maisha mazur allah awakuze wanao waje wawe faraja yako.....weken no ya uyo dada
Pole Susan umepitia mambo mengi magumu kwa ajili ya watoto wako,Mungu atakufuta machozi na hao walokudhulumu wataadhibiwa,Acha kuuza mwili omba Mungu Fanya Ibada.
Mimi Niko Lebanon Niko na wawili boarding school nime rent nyumba na wako Sawa wakiwa wawili niliachana na familia na marafiki wallai 😱😭 😱 uuuuuuiiiii saii nafanya Kila kitu responsibility zote
Kwa maisha hayo hizo contraceptive pills atanunua na nini? Sio kupenda kwake. Kama maisha yake ni mapenzi ya Mungu ni sawa, ila kama ni mkono wa Mtu uko kwa maisha ya huyu dada sijui kama atauona ufalme wa Mungu na Karma itamfuata yeye na vizazi vyake 4.
Ikiwa hujawahi kupitia shida ambayo haina mashiklo basi using a kumlaumu huyu mdada, jamanii mtu anapotoa historian yake msikilizeni kwa makini ndipo mtoe shutuma, nafikiria hamjamuelewa nini alicho kizungumza@@stephaniabenjamini2848
Pole sana mama,umepitiya mambo mengi sana. Lakini kuna mda pia ulijirahisisha sana kulingana na unavyo sema. Ila nakupa pole sana. Mungu akurehemu na akukumbuke daima pamoja na uzao wako wote.
Nilipitia karibu na hayo utafauti ni hiyo massage na kulala na wanaume Mungu amenisaidia nikifanya kazi ya nyumba watoto wamesoma na sasa ni wakubwa hata nawe mpe mungu maisha yako atakubariki.
Pole sana dada suzan maisha yako yameniliza kwakwel 😢😭mwenyezi MUNGU akutie nguvu dada suzan akutunzie watoto wako nakuombea kwa mwenyezi MUNGU akufungulie milango ya baraka 🙏🙏
Mwambie akuje huku gulf kila mwezi ni 35k Na ahakikishe pesa zinaingia kwa account yake Ama aulizie office ziko narobi na atasaidika then a makesure amepitiya shule kama sisi imean trainning
Nikweli lakin unajuw wakenyanwalivyo na roho ngum anaweza kufanya kaz miaka 2 yakushika nani ya mzee wakiarabu duuuh usije ukasubutu kam una nia yakusaidia mtuy andika DTV ITAKUJA KUNA DADA YUPO TZ NA ANASHIDA HANA CHAKULA ANAOMBEW MSAAD
Inasikitisha sana😢 Pole sana Dada Allah Atakusaidia Utakufungulia kila Lenye kheri na Baraka Atakuepusha na kila Shari Na Atakulinda Wewe na watoto Wako.
Pole sana Susan sisi masikini atusaminiki Mungu kwako pole sana safari yako inaumiza sana mushu kulu Mungu kwauzima ulionao aya nimapito tu Mungu atakupigania kwaisha yako
To expose the hidden purpose in my mind the better remaining part of my operation is to do what is just show constant love and live in humble fellowship with our God. Patience pay. God's time is the best. He is never late. Between the lines expect many more wonders. As a watch woman I can't watch things happening. Forward ever backward never.
Why is she changing her names in every interview 😳😳😳I have seen her somewhere introducing herself as Carolyne Chebet from Nandi county,now here she’s Suzan from western?,I have started doubting her story hata maybe ni uongo
Talk to Susan +254796544461
Talk to us +254733290656
Check her interview at Bob Shakwila show
Nmb za Tanzania izi?
@@khamoshmikidadi618 kenya
@@khamoshmikidadi618
Za Kenya
Wewe sasa uko wapi susan
Mungu mkumbuke sana huyu Susan, mpe maisha ya furaha na amani Mungu nakuomba🙏😭🙏
Amen
Pole sana dada Suzane, jamani wanawake wana nyanyaswa sana Mungu wangu.
Ipo siku nita kutafuta ili nikufariji kidogo.
Dada zetu waki Africa wana pitia unyanyasaji sana kwenye inchi za Asia. Tafuta sehemu ambayo uta Kanisa na mchungaji mwenye kuhoka, umpe Yesu maisha yako utafarijika .😭😭😭😭😭😭
Sio nchi za Asia tu. Madhila yake yameanzia nyumbani kwao, yakatiririka mjini na mwisho Asia. Wanaume ndo tumemuingiza kwenye mateso hayo yote.
Pole dadangu,,,,kwa kweli nimekufwatilia na moyo wangu nimeumia sana na kilio,,,,,ingawa sina chochote cha kukupa ila tu nakusii umpe maisha yako kwa Jesu christo yeye ni mwanzo tena mwisho,,,nakwambia utawahi bungukiwa na kitu,,,,haki kama kuna mtu amemfuatilia na ako na cheo kiasi plz ukimsaidia kuwapelekea watoi shule nakwambia mungu wa mbinguni atakureward
Susan usijali Mungu yuko na ni wetu sote. Siku moja Mungu atakunyeshea baraka zake..watoto watasoma nautafanikiwa bora tu mkubali Mungu akuongoze siku zote
Pole Sana, mwenye alikula pesa yko ya Saudi 😢Mungu amlaani maishani mwake
Amina Lana ziwe juu yke
Amen
You are a strong woman💪💪💪 kwa hayo yote umeyapitia Mungu akufungulie mlango hayo yote ni mapito tu Mungu akufungulie mlango WA baraka 🙏🙏🙏
Nimelia sana Suzani😢 Mungu akuondoleee shida zote ulizopitia.... Nitafunga kwa ajili yako Suzani... Na Mungu atakubariki ndugu yangu atakupa furahaa maisha yoote yoote.
😢😢😢pole
Kufunga ni jambo zuri lkn tumshike mkono tumpe mtaji,tumlipie rent na watoto waende shule
Amen
Huyo mama hakukufanyia vizuri naomba mungu amkoseshe amani.chenye amekufanyia na watoto wako kimkule na generation yake! Mimi pia nilizalizalishwa na nikaachwa but nilipambana tu. pole dada!
Pole. Sana. Suzan kinachoniuma. Nihiyo pesa. Ya. Saudia. Mwili. Wako unatumika. Mwingine. Anafaid hiyo. Pesa. Bora ingekuwa. Nj. Watoto. Wako. Mwachi. Mungu. Atakupigania. Usitumike. Tena. Kimwili. Tafuta. Kaziyakufanya. Namungu. Atakushindania. Hutakosa. Chochote🙏🙏🙏
God bless you girl
Subhannallah ! Pole mama, umepitia matatizo mengi kwenye maisha. Lakini ningekushauri usiridie tena kutowa mwili wako kwa wanaume, jitahidi tuu kufanya kazi ya kulima, kujenga. Allah SWT atakusaidia kulea watoto wako.
Huyu Mama ni mvumilivu wa kiwango cha juu kiasi kwamba nashindwa hata kueleza,Ila Mungu wetu ni mwaminifu atakulipa stahiki yako na yote yatapita.Huyo ndo mama hadi tone la mwisho la damu yake kwa ajili ya watoto wake😢😢
Kwa wanaume wote mmewatch hii vedio tujaribu kuwa utu hii machozi anatoa inaanzia kwa babake mzazi kwa kuoa mwanamke mwingine, ule kijana wa kumpa watoto na ule mama wa kumpeleka Saudi 🇸🇦 hatawapata amani kwa hii dunia ila tu wamutafute wamuobee musamaha. Pole mama kwa uchungu umepitia Mungu atxkuonekia mazuri siku moja na utayasahau hayo yote umepitia. 😢😢😢
Sijawahi sikia tena Simulizi yenye kutisha na kutia huruma hivi! Pole sana Mama, Mungu atakubariki kwa siku za usoni.
Mungu akutie nguvu,,, na akuongoze ufanikiwe maishani mwako milele
Pole sana kwa mkasa, mungu halali iko siku utafurahi na watoto watapata masomo. Tunaomba wenye kutoa mimba wanyonge na kuwaachia jukumu la watoto mama wachukuliwa hatua ili wasitese vizazi innocent
Pole sana Susan, mimi nipo Moshi-Kilimanjaro Tanzania, nitakusaidia. I will call you Suzy baadae leo.
If u did MUNGU akubariki sana
Allah akujaliye ukimsaidiya uyo dada
Asante kumkumbuka susan barikiwa
Pole sana dada Mungu akupiganie hayo magumu unayo pitia. Mtegemee Mungu ndiye anaweza kubadilisha milima na ikawa mabonde 🙏
Mungu akuonekanie na akupe nguvu. Yani lmekuwa kama rewind& come again .pole dada. Kufungua roho umepona ln jesus name .& sometime we learn how 2 pray.& how 2 say No .where necessary. God bless u & go to church.tolea mungu kidogo kwa kile uko nacho na atakufungulia Milango watoi watasomaAmin
Let me advice every maid in Nairobi ukiona mzee wa nyumba anakutaka don't you ever tell madam wait your salary akope ndo uondoke hii yote ilikupata juu ukua mjaja kia akili mtu wangu nilitezeka hadi nikalala gekomba but I was promise myself I Will never get pregnant or disease juu nilikua najua the situation in my home village.kitu ulifanya vibaya kuzazaa mtoi mmoja anakufunzi adabu.
The ball is at the court of those who benefited with her. Saudi's money. They will be role models to all who have been enjoying other pple's sweat. This is a dealt with issue. May God light the dark secret and being in charge of God's secret truth I will exercise my power and represent the faithful to the next stage. Am catholic missionary.
Pole umepitia magumu mungu Yuko
Amepitia magumu....umaskini umaskini umaskini... Pole sana mama
Mungu atakusaidia mtegemee Mungu utafanikiwa
Yarab tunusuru wnwake wenye changamoto
huyo mama mwenye alikula pesa zake,may he never have peace in his life
Jamn tuelezeen maana y shushaaa
Shosho ni bibi( grandmother)
@@marthamnyenyelwa1902 ooooh asante mwaya tena nmekusea kuita 😂😂nkasikia shushaaa kumbe shooshoo 😂
I know Jesus is the way and truth and life,touching testimony,May the good God help you dear Sister
Jesus ya nyoko, stupid
Mungu ni wetu sote InshaAllah ❤️ atakunyanyua siku moja watashangaa
Pole sana mdogo wangu..si Suzan peke yake huko Saudia bali kuna mabinti na wanawake wengi sana wanateseka..kuwepo na utaratibu wa wafanyakazi wote wanaokwenda nje hata wa kazi za ndani,waorodheshwe ubalozini..hivi hao Waarabu asilimia kubwa wana Mungu kweli!! hawana hofu na Mungu kabisa ni wakatili sana.pole sana dada Mungu yupo atakukwamua katika matatizo.Mungu akubariki na kukulinda wewe na familia yako.
Subhanna Allah usixhoke kumuomba mungu dada angu usijiuze kwa sasa tizama wanao hao ndio kila kitu chako achana na wanaume akisha kutumia anakuona huna dhamani tena pole sana umetufunza kitu kwenye hii stor yako ktk hii dunia wakumuamini ni moyo wako2 😢mungu atasimama nawe utayasahau ukiwa na imani hofu 7a mungu na ukijitambu kabla hujafanya kitu jixhukue kikao wewe mwenyewe kisha jitadhimini unatoka wapi wewe ni nani nikitu gani unataka mtu akikuambia jambo jiongeze na lako pia sio watu wote ni wazuri
⁰n
Nimeumia kwel jaman 😢pole Sana Suzy .....Mungu nimwema atakushindia tu...
Mungu tuone wanawake wote tunaopitia magumu😢
Lipo jibu ...Mungu yup ipo siju tutapumzika tutasahau haya yote...tusikate raamaa mungu yupo
Hii yote tunateseka kwaajili ya watoto wetu
Imagn huyu mama anatanganya nnamjua vzuri sana ako na watoi wawili na alikua ameoleka na mkisii, mm nlimuaja kenya hata hakua na mpango wa kukuja saudia nnashindwa alikuja lini
God will revenge on our behalf at His own set time . Patience pay. We should wait for just a little while.
Waarabu ni wanyama tangu zamani enzi na enzi!!!
Tumaaidie huyu m'ama jamani nimeliaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Wah, zingne ni real walai 2mepitia kumaliza contract uku gulf si mchezo ak pole ur very strong mamaa❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Team strong 💪 we'll make it ❤
A very touchable story!! Pole sana jamani ni mapito magumu ever!
Mungu msaidie huyu dada.
Mungu atakupa mlango wa kutokea .utasahau yote neema ya Mungu imekujia
Amina Amina.
Susan pole sn kwa unayopitia. Kila choz lako lililomwagika kwa ajili ya dhuluma na manyanyaso Mungu atakulipia. Mtumainie Mungu bila kukoma.
Subhanallah pole sana wallah inauma wallah mungu atakutoa kwenye hayo matatzo inshaAllah
God has a good reason mama Suzy don't worry.anakupangia mema Iko mbele yako.never give up girl..jaribu uende church utasaitika sana kwa church
Pole dear nilijiona Nina shida kumbe nilikua sijui hii dunia umenifungua macho...Mungu atagusa waja watakusaidia
Pole sana Susan,,, uzuri ukapata watoto wako wazima,,, Mungu aliyekulindia watoto atawafungulia njia watasoma,,, pole sana kwa yale umepitiaa,,,
😭😭😭😭😭😭 jamani MUNGU saidia wanawake wanao pitiya maisha mazito.
Pole Sana for what you have been going through....may God be with you you
Pole sana Susan kwa yote mtegemee mwenyezi Mungu kupitia maombi.
Suzan ni mama haswaaa, anayependa kazi, moyo mwema na uvumilivu, kupenda na kujali watoto na hata kukumbuka hali zote anazopitia ila hakati tamaa
Pole sana
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika maisha yako
Dah!Nimeumia sana jamani, Mungu akufungulie njia Suzy. Mfikishieni Erick Omond jamani afanye kitu
*sisi kwa sisi*
Allah ni mwingi wa huruma in shaa Allah upate faraja ddangu,,hdi nimelia pole sana kwa mitihani,,,
Mungu ni mwema kila wakati .Susan mungu akubebe kwa kila jambo.
😢dah.pole dada yangu hii ni dunia tunapita tu mungu atakusimamia inshaallah
pole sana Suzan,ila nakushauri uache kuuza mwili wako kabisa,Mrudie Mungu na atakuheshimisha ,Mungu ndiyo kila kitu
Pole sana Susan, nimekusikiliza kwa makini, moyo wangu umeumia sana. Mimi niko Tanzania. Nitakusaidia kiasi cha pesa Mungu atakacho nijalia.
Woie Susan Sasa unado?
Tufanye hivo mpendwa nitatafuta nitumie pia
Safi sana 👍
Pole Suzan ,Kila lenye mwanzo lina mwisho pia,,Mungu akuguse mguso wa pekee
Pole sana dadangu umeyapitia mengi lkn huyo mama mwenye alikula pesa zako akose amani kabisa jwa maisha yake,but mungu atakuonekania watoto wasoje na uishi maisha mazuri in Jesus name 🙏
Woiye 😢this is painful mbona wewe umfanyie mwenzako hivi,Mungu mwonekanie amani😢😢
😭😭 duniya hii jaman...Mungu atatusaidiya kwa sote ln shaa Allah
😭😭😭😭nimeliya kwauchungu san dd Umenikumbusha meng san Allah atakupituya mbele kipenz 😭😭😭
Mungu nisaidie mutoto wangu arundi nyumbani salama nakuomba y'a allah ninasikia uchungu sana
Pole sana dada unapitiya maisha magumu sana ata chozi Lina dondoka lakini usikate tamaa Mungu ni.mwema atakusaidiya dada pole Mungu akupe ngunvu
Polesana sana suzana mngu atakulipia inshallah wallih mwenye aliki kuliya pesa zasa udi mungu.amulalin😢😢
Pore sana susan mungu akutie nguvu na akuongoze ufanikiwe maishani mwako milele 😢🙏
Pole Suzan pole sana mimi nipo Tz nitajaribu kukutafuta.
Nimelia jamani hapana watu wamekua na roho ya shetani. Suzan Mungu yupo atakusaidia
Dadangu pole sana,, amini Mungu ,, nakuombea kwa mungu Akubadilishie Maisha , umepitia mengi mazito..🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@@0sengoshikondi.junior451
Fake story.
Nakuombea aky mungu akusaidia susan kw yote ambayo umepitia Mungu akuweshee upate kazi ktk jina la yesu. 🙏
Moyo humeniuma sana daah huyo mama riziki yote aliechukua kwa huyo mama mungu atamuona
So painful my dear,, but thanks God juu umerudi ukiwa mzima ,heee mwenyezi mungu tuonekanea ss watu wanyonge😢😢😢😢😢naumia sana nikisikia hivo
Inalilah Wainaliha Rajiun. Pole dada hakika Mwenyezi Mungu atakulipa na atakusamehe
some things are so spiritual,may God heal and restore you and your babies susan 🙏🏾
Mungu atakusaidia dada angu.
😢
Pole sana Susan. Mungu Yuko. Mtu yeyote ambaye amekutesa, Mungu atakulipishia, na atakubariki
Pole sana sana susan, nimeguswa sana na hali unayo pitia.
Nashauri kwako, mtafute MUNGU sana, palipo na Gina nene hapo MUNGU yupo.
Tafuta kanisa LA kweli, lenye mchungaji mwenye mzingo na kazi ya MUNGU.
Ndani ya kanisa, kunakarama tofauti tofauti.
Roho ya upendo na huruma ya matendo, yakufanya kitu kwao. MUNGU ameipanda kwenye mioyo ya watu.
Kujiuza utajiongezea matatizo mengi kuliko haya. Nenda kanisani. Muone mchungaji.
Some ppl are bewitched.. Forgetting so easily after getting out of suffering then you take yourself bk..Kuzaa zaa tu..Nkt!.. Generation curse's 😢
Ktk hii dunia ukisema unamaisha magum hakika kuna wengine wamezd allah akusameh makosa yako hukufanya kwakupenda allah akupe maisha mazur allah awakuze wanao waje wawe faraja yako.....weken no ya uyo dada
Pole Susan umepitia mambo mengi magumu kwa ajili ya watoto wako,Mungu atakufuta machozi na hao walokudhulumu wataadhibiwa,Acha kuuza mwili omba Mungu Fanya Ibada.
Hivi mbona mimba za ovyo ovyo,unajiona hali yako ni shda,unakubali mpk mimba 3 kweli?mimba moja tu ni funzo kubwa.
@@stephaniabenjamini2848 ni vile alikoza mikono ya kuangukia na ule mtoto mmoja kama mamake alikuwa uhai hangehangaika ivyo
Mimi Niko Lebanon Niko na wawili boarding school nime rent nyumba na wako Sawa wakiwa wawili niliachana na familia na marafiki wallai 😱😭 😱 uuuuuuiiiii saii nafanya Kila kitu responsibility zote
Kwa maisha hayo hizo contraceptive pills atanunua na nini? Sio kupenda kwake. Kama maisha yake ni mapenzi ya Mungu ni sawa, ila kama ni mkono wa Mtu uko kwa maisha ya huyu dada sijui kama atauona ufalme wa Mungu na Karma itamfuata yeye na vizazi vyake 4.
Ikiwa hujawahi kupitia shida ambayo haina mashiklo basi using a kumlaumu huyu mdada, jamanii mtu anapotoa historian yake msikilizeni kwa makini ndipo mtoe shutuma, nafikiria hamjamuelewa nini alicho kizungumza@@stephaniabenjamini2848
Pole sana mama hili ni funzo kwa Watoto wanaolelewa na Wazazi wote na hawana Nidhamu Hawataki shule....pole sana
Polesana lakini mungu yupo kazini mungu hasahau nawala halali atakulipa hiyo kazi siyo ndogo polesana
Pole sana mama,umepitiya mambo mengi sana. Lakini kuna mda pia ulijirahisisha sana kulingana na unavyo sema. Ila nakupa pole sana. Mungu akurehemu na akukumbuke daima pamoja na uzao wako wote.
Shida ndiyo zinasababisha sio kupenda kwake 😢😢😢😢
pole sana sis. inauma akini mungu si mdogo
Nilipitia karibu na hayo utafauti ni hiyo massage na kulala na wanaume Mungu amenisaidia nikifanya kazi ya nyumba watoto wamesoma na sasa ni wakubwa hata nawe mpe mungu maisha yako atakubariki.
Pole sana dada suzan maisha yako yameniliza kwakwel 😢😭mwenyezi MUNGU akutie nguvu dada suzan akutunzie watoto wako nakuombea kwa mwenyezi MUNGU akufungulie milango ya baraka 🙏🙏
Mwambie akuje huku gulf kila mwezi ni 35k
Na ahakikishe pesa zinaingia kwa account yake
Ama aulizie office ziko narobi na atasaidika then a makesure amepitiya shule kama sisi imean trainning
Inambidi afungue acct yake ya bank kwanza. Ndio awe akiweka peza zake kwa hiyo bank account yake, mpaka atakaporudi Kenya.
May God relocate you with your destiny helper in the mighty name of Jesus Amen🙏🙏
Jamani, pole sana umepitia maisha magumu kweli. Angekua na jinsi ya kuja Tanzania ningekaa naye
Nikweli lakin unajuw wakenyanwalivyo na roho ngum anaweza kufanya kaz miaka 2 yakushika nani ya mzee wakiarabu duuuh usije ukasubutu kam una nia yakusaidia mtuy andika DTV ITAKUJA KUNA DADA YUPO TZ NA ANASHIDA HANA CHAKULA ANAOMBEW MSAAD
Mtu ana saidia mwenye roho imemgusa acha ubaguzi hata na wewe unaweza kusaidia huyo aliye kugusa acha roho mbaya na ubinafsi @@omanoman2044
@@omanoman2044acha roho mbya duu ushajiona ww ndio mwaminifu 😅😂😂
@@omanoman2044kamati y roho chafu 😢
Yaani 😢@@sophiamakani6133
Inasikitisha sana😢
Pole sana Dada
Allah Atakusaidia
Utakufungulia kila
Lenye kheri na Baraka Atakuepusha na kila Shari Na Atakulinda Wewe na watoto
Wako.
Pole sana susan kwa kweli wanawake tunapitia magumu sana
Pole sana mumy yote Mungu anajua,siku yako itafika atakushangaza.hadi nimelia aky Pole ,waaa!!!.
Mungu akusimamie dada angu,akutie nguvu yakuyaacha hayo machafu
Pole sana dada susan, ila ninakushauri usipime tena kutoa mwili wako kwa wanaume, usikubali tena kutumiwa. Mtegemee Mungu ndie mweza yote.
Hey tushikane mtono tusaidie huyu mama jamani
Pole sana Susan sisi masikini atusaminiki Mungu kwako pole sana safari yako inaumiza sana mushu kulu Mungu kwauzima ulionao aya nimapito tu Mungu atakupigania kwaisha yako
MUNGU akufanyie wepesi katika maisha yko,
Aki mbona walimdanganya eti 5k😮Mungu saidia maskini, please God remember this lady, she is handworking but unlucky, woiiii my goodness
Waletumesoma hi we can contribute 200 etc tumpe aanze biashara inaumiza.
To expose the hidden purpose in my mind the better remaining part of my operation is to do what is just show constant love and live in humble fellowship with our God. Patience pay. God's time is the best. He is never late. Between the lines expect many more wonders. As a watch woman I can't watch things happening. Forward ever backward never.
Uku tunapitia sana bt watu wenye wako kenya awajui vile tuna teseka huku😢😢😢😢😢wacha mungu akupe nguvu susan mungu akufugwulie njia na watoto wako 🙏🙏🙏🙏🙏
Nimeumia sana sana,pole sana dada Suzana, ila amini Mungu atakulipa yote,ni majaribu tu ya duniani dada.
Why is she changing her names in every interview 😳😳😳I have seen her somewhere introducing herself as Carolyne Chebet from Nandi county,now here she’s Suzan from western?,I have started doubting her story hata maybe ni uongo
It could be you saw a different person
I think ata Mimi nimemuona somewhere else
And her face looks like her father
@@othmanabdallah3146
Her father? Where's her father?
Please help her don't ignore 😊
Siku ya Mungu itakapo fika,hakuna kitu kitazui...may Almighty God remember you!
Inauma sana dada pole imenigusa mungu yupo
Pole suzani Kuna mahali mungu atakufikisha ambako utafurahia matatizo ni daraja ya kufika sehem fulani
Yaani mtoto wa kwanza hukujifunza ukaenda kuzaa tena? Aseeh sisi wanawake mwalimu wetu vipofu
Ungejua shida ungeelewa.
Ikiwa ilipangwa uje dunian utakuja tuu cjui umeelewa
Usiombe yakukute aliyopitia huyu dada
Hahaaaa
Mungu atutetee wanawake na atusamehe makosa yetu kupitia mateso haya duuh! Inauma sana!!