DIAMOND na ZUCHU wayakimbia MAPENZI na kuangukia upande wa pili kwenye Wale Wale ni Hit au imefeli?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 32

  • @SadikiMapesa-s5n
    @SadikiMapesa-s5n День назад +7

    HIT SONG ANAECHUKIA NI MCHAWI ANAROHO MBAYA

  • @tinejuxfrancis729
    @tinejuxfrancis729 День назад +3

    Mbona iko vzuri na inafanya poa kwenye digital platform

  • @kimah9855
    @kimah9855 День назад +2

    This song is fire acheni maneno hamoni challenge yake😂😂😂😂😂

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc День назад +3

    Hawa watu hata ni machizi!! Komosava ilifanyiwa promo kibwa sana na ilikua nzuri....hamna lakusema tuu! Mbona inafanya vizuri angalia numbers kila mtu anaipiga mara kumi

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 День назад +2

    Diamond ameshaga Sema

  • @carolsayo6409
    @carolsayo6409 День назад +2

    Correct, not a hit, just classic

  • @MaulidmtajiMaulid
    @MaulidmtajiMaulid 13 часов назад

    Kabisa zuchu hazoeleki

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 11 часов назад

    NGOMA IMEENDA HICHI KIJAMAA HICHI KINAMCHUKIA DIAMOND SIJUI ALIMNYIMA KIBARUA😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
    WALE WALE NI🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤😂😂😂

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 12 часов назад

    KWA MTAZAMO WANGU #Wale wale ni classic song ambayo inaweza leta matokeo baadae ya kuwa hit song kama itawekewa nguvu zaidi.
    huu ni mcha nganuo kwa uelewa wangu juu ya muziki
    👇
    1. Hit Songs - Hizi ni zile nyimbo zinazobamba na kupasua anga, Zinapata airplay kubwa, huingia kwenye charts, na mara nyingi zina vibe inayokubalika na watu wengi.
    2. Emotional/Best Songs - Hizi ni nyimbo zenye mguso wa kipekee, zinagusa hisia za watu na mara nyingi hujenga connection ya kudumu na wasikilizaji, Zinaweza kuwa hazikupata umaarufu mkubwa lakini zinaheshimiwa kwa ubora wake wa kisanii au ujumbe wake.
    3. Presence Songs - Hizi ni zile nyimbo zinazotolewa ili tu msanii aonekane kwamba bado yupo kwenye industry, Huenda hazina "mashiko" sana au impact kubwa, lakini zina lengo la kuhakikisha msanii haachwi kwenye "game.

  • @kibibisafi3331
    @kibibisafi3331 День назад

    Ni boss bwana 😂😂😂😂

  • @SiscoKalongola-vu8nk
    @SiscoKalongola-vu8nk День назад +2

    Eti siyo hit song!maneno mengiii but trying to express u'r hateness

  • @Nihadshighadi
    @Nihadshighadi День назад

    Hio ngoma yao na ile ya phina ina tofauti gani?

  • @romamtalambuga7
    @romamtalambuga7 14 часов назад

    Criss yuko wapi nyie

  • @JasminAmiri-t9x
    @JasminAmiri-t9x День назад +2

    Hamna loloye afu nyie ni mashabiki wa timu fulan

  • @nurumwakisu3335
    @nurumwakisu3335 День назад +1

    Hawa ni haters hasa uyo white utasema Hana taalum ya uchambuz wamevamia

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 15 часов назад

      Sio kweli bwana, hawa ni wachambuzi wala hawana chuki

  • @NiceB-o9m
    @NiceB-o9m День назад

    Inikifel mniue jamn niko aph labd cy Mond

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 День назад

    WATUPUMUZISHE FATAFUTE GRAMMY AWO MTV TUZO WA ASHE MI KKKKKI WAWEKAMA TOTTODOHO TYLA😊😊😊

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou 22 часа назад

      😭😭😭😭😭😭😭

  • @beatricenjambi5695
    @beatricenjambi5695 День назад +3

    Stop being delusional......have u seen how the song is trending on ticktok and people are doing challenges...as a journalist do ur research well before giving out wrong information

  • @Lina4285baby
    @Lina4285baby День назад

    I don’t think these people even have a clue what they’re talking about just continue to talk about peoples business that is what you people know best to do😂😂

  • @agbordorothy4901
    @agbordorothy4901 День назад

    Don't be in a hurry to comment on people. This bloggers are cloud chasers

  • @hellenelias2668
    @hellenelias2668 День назад

    Imefeli