Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Waliiona tabasam la ukhuty adila kama mimi gonga like apo
Adila na sau hamnampinzani hongera shara Allah awtunze ww na mumeo miaka ddahar
Masha allah ukhty nahat na wenzak mumependeza mungu akufanyie wepes kwa kila jamb inshaallha
Mashallah adila adila adila ww unajua then anafta ukht sau
Mashallah hongera sana kasida nimeipenda ya kumfumza mwar
Ukhty Adila.maashaallah
Mashaallah. Umependeza mno kla la kheri kipenz karibu kwenye chama. Waimbaji mme jitahidi ❤.
Mashaa Allah Mashaa Allah ukhty Adila and sau mkojuu🥰🥰🥰🥰🥰🥰👌💯👌
Masha allah nyote muko vizur na saut zenu pambeee mungu akuzidishie awalind na mahasid inshaallha ❤❤❤❤❤❤❤
Mashalkah ukhty shara umependeza
❤❤❤❤❤minshari hassid idha hassad hongera sana
Ila nampendaga ukhuty sau na adila🥰🥰🥰🥰🥰
Mashallah jamani Ukhti shara hajiskii ata kidogo nilionana nae siku tuliongea kama tuloonana miaka 10 nyuma
Adila una sauty yakipekee mashallh ♥️
Ukhty nahat na wenzak mumependeza xan mungu awafanyie wepes katik kaz yenu wapenz
nyie tabasam. la adila mumeliona km aloliona hem nigaiyee like yang
❤❤❤
Yani adila nampenda mpaka bc
Mashallah ndoa yakher adila sau mashallah
Hongera ukthy adila pamoja na ukhty sau
Mashaa allah allah akudumishee kwenyee ndowaa yakoo mpenzz ❤❤❤
Nimekubali company yenu Allah akufanyieeni wepesi
Mashaallh nampendag San adila jaman
Masha’Allah wote sauti wanazo ila Adila ana sauti ya pekee Masha’Allah.
Saut ya adila naipenda sana inamkwaruzo flan hv ni nzur sana
Mashalaa. Nyimbo njuri sana
Bravo ukhti nahaaty
Dida sauti yako ipo vzr sana
Nampenda sana adila wallh
mashaallah qaswida mzur san
Kaswd Kali kweli naipend sauti adila na sau na kei
Mashallah wamependeza
Napenda sauti ya ukhty sau na ukhty adila sanaaaa❤
Asante
Mashaallah allah bless you dear❤❤❤❤
tungeona uwezo tofauti umu ndani maqamat zingevutia zaidi....hii ni nzuri ila imekua ndefu maqamat inajirudia sana
Uyu dada alivaa satin imembana sijapendaa angeshon t km wenziwe
Wahuni ao halaf wanajiita Maukhty alie na heshima zake havai ivoooMuangalie hata cheza cheza yake ya kihuni huni
@@muddyman2264mtihanii
Nimeipenda nipeni na mm japo mmoja nipate kuimbiwa chumbani
❤❤❤❤ mashaallah
Masshallah nakupenda CN
Maashallah pambe jamani❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
huyo mmoja kavaa kama anaenda club daa mashaka hayo kwenye kazi za watu kuna na kazi nyengine za siri 😢😢😢😢😢😢😢
Ukhty sau na adila muko vizr sifa yenu mupew hao wengin wanaburuzwa t ni wavichochoroni naon wanajikamua 😂
Masha allah ❤❤❤
Mashaallah
Mashallah 😍
Nzur san
Maashaallah
Mash allah
n͎͎a͎s͎k͎i͎a͎ s͎a͎u͎t͎i͎ y͎a͎ s͎au͎ i͎l͎a͎ s͎i͎m͎u͎o͎n͎i͎ j͎a͎m͎a͎n͎i͎ i͎l͎a͎ a͎d͎i͎l͎a͎ mashalla🥰
Sau lkn kasimama key. Ila pambe mashaallah
Uyu mfup mfup me ananimaliz kwasaut mzr😊 mååshåållåh
Jamani tujitahid kuvaa nguo za stara Kwan hakika ya kujistir hakupunguz k2 ktk uzur wako tusijisahau hakika Kuna maut mbele yetu
Yani uyo alievaa
Yeah
Mashalllah
Simba
Good 😘😍
Yaaan nimefurahi
Ninzuri ssna nimepends uhty ssu umetokolezea.
Hii ni zur sana😅
Jamani nampenda adila Mimi uwiii
Yani namkubali hadi naumwa Adila nampendAa mnoooo yani hanaga mbaya Adila
@@arafarashid417mashallah
❤❤❤❤
Katika wasomaji kaswida kwa upande wakike zanzibar ukhuty adila hana mpizani
Adila na sau
Tumelion
Hinyie mwawasifia watu wanao fanyamambo ambayo yapo nje na uisilamu kaswida zasasahivi nitaarabu
Maxhallah Allah aidumixhe nfoa yenu
Mashaaallah
Asant ukht sau
adila nakupend
Jmn nahati umedamshi ndo umenenepa ivo
Mbn tunaskia tu saut ila ukht sau hatumuon au ameuza saut yke hahahahhh
Nampenda ukhty Nahaty
Collab kam hz nazpend lkn Ukhty adila ck hz umepoa
Nampenda ukhty adila jmn
C unajua ndoa
@@LatifaMatayo-sz2cb wazanzibar tunajivunia kwa umoj wa wasanii wet wa hii tasnia
Huyu mwanaume si ndo wa kwenye Ile video ya kasida yake huyu shara
Ndie uyo
Mbona video aioneshi vixuli camera man vip
Na mm nampenda San my anty adila maneno nimeyapenada sn ulonfunza ukthy shara
kz taaam
Adila namkubali sikuzote
Ukt dida mbon hayupo
Vigodoro😂
🤣🤣🤣
🥰
😂😂😂
Hii RUclips ya zanzibar Qaswida mmebadili jina au nn kimetokea
yaah ila nd iyoiyoo
@@directorkaloujsr ok
Penda San dad sau
Kuna sauti tuu ua Sau ila Sau hayupo
Ilo ni kweli
@@habsahassanhaji1397 😁😁😁
Apo saut ya say ipo lakn mwenywe haupo mmetuganganya🙌🙌🙌
Tunampenda ukht sau ila hatumuon jmn sau anajua mpk bas
Ujinga eti mastaa mastaa wa muziki usitaa unawasaidia nini Allah hapendi mziki wala hizo taarabu mfyuu
Waliiona tabasam la ukhuty adila kama mimi gonga like apo
Adila na sau hamnampinzani hongera shara Allah awtunze ww na mumeo miaka ddahar
Masha allah ukhty nahat na wenzak mumependeza mungu akufanyie wepes kwa kila jamb inshaallha
Mashallah adila adila adila ww unajua then anafta ukht sau
Mashallah hongera sana kasida nimeipenda ya kumfumza mwar
Ukhty Adila.maashaallah
Mashaallah. Umependeza mno kla la kheri kipenz karibu kwenye chama. Waimbaji mme jitahidi ❤.
Mashaa Allah Mashaa Allah ukhty Adila and sau mkojuu🥰🥰🥰🥰🥰🥰👌💯👌
Masha allah nyote muko vizur na saut zenu pambeee mungu akuzidishie awalind na mahasid inshaallha ❤❤❤❤❤❤❤
Mashalkah ukhty shara umependeza
❤❤❤❤❤minshari hassid idha hassad hongera sana
Ila nampendaga ukhuty sau na adila🥰🥰🥰🥰🥰
Mashallah jamani Ukhti shara hajiskii ata kidogo nilionana nae siku tuliongea kama tuloonana miaka 10 nyuma
Adila una sauty yakipekee mashallh ♥️
Ukhty nahat na wenzak mumependeza xan mungu awafanyie wepes katik kaz yenu wapenz
nyie tabasam. la adila mumeliona km aloliona hem nigaiyee like yang
❤❤❤
Yani adila nampenda mpaka bc
❤❤❤
Mashallah ndoa yakher adila sau mashallah
Hongera ukthy adila pamoja na ukhty sau
Mashaa allah allah akudumishee kwenyee ndowaa yakoo mpenzz ❤❤❤
Nimekubali company yenu Allah akufanyieeni wepesi
Mashaallh nampendag San adila jaman
Masha’Allah wote sauti wanazo ila Adila ana sauti ya pekee Masha’Allah.
Saut ya adila naipenda sana inamkwaruzo flan hv ni nzur sana
Mashalaa. Nyimbo njuri sana
Bravo ukhti nahaaty
Dida sauti yako ipo vzr sana
Nampenda sana adila wallh
mashaallah qaswida mzur san
Kaswd Kali kweli naipend sauti adila na sau na kei
Mashallah wamependeza
Napenda sauti ya ukhty sau na ukhty adila sanaaaa❤
Asante
Mashaallah allah bless you dear❤❤❤❤
tungeona uwezo tofauti umu ndani maqamat zingevutia zaidi....
hii ni nzuri ila imekua ndefu maqamat inajirudia sana
Uyu dada alivaa satin imembana sijapendaa angeshon t km wenziwe
Wahuni ao halaf wanajiita Maukhty alie na heshima zake havai ivooo
Muangalie hata cheza cheza yake ya kihuni huni