GB 64 AWAKA WANAOMUITA CHAWA, SIWEZI KUBADILIKA, NIPO TAYARI KWAAJILI YA SIMBA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 май 2024
  • Simba
  • СпортСпорт

Комментарии • 16

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u 14 дней назад +4

    Kwer kabisa gb 64 mgunda amebadirisha Tim walau kidogo lakin tunacho kiomba usajili mzur sii sio wakupereka tripu Moja kereji tripu Moja barabaran tumechoka

  • @beatricembunda6168
    @beatricembunda6168 14 дней назад +2

    Safi sana GB 64 Mungu akulinde endelea kutoa madini mwanangu.

  • @edsonmwakyusa2834
    @edsonmwakyusa2834 14 дней назад +2

    Mambo j b 64 unafanya kazi nzuri

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 14 дней назад +1

    Mimi kama shabiki wa Simba nashauri Karia akimaliza muda wake ndani ya TFF tumpe uongozi ndani ya Simba. Karia ni kiongozi mwenye maono na bahati nzuri ni mnyama. Tuwapige chini akina Mangungu wana roho ya umasikini na ufukara. Tangu walipoingia Simba kila uchwao club inadidimia.

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 14 дней назад +1

    64 GB on fire
    .👍👍👍

  • @HusseinSheshe
    @HusseinSheshe День назад

    Upo vzur gb 64

  • @awamiabbas222
    @awamiabbas222 14 дней назад +1

    Huyu jamaa anajiita siyo chawa lakin ukisikiliza vzuri maneno yake kuna uchawa kwa baadhi ya watu

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 14 дней назад +1

    Tatizo lipo kwa viongozi ,kuanzia kwa moo mpaka kwakina mangungu na tray agen

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 13 дней назад

    Tupe namba

  • @abuumanyanya7840
    @abuumanyanya7840 14 дней назад

    GB washauri viongozi wamuangalie MAROUF CHAKEY wa IHEFU yule zaidi ya CHAMA zaidi ya Pacome, naomba jaribu kumfatilia umuone alf utaniambia yule atatusaidia sana yule winga anacheza, namba 10 anacheza vizuri sanaa,

  • @user-ze9vz7up8g
    @user-ze9vz7up8g 14 дней назад +1

    Gbnitafute nataka nambayako

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 14 дней назад

    Una uchawa ndan yako..nlkua nakukubal,skuiz unaongelea watu sio mpira

  • @DaudiMuya-jx3rg
    @DaudiMuya-jx3rg 14 дней назад +1

    Wakati yanga wanaingia fainal karia alikua namba ngap pale yanga

    • @TamimuBewa
      @TamimuBewa 11 дней назад

      Wewe mtoa comment huna akili

  • @VenanceNtakabile
    @VenanceNtakabile 14 дней назад +1

    Huyo jibii aache maneno ya kijinga aachanene Na Simba Mimi Niko aierpot ya zamani sisisi sio machawa yeye ndiyo unayesoma meseji zetu mwambieni huyo

  • @allysaidlyambange4500
    @allysaidlyambange4500 14 дней назад

    Tuambie wewe karia vs manara = ? HASIRA HASARA