Uislamu huo... mpakaa Rais analinganiwa kupitia Quran....Allah mtukufu amsimamie na kumlinda mama Samia Rais wetu...atende haki kwa manufaa ya watanzania wote...ameen
Allahu akbar hakika tumejaaa chuki wanaadamu unafiki dhulma kejeli mazarau hakika usimzarau alie chini huend siku ukaja kwake kwa kupiga magoti yaaaah allah tujaaalue tuwe ni miongoni mwa wenye kutiii na kufuata maamrisho ya mola wetu mtukufu
Munaonekana kua ni WAISLAMU na mnaweza. Basi tubadilikeni sherehe zetu tuzifanye kwa namna hii. Tuachane na magoma na wanawake kukaa uchi kwenye sherehe. Ni ushauri tu. Na mwanamke hatakiwi kutoa sauti mbele za wanaume ikiwa wanaume wapo
RIiba na Rushwa Duniani kote zipo maana wengine hio rushwa inawatembea kwenye mishipa ya damu zao, kitu cha muhimu lazima viongozi wa nchi kujitahidi kupambana nayo na kuweka ulinzi mkali ipate kupungua
Mtoto mrembo na quran ipo kichwani maashaallah tabaarakallah
Mashalhaaaa ❤❤❤ mwenyezimungu atujalie mwisho mwema
Uislamu huo... mpakaa Rais analinganiwa kupitia Quran....Allah mtukufu amsimamie na kumlinda mama Samia Rais wetu...atende haki kwa manufaa ya watanzania wote...ameen
Mashallah tabaraka Rahman. Shayma wapi unaka wapi bint wewe mashallah Allah akuzidishiye
MASHA ALLAH...MAY BLESSINGS AND MERCY OF ALLAH BE UNTO YOU INSHAALLAH. SURELY YOUR A LEADER AND NOT A RULER..
Maashaallah quraani ni shifaa na tiba inapo somwa lazima moyo upate hisia ikiwa ni muumini wa kiislamu wa kweli
Hapo nguruwe inawekwa kitunguu
Mashaallah huyo bint kama hajaolewa mimi namtaka inshaallah kama itakuwa nimekosea kusema hivo nisameheeni hakuna mkamilifu alkamalu lillah
Mahar tuu
Wa Alaykum Salaam Warahmatullah Wabarakatuh. Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka AR'RAHMAAN Al Ladhi Al Lama Al QUR'AAN. ALLAHU BAARIK
MashaAllah Allah awalipe kheir
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚💚💚
Amina Amina asante sana❤
Bismillah tabaraqa lwah yaa ukhuty
MashaAllah MashaAllah MashaAllah 🎉
Mashaallah mashaallah ❤❤❤
Alhamdhulillah may Allah guide you
Bismillahi Ma Sha Allah❤❤❤❤
Allahumma amiiin Yarabb
Masha allah. Tabaraqallah
Makafiri wanateseka sana
Masha Allah sister for the beautiful recitation..
Allah atujaalue tuwe nasi ni wenye kuisoma vyema quraan na tugimize watoto
Allahu akbar hakika tumejaaa chuki wanaadamu unafiki dhulma kejeli mazarau hakika usimzarau alie chini huend siku ukaja kwake kwa kupiga magoti yaaaah allah tujaaalue tuwe ni miongoni mwa wenye kutiii na kufuata maamrisho ya mola wetu mtukufu
Mashallah اظهار هن
❤❤❤❤🎉🎉❤ Masha Allah 😍
MaashaAllah
Shukran nmesoma kwa kweli
Mashallah Mashallah tabarak rahman
Mashaalah Tabarakallah
Masha Allah
Mashallahu
InshaAllah
Mashallah
Tusiwafanye marafiki wakina nani Allah kawataja mnaogopa kusema?
Maashallah maashallah ❤❤
Ma shaa Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
Munaonekana kua ni WAISLAMU na mnaweza.
Basi tubadilikeni sherehe zetu tuzifanye kwa namna hii. Tuachane na magoma na wanawake kukaa uchi kwenye sherehe. Ni ushauri tu.
Na mwanamke hatakiwi kutoa sauti mbele za wanaume ikiwa wanaume wapo
Nq hapa ndo kitovu cha uislam
Raisi Samia Qur'an inasomwa na nchi yako una halalisha Rib'a
RIiba na Rushwa Duniani kote zipo maana wengine hio rushwa inawatembea kwenye mishipa ya damu zao, kitu cha muhimu lazima viongozi wa nchi kujitahidi kupambana nayo na kuweka ulinzi mkali ipate kupungua
Hata nyumbani kwenu kwa baba na mama akoo pia ribaaa ipo ushangaeee kwa nchi
ulitaka ahalalishe matako yako
@@jaliabahat1520 tulinganiane kwa kauli njema hii sio sawa
Mbona msomaji hajavaa white?
It doesn't matter
It doesn't matter
Lkn si umeelewa alichokiwakilisha ?
Ati kongamano la wanawake...lakin waume wateleeee
MBONA CCM HAIJAWAHI KUWA WAJIBISHA WALA MALI ZA SERIKALI ZINAZO TOZWA WA CHUUZA TOMATO NA KARANGA ,???
Muktar hata hapa saudi riba zipo
Kweli ndugu??
Cha msingi wewe muhitaji nenda passport riba ama palipo riba hukulazimishwa kiduniya kaka
Masha Allah
MashAllah
Mashaa Allah ❤❤❤❤
Mashaallah
Maashaala
Maashaallah
Mashaa Allah❤
Mashaallah
Mashallah
Mashaallah
MashaAllah
Mashallah