HAIJAWAHI KUTOKEA: WAZIRI DKT. GWAJIMA APIGA MAYOWE NA KULIA KAMA MTOTO BUNGENI/

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 май 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

Комментарии • 100

  • @user-wk4br3rc6u
    @user-wk4br3rc6u 15 дней назад +6

    Kuanzia mwenyekiti adi waziri gwajima mwenyez mungu awalaaani mnatufanya wa Tanzania kma mataila kwer 😭😭😭😭

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 14 дней назад +1

      Huyu mwenyekiti hafai inawezekana nalo ni lisagaji tu

  • @faustinedeogratias4337
    @faustinedeogratias4337 15 дней назад +10

    Nmeshuhudia ushenzi apa

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 15 дней назад +1

      Kuna vitu vya ajabu sana vinaendelea bila kujua

  • @shedrackrwiza9549
    @shedrackrwiza9549 14 дней назад +1

    Mimi nina mtu wa karibu alikuwa akifanyiwa unyanyasaji kijinsia, nilimtumia sms mh waziri alifuatilia pamoja kwamba ni vijijini sana na hatua zikachukuliwa na sasa huyo ndugu anaishi maisha mazuri, Mh waziri anafanya kazi sana na ni mkali mno kwenye vitendo kuliko kuongea

  • @GThebaber
    @GThebaber 14 дней назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆🙌🙌🙌🙌
    Tanzania inaweza kuongoza kwa ujinga duniani

  • @filimonmpinge6039
    @filimonmpinge6039 14 дней назад +2

    Gwajima anafanya kazi kubwa sana watanzani punguzeni makasiliko

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 14 дней назад +5

    Hafai kuwa waziri

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 15 дней назад +7

    Unajua nini,hii kazi ya kuwapa watu vyeo kisa eti jinsia huo ni upuuzi,huu mpango wa wazungu wa kutaka asilimia sijui 50 kwa 50 ni mpango ovu,inatakiwa vyeo kila mtu avipate kutokana na uwezo wake,na sio kutokana na jinsia yake

    • @sirkingsky108
      @sirkingsky108 15 дней назад +2

      Daaah kabsa yan inaturudisha nyuma sana

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 14 дней назад

      Sahihi ukimsikia mwenyekiti na waziri utabaini mapungufu makubwa ukizingatia hii ndio serikali wasemaji wa mwisho

  • @christianmwashala9760
    @christianmwashala9760 14 дней назад +1

    Jmn kunawatu sijui wanataka wazir asemej au ndo mashoga wenyew haooo

  • @VedastusKanyama
    @VedastusKanyama 14 дней назад +2

    Lo!Mungu wetu aturehemu kwa Shetani tuliye mkalibisha mioyoni mwetu.

  • @bodyaman
    @bodyaman 15 дней назад +3

    TUMBUA UYU!
    HANA USEREOUS

  • @user-qe7or5jc1u
    @user-qe7or5jc1u 14 дней назад +1

    Nimeipenda sana amefikisha ujumbe kama agrey mwanry mzee wa toronto!!!hongera mh gwajima hongera sana wasomi wameelewa !!achen wivu wakijinga hakosea!!!!!!!

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 14 дней назад

      Sasa hapo Kuna wivu Gani na wewe Yani mambo ya hovyo yanayoweza kuleta maangamizi kwa taifa unataka yazungumzwe kwa masihara masihara kiongozi unapoitwa kutoa misimamo wa jambo flani hsijalishi wewe ni mwanamke lakini ukishakua kiongozi unaacha mambo ya jikoni unatoa misimamo wa serikali

  • @mdl6463
    @mdl6463 12 дней назад

    😂😂😂😂Ila huyu waziri 😅😅😅

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 13 дней назад

    Yaani hayo majibu ya mwenyekiti kizungumkuti anakela wamejaa mizaha kwa jambo kubwa mtu yoyote asiejali kilio cha watoto wanapozulumiwa mungu atamlipa na mungu atasimama na kuwatetea wanyonge

  • @user-vg5oy7kj4b
    @user-vg5oy7kj4b 15 дней назад +6

    Sema huyu mama analaana sana

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 13 дней назад

      Ndio maana waligombana Sana na gwajima wakati wa kolona huyo mama sijawahi kumwelewa kabisa

  • @ombeniulime2768
    @ombeniulime2768 15 дней назад +5

    Usanii. Waziri is not serious ni usaniii tupu ni comedy

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 14 дней назад +2

    Mnafanya maigizo wallah na hekma alipaswa kumheshim mbunge mwenzak kwa kumjib ipasavy si kuonesh dharau. Inabid ajitathim na mwenyekiti wa kikao ww ndio umesababish ata hiyo scenario itokee cz ndio ulinza kuuliz maswal ya kejel na ulimuamur ajibu kwa kejel...Hivy ndivy ilivyo mfikie hatua mtuzian heshima

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c 14 дней назад +1

    Msilaumu kwani Walewadudu arusha mnawalea mwenyewe mbona nyingi wabunge hamkemei? Mnamlaumu mawazili mwacheni huyu mama anapiga sn kz

  • @ashrona9884
    @ashrona9884 15 дней назад +3

    Ushezi

  • @imanikubwa2896
    @imanikubwa2896 15 дней назад +2

    Mungu awasamehe,,maana macho yao na akili zao ni Giza neneeee

  • @user-sy2mp7mm8u
    @user-sy2mp7mm8u 12 дней назад

    Hahahaha hili bunge ni hatari

  • @ibrahimjmasoudfundikila6361
    @ibrahimjmasoudfundikila6361 13 дней назад

    Kwaiyo mnamaanisha nyie ni bunge move

  • @paschaljoh5729
    @paschaljoh5729 12 дней назад

    Ikiwa raisi mwenyewe haongeleii hili swala unategemea wazir atakuaje

  • @AminaKyungu
    @AminaKyungu 12 дней назад

    Mbona kama utani

  • @jamessimba749
    @jamessimba749 15 дней назад +5

    Commed in parliament

  • @nikundiweamosi5087
    @nikundiweamosi5087 13 дней назад

    Maigizo ya wabunge

  • @Missionary_work
    @Missionary_work 14 дней назад +2

    Huyu mtu mnafiki sana. Leo nimejua kuwa ni mwanasiasa msanii pia.

  • @HabibaSaid-fb9np
    @HabibaSaid-fb9np 14 дней назад

    Pombe mbaya

  • @LawiEzekiel
    @LawiEzekiel 13 дней назад

    Wabunge wetu Tanzania comedy 🤣🤣🤣🤣

  • @thobymsule6045
    @thobymsule6045 15 дней назад +3

    Is this a minister or a comedian

  • @EdwardKwiyanga
    @EdwardKwiyanga 14 дней назад

    Katika hili mm ninawashukuru sana wabunge wote walio toa taarifa juu ya serikali Kwa kweri 2025had 2030 mungu awasaidie warudi Tena mana taifa linahitaji wabunge kama hawa

  • @user-gn8zs4qx2y
    @user-gn8zs4qx2y 14 дней назад +1

    Ndo wazir

  • @Kichacani
    @Kichacani 14 дней назад +3

    Huyu Waziri toka siku ya kwanza tu nilimuona anakatatizo…

  • @RamadhanMjema-ph8eb
    @RamadhanMjema-ph8eb 14 дней назад

    Unafiki wa kiongozi huyu hana lolote huyu mama

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 15 дней назад +1

    Swala sio kuwakamata , swala ni mkiwakamata mtawafanya nn ?? Mnaongea ujingaaa ujinga na michezoo michezo tu🚶

  • @ramadhanimandia7233
    @ramadhanimandia7233 14 дней назад +1

    Ni jambo baya sana kuleta utani kwenye jambo la msingi kama hili tena bungeni

  • @efatauroki867
    @efatauroki867 14 дней назад

    Pitisheni sheria hapo mnashindwa nini msitake kutufanya mazwazwa bana acheni ngonjera aisee we ngwajima ulienda ulaya kulishwa nyama ya masikiyo na mashoga ambao ni mabilionea wa dunia we kama serekali ungetoa nfasi bunge litunge sheria kuhusu farag'ha manake htuna kifungu cha kuwahkumu mashoga!!!

  • @robertedward1992
    @robertedward1992 14 дней назад

    Wee na mwenyekiti wako wa sasa,ni vioja

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 14 дней назад

    Tatizo mama hayuko seriously kama allivyo tuchanganya kwenye corona😊

  • @user-xq7cg5yp3b
    @user-xq7cg5yp3b 14 дней назад

    Duhhhhhhhhhh

  • @dentomedicalresourceslimit4602
    @dentomedicalresourceslimit4602 14 дней назад

    waziri ni kituko analeta usanii bungeni

  • @user13375
    @user13375 14 дней назад

    Maigizo

  • @user-dk5kk4rf3v
    @user-dk5kk4rf3v 14 дней назад +1

    Wanacheka wabunge jamani mnalipwa nyie kodi zetu ...kweli kabisa

  • @sirkingsky108
    @sirkingsky108 15 дней назад +1

    Waisa hapa tumepgwa wallah nawaambia

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 14 дней назад

    KWELI CHANJO YA KORONA INAWAFANYA WATU KUWA MAZOMBI

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 14 дней назад

    Gwajima arudishwe wizara ya afya alikomesja wizi wa madawa

  • @nsubilimwampeta9920
    @nsubilimwampeta9920 14 дней назад +2

    Acheni drama nyie...tumewachoka wachumia tumbo nyie

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 15 дней назад +3

    Yani wabunge mnatufanya kama sisi watoto wadogo sio.mtajijua wenyewe

  • @misangasaidih8764
    @misangasaidih8764 14 дней назад

    Waziri anafanya maigizo

  • @verinicamartin6420
    @verinicamartin6420 14 дней назад

    Pole jamani mama mpaka machozi pole

  • @SomoKidawa
    @SomoKidawa 14 дней назад

    Dah jamani kulia fake imo kumbe

  • @user-pp7ug2bc1y
    @user-pp7ug2bc1y 14 дней назад +1

    Jesus

  • @conkerlosevenofficial8692
    @conkerlosevenofficial8692 14 дней назад

    Hebu acheni ushenzi kuleta masihara kwenye mambo serious

  • @user-nz9eb4ud6y
    @user-nz9eb4ud6y 14 дней назад

    Mama Samia huyu Gwajima umpeleke ulikompeleka Ndalichako

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 14 дней назад

    Rais ukemee hii kitu itanguka kwenye nyumba yako

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 14 дней назад

    Kusikiliza baadhi ya watu tanzania nikujuongezea stress za maisha tu

  • @akanka3564
    @akanka3564 14 дней назад

    Huyu waziri elimu ndo inambeba hakuna kingine.

  • @user-gn8zs4qx2y
    @user-gn8zs4qx2y 14 дней назад

    Ivi ndo bunge hili jamani

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 14 дней назад

    Na kwel hana point

  • @alphadreammedia
    @alphadreammedia 14 дней назад

    Waisa day comedy ni Tarehe 26

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 14 дней назад

    Adhabu kal zitoleww mtu akilawit mtoto anyongwe bas

  • @nsubilimwampeta9920
    @nsubilimwampeta9920 14 дней назад +1

    Mangiri hawa

  • @user-fc3vt9ng3f
    @user-fc3vt9ng3f 13 дней назад

    washimiwa wabunge mbona kazindogo ira msiwape nafasi polisi watuwamadili mtupe sisi wagambo mhone kama vitaitakuwangum mnajichelewesha tunasubili maelekezo morogoro kamawote wamejaa mbaka kwenyevikao vyaserekari yamtaa tunakuwanao napolisi ndio maswaibawao wambie kusubodaboda vitaiyo ndio wanaiweza mashoga haaaaaa😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂

  • @faharikhamisi3091
    @faharikhamisi3091 14 дней назад

    Mama unawatoto

  • @gabrielkitia6808
    @gabrielkitia6808 14 дней назад

    Hii ni mizaa kabisa huyu sio waziri ni kitu cha ovyo

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 14 дней назад +2

    Yaani Watanganyika bhana mnaleta masihara kwenye mambo ya serious kweli dah!!!

  • @ankoanko-zz7it
    @ankoanko-zz7it 13 дней назад

    Du

  • @princehenry7113
    @princehenry7113 15 дней назад +1

    Gwajima nakutukana siyo muda😢😢 endelea kuigiza hapo bungeni

  • @sebastianmusyebi-yv1hm
    @sebastianmusyebi-yv1hm 14 дней назад

    Huyu mama balaa nae msanii

  • @annamtapila5761
    @annamtapila5761 14 дней назад

    Tatizo hapa sio la mbunge, matatizo tunayo mitaani. Kila mbunge kwenye eneo lake, wakuu wote kwa maeneo yao na kila mtu kwenye jamii yake na familia yake. Waziri aachwe afanye kazi yake.

  • @johnkitwima6963
    @johnkitwima6963 14 дней назад

    waziri ndo wamemwamsha toka usingizini, hayuko serious na kazi yake😂😂

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 14 дней назад +1

    Mhe waziri gwajima kazi anafanya kwa bidii zake hatuwezi kumfananisha na wengine yeye nimama analia hapo bado mhe mwingine hamuelewi !!!! Nasiwana nchi hatumuelewi nayeye kwavile mhe hakuwa nabajeti hiyo peke yake tusaidiane wote tunajenga nyumba moja yeye hajaleta ushoga na usagaji hayanimatukio yaliotufika tusaidiane kuyakemea Tuu

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 13 дней назад

    Hapo kuna chawa wa lusfa wana mioyo migumu kama jiwe unapofanya komedi kwenye jambo linalogusa uhai ustawi na hatima ya watoto na kuleta mizaha kama mpo kilabuni ninyi ni wasaliti wa watanzania ni chawa wa malekani wanafki chawa

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 14 дней назад

    Kwanini watu wasinyongwe tu

  • @SALEHEMwasyoge
    @SALEHEMwasyoge 14 дней назад

    ±255

  • @user-uy3uk2ul5b
    @user-uy3uk2ul5b 15 дней назад

    Yani maigizo tu na mtu Mwenye akili akaongea ivi toa amli

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue 14 дней назад

    Kuanzia raisi hatuna maamuzi

  • @samhongsamhongcharles2690
    @samhongsamhongcharles2690 14 дней назад

    Acheni utani ndugu zanguni

  • @edwardolemamba7155
    @edwardolemamba7155 14 дней назад

    huyu hajielewi mbona unafanya comedy tuu

  • @lukasmaro4280
    @lukasmaro4280 14 дней назад

    Mie mawazo yang yamenituma siwezi kuwa shoga wala siwezi kuoa naikitokea nimemzalisha binti akijifanya mjuaji anataka50kwa50 ataitumia kulea hilo toto lakekusudi wapeane huruma ya aki sawa huusiyomuda wakuzubaisha akili 😎🤬

  • @RayDeus-ui5ub
    @RayDeus-ui5ub 14 дней назад

    Dah...hii Nchi Aya bana...

  • @user-oo3xt3yf6y
    @user-oo3xt3yf6y 14 дней назад +1

    Umeshatuona wajinga

  • @geey7893
    @geey7893 14 дней назад

    Huyu Wanamtumbua soon

  • @abubakarnyerere5263
    @abubakarnyerere5263 14 дней назад

    Ingenekuwa inafaa kukutukana ningekutukana gwajima pumbavu kuliko woote ila basi tu unabahati yako

  • @mdl6463
    @mdl6463 12 дней назад

    😂😂😂😂Ila huyu waziri 😅😅😅

  • @HabibaSaid-fb9np
    @HabibaSaid-fb9np 14 дней назад

    Pombe mbaya

  • @newzon5300
    @newzon5300 14 дней назад +1

    Hakuna wazir apooo

  • @S__Official24
    @S__Official24 14 дней назад

    Huyu mama angekuwa Magu kashamtumbua maana hakuna anachofanya zaidi ya sifa tu mitandaoni

  • @ahmedhamis
    @ahmedhamis 14 дней назад +1

    Pumbaku