Mungu ni kama amesikia kilio changu niliitafuta sana hii taarab mtandaoni tangu 2018 lakini sikuipata Ila nilikuwa naisikiliza kwenye redio kaya ya Mombasa Kenya kwenye kipindi Cha mirindimo ya kimwambao na fatuma mwangala nafikiri kama sijakosea 2014_2016 hivi lakini Leo nimeupata huu wimbo.kaka ayubu upo vizuri sana kwenye hiki kibao Mimi nipo Tanzania Dodoma natamani siku Moja nifike Mombasa kenya
Ayubu hii video ilkua inafaa uimbe na mwanamke mmoja au peke yako kulingana na message ya wimbo wenyewe. Alafu action zko tofauti pia jaribu kufanya video action kulingana na wimbo wenyewe. Na lazima video director awe mzoefu wa ku-shoot videos ndio awe anakuelekeza ni jinsi gani unafas kufanya kwenye video. Kitu chengine utunzi wenu wa nyimbo zenu za taarab waimbaji wote wa Mombasa uwa auendani na mwisho wa wimbo wenyewe, hapa umeimba kua mpenzi wako umuelewi yani ulikua unamaanisha mapenzi yamepungua kwake ala mwisho wa mchanganyo wa mziki (Taarab) waimba kata ooh kata tayari ushatoka nje ya topic ya wimbo wa mapenduzi
King Stars Modern Taradance
ruclips.net/video/oTSCn5JqwVg/видео.htmlsi=-Ks9GEHz6DaUIZQe
Ngayeeeee ❤❤❤mwaka huu hatutaki aibu ....team kujiamini🎉
Nyimbo nzuri sana big up...Ila video imekuangusha.Ulikua ucheze Na mwanamke mmoja.
ayyub nyimbo tamu laikin hao dasazi wako ndo wamekuinjoi kwa kweli
Ayubu.uko.juu.babah
Hii umeua kaka nimeiskiza mara elfu na bado haujaniisha hamu hii ni moto wa kuotea mbali@Ayub
Moto
Ungekuwa ulicheza na uyu wadera lagreen ju uyo mwengine anakaa mshamba amejibanabana kukuaribia vedio tu
Ayub huu wimbo mbona aundio Hai downloadki naipenda sana nialike ukitoa wimbo niwe Das wako najua
Nzuri sana wakwehu
Umeweza❤❤
Kazi nzur xana mungu akuze kipaji chako
Kazi nzuri
Learn to appreciate our own digo people.. enyewe hii Ngoma inaslap
For really Leo ndo namuona Ayub wallah cjawai muona ak..but haiko clear cion poa pia ....kaz nzuri ayub nataman kukuona life
Utamu ulioje!!!
Nakubali pini my favarent
Kesho tena usijaribu kutoa video na hawa tena wamearibu kabisa kucheza hawajui
Mwansha@,umeona eeeeh
Hiyo likoni ilivyo na warembo ,,wakuju kucheza ,,,umewapatapi hawa
😆😆😆😆 hawajui kabisa, midera tu mikubwa mikubwa
🤣🤣🤣
@@shebastar3534 😄😄😄
Naburudika nikwa pande za Saudi Arabia mumeweza kings star 🎉🎉🎉
Nakukubali
Dancers wamekubwaga bt umejitaidi mwanagu
Ayubu my napenda sana nyimbo zako❤
Nyinyi. Wadada fanyeni practise vizur mcheze sawa round ingine mumearbu iyo ngoma duh ngoma tamu sana mwaenda kivyenu 😋🤣🤣🤷
🤣🤣🤣🤣 acha ncheke mieee, warudi tena shulee hao wakajifunze kcheza vzri
😀😀😀😀😀,wameharibu
Sijui wanafeli wapi 😀😀😀
Ayubu apo sawa
C waswahili itakuwa😂😂
Wadada viuno vizto jamni sio kwa hli iyo
Ayuub hii ngoma ulikua uimbe na mwanamke 1 ndo hio msg ingekua sawa bt uko juu brooo
Wake sawa hao wana dada
Swadakta baba
Jamani huu wimbo mm🎉
this is sweet jamani❤.....
Naon tuko kitaa rcode
Wow moto sana🎉
Kuna mumoja anapeleka mauno vizuri bt nyimbo Iko chonjo
Dancer wameharibu Sana likua hawajui wanacho kifanya
Chandama@ umeona eeeeh
Umeonaeeee!!!! Hapo wote zero
Warudi wakafundishwe tena😅😅😅
Ukweli hata kuvaa hawapendeza itakavyo
Mwimbaj yuko vzr bt hawa makalambwanda walitoka wap
Haki nyimbo himenikumbusha mbali sna waaaaaah
Wow tamu sana
💃💃💃💃💃 Hakuna Mapinduzi ila Kuna Mabadiliko Huenda,To Meet U.💃💃 Safiiii Sanaaaa.
Alafu wanawake wenzangu siku hizi kuna bra za kuenua nyonyo mbna nyie hivi
Kazi nzuri sana
nampenda kwa hishara
Kazi nzuri
Umejaribu kka sio mbaya japo ni mwanzo kila kitu kitakuwa sawa
Vzuri...angalau unaleta ladha ya taarab za Mombasa kaka...
Mwimbaji yuko sawa bt hivi vidada sijuwi alivitoa wapi hata kukata havijuwi😂
Kwani walikuwa wacheze vp bx mbna mwasema 2 ni vibaya na ivo vizr amvisemi jmn
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Santaaaaaaa,
Hawaendani n beats
hapo saw
Yeni wachezajii nyieeee
Mshiiiiiiiiiiiwww😏😏😏😏😏Vigwangulaa nyiwee Mmeniboaaaa khaaaa😐😐😐
Apo kwa mikoko ni Gazi
Mbona wanacheza kama disco vumbi 😂😂
😅😅😅😅😅
Nyimbo safi ilawachezaji bado sana
Congratulations 🎉 🎊 👏 🎉
Big up my friend Ayub.. nice song indeed..
#Hon issa mathenge.
Mwanzo mzuri mashaAllah.
Mungu awawezeshe ndugu zetu kesho wafanye vyema Zaidi.
Nyimbo tamu Sana hayubu lkn wanaweke buri kabisa, but mashaallah umejaribu Sana, ama wching from doh
Yeni mziki mashallah muimbaji hongeraa. Tatizo 2 wachezajiii
Cjui matatizo yao nini yeni haijuii kabisaa....🤕🤕🤕🤕🤕
Wamepamia 😀😀😀
Awajielewi
@@zaitonakinia7189 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haswaaa
Yeba yeba
Hata wadada wamejaribu keet it up wameipamba sana moral
Mama nangai seven days
Ayubu umeweza nzuri thaana🔥🔥🔥❤️
haa haaa hatari shem mm ali keep it up
Nakubali
All in all imewezaaaaaaa
Asante sana kaka kwa kazi nzuri uko juu
Siloli
safisanaaaa.
Nimempend hyo wa kathi anavyo bwagiza....
Mungu ni kama amesikia kilio changu niliitafuta sana hii taarab mtandaoni tangu 2018 lakini sikuipata Ila nilikuwa naisikiliza kwenye redio kaya ya Mombasa Kenya kwenye kipindi Cha mirindimo ya kimwambao na fatuma mwangala nafikiri kama sijakosea 2014_2016 hivi lakini Leo nimeupata huu wimbo.kaka ayubu upo vizuri sana kwenye hiki kibao Mimi nipo Tanzania Dodoma natamani siku Moja nifike Mombasa kenya
Masha'Allah wimbo mtamu😊 lakin mbna audio haitaki ku download
Kazi nzuri sana, congarts @Ayub
Amazing
Thanks my iko poa xna penda wweeee my
Swadakta....kazi murua sana💥💣💣💣
Promoter Ali dodoz;ressssspet bro
Jmn eb tyujeni kwa wingi tyusport mzik wetwo wa kenya
Ngoma tamu ayubu nakukubali sanaa lkn wachezaji wamezingua sana waige wa tz
Wachezaji wachangamke wamearibu salute mtsedza wamearibu🙄🙄🙄🙄🙄
Mwenye red anaoneka muoga or it's a first time kwa video🤣🤣🤣🤣🤣
Video Queen 👑 wako hajui kucheza kidogo huyo kibonge amejaribu Hongera kwake
Waonaee
🤣🤣🤣🤣
Imewezaa💞🤸🤸🤸
I love it
Umetisha Ayub
Safi sana bamkwe
Ayubu hii video ilkua inafaa uimbe na mwanamke mmoja au peke yako kulingana na message ya wimbo wenyewe. Alafu action zko tofauti pia jaribu kufanya video action kulingana na wimbo wenyewe. Na lazima video director awe mzoefu wa ku-shoot videos ndio awe anakuelekeza ni jinsi gani unafas kufanya kwenye video. Kitu chengine utunzi wenu wa nyimbo zenu za taarab waimbaji wote wa Mombasa uwa auendani na mwisho wa wimbo wenyewe, hapa umeimba kua mpenzi wako umuelewi yani ulikua unamaanisha mapenzi yamepungua kwake ala mwisho wa mchanganyo wa mziki (Taarab) waimba kata ooh kata tayari ushatoka nje ya topic ya wimbo wa mapenduzi
Yaani nikama huyo dame hayuko so ndio amemiss maana amepunguza mawasiliano
most of the directors in Mombasa luck creativity
The most disadvantage of taarab songs is that they don't contain one message
Safii 🔥🔥🔥
safi mzee babaa🤗
Wachezaji hawajuwi kitu basi.kaka tu katisha wadada 😏
Safi sana
Nzuri cna
Watu wanacheza huku wanajiangalia angalia mmmh alafu ampendi viatu cjuhi kwa nn
Toa nyingine usikimye hivyo.
Xafi xanaa
Iko poa ila wadada mmezingua...
Hahahahahhahhah hawajielewi
Big up😘
Mziki mtamu
Ungeimba pekeako tu hao wachezaji wamejisaau sana 🙄
Sweat@ umeona eeeeh
@@dogobeauty3858 sindio nyimbo nzuri kweli ila video wachezaji wamearibu
Aroooo😅😅
Nakuona mlamu wangu
Wow
Nice
Nice song
Masha Allah
🔥
JM.kuhusu video zko bdo waitaji mpangilio mzur