Mungu wangu ninakushuru sana kwa ajili ya Neema yako ya kuniwezesha kushiriki katika ka ibada hii ya leo wacha Mfalme wa amani ukanibariki mimi na watoto wangu,Neema na nguvu zako zikawe juu yetu tukafuraie mema ya inchi watakao sikia wakafurahi na sisi kwa jina lako takatifu Amina.
YESU mwema asante kwa Neema ya kushiriki maombi haya live.MUNGU wa mbinguni awabariki uongozi wote wa Holyspiritconect na washiriki wote.Hakika MUNGU ni Mkuu sana na jina la Bwana wetu YESU KRISTO Litukuzwe milele Ameen
Mungu wa mbinguni nikumbuke mm katika tumbo langu nikabarikiwe na watoto watano wakiume pamoja na wakike sijapata watoto Ee Bwana lakin kupitia ibada hii ya uzao najua mungu atanikumbuka kama vile, Sarah na hanna,kama raheli pamoja na Rebecca, nahitaji ww Bwana, Ameeeeeeeennnnnn
Mimi ni muislam ila najiungamanisha na nguvu za mungu mkuu wa madhabahu aya kutoka songea,mungu geuza tumbo langu na fungua mirija yangu nipate familia na uzao ulio mwema na bora,maumivu yangu ni makali bwana sina tumaini lolote zaidi yako,kama madaktari wameshindwa wewe mungu mkuu uwezi shindwa kamwe.
Asante bwana yesu kwa siku hii ya Leo natua mizigo Yangu yote, na shida zangu na maisha Yangu nakukabidhi wewe bwana yesu unipiganie ameen 🙏🙏
Mungu wangu ninakushuru sana kwa ajili ya Neema yako ya kuniwezesha kushiriki katika ka ibada hii ya leo wacha Mfalme wa amani ukanibariki mimi na watoto wangu,Neema na nguvu zako zikawe juu yetu tukafuraie mema ya inchi watakao sikia wakafurahi na sisi kwa jina lako takatifu Amina.
YESU mwema asante kwa Neema ya kushiriki maombi haya live.MUNGU wa mbinguni awabariki uongozi wote wa Holyspiritconect na washiriki wote.Hakika MUNGU ni Mkuu sana na jina la Bwana wetu YESU KRISTO Litukuzwe milele Ameen
Amina🙏🙏🙏
Naomba unifanye kuskia furaha na kicheko katika jina la yesu kristo
Mungu wa mbinguni nikumbuke mm katika tumbo langu nikabarikiwe na watoto watano wakiume pamoja na wakike sijapata watoto Ee Bwana lakin kupitia ibada hii ya uzao najua mungu atanikumbuka kama vile, Sarah na hanna,kama raheli pamoja na Rebecca, nahitaji ww Bwana, Ameeeeeeeennnnnn
Yesu mwenye nguvu kubuka kizazi changu David na eliezer uwaepushe na mambo mabaya ya duniyai e MUNGU nakuwomba.❤❤❤❤
Mimgu wangu ninashukuru sana kwa kuniwezesha kuomba maombi haya
Mungu ubariki uzao wangu na unipe ku eko na furaha katika jina la Yesu Kristo .
Bwana Yesu asifiwe, jamani tujitahidi kuandika Mungu kumaanisha Baba yetu wa mbinguni sio mungu hii humaanisha hawa wakawaida
Niondolee aibu bwana Yesu
Asante bwana Yesu kwa rehema zako nyingi katika jina la Yesu kristo
❤ Amen 🙏🙏🙌🙌 mungu nakukabidhi uzao wangu nawapata vizuri kutoka Saudi Arabia Amen 🙏 🙌🙌🙏 napokea muujiza wangu na ushuhuda wangu
Mungu sio mungu
Nakushukuru ewe yesu wangu kwa kuni unganisha na maombi hii. Na sema Asante sana 🙏❤️
Nilikua nimesahau but nimeaza mufungo wangu pamoja
Shaloom najiungamanisha na nadhabahuu hii naweka vinana wangu mungu awakuze awatengecna riho za mababu na mabibi mugu kamata uzao wangu
Mungu wangu komboa familia yangu amina pia uchumi wangu ukaongezeke wateja wakanizidie amina mwanangu Lillian apate mume sahihi pia uchumi wangu ukaongezeke wateja wakanizidie amina
Bw yesu unifanyie kicheko kwenye uzaowa tumbo langu amina
Mimi ni muislam ila najiungamanisha na nguvu za mungu mkuu wa madhabahu aya kutoka songea,mungu geuza tumbo langu na fungua mirija yangu nipate familia na uzao ulio mwema na bora,maumivu yangu ni makali bwana sina tumaini lolote zaidi yako,kama madaktari wameshindwa wewe mungu mkuu uwezi shindwa kamwe.
Amen. Ila tumia Mungu sio mungu ili kuonesha ni Mungu aliye mbinguni unayemlilia. Ubarikiwe
Amen 🙏 ❤
Najiungamanisha na madhabau na maombi haya kuwaombea wanangu mungu natubu dhambi zote nilizo zitenda mungu nipatie kicheko
Mungu sio mungu
Mungu nimempokeya Yesu Ckristo .
Amen
Amen Mungu wa bariki watoto wangu na family dawa ya yesu iwafunika
Yesu sio yesu
Praise the living God
Amen 🙏🏾
Mungu wangu naomba mwanangu Lillian apate mume sahihi pia naombea watoto wafunguliwe nao wapate ajira wanangu wakaolewe wote
To be continued 🙏🏻
🙏
Bwana naomba niangalie kwa jicho lako la upendo