SUPER SPY 13 IMETAFSILIWA KISWAHILI
HTML-код
- Опубликовано: 14 дек 2024
- Join this channel to get access to perks:
/ @sinemazachina
#sinemazachina #imetafsiliwa #sizoni
💫enjoy anti japanese war
review in swahili version by Ally dj ⚠️All the content on this channel is under legal license from various copyright holders and distributors. We ask you to please contact us if you believe there are any copyright issues via email👉 info@sinemazachina.com
⚠️此頻道上的所有內容均已獲得各種版權所有者和發行商的合法許可。 如果您認為存在任何版權問題,請通過 - info@sinemazachina.com 與我們聯繫
SUPER SPY IPO MPKA MWISHO TUONE INBOX 👉 wa.link/s7k99l
🇹🇿0754330219
🌍+255 754 330 219
Hii move haileweki dj km anajifunza kumbe ni dj aliebobea ila hii move hajaitendea haki ata kidogo
dj vpo vipande vingapi ambavyo vimebak ,ukianzia kipande ,cha 23 mpka mwisho ili nilipie
@@farajiissa6397 namba hizo hapo njoo inbox
Wote hao Ni wachina na wote hao Ni wajapan kikubwa wote Ni waigizaji na wapo ndan ya super spy😄😄😄
dj hiy ngoma bomba san
Tulianza vizuri tu ilatunapo elekea wachina ndohaohao wajaps ndohaohao
Za utuliko ni zako hizi apana sema Mungu kakujalia sauti nzuri broh
Tafuta mda utuweleweshe wachina wapi. Na wajapani wapi maana itatuchosha mapema
Dah sister umeliona hilo nikifikiria ni mimi tu
Ila Dj ulichotufanyia unakijuwa mwenyewe
kumb niweng hatuelew😁😁
Yeye mwenye hajui wachina wako wapi nawa japani wako wapi
Muvi kali sana sema inamatangazo mengi sana
Nakupenda sana dj kwani ngoma sako nikali sana ubarikiwe ndugu yangu❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉fitu kama hizi ndio tuna taka
Mbn inaeleweka 2❤🎉
Wajapani wataumia sana🎉
Nakubali dj
Move kali ila izi gwanda sielewi wachina niwapi na wajapani niwapi
Asante dj❤🎉😅
Ee mwamba unengea ukwek hatuelew wachina wak wap wajapan wa kowa
Hii move n babu kubwa n nzul San na DJ yupo fiti nikupe nyota tano DJ
Asante dj
Movie nzur sema unachanganya wachin atuwajui wala wajapan
Asante Dj🔥🔥🔥🔥
sema dj unazingua vipande vingine hakuna vp
Dj mbna una2changanya mara wajapan tena naona nd wachina vp dj
Mh ety kiongozi kamla mwana funzi wake 😂😂😂😂😂😂
Dj movie nzuri ila unatuchanganya haieleweki wajapani wako wala wachina au wote wako kwenye kambi moja
Dj aelewi kitu wachina ndo wale mabinti na wajapan ndo ule binti mmoja
Hata mm sielew maana wanavaa nguo zinafanana si wajapani Wala china
@@deborajohn7285 kumbe tuko wengi, alafu wakiongea anataja wajapan wajapani, sasa kama yule bint aliitwa polini kutongozwa na mchina yeye anasema ni mjapani
Hata nami nilitaka kuuliza hil swali
Kumbe tupo wengi move kaikoroga balaa
DJ mbn hatuelewi mwelekeo wako ,tutofautishie japanese na china ili tuelewe vizuri
Asante dj❤
Mwenderezo dj
Umetisha dj
wachina n wapi na wajapan n wap
Dj acha uongo bs
Ata na mimi hii mov sielewi hata kidogo Wallah wanatuchanganya tu
Movie nzul lkn DJ unatuchangany
Wachina ni wap na japan ni wap maana wanafanana gwanda😊
DJ yuko natu changanya sana
Sio saw wamebadilisha mavazi
Sasa dj mbona sasa magwanda ga kijeshi yanafanana wachina hawajulikani wajapani hawajulikani
Jamani DJ nae ni BINADAMU hajakamilika mbona mna mlaumu sana sawa kakosea NDIO c bahat mbayA 🙏
I can't even tell what it's going on anymore 😔 (DROPPING IT)
Mi sielewi ikoje maana wote wamevaa mavazi yanayo fanana kwani?
hii move itoe tu huyu dj kaivurunda balaa hii move
Ndio nguo zinafanana, ila angalieni bandeira kwenhe shingo la mavazi, utafafanuka.🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Ata mm sielew wajapan wapo kambi moja au
Duuuh DJ umejua kutuchangany kweny hii movie maan naon hum wote ni wajapan
asante DJ
Asante dj❤🎉
Wote yuko nawaita wa japani
Jaman sasa wachina ni wap na japan n wap mbon me sielewi
Dj wemwenyewe hujui wajapani ni wapi china ni wapi mbn huweleweki mzee
Misielew wachin ni wapi
Hatarii
Nataka Ile mov ya vigence
Kwan wachina hawana kambi ee
Mbona haiyeleweki tena wachina NI wap na wajapani ni wep
Yaaan wachina na wajapan wamevaa nguo za kufanana
kwaiyo umu wachina wanavaa gwanda za kijapani
Wajapani Ndo wanavaa jezi za kichina
Yaaa🎉
Sa Sa nchina ni yupi katika hii vita Yao mbona ai eleweki
Yani hivyo wanavyo changanyika wachina wajapan ndio inakua haiwi nzuri
Dah kila nikiangalia naona ni wachina tu wewe move zko ni kifilipino hizi waachie tu wengine
Wajapani niwapi sasa na hao wachina nawap sielewi jamaa bado lakini chuma kizur
Fuatilia movie vizuli kwa umakini utaelewa usiwe unarukaruka au na mawazo mengine
Mala wa china hao hao wajapan haohao sieelewi kweli
Movie iiiii ni japanese tu akuna wachina
VP 14
Nipeni like please ❤❤
Aisee wajapan sieelewi niwap au wa china niwapi nachanganyikiwa yani
mbon sielew
Ipo xf lakn haielewek cjw inakwenda vp
Dj
Muzi Mzuri lakin haeleweki mbona
Movie zuriiii san kaka MUNGU kakujalia hki cheo maaan apa tz akuna kam wewe
Yupo mwingine
🙏🙏🙏❤❤❤🔥🔥
Saf
VP seemuwa14na15na16