Yan saiz nikiwaona waarabu nitawaangalia kwa macho mengine kbs aiseee 😀😀😀😀🏃♀️waarabu waarabu waarabu..Qran Qran Qran Qran..😢😢😢😢yan umefunikwa sanda alafu unasomewa Qran 😢😢😢tena kwa mganga mmmhhh
@@ikabako2454 ila yy kataja kitabu cha Qran..sasa sijui nani mkweli kati ya msimuliaji yan muhusika na ww msikilizaji...ukweli utabaki pale pale Qran ndio kitabu kinacho tumiwa na waganga..nenda kwa wema sepetu Instagram utaona matangazo ya waganga uku wameweka Qran na mshumaa..apa nina pix kibao za waganga na mashekh wenu na mandumba yao na kati kati wameweka Qran. Sijui nn unakataa apo
Huyu jamaa Mungu marehemu alikua karogwa na akarogeka coz itakuaje aliishi na msukule halafu kapata jini na akili haikufunguka pamoja na vituko vyote aliviona
Soo jini yule nisukule tuuh jini unazani angemtoa kiraisi tuuh jini kama jini anauwezo wakutusoma binadam mawazo yetu yote angekua jini asinge koga yale maji
Ustadh huyo Mchawi sio Muislam wa Kweli na Mtoto wa Sheikh sio sababu ya kuijua Qur'an...ushasema Baba yako alikuwa Mchawi... Hakuna Qur'an inayotumika ktk Uchawi...mnachanganya Ndonya
Wapo watu kibao wenyemichezo hiyo wanajifanya watu wadini lakin ni washenzi tu ata masheikh washenzi wapo kibao nasi masheikh tu mpka mapadre na wachungaji so kusema hawapo wanaofungamanisha uchawi na dini si kweli wapo kibao
Yan saiz nikiwaona waarabu nitawaangalia kwa macho mengine kbs aiseee 😀😀😀😀🏃♀️waarabu waarabu waarabu..Qran Qran Qran Qran..😢😢😢😢yan umefunikwa sanda alafu unasomewa Qran 😢😢😢tena kwa mganga mmmhhh
@@ikabako2454 ila yy kataja kitabu cha Qran..sasa sijui nani mkweli kati ya msimuliaji yan muhusika na ww msikilizaji...ukweli utabaki pale pale Qran ndio kitabu kinacho tumiwa na waganga..nenda kwa wema sepetu Instagram utaona matangazo ya waganga uku wameweka Qran na mshumaa..apa nina pix kibao za waganga na mashekh wenu na mandumba yao na kati kati wameweka Qran. Sijui nn unakataa apo
😘😘😘nawapendeni nyote kwa ajili ya Allah
Tunakupenda pia
@@aminaally863 ahsante
Nakupenda pia kwajili ya Allah
@@azizahamisi7349 ahsante nashkur kusikia hivyo
Big up sana brother davistar tupo wote on air
Storry nzuri Asante davista
Ilove this story very interesting 😊😊🇰🇪🇰🇪
Jaman shemeji yetu kwa Mara nyingine Tena... *somoe awadh* kwel umepata bwanaa utuliee sasa...😍😍😍😍
Umenishinda tabia Wallah 😂
@@somoeawadh7774 my love... Jaman hujaona six park izoo.. ❤️❤️❤️😍
@@Teacher_01 pili Musa ndio apenda six park 😂😂😂
@@somoeawadh7774 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@somoeawadh7774 pia Aysha muhariq
Kwakweli dunia hi inamambo kweli pole brother kwa mitihani
Mchichira hands up🙌
Muulize kuhusu yule aliye mvisha miwani je alimpata? N.a. aligundua sababu ya kufanya vile?
Upo kipenzi
Ndio hata me nataka kufaham hapo yule alomvisha miwani ndoo alikua rafiki ake kweli au alivaa sura ya rafiki ake nakumvisha miwan
Huyu jamaa anapenda ndoa sanaaaa
Ngarambee ananifurahisha kwa kweli nilichelewa wapi kuisikiliza jmani😃😃
Duhh! Aiseee!
Mbona mbavu zake ziko tumboni!
Pole bro dah inauma sana 😢
Duh jamaa noma saaana💪
Davistar ngarambe yey energy yake iko wap ila pole san umepitia magumu san
Alhamdulillah w mwishoo😥😥🇪🇭🇪🇭
Sio sheke huyo mganga mwanga
Story inatufundisha usiwe na tamaa na usiowe au kuolewa ama kuwa na mahusiano na mtu ambaye humjui mengine majin eti
Dooh hii kali tena kuishi nazukule hasa kwann usirudi kwa yule mama aili akutengeneze namuili wako uondokane na mabalaa hayo
Davistar ngarambe yey energy yake iko wap?
Davistar na shanuo lako kichwani 😁😁
Davista kuwa una fanya live In 🇨🇦
dav. mambo shem hii story noma
😂😂😂jini ana njemba😂😂😂
Uyu jama anaongeya maisha nime ishi naye
Davista wacha uchoyo bana, energy ya mgeni I wapi
Ndio kufika, zuu lete kwato zako hapa pili my love jilete aysha sweet l0ve3 jilete hapa 🥰
Uwiii mamy nishafikaa.. 😂😂😂
@@Teacher_01 😘
Ndiyo nimefika wangu. Asante💋💋💋💃🏻💃🏻💃🏻❤❤❤❤
Ndiyo nmefka wngu❤❤❤❤❤
Amesahau
Doz iendelehe
Kweli uchawi utele
Davistar cameraman atakiwi,mbona ukiwa mwenyewe ndo inapendeza,maana uwa unatuongezea dkk,ila nyuma ya camera kukiwa na mtu,anatupunja dakk bhana
🤣🤣ilakwel
Lakin leo karupunga 30 wakat zinakuwaga 37
Unamsagia kunguni camera man?🤣🤣
Please fanya live
Together 💪🔥
Wa Kwanza
Safar zote watoto wamebakia na nan🤔
Yan wwww unaambiwa hatar lakin bado unarud tu
Mimi nime mufanya jambazi
Muendelezo please
Huyu jamaa Mungu marehemu alikua karogwa na akarogeka coz itakuaje aliishi na msukule halafu kapata jini na akili haikufunguka pamoja na vituko vyote aliviona
Soo jini yule nisukule tuuh jini unazani angemtoa kiraisi tuuh jini kama jini anauwezo wakutusoma binadam mawazo yetu yote angekua jini asinge koga yale maji
Davista unatembea na chanuo bro🤣🤣
🤣🤣🤣🤣safari kwa juta sasa
Davister..wew hatar yani simu ndio imekua kioo na kichana kichwani
Wewe 😎😎
@@DavistarMataMediaDM wew sikuezi..twasubiri part4😂😂😂😂
Camera man wa Davistar kwa upande wa kuzoom Huwa hajui kabisa shida inakua Wapi 😥
NI izo six park ndo zinakuchanganyaa... 😍😍😍
@@Teacher_01 napenda kitambi mm 😂
@@somoeawadh7774 🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
@@somoeawadh7774 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mr facts mbona kichana kichuani?ama ni nini hiyo?
Nilisahau kichwani nikashangaa Cameraman hakuniambia mpaka nilipomaliza kushoot ndio nikaona
@@DavistarMataMediaDM pole
Anaongeya ukweli kabisa
Jaman wa 7 alhamdulillah
Oyoooo
💪💪💪
Mtu makini
YANI HII LUGHA ANAYOTUMIA NAJUA TUTAMUELEWA CC TULIOHITIMU MASOMO YETU ISRAEL AU CUBA🤓🤓🤓🤓🤓
🇯🇴🇯🇴🇯🇴Wakwanza🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Pamoja🇪🇭🇪🇭
Story inogire, huyu jamaa ni shujaa
Ustadh huyo Mchawi sio Muislam wa Kweli na Mtoto wa Sheikh sio sababu ya kuijua Qur'an...ushasema Baba yako alikuwa Mchawi...
Hakuna Qur'an inayotumika ktk Uchawi...mnachanganya Ndonya
Wapo watu kibao wenyemichezo hiyo wanajifanya watu wadini lakin ni washenzi tu ata masheikh washenzi wapo kibao nasi masheikh tu mpka mapadre na wachungaji so kusema hawapo wanaofungamanisha uchawi na dini si kweli wapo kibao
Wa 19
Tupoo
Huyu alikuwa karogwa
Na huyu jaa alikua chiz we umeshakutan namtu an tisha ila akomi
Kwanza alivo kua akienda huko lindi mala yakwanza kwenye gari kaambiwa unazukule me hapo hapo ningesepa nikaliacha hapo kwa gari
hili chizi kweli matatizo alikua anayapenda
@@shabankimenyi9980 hana soo yy kunakitu kinampeleke ivo kumbuka uchawi upo ndani yafemilly yake atakwepa vp
🙄🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wa pili