PART9:NGARAMBE MSUKULE MFU ALIE HAI MAREHEMU MWENYE KABURI 2 ALIETOLEWA MSUKULE/NIMEOA MAJINI 3/ROGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 ноя 2024

Комментарии • 165

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 года назад +1

    Ela bwana Ngarambe mambo ya majini unayapenda Sana Yani hukomi

  • @fatumamwantumu4081
    @fatumamwantumu4081 3 года назад +1

    Dunia hii mtihan kweli pole kakaa asee

  • @mariajili6319
    @mariajili6319 3 года назад +2

    Kwa nn hilo jini aliku mwambia haende msikitini? Weslam juweni mme potea njooni kwa yesu ndiko kuna uzima wa milele ❤️❤️🙏🙏🇰🇪

    • @fahadjinni5845
      @fahadjinni5845 3 года назад

      KWA SABABU KUNA MAJINI WAISLAM NA MAJINI WAKRISTO ....KUNA WAHUNI NA WASTAARABU ... ILA MUNGU AMESEMA KUA AMEWAUMBA MAJINI NA WATU ILI WAJE KUMUABUDU

  • @kmwendemusic5379
    @kmwendemusic5379 3 года назад +5

    Mimi siombi likes 😁lkn mkinipa subscribers 10 nitafurahi💕 🇰🇪😍🇯🇲

  • @pili3750
    @pili3750 3 года назад +1

    Nimekunjia tu pemben 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @venahsithole6463
    @venahsithole6463 3 года назад +1

    Ulikunjia pembeni 😂😂😂😂😂😂

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 года назад +1

    Kayakunjia pembeni maumbile mengine😂😂😂😂

  • @margaretachieng9887
    @margaretachieng9887 3 года назад +1

    Story nzuri sana ✨

  • @makame3524
    @makame3524 3 года назад +2

    Sasa yule nabii si alisema makanisani hawaendi mapepo wala majini, wanaenda mskitini tu, swali langu uyo alienda kanisani alikua wemasepetu uyo😆, hii dunia tuache tu kama ulivyokuja na ondoka kama ulivyokuja.
    Ushaur wangu ni kwamba kila mmoja aswali kwa imani yake bc

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 3 года назад +2

    Ngarambe boy mkalii... Shemeji yetu kwa *somoe awathi* nisaidien kumuita somoee plzz.... 🤭🤭

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 года назад +1

      Somoee nakuitaa jaman.. 😂😂😂

    • @djmtengwatz1099
      @djmtengwatz1099 3 года назад +1

      Ngarambe Kaopoa Kumbeee😊

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 года назад +2

      @@djmtengwatz1099 ulikuwa hujui kumbe

  • @nahishakiyeassuman5541
    @nahishakiyeassuman5541 3 года назад +1

    Wowowowo Merci beaucoup mtu makini tupo pa moja wewe paka Paris 🗼🗼🗼🗼🗼🗼🗼🇨🇱🇨🇱🇨🇱🇨🇱🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿✍️✍️💶

  • @MrAkehtam
    @MrAkehtam 3 года назад +1

    🤣🤣🤣..Alikunjia pembeni akaendela.

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 3 года назад +2

    Vijana mjifunze kupitia story hii unaona dada mrembo au kaka mzuri unaanza nakupenda nakupenda sio wote binadam pole kaka kwa mapito

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 3 года назад +1

    👍😙🇰🇪🇰🇪
    Hapo sasa

  • @suzansimon5296
    @suzansimon5296 3 года назад +1

    Aisee imenichekesha Sana😂😂😂

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 года назад +1

    Yani huyu mwanaume ana damu ya majini majini wakimuona Wana mtaka

  • @nahishakiyeassuman5541
    @nahishakiyeassuman5541 3 года назад +2

    Ngarambe nimependa Sana story kwakwel ani sitoweza kuichoka ata kidgo kwakwel

  • @dallasabinchar5128
    @dallasabinchar5128 3 года назад +2

    Just like that!!!???
    Wana kujugua jugua ki raisi sana wewe ni muongo au mjinga wa juu sana

  • @philipoluzege3200
    @philipoluzege3200 3 года назад +1

    Ngarambe ulikuwa na nyota ya kupendwa na majini

  • @tayanabenard4392
    @tayanabenard4392 3 года назад +1

    Tunakunjia pembeni tu...kwan sh ngap?🙈

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 3 года назад

    Hahahahahah jamani nacheka peke yangu eti nikakunjia pembeni🤣🤣🤣

  • @KariukiRoysambu
    @KariukiRoysambu 3 года назад

    Jamaa ako sawa kabisa

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 года назад +1

    Wa 20.sio mbaya.twende kazi.

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 3 года назад +1

    huyu jmaa alkuw na nyota kali sana, na mungu alkuwa msaada mkubwa sana kwake kuna kitu mungu alikiweka kwake ndo maan, yan kwa hali hyo mt mwngine kitaaaambo ushakuw msukule au kuliwa nyama

  • @credo7837
    @credo7837 3 года назад +3

    Rafiki zanguu mko wapi🙈🙈🙈

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад

      Tupoooi. Ndiyo tumefikaa

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад

      @@sweetie6934 ndiyo jirani. Uko job au. Hujambo lakini

    • @credo7837
      @credo7837 3 года назад

      @@sweetie6934 karibu

    • @credo7837
      @credo7837 3 года назад +1

      @@pilimusa7770 karibu

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 года назад

      ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @selemanali5053
    @selemanali5053 3 года назад +1

    Ndio majini wapo wamchao mungu wapo wakirsto na waislam lakini hakuna malaika mubaya wote wanafata amuli za mungu

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 3 года назад

    Hahahahahahaha Eti nilikuwa sikomiii

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 3 года назад +1

    😆Nimeupenda sana huo msemo , Ukimchekesha aliyekubeba mtaanguka wote

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 3 года назад +1

    Ngarambe unasema uliacha kwenda kanisa kwasababu hauna hela na huku unasema dogo janja ulimsaidia kwakeli wewe ni ngarambe,

  • @selemanali5053
    @selemanali5053 3 года назад

    Wenye jinsia mbili tofauti hua haifanyikazi jinsia moja

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 3 года назад

    Davista huuliz maswali muhimu, wale mashehe walishukia wap?

  • @gaomariwa7637
    @gaomariwa7637 3 года назад

    Big up mkali

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 3 года назад +1

    Ati ulifanya nini mwishoni😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪

  • @happyoshea
    @happyoshea 3 года назад +1

    😂😂😂Bro anapenda kufanya, eti kakunjia pembeni

  • @aminaally863
    @aminaally863 3 года назад +1

    Jamani ngalambe umepitia mambo mangum sana

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 3 года назад +2

    *Davista:* maumbile ya kiume Sasa ulifanyaje
    *Ngarambe:* Design unakunjia pemben alafu unawekaa... 🤭🤭😂😂😂🙌

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 года назад +1

      @@sweetie6934 😂😂😂😂

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 года назад +3

      @@sweetie6934 🍆 hapo ngarambe alipigwa bakora za kimkakakt anatudanganyaa 😂😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад +1

      @@Teacher_01 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @bakari-si1pw
      @bakari-si1pw 3 года назад

      Dunia hinamambo

  • @kijahnikwelinyalinga1740
    @kijahnikwelinyalinga1740 3 года назад +1

    Ety ana kunjia pembeni 😂😂😂😂jamn ana chekesha sana 😂😀😀😀

  • @aminaally863
    @aminaally863 3 года назад +1

    🥰🥰🥰 tupe vitu

  • @geraldrobert1801
    @geraldrobert1801 3 года назад +1

    Jini ni jini tu, wote ni wabaya tu, hakuna jini mzuri

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 3 года назад +1

    Nimesubiri mpaka basi

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 3 года назад +5

    Ngarambe kashirik na malaikaa 😂😂😂 *davista:* AAA sio kwel uwez shirik na malaika

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 3 года назад +2

      Jamani mmmh mbona waislam wale wanapandishaga majini sheytwan yanawaambia uswali ole wako usipobswali yani unaswali kwakumtwii huyo jini sheytwan

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 года назад +1

      @@kalssambaboo9932 hapo pepo huwez kuionaa maishaaa

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 3 года назад +2

      @@pilimusa7770 kivipi

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 3 года назад +1

      @@Teacher_01 kivp

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 3 года назад +1

      @@pilimusa7770 kwaiyo hakuna wanayo yafuata ulitaka unitenge

  • @fatumamwantumu4081
    @fatumamwantumu4081 3 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dunia hi inamambo usiombe yakukute

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 года назад +1

    Huyu jamaa amekosa elimu ndio TATIZO

  • @sanisani5266
    @sanisani5266 3 года назад

    Eti simke wangu😆😆😆

  • @anahmlingi2280
    @anahmlingi2280 3 года назад +3

    Wa2

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 года назад +1

    Duh mwamba💪

  • @djmtengwatz1099
    @djmtengwatz1099 3 года назад +1

    Irudiwe iruduwe😃

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 3 года назад +1

    👂👀👂

  • @sanisani5266
    @sanisani5266 3 года назад +1

    Kunjia pemben😂😂

  • @nahishakiyeassuman5541
    @nahishakiyeassuman5541 3 года назад +1

    Ngarambe wewe unaniacha ohiiiii😁😁😁😁😁😁😁😁apa Bwana ani dahahaha paka watu wananichangaa apa ofini

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 года назад +1

    Davistar unataka kujua milio ya vipi?🤣🤣🤣🤣 naye c kidogo kama bata

  • @elizabethtindwa7216
    @elizabethtindwa7216 3 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 года назад +1

    Kama bata anavyo ongea duh😳

  • @carrenchigulu5712
    @carrenchigulu5712 3 года назад +1

    Huyu jamaa alikua na damu ya kupendwa na majini misukule na hakua anakoma roho ya tamaa ilimuuza sana

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 года назад +1

    Kilio ya mbata mhemohemo🤣🤣🤣🤣

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 3 года назад +1

    Siri ya nini??? Nini maana yake ooo siri ooo wenzangu mapenzi ya siri nalialiaaaaa

  • @benjaminkiteleke8458
    @benjaminkiteleke8458 3 года назад +3

    Leo jini limempeleka mtu kanisani hakuna anaye comment. Ila ingekuwa jinni linenpeleka mtu msikitini ungesikia kila mtu anakomenti kuhusu uislam.

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 3 года назад +1

      "Nashukuru kwa Kuwafunua Macho"

    • @peninahkariuki4679
      @peninahkariuki4679 3 года назад

      Ntakujibu,Uyo Jinni na mapepo wanajua jina la Yesu pekee laokoa ,ndio maana hakumwelekeza kwa msikiti,alimshauri (Kanisani),Jina la Yesu pekee Lina nguvu,mskikitini wanafuga majini😂😂

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 3 года назад

      Hapo sasa

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 3 года назад +3

      @@peninahkariuki4679 Kwa hiyo huyu jinni pia atakua anafugwa Kanisani. Maana haiwezekani afugwe msikitini afu amuelekeze kanisani, kila nafsi hujiona iko sehemu salama kulingana na mahali alipo yeye. Huyo jinni atakua wakanisani ndo maana kaona huko ndo bora kwa kumuelekeza yeye kulingana na alipo yeye.

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад +2

      Umeona eee. Tena kambadili dini

  • @seasonepisode3328
    @seasonepisode3328 3 года назад +3

    Mlima wa moto na majini wanaingia..tukiwaambia awa manabii ni wauongo watu wanabisha. Oohh mama mwakatare ayaa sasa .kina gwajma kakobe na wengi wao wotee ni matapeli sio manabii wa kweli...ayo makanisa ya j2 yotee ni ya shetani yoteeee..

    • @peterrulagora7403
      @peterrulagora7403 3 года назад

      Umerogwa wwe

    • @seasonepisode3328
      @seasonepisode3328 3 года назад +1

      @@peterrulagora7403 izo ndio shida zenu. Sasa si unasikia hii story jini alikuwepo kanisani kwa mwakatare..sasa nyumba ya Mungu jini anaingiaje?mzee wa bakora ujamsikia?kasema sehemu ya Mungu jini mchawi awezi sogea..mpo kiushabiki maandazi Kwani izi story amjifunzi?

    • @seasonepisode3328
      @seasonepisode3328 3 года назад

      @@sweetie6934 👏👏👏👏umemaliza kila kitu

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад

      @@sweetie6934 kabisaa

    • @peterrulagora7403
      @peterrulagora7403 3 года назад

      Ndio maana biblia ilisema watakuja manabii wa uongo,hivyo uwez sema wanaosali wote jpili wamepotea.wapo watumishi wa Mungu na wapo wa shetani wakiwadanganya watu kupitia makanisa

  • @credo7837
    @credo7837 3 года назад +1

    Wew jamaa ulikuw unapenda sana madem 🤣🤣et kata wew kata wewe

    • @aminaally863
      @aminaally863 3 года назад

      Niachie jamni

    • @credo7837
      @credo7837 3 года назад

      @@aminaally863 🤣🤣chukua mumeo tena mnaendana hutaki nimseme

    • @aminaally863
      @aminaally863 3 года назад

      @@credo7837 😂😂😂🤩🤣🤣🤣anyi mbavu zangu

    • @credo7837
      @credo7837 3 года назад

      @@aminaally863 zivunjike tu😃

  • @faridamohamed4677
    @faridamohamed4677 3 года назад +1

    Mtihan.walikuwa wanam'pumbaza akili

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 3 года назад +1

    Manjegeka uiiiiii

  • @kelvndaud5425
    @kelvndaud5425 3 года назад

    Bamoja kk

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 3 года назад +1

    huy jmaa sio wa kawaida kabsa, na ndo maan kule mtwala wale maostaadhi walkuw wanamkataa walkuw wanaona nguv yake

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 3 года назад

    Utaam njooo mmmh eti malaika 🤣🤣🤣yakucheka kaa mazurka alivo eka huo.mkono kaa joka eti nikalibwaga

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 3 года назад +1

    Pili mussa leo nimekua wa 9 story tamu san

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад

      Hongera wangu💃💃💃💃💃💃💃💃❤

    • @bebebebe5677
      @bebebebe5677 3 года назад

      @@pilimusa7770 Ahsante besty yangu

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад

      @@bebebebe5677 🤝❤

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 года назад +1

    Eti amekunjia pemben jaman🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Davistar kitambo umalize interview na huyu jamaa huna mbavu

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 3 года назад +2

    Wa 6. Kwa kiarabu watu wenye tupu mbili wanaitwa "khuntha"

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад +1

      Portuguese unajuwa lugha nyingi kaaa. Hongera wangu❤

    • @jotafungo4622
      @jotafungo4622 3 года назад

      @@pilimusa7770 😂😂😂vurugu vurugu tu za kuhangaika duniani basi lazima tujifunze ili tuelewane

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад +1

      @@jotafungo4622 yani unajuwa lugha kweli. Duh. Hadi raha. Mwenyezi Mungu akubariki sana. ❤❤❤

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад +1

      @@jotafungo4622 njoo uangalie niko. Ishafikaa

    • @jotafungo4622
      @jotafungo4622 3 года назад +1

      @@pilimusa7770 Amin waukae

  • @azizahamisi7349
    @azizahamisi7349 3 года назад

    Mbavu zangu alikunjia pembeni🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ryhislamminamuonamsengetu9111
    @ryhislamminamuonamsengetu9111 3 года назад

    Hakiyamungu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙈

  • @tututz100
    @tututz100 3 года назад +1

    😁😁😁😁

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 года назад

    Nimefika ninaswali 5000🇹🇿ni pesa ngapi ya 🇰🇪???

  • @cecycecy3610
    @cecycecy3610 3 года назад +2

    watuuu wako machoo fasta

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 года назад +1

      Mke mdogo upoo kumbee.. 😂😂😂

    • @cecycecy3610
      @cecycecy3610 3 года назад +1

      @@Teacher_01 nipooo mie mkubwaa.zuu naona unaanza kujisahaulisha mie ndio kitu mkalia nyonga wahuban

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 года назад +1

      @@cecycecy3610 acha kunitishiaa mamy... Mie mwenyew Mambo nayawezaa.... ❤️❤️❤️🤭

    • @cecycecy3610
      @cecycecy3610 3 года назад +1

      @@Teacher_01 wew bado sanaaa goldn boy anatakiwa apate vipotable tumbembelezeee na kusahaulisha ndoto za usiku za makalumanzira wakina ngarambe

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад +1

      @@cecycecy3610 wa ubani wa Shebby ni mimi. Nyie mchukueni Davistar na mlokole.

  • @zaynabhadoso4783
    @zaynabhadoso4783 3 года назад

    Wa 3

  • @faridamohamed4677
    @faridamohamed4677 3 года назад

    LEO1

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 3 года назад

    Dunia inamambo

  • @seasonepisode3328
    @seasonepisode3328 3 года назад +2

    Akuna malaika wabaya bhana na akuna jini zuri. Majini ni viumbe vilivyo hasi walikua malaika walipo hasi ndo wanaitwa majini. Kwaiyo akuna jini zuri na akuna malaika wabaya akuna. Malaika wote ni wema na majini wotee ni wabaya..ata zabroni alisema kuna jini John na alimuelekeza zabroni aende kanisa la Roman catholic..maana uko ndiko kwao pia .bado ni baberi uko ukoo

  • @merycharles2707
    @merycharles2707 3 года назад +1

    😂😂😂😂😂

  • @hamadwaziri121
    @hamadwaziri121 3 года назад

    9

  • @kelvndaud5425
    @kelvndaud5425 3 года назад

    Bamoja kk

  • @aliceondeko3455
    @aliceondeko3455 3 года назад +1

    😂😂😂😂