MKURUGENZI WEWE NI MPOLE SANA ''ITAKUKOSTI'' NATAKA MAELEZO JUMATATU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 июл 2020

Комментарии • 56

  • @abdulsaleh4640
    @abdulsaleh4640 3 года назад +4

    Waziri jafo nakukubali hats off
    Nimeona unavyofuatilia Muheza Moshi nduruma najua roho inakuuma kwa namna wasaidizi wako wanavyo kuangusha mungu atakusimamia na insha ALLAH utashinda na kuwa saidia wananchi wote.

  • @samkiria450
    @samkiria450 3 года назад +5

    Tunahitaji viongozi Kama Kina jafo wengi. Bravo baba Aluta continua 🙌

  • @abeidabdullwarith8991
    @abeidabdullwarith8991 3 года назад +5

    Asante waziri jafo big up kazi kazii

  • @mhandodanny4256
    @mhandodanny4256 3 года назад +4

    Jafo safi sana hapa kazi tu!. JPM JEMBE GOD bless you

  • @Tango696
    @Tango696 3 года назад +3

    Safi mhe.kiukweli una uadilifu mkubwa,mapungufu yako yapo ila unatoa maelezo kwa uchungu.i feel to learn from u

  • @festonzaniye477
    @festonzaniye477 3 года назад

    Jafo upo vizur, safi sana natamani rais asikutoe kwenye wizara hiyo, big up jafo

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 3 года назад +1

    Waambie kabisaa hii Ni awamu mpyaaaa. Barikiwa sana

  • @asiaasiajey5551
    @asiaasiajey5551 3 года назад +2

    Safi kazi kazi waache uzembe ule wa hawamu ya 4

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 3 года назад +8

    Timua hao!Ndo wanakwamisha,wao maofisini tu na kujisifia kwenye mabaa..oh mimi mkurugenzi..shit

  • @habau_jr1755
    @habau_jr1755 3 года назад +1

    Kaz kaz..jafo safi

  • @gideonkalumbu2603
    @gideonkalumbu2603 3 года назад +3

    Kazi mkuu...

  • @buremomussa791
    @buremomussa791 3 года назад +4

    Piga chini wote ao Wachapa kazi nchini tuko wengi sana

  • @felixsilayo1824
    @felixsilayo1824 3 года назад +1

    Nafurahi sana napoona haya mambo yanaendelea nchini, hii technique ya kuwajibisha viongozi mheshimiwa rais ameanzisha, inasababisha uwajibikaji ngazi ya juu , na kuhamishia tabia hii chini

  • @xerxespersian1384
    @xerxespersian1384 3 года назад

    Mkiweka mifumo miepes jiandaaeni upuuzi kama huo
    Hivi nguvu kaz ipo vijana Jkt Jwtz wapo wananidham na hamasa ya hari ya juu wapo iyo ela si ingeongeza mavaz yao na vyakula matunda na mengineyo makambini kuliko kutupa pesa kisha leo ziandikwe barua na huo uovyo upo kila kona et mnajua leo🙌🙌🙌

  • @samwelgabriel532
    @samwelgabriel532 3 года назад +1

    Safi mheshmiwa

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 3 года назад +1

    Mh Jafo Shkamoo, wewe n kiongoz

  • @vascomaguku2605
    @vascomaguku2605 3 года назад +1

    Safiiii

  • @cidewashington467
    @cidewashington467 3 года назад +1

    Waziri Jafo tumbua tumbua hao wasituhalibie utendaji wa kazi

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 года назад +1

    Sukuma ndani kisha timua awawezi Kazi hao

  • @hassanidrissa1714
    @hassanidrissa1714 3 года назад +1

    Mh jafo yaan hii halmashaur inahitaj renovation na zaid kweny afya coz CHMT hawajielew takriban wote mkuu mfano sis tokea tuajiriwe 2018 had Leo hii hatujapewa ela yetu ya kujikimu, mh umejionea mwenyew madhaifu ya viongoz wetu hap halmshaur ya longido

    • @rogersdavis3058
      @rogersdavis3058 3 года назад

      Pole sn boss mim npo Ngorongoro ila tulipata

  • @peterjohn1969
    @peterjohn1969 3 года назад +2

    Niatari kweli ukila nawewe utaliwa😂😂

  • @brownsebastianmwibi5647
    @brownsebastianmwibi5647 3 года назад +1

    Daah

  • @moturithevictor2522
    @moturithevictor2522 3 года назад

    tungepata watatu kama huyu hapa Kenya ,,tungukuwa kama ulaya

  • @geofreychalamila9778
    @geofreychalamila9778 3 года назад

    Safi Jafo nchi hii uzembe mwingi sn

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 2 года назад

    Mkurugenzii mpigajii huyoo alizoea kupiga bia Kibo huyoo

  • @joshuameckson8032
    @joshuameckson8032 3 года назад +1

    Wanashindwa kwenda na kasi ya serikali ya awamu ya tano ..Kama hawawezi mheshimiwa waziri wapige chini

  • @rassimbaengswahili6191
    @rassimbaengswahili6191 3 года назад +1

    Safi jembe

  • @bigdad1816
    @bigdad1816 3 года назад +4

    Kazi hipo nchi hii ilikuwa imekufa ona upumbavu huu milioni miasaba ni ujinga upumbavu fukuza hawa kazi

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 3 года назад

    Jafo pamepigwa apoo jafoo oyee

  • @asharamadhani4641
    @asharamadhani4641 3 года назад

    Ehee!

  • @mkushplatnam1595
    @mkushplatnam1595 3 года назад

    naona mabati yenyewe feki, yana kutu au macho yangu

  • @davidmkeya6326
    @davidmkeya6326 3 года назад

    Hekima na busara kwa zako kauri Jaffo, tunataka maendeleo, shida kubwa ni kila boss na boss wake, mkurugenzi komaa,

  • @jkt96taifa32
    @jkt96taifa32 3 года назад +2

    Kula nao

  • @mathewtwimanye92
    @mathewtwimanye92 3 года назад +1

    Fagia hao mzee kuna shida

  • @maatumkadhi1760
    @maatumkadhi1760 3 года назад

    Timua timuaaaa

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 3 года назад +2

    Fukuza... Wezi

  • @pinyoxxl1670
    @pinyoxxl1670 3 года назад

    Longidooooo

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 3 года назад

    Piga chini wote wanaleana tu Mambo yakipumbavu tu mbona wenzao wameweza

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 3 года назад +1

    Kwanin kaskazin wamevurunda ivo kila mahali waziri analalamika.

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 3 года назад

    Fyekelea mbali sukuma ndani watazitapika fedha za wananchi wanyonge masikini walipa kodi

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 3 года назад +1

    Jafo na majaliwa hakuna kuomba nikunyoosha tu

  • @frenkfrancis4151
    @frenkfrancis4151 3 года назад +2

    Fukuza awo wanazarau

  • @sirielsamweli5688
    @sirielsamweli5688 3 года назад

    Mkurugenx wa wapi huyu jamani

  • @andulilemwakihabha2931
    @andulilemwakihabha2931 3 года назад +1

    Wanakwamisha maendeleo hao washenzi

  • @hamisule3878
    @hamisule3878 3 года назад

    Mmm

  • @djmeza411a58
    @djmeza411a58 3 года назад

    Ondoa wote

  • @kebo2155
    @kebo2155 3 года назад +1

    Fukuza Kazi wote na angalia account zao za benk hatutaki wez na wazembei... Hovyo kabisa...

  • @zwinsalhabsu264
    @zwinsalhabsu264 3 года назад +1

    Fukuza hao mafisadi wakubwa

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 3 года назад +2

    Watazimia

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 3 года назад

    Wote akuna meulizo peleka mkuu toa wote wanachelesha tukufika haraka.

  • @salimsalim8421
    @salimsalim8421 3 года назад

    Walipe hizo pesa

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 года назад

    Kivuruge alikuwa Mrisho Gambo sasa waache wapumue wafanye kazi