Lissu kumshinda mbowe hii Leo mapya yaibuka hofu yaongezeka kwa mbowe kupoteza kwenye uchaguzi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 19

  • @AbigailBateyunga
    @AbigailBateyunga День назад +6

    ✍️Lissu oyee🎉😂❤👪🤽💃🕺✌️👭🤰✖️➕🍾 Alutacontinuaa 🇹🇿🙏🙏

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane День назад +4

    LISU Daima nyuma mwiko

  • @RastaMany-p8x
    @RastaMany-p8x День назад

    Mungu ana kusudi yke lisu juuuuuuu mbowee chaliiiiii abaki na dili siasa amwachie lisu na heche mbowe ni kiongozi wa mchongo ila akujua kama chadema sio ya familia yke ngoja muda uongeee🇹🇿✌️✌️✌️✌️✌️❤️🚣🚣‍♀️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane День назад +2

    Lissu hoyeeeeee

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane День назад +2

    Lissuuuuuuuu

  • @antonygibson464
    @antonygibson464 День назад +3

    Ntobi amekutana na alichokuwa akikitafuta.Ukiwa na mdomo mpana na mchafu unatakiwa kuufunika unapokuwa unapiga chafya.Ntobi aliutumia vibaya mdomo Wake

  • @AlanusChatanda
    @AlanusChatanda 20 часов назад

    Safi mawazo mazuri

  • @SaruniKutandawa
    @SaruniKutandawa День назад +2

    Lisu kwanza

  • @khamiskulasha
    @khamiskulasha День назад +1

    Pamoja sana Kamanda peter Kilomba.

  • @MahanjiSanga
    @MahanjiSanga 18 часов назад

    Kwa sasa lisu Tu .mbowe tunakuomba pumnzika kaka

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 День назад

    Lisu ataandika sio ngoja tuone huyo msenge at kimbilia ubelijiji

  • @FrankKwanama-lo6fj
    @FrankKwanama-lo6fj День назад +1

    waandishi acheni maswali ya uchochezi Mbona Mbowe katuita wabangaizaji hamuhoji kauli zake?

  • @jonathanmindolo61
    @jonathanmindolo61 День назад +1

    NAONA CHADEMA WANAJDANGANYA WASPOSHRK UCHAGUZI WANAFIKR CCM INATISHKA? NI FURAHA KWAO

  • @AlanMbilinyi
    @AlanMbilinyi 17 часов назад

    KWAKULINDA HESHIMA YAKO MBOWE INAFAA SANA UPUMZIKE ,TUNAKUSHUKURU SANA KWA KUKIIFIKISHA CHAMA HAPA KILIPO UMEFANYA KAZI SANA KWA KUENDELEA KUKAA MADARAKANI NI KUHARIBU SV ZAKO MIAKA 20 INATOSHA ZAIDI YA HAPO UNAKUWA KING'ANG'ANIZI AU MROHO WA MADARAKA .

  • @ephraimsaimon3125
    @ephraimsaimon3125 День назад

    Wanao mharibu Mbowe ni wapambe wake binafsi hekima yake asingeg'ag'ana Ivo

  • @OsamaIsare
    @OsamaIsare День назад +2

    Sioni comment huku

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud День назад +1

    Comment kwa ujuaa wako uwo? Mtoto nimtoto tu, awenzi shidana na baba yako . Kam una D utahelewa. Kam ni box autahelewa....

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 День назад

    Watanzania hatuna kiu hiyo unayo tulisha kimkakati tafuta wajinga wakuwalisha huo ujinga unaousema. huyu lisu aliyekuwa ana mpinga magufuri alipokuwa anatetea rasirimali pamoja na makini yeye akawa anatoa maoni yenye kutetea wazungu

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane День назад +1

    Lissuuuuuuuu