Yani kila anayekatwa na Masalafy anakimbilia upande wa akina Abuu Zaghar! pamekuwa kama sehem ya kupokea wale waliokatwa na masalafy.hahaaha! Alhamdulillah masalafy wamefanya jitihada kubwa sana hadi saiv watu wanaogopa kuwa upande wa Barahiyani kwa sabab ushaonekana ni upande uliopinda...!!!
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xww pia umepinda Kwn kila anaonekana kwenu kuwa amepinda ni lzm ss tumuone hivyo hivyo mbn mjinga sanaa Jambo la kumpindisha mtu na kuadilisha mtu ni jithada sw ss zungumza unachokijua acha ushabiki wa kijinga
@Ibnsalim3 Sasa kwann aliyegombana tu na masalafy ndo anakuwa rafiki yenu? Na ambaye hajagombana nao anakuw adui yenu haddaadiya! Kwamba kila ambaye masalafy wanamkata huwa wanakosea? Nyie ndo kama wasemaji wa mwisho sio?
Wallah umdhulumu na mm nikisimamishwa mbele ya Allah wallah nitamsimami abuu muawiya juu ya dhulma hii ulio mdhulumu mpaka mait mche Allah ndugu@@abduwahabi7019
Pia naomba mukutane na masheikh wa Kisalafy ambao mna tofautinao kwa lengo la kutafuta sulhu kisha mlinganie da’awa kwa pa1 huenda khery ikapatikana maana sijui hizi tofauti zitaisha lini.Pia nataka kujua kaamba Muhammad Bachu mnamzingatia kama Salafy mwenzenu au yeye manhaj yake ni tofauti na nyie???
@@ManhajSalafZanzibar Hahahahahaha! Ni Salafy kivipi wakati yupo na Maanswar ambao kwa mujibu wenu sio masalafy?! Nilimuuliza mwanafunz wa Abuu Muawiyah akanambia Wao na Bachu ni Baina ya Mashariki na Magharib... Imekuaje leo amekuwa mwenzen tena wakati mshalikanusha hilo? Au wewe haupo kweny kundi la Abuu Muawiyah???!!! Yani nyie Allah awaongoze... Mdgo mdgo mshaanza kujiingiza kweny Uanswar Sunnah... hahahha! Wallahu Musta'an...!!!
@@ManhajSalafZanzibar Naomba unijibu.. sikusudii kukukejeli, nahitaji kujua... Abuu Muswab alikuw pamoja na masalafy na anaitakidi kuwa Answar Sunnah ni Mahizbi, labda kama kashabadilisha msimamo basi tunaomba ushahidi... Abuu Muawiyah na kundi lake wanaitakidi kuwa Maanswar ni Mahizbi... Na mwanafunzi wake mmoja alinambia kuwa hawapo na Bachu kwa sabab Bachu haelewek Coz Kuna muda yupo na Maanswar...!!! Imekuaje tena kawa Salafy wakati anashirikiana na maanswar ambao kwa mujibu wenu ni Mahizbi...???!!! Naomba majibu na mnambie kwann mwanzon mlisema hampo nae... Baarakallahu fiyk!
@@ManhajSalafZanzibarSasa yule mlinganieni awachane na mahizbi wa answari sunnah daawa yao haina tayamuzi haibagui mchanganyiko na masufi humo humo, ni vzr mumlinganie bachu achane na kina kishki mahizbi wale
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Akhy kuna watu wana nongwa sana😁😁😁yaani mtu hataki kujua kma ana asili ya ndevu au laa daah! Halafu huenda kuna watu wanahisi mtu asipokuwa ndevu2 si Salafy.
@@mashaurimvungi2232 alikusudia hivyo bwana kabla hujamuukumu mtu angalia nia yake ilikuwa nini, akusema hivyo alikusudia kukubali hakki, hata ikitoka kwa shetwani, kwani yule swahaba alipoenda kimwambia mtume, nimemkamata ibilisi kaniafundisha jambo hili, mtume alijibuje si kasema kweli japo ye muongo, Sasa unaugeuza mafuhumu, kumfanya mtu kakosea so vzr, bwana ata kama alikosea ni binadamu hakuna mkamilifu, usivizie kosa la mtu kumchapia kama fimbo, dini haitaki hivyo, mi naona makusudio yake yalikuwa mazuri, Ila wapokea ujumbe wakatafsili vibaya
Kisha kijana umerudi tena kwenye dini ama vp , mana ulichukua likizo ya muda ukaelekea kuangalia wazungu kwa kisingizio cha utalii. Ikiwa umerudi tunahitaji ubainishe kuwa ulikosea sas umerudi tena , sio unaibuka kutangaza vitabu.
Kwani kwenda kwa na wazungu ndo katoka kwenye dini na kama alikosea hiyo Toba lazima muijue hebu acheni vitu vya ajabu bhn kwani alivyo Enda na wazungu alienda kufundisha bidaa huko
@@ManhajSalafZanzibar Sawa mimi kuhusu huyo Akhy anayeongea no problem! Tuje kwa Abuu Nuaym kuonekana na Bachu... Abuu Nuaym msimamo wake ni kama masalafy wa masjid Quba kuwa picha haifai, sio? Sasa iweje akubali kupigwa picha na makamera akiwa na Bachu? Tuseme na yeye hana msimamo? Mana alisema kuwa Masjid Quba hawana msimamo, licha ya kwamba alikuja raisi, mkasema kuwa kiongozi hatiiwi katika maasia... Vipi Bachu na masufi ambao so viongozi mbona aliwatii? Kukosea kupo, lakin qawli yake kuwa masjid Quba hawana msimamo na usalafy wao, mimi naona sio qawli ya sawa hata kama ndo hamtupendi...!!!
Swali lingine: Abuu Nuaym aliwatuhumu masalafy wa Masjid Quba kuwa hawana msimamo kwa kuwa walirekod video alivyoenda raisi mwinyi kweny huo msikiti...!!! Imekuaje kwenu hapo na pale alipoonekana yupo na Bachu kweny mnaqasha wake na Sufi kidawa?! Naomba majibu! NB: Sikusudii kukejeli,mana watu wengine huwa wananielewa vibaya 😂
Mimi kitu nacho ona bachu ni salafy mzuri mlinganieni awachane na kina kishki wale daawa yao haina tayamuzi, sufi humo humo, haina Al walaa Wal balaa Mimi nilikuwa answari nimeona kuna fuga mahizbi hivyo mlinganieni bachu akatae Yale makundi
As salaam alaykum warahmatullah wabarakaatuh nitakipataje hicho kitabu mm nipo tanga
Ukitumia neno WAFUASI WA MUHAMMAD IMAM zanzibar , itakuwa vzr .
@@abuuahmadalathary620 جزاك الله خيرا
Huyo ulomtaja ni Kaafir? Kuwa na heshma na maulamaa
Duh Abu mus'ab Abuu Zakaria Abuu zaghar na Dr Islam kweli
الطيور على أشكالها تقع
Yani kila anayekatwa na Masalafy anakimbilia upande wa akina Abuu Zaghar! pamekuwa kama sehem ya kupokea wale waliokatwa na masalafy.hahaaha!
Alhamdulillah masalafy wamefanya jitihada kubwa sana hadi saiv watu wanaogopa kuwa upande wa Barahiyani kwa sabab ushaonekana ni upande uliopinda...!!!
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xww pia umepinda
Kwn kila anaonekana kwenu kuwa amepinda ni lzm ss tumuone hivyo hivyo mbn mjinga sanaa
Jambo la kumpindisha mtu na kuadilisha mtu ni jithada sw ss zungumza unachokijua acha ushabiki wa kijinga
@Ibnsalim3 Sasa kwann aliyegombana tu na masalafy ndo anakuwa rafiki yenu? Na ambaye hajagombana nao anakuw adui yenu haddaadiya!
Kwamba kila ambaye masalafy wanamkata huwa wanakosea? Nyie ndo kama wasemaji wa mwisho sio?
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x huyu kijana anae tangaza kitabu alikuwa wapi kwa barahyani au alikatwa kwenye kundi la masalafi??
@AbdulIssa-o7e Alikuwa Irshad Dar es salaam kwa masalafy Sio kwa Barahiyani...
Sijajua kama alikatwa... hahahaha!
من هو مؤلف هذا الكتاب
Ashekh abuu muawiya
أبو معاوي الذي كان حزبية وكان يدفع شيخه محمد إمام، نسأل الله أن يغفرله،
لغتك معوج جدا يا هذا اصلح لغنك اولا ثم اطعن 😅@@abduwahabi7019
@@abduwahabi7019
Ukisema وكان يدفع maana yake ni alikua anamlipa saea hapo sema وكان يدافع عن شيخه
Wallah umdhulumu na mm nikisimamishwa mbele ya Allah wallah nitamsimami abuu muawiya juu ya dhulma hii ulio mdhulumu mpaka mait mche Allah ndugu@@abduwahabi7019
Wazee wa utatu mtakatifu
Pia naomba mukutane na masheikh wa Kisalafy ambao mna tofautinao kwa lengo la kutafuta sulhu kisha mlinganie da’awa kwa pa1 huenda khery ikapatikana maana sijui hizi tofauti zitaisha lini.Pia nataka kujua kaamba Muhammad Bachu mnamzingatia kama Salafy mwenzenu au yeye manhaj yake ni tofauti na nyie???
@@Hamis-ks1sy tunamzingatia kuwa nsalaf alhamdulillah.na twamuomba allahu atujaalie kuwa niweny kufuat usilamu sahihi aamn
Kaka rabda tufany pdf.tutalifatilia ilo inshaallah
@@ManhajSalafZanzibar Hahahahahaha!
Ni Salafy kivipi wakati yupo na Maanswar ambao kwa mujibu wenu sio masalafy?!
Nilimuuliza mwanafunz wa Abuu Muawiyah akanambia Wao na Bachu ni Baina ya Mashariki na Magharib... Imekuaje leo amekuwa mwenzen tena wakati mshalikanusha hilo? Au wewe haupo kweny kundi la Abuu Muawiyah???!!!
Yani nyie Allah awaongoze... Mdgo mdgo mshaanza kujiingiza kweny Uanswar Sunnah... hahahha! Wallahu Musta'an...!!!
@@ManhajSalafZanzibar Naomba unijibu.. sikusudii kukukejeli, nahitaji kujua...
Abuu Muswab alikuw pamoja na masalafy na anaitakidi kuwa Answar Sunnah ni Mahizbi, labda kama kashabadilisha msimamo basi tunaomba ushahidi...
Abuu Muawiyah na kundi lake wanaitakidi kuwa Maanswar ni Mahizbi... Na mwanafunzi wake mmoja alinambia kuwa hawapo na Bachu kwa sabab Bachu haelewek Coz Kuna muda yupo na Maanswar...!!!
Imekuaje tena kawa Salafy wakati anashirikiana na maanswar ambao kwa mujibu wenu ni Mahizbi...???!!! Naomba majibu na mnambie kwann mwanzon mlisema hampo nae...
Baarakallahu fiyk!
@@ManhajSalafZanzibarSasa yule mlinganieni awachane na mahizbi wa answari sunnah daawa yao haina tayamuzi haibagui mchanganyiko na masufi humo humo, ni vzr mumlinganie bachu achane na kina kishki mahizbi wale
Huna ndevu..
Hahaha! Labda ndo asli yake bana, sizan kama kanyoa
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Akhy kuna watu wana nongwa sana😁😁😁yaani mtu hataki kujua kma ana asili ya ndevu au laa daah! Halafu huenda kuna watu wanahisi mtu asipokuwa ndevu2 si Salafy.
@@Hamis-ks1sy Hahahhah! nimecheka sana hyo comment
Naam,, alama mojawapo kuu kwa sisi majadiid ni NDEVU..🧔🧔
Mahizib bwana wapo na jamaa anayejuzisha kuchua elimu kwa shetani
@@mashaurimvungi2232 alikusudia hivyo bwana kabla hujamuukumu mtu angalia nia yake ilikuwa nini, akusema hivyo alikusudia kukubali hakki, hata ikitoka kwa shetwani, kwani yule swahaba alipoenda kimwambia mtume, nimemkamata ibilisi kaniafundisha jambo hili, mtume alijibuje si kasema kweli japo ye muongo, Sasa unaugeuza mafuhumu, kumfanya mtu kakosea so vzr, bwana ata kama alikosea ni binadamu hakuna mkamilifu, usivizie kosa la mtu kumchapia kama fimbo, dini haitaki hivyo, mi naona makusudio yake yalikuwa mazuri, Ila wapokea ujumbe wakatafsili vibaya
Kisha kijana umerudi tena kwenye dini ama vp , mana ulichukua likizo ya muda ukaelekea kuangalia wazungu kwa kisingizio cha utalii.
Ikiwa umerudi tunahitaji ubainishe kuwa ulikosea sas umerudi tena , sio unaibuka kutangaza vitabu.
Kwani kwenda kwa na wazungu ndo katoka kwenye dini na kama alikosea hiyo Toba lazima muijue hebu acheni vitu vya ajabu bhn kwani alivyo Enda na wazungu alienda kufundisha bidaa huko
Huyu kijana kuna mwaka alikuwepo masjidi irshadi dar es salam?
@@nurdinayoub2894 ndiooo kaka
@@ManhajSalafZanzibar ikawaje? kwo Saiv walim wake wa masjid Irshad ni Mahizbi kwake sio? 😂
Mbona unaogopa kumtaja mtunzi
Unaanzaje kutaja alieweka taqdim unaancha kutaja mtunzi
@@abuuahmadalathary620 kasahau ila walengwa weshajua kuwa ni SHEKH ABUU MUAWIY HASSAN IBN AWADH رحمه الله تعالى
We we unachuki tu binafsi ila iposiku zitakutokea puan izo
KUMBE ABUU MUS'ABU GENGE LAKE NI DR ISLAM!!??
Allah awaongoze wote!
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Subhaanallahi! Abuu zakariya nini kilimtatiza maskini.
@@ABUUJAAFAR92 Kwani huyu ndiye Abuu Zakaria ambae ashawah fanya da'awa pa1 na Sheikh Qassim?
hizbi wewe unaeifanya dini.kama.chama.cha siasa
Nyie kuonekana SI bidaa mbn leo mnaonekan mtandaoni
@@Akramamkaku khilafu kk
Sio salafy wote
@@ManhajSalafZanzibar duh Kaz mnayo kwakwel 😂
@@ManhajSalafZanzibar Sawa mimi kuhusu huyo Akhy anayeongea no problem!
Tuje kwa Abuu Nuaym kuonekana na Bachu... Abuu Nuaym msimamo wake ni kama masalafy wa masjid Quba kuwa picha haifai, sio? Sasa iweje akubali kupigwa picha na makamera akiwa na Bachu? Tuseme na yeye hana msimamo?
Mana alisema kuwa Masjid Quba hawana msimamo, licha ya kwamba alikuja raisi, mkasema kuwa kiongozi hatiiwi katika maasia... Vipi Bachu na masufi ambao so viongozi mbona aliwatii?
Kukosea kupo, lakin qawli yake kuwa masjid Quba hawana msimamo na usalafy wao, mimi naona sio qawli ya sawa hata kama ndo hamtupendi...!!!
@@ManhajSalafZanzibar khilafu katka nn yan
Nenda ukaangalie wazungu forodhani huko wewe,
Na utofyoro wako
Kwa maana gan
Haifai kumfedhehesha alietubu
Ni sahih kbsaa
Swali lingine: Abuu Nuaym aliwatuhumu masalafy wa Masjid Quba kuwa hawana msimamo kwa kuwa walirekod video alivyoenda raisi mwinyi kweny huo msikiti...!!!
Imekuaje kwenu hapo na pale alipoonekana yupo na Bachu kweny mnaqasha wake na Sufi kidawa?!
Naomba majibu!
NB: Sikusudii kukejeli,mana watu wengine huwa wananielewa vibaya 😂
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x yy hapng picha wao wanapnga
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x wao wanaosema vdeo haramu
Umejibiwa vizuri sanna
Mimi kitu nacho ona bachu ni salafy mzuri mlinganieni awachane na kina kishki wale daawa yao haina tayamuzi, sufi humo humo, haina Al walaa Wal balaa Mimi nilikuwa answari nimeona kuna fuga mahizbi hivyo mlinganieni bachu akatae Yale makundi
@AbdulIssa-o7e waambieni na nyie waache kupiga kura