HII NDIO TIMU ILIYOVUNA PESA NYINGI KIMATAIFA • Je, wamebebwa?
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- PATA MIKEKA YA USHINDI KILA SIKU KWA KUGUSA LINK HAPA CHINI:
wa.me/message/...
Gusa link hapo juu ili kujiunga vifurushi vyetu vya mikeka ya kila siku.
Tunatoa huduma ya Ubashiri wa matokeo ya mechi,
Tunatoa mikeka kwa njia ya sms za kawaida zinazowafikia watumiaji wa huduma zetu kila siku,
Kuanzia:
Saa 6:30 mchana : KIFURUSHI CHA PREMIUM
Saa 7:30 mchana : KIFURUSHI CHA V.I.P
Jitahidi kuwapa moyo migongo wazi, utateseka sana
Wew kwelii n professor, big up!!!
Pole salamba inakuumiza timu Yako kutolewa
Kweli baba waambie waelewe
Usema ukweli walijituma sana bas tu mungu hakupenda
😂😂😂😂 kweli wachambuzi wengine vichwani hakuna kitu unampongezaje mtu aliefeli
Chawa.....sio mchambuzi!!!
Safe sana😅😅😅
Huyo salamba ndumila kuwili
Maneno ya mkosaji hayo salamba
Ramadhan Mbwaduke ndiyo mchambuzi Makini Mzee wa data namkubali saana
Endeleeni kuwapoza
Kunatofauti kubwa timu zinazokutana zikiwa nafasi ya tatu nayanne eti ulinganishe na timu zinazoongoza ligi kwenye nchi zao ukubali umkatae ukweli yanga ni tishio💚💛🙏🥎
Huna jipy wew kwenye uchambuzi unaongea pumba tu
Speech zako za nyuma hebu ziangalie
Mmehamia kwenye pesa Tena? Mbn Hansem moo anapesa kuliko GSM ,hatun shda ya pesa ,hpa n HESHIMA YA TIMU NA NCHI ,WAJI.........WAPEN MOYO MAHAMUMA WENZENU.
Dah makolo hamjui Mpira kipi msichojua hapo
Acha uongo
Chawa
mashindano haya yanaviwango kadri unavyoshinda kitu kidogo tu kila mtu anacuambua kwa mapenzi ya timu yake
Mnaosema yanga hajafuzu kwan ninyi mlitaka yanga aishie wp
Kama simba akiishia robo atapoteza point 14,na yanga alieishia makundi anapoteza point ngapi
Waandishi mnamuonea Dominik salamba Hilo swali aulizwe bwaduke mzee wa data
hajui hanachoongey
Piga kelele kwa Yanga oyooooooooooo😂😂😂
Uchawa huo
Liongo hilo lichambuzi
Wewe mbovu na Yanga yako, hata kama Yanga watavuta mpunga mwingi, haituhusu, Simba wenyewe walishawahi kuchukua mkwanja mrefu, hiyo siyo mada
Wewe siulikuwa unasema simba afiki maalipopote leo unabadilika unasemaea zawadi zakupata baadala ya kuonyesha uchambuzi wako kama ni mtu mueledi kwenye uchambuzi sio upenzi wako ugekuwa unaongelea hatua za timu zetu zipofikia sio kuongelea mambo ya pesa wewe ni mchumi?
Hapa hatuzungumzi pesa.Tunazungumza kufuzu
Kufuzu kwa waliofeli au kifuzu kwa mabingwa? We unazungumzia kufuzu ipi?
Mpuuz nn mbumbumbu fc huelewi unalazimisha tui la nazi kuwa maziwa
@@ototek8037 Sasa hao waliokuwa kwa Mabingwa mbona Wamefeli? Warudi utopoloni walikozoa
UNAZINGUA SALAMA PUNGUZA MAHABA
Halafu Tv hii ni ya MACHAWA WA 🐸🐸🐸🐸🐸🐸
Chomoa kama inauma kolo wewe
Wataelewa tuuuuuu wa upande ule
Dominick jadili mpira.mbona unajihaibisha lkn?
Andika vizuri huko,unajihaibisha ndo nn,mkiambiwa ukweli mnatoa kauli zisizo na mashiko kolo wewe dunduka usiyejitambua
Unajulikana wewe nichawa wa yanga nyumba mwiko kinachopiganiwa hapa ni kufuzu sio pesa wewe ni Ms...........
Sasa chet unapewa ukihitimu au ukiwa katikati ya masomo mchambuzi mjinga mpira unasemewa na wajinga
Waliwaze Salamba. Mpira tunaujua kuliko unavyodhani.Leo ukiwaambia Yanga, wachague fedha na kufuzu robo fainali,watatofautiana na wewe.Fedha baadae hadhi ya kushinda kwanza
Ukweli unauma sio,subirini kukatwa tu alama na robo yenu ya shirikisho hamuendi popote na hamuwezi kuvunja rekodi ya Yanga mnatamba Bure tu na robo ya waliofeli kwanza mmecheza na vibonde mechi zote,kama mnabisha,angalia timu zilizocheza na kolo zinashika nafasi ya ngapi kwao
Wewe chawa wayanga chambua mpira maneno swara nikufuzu bwege acha uchawa
Tuko gizani sana,
1.Yanga/Simba zote zimewahi kucheza shirikisho
2.timu zilizoko shirikisho mwaka huu zimewahi kutambua Champions CAF,ni kupishana tu Kwa kupumulia
3.Ukisema Yule pale,wewe je uko wapi,unafanya nini?
HILO TU
Huyu mbona anaongea kama msemaji wa yanga na sio mchambuzi wa soka