Cucu mary back again to our studio😭We were chased away by guka ya mary😭Sasa hizi ni gani

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 77

  • @puritywambui-n6c
    @puritywambui-n6c 2 дня назад +6

    Mungu atawaponya tu roho mwili mungu wetu ni WA neema mingi

  • @CATHERINEMUTUKU-o3r
    @CATHERINEMUTUKU-o3r 2 дня назад +4

    Good work senior dave ❤,nipitieni guys

  • @JuslyneGuleo
    @JuslyneGuleo 2 дня назад +2

    Champee you can be a good actor 😊😊

  • @joycenyanchama6003
    @joycenyanchama6003 2 дня назад +6

    Mzee amejua amejulikana shame on him serikali sasa ingine ndani

  • @LucyNjoro-e1v
    @LucyNjoro-e1v 2 дня назад +4

    Nikama jesus amesharudi akachukua watu wake, cc wakenya tukabaki😢zile vitu zinafanyika Kenya nizakuongopesha unyama kila corner, watu hawana utu💔💔😭😭

    • @maggiesteer6655
      @maggiesteer6655 2 дня назад

      Ni kweli kabisa. Kenya inahitaji maombi ya kufunga kavu vile mambo mangumu yanafanyika huko me mpaka naogopa kama kenya ni dunia au kuzimu🙌

    • @truphenanyatteng5761
      @truphenanyatteng5761 2 дня назад

      😂😂😂

  • @nickkiptoo259
    @nickkiptoo259 2 дня назад +5

    Hii dunia imeharibika kabisaa😢😢😢

  • @njerimaina6285
    @njerimaina6285 2 дня назад +2

    My God be with this family 🙏🙏 baada ya thiki ni faraja,,mwenyezi Mungu apinte mioyo yenyu

  • @puritywambui-n6c
    @puritywambui-n6c 2 дня назад +5

    Dave tafuta huyu guka milete studio

  • @OlivierCamileKayinamura
    @OlivierCamileKayinamura 2 дня назад +4

    Finally finish shida ya baba kafwe kwanza we know the end?

  • @Fatmahmed1h
    @Fatmahmed1h 2 дня назад +4

    Kwan hakuna aman kila wakat shida😢

  • @salmanignna4253
    @salmanignna4253 2 дня назад +4

    Mzee.ako ni aibu coz hakujua itajulikana

  • @Helen-s3j6l
    @Helen-s3j6l 2 дня назад

    Champer, you are the 🏆, you have nailed it,

  • @providencekusinza7122
    @providencekusinza7122 2 дня назад

    Champee ana enjoy kwa dakika dah

  • @benjuma8941
    @benjuma8941 2 дня назад +1

    Senior Dave what is the storyline in this your video.... particularly this one? Or is it your driving skills?

  • @AngelaMuute
    @AngelaMuute 2 дня назад

    Senior Dave God bless your

  • @CelestineMuliakha
    @CelestineMuliakha 2 дня назад +2

    Upcoming youtubers nipitie nitakupitia immediately

  • @JANETNJONYA
    @JANETNJONYA 2 дня назад

    Senior dave mungu akupee nguvu, Nehema ya mungu inatosha coz, tunaamini yy tu ndie mshind,

  • @carolinemaina2425
    @carolinemaina2425 2 дня назад +6

    Mimi naona huyu guka mary aletwe kwa site

    • @CelestineMuliakha
      @CelestineMuliakha 2 дня назад

      Ukweli kabisa

    • @Stellamaris-c3m
      @Stellamaris-c3m 2 дня назад +1

      ​@@CelestineMuliakhayea tumsikie anadanganya aje

    • @CelestineMuliakha
      @CelestineMuliakha 2 дня назад

      @Stellamaris-c3m kumbe unapitia comment section

    • @Stellamaris-c3m
      @Stellamaris-c3m 2 дня назад

      @@CelestineMuliakha nazipenda sana

    • @NancyGachigi
      @NancyGachigi 2 дня назад

      @@carolinemaina2425 Sure Dave can insist Aki huyo guka Mary aletwe Ojieleze why do such devilish act to his blood son.ata tumuone..

  • @iremwa776
    @iremwa776 2 дня назад

    This is the first time im watching this👍

  • @marymutavi
    @marymutavi 2 дня назад +12

    hii story ni repetation if am not wrong

    • @NancyGachigi
      @NancyGachigi 2 дня назад

      Am confused too Hadi narudi kwa History to see Iko after Gani cos

    • @NancyGachigi
      @NancyGachigi 2 дня назад

      Iko SAWA my fans hata Kam imji reapet kiasi am laughing😅😅😅 vile champee anajitolea Hadi dame anashidwa kaa ameland Leo from US

  • @AmadiRiter
    @AmadiRiter 2 дня назад +6

    Waende Kwa chief area wa uko plz senior deve

  • @LUCYNDABI
    @LUCYNDABI 2 дня назад +2

    Atá nguka wa Mary na hitaji total deliverance coz atá yeye walishikana na mama YA Mary kuenda Kwa mganga ili afunguka macho

  • @Flo-r3g
    @Flo-r3g 2 дня назад +2

    Huyo gukaa ni mchawi

  • @ZenyGold-g7h
    @ZenyGold-g7h 2 дня назад

    Wanawake tukohivyo sana mungu wangu

  • @faithbarongo630
    @faithbarongo630 2 дня назад +1

    Kwani hamna content mnafanya marudio

  • @Grace-ji9ul
    @Grace-ji9ul 2 дня назад

    Champee unataka kupewa ukimwi😮😢😢

  • @wacerahchege8
    @wacerahchege8 2 дня назад +1

    Apostle Paul work in orderto avoid being a burde.
    "Nor did we eat anyone's bread without paying for it, but with toil and labour, we worked night and day that we might not be a burden to any of you". 2 Thessalonians 3:8

  • @luckyluks358
    @luckyluks358 2 дня назад +1

    @Dave Is there any way you can stop featuring Mary in your videos please. Respect minors plus what’s she going through. Nimesema initoke

  • @anniesimiyu7555
    @anniesimiyu7555 2 дня назад

    Hii umerudia senior 😢

  • @teresakarugu9932
    @teresakarugu9932 2 дня назад +1

    Itabidi tufungue nyumba ya wakimbizi Sasa sleeping studio not good

  • @SusanMaina-j2v
    @SusanMaina-j2v 2 дня назад

    Leta story ya baba kabue

  • @Jacintanabwera
    @Jacintanabwera 2 дня назад

    Upcoming RUclipsrs kujeni hapa tupitiane pia sisi tugrow pamoja comment done ni kupitie please

  • @niorejose
    @niorejose 2 дня назад +1

    Mnafaa kushugulika na baba Mary kwanza

  • @StanzMakau
    @StanzMakau 2 дня назад

    The heading is different from what you've showing us please,,hii ujinga bado senior ujawahi asha

  • @teresiandulu2845
    @teresiandulu2845 2 дня назад +1

    Hix headlines zenyu.

  • @Faustinesimasi
    @Faustinesimasi 2 дня назад

    Davi warudia hiyo story ama hii ni Nini, mara twatafuta guka wa Mary, mara watuonyesha mama mary

  • @Faustinesimasi
    @Faustinesimasi 2 дня назад

    Sasa ww Davi heading inasema aje, m bona mbona story na headline ni tofauti ama hujagunduwa hilo

  • @IsmaelOwino-j8c
    @IsmaelOwino-j8c 2 дня назад

    Haki dave wacha kuniua vile unacheka hh hh

  • @eucabethnyagero9636
    @eucabethnyagero9636 2 дня назад

    Ni marudio sio dave sawa tuuh

  • @franciskimemia621
    @franciskimemia621 2 дня назад

    Hiii nimarundio bana😢

  • @MbulwaMunyao
    @MbulwaMunyao 2 дня назад

    Nilisema uko wakieda kijana atauwawa n bbke juu y kinembe n wasiede kw mm mery hamukusikia

  • @CasemiroKinyanjui
    @CasemiroKinyanjui 2 дня назад +1

    Hii ni reparations

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 2 дня назад +2

    Jesus's christ hizi nini tena guka heshimu family yako

  • @charitywangeci4846
    @charitywangeci4846 2 дня назад

    Mungu waonekanie

  • @Teresamoraa-pg9kn
    @Teresamoraa-pg9kn 2 дня назад

    Kwani mnarudia video

  • @teresakarugu9932
    @teresakarugu9932 2 дня назад

    Where is Josee

  • @hatoumrushein414
    @hatoumrushein414 2 дня назад

    Mbona ya leo repeat??

  • @tabbydiallo2
    @tabbydiallo2 2 дня назад

    How comes hii headline haipatani na kile kimafanyika?
    Chased away kwa shoshi wa Mary na mama Mary kuokoka sinapatanaje?🤔

  • @EzraEzzy-e6l
    @EzraEzzy-e6l 2 дня назад

    Leo mmeamua kurudia risto ya mama Mary

  • @MuthoniMercy-w8r
    @MuthoniMercy-w8r 2 дня назад

    Hii ya kitambo

  • @aishaomaryyousefomaryloiru1990
    @aishaomaryyousefomaryloiru1990 2 дня назад

    😂😂😂😂uwiiii

  • @tashaceri5606
    @tashaceri5606 2 дня назад

    Sasa mtu amelala na father inlaw hadi akazaa na yeye anarudi kwa boma wishing aje na mother inlaw. Imagine your husband having a brother from his wife🤔🤔🤔🤔

  • @PriscillahMwangi-x3b
    @PriscillahMwangi-x3b 2 дня назад

    Yaaani ata wajiulizi hii gari inatufuata na haipiti kwani nini

  • @JaneWagaki-p1o
    @JaneWagaki-p1o 2 дня назад

    Hiyi mambo ni magani tena

  • @lillianngugi4546
    @lillianngugi4546 2 дня назад

    Huyu mama anasumbua, Dave hivi ndio Pastor anasema sio kahaba? Huyu ni Malaya Sugu!!!

  • @elizabethnjuguna5
    @elizabethnjuguna5 2 дня назад

    TUnataka story ya baba Kafue hii inaboo

  • @luckiestmeckson2222
    @luckiestmeckson2222 2 дня назад

    Headline ni uongo juu hii story ni repetition ulisha oneshwa nini

  • @DeanahOnea
    @DeanahOnea 2 дня назад

    Tena hii story itakua kama ya mama kafue god why

  • @janenjenga8906
    @janenjenga8906 2 дня назад

    Headline haipelekani na video this is a repeat

  • @markkemboi5301
    @markkemboi5301 2 дня назад

    Somethings said by this man are unscriptural

  • @elizabethchemutai1212
    @elizabethchemutai1212 2 дня назад

    Ni marudio

  • @JaneChepchirchir-z9r
    @JaneChepchirchir-z9r 2 дня назад

    Marudio

  • @MAGRATEWACHERA
    @MAGRATEWACHERA 2 дня назад

    As mens 😂😂😂

  • @franciskagecha4740
    @franciskagecha4740 2 дня назад

    Lack of material