Catholic father impregnated this USA mans wife and steals 2 million for a December Vacation in dubai

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 495

  • @seniordave
    @seniordave  Месяц назад +10

    Watch part 2..ruclips.net/video/7JYmqbx4irM/видео.htmlsi=quQLArpsAxgTOyU4

  • @MaryMuthoni-jc8vn
    @MaryMuthoni-jc8vn Месяц назад +44

    Waaaah aki watu wenye wako na wezee wazuri wanajiharibia wenyewe aki

  • @nashryans7727
    @nashryans7727 Месяц назад +49

    Thats why wanawake tunauliwa ovyo ovyo..mbona mtu asitulie aki na vile mwanamke umewekwa maisha poa.

    • @irenesteve9765
      @irenesteve9765 Месяц назад +1

      Imagine akuna kitu anakosa😢,malaya ni malaya tu ata aolewe na billionaire atahanya tu,en the way some of us tunatafta mtu ametulia😢life has no balance

    • @nashryans7727
      @nashryans7727 Месяц назад +1

      @irenesteve9765 aki na vile tuko na haja ya mabwana.Mungu atuonekanie

    • @pharoah-ahmose6075
      @pharoah-ahmose6075 Месяц назад

      Exactly. They have the audacity to take to the streets 😢😢😢without taking a hard look at themselves

    • @mluhyahalisi6486
      @mluhyahalisi6486 Месяц назад

      Tamara mbele

    • @gladyskemunto6152
      @gladyskemunto6152 29 дней назад

      Maisha poa 😂..

  • @agnesmuriungi3996
    @agnesmuriungi3996 Месяц назад +26

    Demu addicted to pesa, hataki maneno mingi ya upendo kutoka Kwa mzee

  • @essienyambu2721
    @essienyambu2721 Месяц назад +13

    Huyu mzae aki , may God see him through 😢

  • @CharityChao
    @CharityChao Месяц назад +10

    Mwanamke utajuta maisha yako wote.

  • @jedidahgitau8140
    @jedidahgitau8140 Месяц назад +9

    😂😂😂😂hiyo kicheko Dave unacheka unatowa wapi nguvu ,,,badala usaidie huyu mzae ,fala sana wewe dave

  • @alicenjiru4002
    @alicenjiru4002 Месяц назад +18

    Father akuje on set tuone akiacha job shame shame on that priest

    • @shifta81
      @shifta81 Месяц назад

      Mboo ya Padre haichagui

  • @nancykamau7550
    @nancykamau7550 Месяц назад +9

    Wacha niongee initoke tu. Dave ebu ni connect na huyo Mzee 😅

  • @wairimukagia4321
    @wairimukagia4321 Месяц назад +13

    Jesus have mercy on us and the whole world. We need your mercy.

  • @mercynyambura3432
    @mercynyambura3432 Месяц назад +21

    Huyu alikuwa Kwa Mzee bcz of money and property mnjinga sana

    • @josphinekimando
      @josphinekimando Месяц назад

      Kumbuka vile alisikia Kuna pesa alitulia n haraka zikaisha Hadi the guy alimuliza wewe n mtu wakutaka pesa zipewe watu wa chini.Yuko hapo juu y pesa

    • @ElizabethKimeu-p7t
      @ElizabethKimeu-p7t Месяц назад

      Uyu Dem anadanganya mi namjua Ako na mtoi mmoja na hana bwana infact nimesoma na yeye kuazia nursery Hadi form three so yeye ni mpango wa uyu mzae

  • @beaticeMwani
    @beaticeMwani Месяц назад +2

    Dave God is using you to save life and that is why his favour is aupon you no matter what you go through God is on your side

  • @leahwanjiku3566
    @leahwanjiku3566 Месяц назад +6

    Aki mungu tuurumie ju hii maisha imekua ujiamini tu ww mwenyewe ju yule unaita bibi ama bwana this round no

  • @PhillarineChepkwemoi
    @PhillarineChepkwemoi Месяц назад +15

    Ni swali tu kwani uyu senior dave anakuwanga malaika wa uku duniani, sababu akisinitize hapakosi kitu Fisher

  • @thinker2052
    @thinker2052 Месяц назад +1

    Hehe i like that moment when Dave takes away a mic from a person,You just knows everything is going to burst

  • @Faustinesimasi
    @Faustinesimasi Месяц назад +2

    Mzee utaniuwa na kizungu, mpaka davi kizungu chake kimeramba mchanga, mungu saidia watu wako niwakati wa mwisho huu

  • @Beth-t6w
    @Beth-t6w Месяц назад +19

    Nani anangojanga hapo penye Dave anaita mtu Kando

    • @virginiagichero-j9v
      @virginiagichero-j9v Месяц назад +1

      Alafu anasema nisaidie na mic yangu😂

    • @Beth-t6w
      @Beth-t6w Месяц назад

      @virginiagichero-j9v 😅😅😅exactly hapo inakuanga unaexpect mtu Ako mgonjwa ama ni muuaji

  • @njeriwakarongo9069
    @njeriwakarongo9069 Месяц назад +3

    Aki MUNGU si unipee bwana nitamtuza na nimuweke vizuri aki hawa wanapata bwana wazuri na wanawatesa ...kae guthiaga atya ma😢😂😞

  • @tabbydiallo2
    @tabbydiallo2 Месяц назад +65

    Dave pls avoid laughing in a serious matter like this,this is childish.This is someone hurting and you keep on laughing when reading the messages,this is childish 🙄‼️‼️

    • @barnesmalimbe9232
      @barnesmalimbe9232 Месяц назад +4

      Dave is insensitive in handling issues sometimes

    • @AgnesKamau-h6j
      @AgnesKamau-h6j Месяц назад

      Dave should lough because the woman was very proud at first now see she came from mombasa with plain came to cheat that she had gone to her parents home

    • @AgnesKamau-h6j
      @AgnesKamau-h6j Месяц назад

      Many brown woman are very unfaithful

    • @alesales8427
      @alesales8427 Месяц назад +4

      Sometimes anatuma mtu aone kama sio story za ukweli,hadi nasikia ku unsubscribe

    • @Mzalendo-l6b
      @Mzalendo-l6b Месяц назад

      True. This fella is very unprofessional!

  • @felistasgitau-nb4zg
    @felistasgitau-nb4zg Месяц назад +5

    Even that time she said she was in Mbsa to see the parents, she had gone for a holiday with the Father

  • @vincentwambua7907
    @vincentwambua7907 Месяц назад +8

    Kimemramba mzee wa watu!!! Beib.... kumbe ni beast!

    • @EvlyneWanjala
      @EvlyneWanjala Месяц назад

      Na mzee alichelewa kuoa ama kulikuwa na familia ingine before

    • @pastormariam
      @pastormariam Месяц назад

      Pope to do something about,Bishops/priests,controlling their lust is next to impossible,what's this now?

  • @rahabwanjiku4616
    @rahabwanjiku4616 Месяц назад +1

    So sorry Aki fr hard working men, Dave you should be empathetic to people who are hurting, this is not a laughing matter.

  • @rahabmaina3240
    @rahabmaina3240 Месяц назад +2

    Ooh my God good men fall to wrong hands ona mzee kama huyu mtu anatamani kuanza huduma but anaangukia milaya mwathani ujaagagira ta uyu nikii riu

  • @dancanomwenga1987
    @dancanomwenga1987 Месяц назад +7

    Ni father tu, mafather wakujificha, hili jina father mnalikosea heshima waambiwe waoe tuone watoto wao ndio tuwaite fathers, old man find all means and recover your belongings

  • @karenmwango8419
    @karenmwango8419 Месяц назад +6

    This is an old man... must be having another family

  • @vincentwambua7907
    @vincentwambua7907 Месяц назад +7

    Already madam dalili za unfaithfulness zishaatokea

  • @faithnasimiyu7455
    @faithnasimiyu7455 Месяц назад +21

    Mungu mbona mm una ni locate kwa wanaume wako na bibi aki na kuna watu wazuri wako kindhearted loving na wanaangukiwa na mashida

  • @Barak-ck
    @Barak-ck Месяц назад +6

    Nani anatambua siku hizi wanawake ndio wanacheat sana,weka mkono juu✋

    • @pharoah-ahmose6075
      @pharoah-ahmose6075 Месяц назад

      Abd this is the reason why they're being dedishwa kila siku.

    • @JosephGitonga-b5z
      @JosephGitonga-b5z Месяц назад

      That's true

    • @jacklinembithe236
      @jacklinembithe236 Месяц назад

      😢cheating with another cheater😢😢

    • @Barak-ck
      @Barak-ck Месяц назад

      @jacklinembithe236 unapata wanacheat na cheater mwenye AKO na cheaters kama kumi eg kama huyu mzee alikuwa na bibi wawili na side chicks kimbao

    • @StephenMurithi-tx9gn
      @StephenMurithi-tx9gn Месяц назад

      🙌🖖✋🖐️🤚

  • @damariskimeu4930
    @damariskimeu4930 Месяц назад +7

    From babe to""SIKIZA MADAM""this earth is heard

    • @shifta81
      @shifta81 Месяц назад +1

      This 🌎 is hard 😂

  • @susannthemba
    @susannthemba Месяц назад +5

    Wanawake wengine aki mungu wangu mzee anapatwa na stress aki

  • @JoylineJepkemei-x5o
    @JoylineJepkemei-x5o Месяц назад +6

    Mnipee huyu aniweke vizuri,😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @RAZIZATUTI
      @RAZIZATUTI Месяц назад

      😂😂😂😂😂

  • @kenyamedia-t2e
    @kenyamedia-t2e Месяц назад +10

    karma huyu mzee asema ukweli huyu pia si bibi yake 😅😅😅 mnadanganywa na weupe

    • @juliandungu6817
      @juliandungu6817 Месяц назад

      True she is not her first wife...aaaaiiii.

    • @maggieshi690
      @maggieshi690 Месяц назад

      As long as wamezaa ni bibi yake amewekwa kama bibi yake 😢

    • @LydiahNjoroge-j7h
      @LydiahNjoroge-j7h Месяц назад +1

      He is old,but mapenzi nayo inarun dunia

    • @lydiakambua2942
      @lydiakambua2942 Месяц назад +1

      But Mzee said he used to go for mtumba,then he employed her when she was young and he had no wife... Maybe alichelewa Tu kuoa

  • @samuelkariungi6289
    @samuelkariungi6289 Месяц назад +1

    It is unfortunate that we have such fraudsters in kenya. This case needs to be handedover to the police.

  • @eunicemwelu1810
    @eunicemwelu1810 Месяц назад +2

    In future mzee anataka ku serve God Mungu ameuona moyo wake na ndiposa Mungu akataka kumuokoa mapema

  • @teresiamaina1347
    @teresiamaina1347 Месяц назад

    Senior Dave I don't blame you....am also fighting the spirit of laughter 😅😅😅😅.... love is a scam

  • @KaviraMerveille-ev4qg
    @KaviraMerveille-ev4qg Месяц назад +11

    Camera man mbona ana focus hao wasichana rada ni gani 😅😅😅😅

  • @emilymuthoni4567
    @emilymuthoni4567 Месяц назад +6

    Sini pewe huyu mzae aki nimwambie pole 🤦‍♀️i feel sorry for him.

  • @damariskimeu4930
    @damariskimeu4930 Месяц назад +5

    We want the Catholic father on the show

  • @Yuca878
    @Yuca878 Месяц назад +4

    Watu mungu aliwabariki na wanaume responsible ,why do this😢😢😢😢

  • @marydavid9635
    @marydavid9635 Месяц назад +6

    Kwani sadaka yaikumtosha tamaa ya pesa. Lazima watu wahubiri injili ya milele sio injili ya ufanisi na ndio imemaliza makanisa zetu

  • @JoyceWaithaka-u3p
    @JoyceWaithaka-u3p Месяц назад +5

    Tunda 😮😮wewe, pregnant for pristy mama huna akili

  • @EvlyneWanjala
    @EvlyneWanjala Месяц назад +2

    😂😂😂😂 after kusikia pesa kila kitu ni kuitikia😅pesa haa pesa haina mwenyewe eee

  • @PaulneNjoroge
    @PaulneNjoroge Месяц назад +3

    Mzee amepingwa kenda noti hiyo baada ya kusifu bibi yake iyo masaa yote mzee atachizi

  • @constanciagesare1706
    @constanciagesare1706 Месяц назад +14

    Huyu mzee n agamate ya babangu aky lazma akue na familia ingine

    • @shifta81
      @shifta81 Месяц назад

      Huyu huitwa mama mdogo, nayo minjiminji ikaona an opportunity

    • @gladyskemunto6152
      @gladyskemunto6152 29 дней назад

      Any old man who will believe such a young lady loves him truly is a classic definition of a fool

  • @teresiakamau9400
    @teresiakamau9400 Месяц назад +4

    Senior David story ya hule mama aliuliwa na kijana wake kisumu ilienda anje kindly we need update

    • @JustusMwania-bj7xe
      @JustusMwania-bj7xe Месяц назад +1

      Akishafikisha jela anawachia serikali hapo pengine.

  • @ShiroNgure
    @ShiroNgure Месяц назад +6

    weee siku hizi makanisa iwekuwa nyumba za usherati si nyumba za waobi sasa😢😢😢😢OMG

  • @jemi254tv7
    @jemi254tv7 Месяц назад +3

    Waa Huyu mama na pesa waaa 😢 alisikia pesa 😢 basi hajui inaenda kumulaba 😂😂😂😂😂😂😂

  • @margaretwairimu6249
    @margaretwairimu6249 Месяц назад +4

    That's a police case

  • @LetsRolll
    @LetsRolll Месяц назад +1

    Director badili a concentrate na hao wa USA Ana shughulika na mambo ya hao wasichana wako na mambo zao😂😂

  • @CarolynMusyoka-jp8ms
    @CarolynMusyoka-jp8ms Месяц назад +3

    Camera man Leo uko sawa🙏🙏👏👏😃

  • @AgnseseAlqahtin
    @AgnseseAlqahtin Месяц назад +2

    Ndomana Wana chitiwa nahiyo ujinga wao bby mutu hata unaitwa Babu uko na wajukuu mbele ya camera hata haya huna matokeo ndo hayo

    • @gladyskemunto6152
      @gladyskemunto6152 29 дней назад

      😂😂😂😂 eti babe 😂😂.. we need age limit on this 😂

  • @SurprisedBirdBath-qh2nn
    @SurprisedBirdBath-qh2nn Месяц назад +1

    Mzee umependwa juu ya doo pole mzee inakuwanga hivo

  • @wambumwash8510
    @wambumwash8510 Месяц назад +4

    Priests are destroying the marriages of their flocks. Very shameful. Waoe waache kutundanganya

    • @elikanaambunya6435
      @elikanaambunya6435 Месяц назад

      I hate these priests pretenders. I will never trust anyone of this priests

    • @lilianmutua2786
      @lilianmutua2786 Месяц назад

      It will never happen they marry, if u can't abide to the doctrine or the constitution pack n go home your mum is waiting for you

  • @gracenyambura1638
    @gracenyambura1638 Месяц назад +1

    Dave unapenda nyimbo za demathew sana....i love that

  • @Reenstep
    @Reenstep Месяц назад +4

    Wooyi mzee , 😢😢😢

  • @rosemarywambeti1201
    @rosemarywambeti1201 Месяц назад +2

    Kweli miaka ya huyu Mzee na huyu mwanamke.....?

    • @stellaharun
      @stellaharun 29 дней назад

      Uko hapa ukimsutaa mwenzako kisa miaka wacha na watu na maisha yao hayakuhusu lolote ......pilipili inakuwashia nini 😢

    • @gladyskemunto6152
      @gladyskemunto6152 29 дней назад

      His age mates are busy chilling with grandkids

  • @felixndisya4567
    @felixndisya4567 Месяц назад +3

    Wanawake mnatakaga aje kama MTU Hana pesa ni shida kama alaki na wewe vizuri ni shida mnataka aje wanawake

    • @Wildaa19
      @Wildaa19 Месяц назад

      N kaaa hii kiumbe tunaita wanawake atujielewi

    • @gladyskemunto6152
      @gladyskemunto6152 29 дней назад

      😂😂😂😂 old man vs young woman but that ain’t the problem 😂

  • @janetkirui3817
    @janetkirui3817 Месяц назад +1

    Dave, your interviews are so long. You should cut it short by half by going direct to the point asap.

  • @loyalgi9326
    @loyalgi9326 Месяц назад +1

    Beeb mm lisema niitwe jina yenye niliitwa na mama yangu mambo na beb sijui oooh ndikwenda nyie

  • @VioletEzeryWaswa
    @VioletEzeryWaswa Месяц назад +1

    Mama Steve amebadilisha sura hamtaki meseji zisomwe

  • @AishaTyler-q6d
    @AishaTyler-q6d 5 дней назад

    Huyu mzee ndo alinunua nyumba ya mama kafue,,, imebidi nirudi tena nije ku confirm kama n yeye 😢😢😢

  • @RoselynNashipae
    @RoselynNashipae Месяц назад +1

    Dave atembee masaaini huku wanaume wamemaliziwa mashamba ma madame

  • @Mary-c7x
    @Mary-c7x Месяц назад +1

    Lakin mbona watu wazuri hupitia hell thing😢😢😢😢😢this man don't deserve this at all

  • @ChuiMacharia-iy6og
    @ChuiMacharia-iy6og Месяц назад

    A follow up on this banger Dave, saindia Mzee plz

  • @SoziSozi2020
    @SoziSozi2020 Месяц назад +5

    anapeana pesa my GOD pesa ilitoka wapi mtu akisikia pesa halaka sasa kimeumana 🤷😂😂😂😂

  • @rolinekathure3021
    @rolinekathure3021 Месяц назад +10

    Aki wazee hii jina beb mumeanza kuitwa na uzee kuliko mtu aitwe baba fulani 😅😅 kitawaramba tu 😅😅

    • @hellenkathambi8694
      @hellenkathambi8694 Месяц назад

      Beb at this age sounds awkward 😢😢

    • @gladyskemunto6152
      @gladyskemunto6152 29 дней назад

      It’s embarrassing to hear an old man calling a young woman old enough to b his daughter babe 😂😂

  • @Roz-m2z
    @Roz-m2z Месяц назад +4

    Wanatumia pesa ya mzee dev mwambie mzeee alock acount

  • @marymaina5245
    @marymaina5245 Месяц назад +2

    So. Sorry brother 😢😢

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Месяц назад +4

    Huyu madam alifata pesa tu.no love there.

  • @janechege1550
    @janechege1550 Месяц назад

    Asante mzeee meongea ukweli mwambie mwanamke akitoka nje y ndoa huyo s bibi tena

  • @beatricewangui6980
    @beatricewangui6980 Месяц назад +2

    Hii place iko ma couple mingi aana kwani ni pipeline 😂😂

  • @marymwaura-iw7vn
    @marymwaura-iw7vn Месяц назад

    Wahhh 🤔 kwan wanawake tunatakaga nn surely 🤔😢😢yani unabuiywa gari 2,plot n bado unatedea mtu mabaya😢😢😢

  • @Roz-m2z
    @Roz-m2z Месяц назад +4

    Asa nyonya pesa kilakitu ameandikiwa weee

  • @CatherineGathukumi
    @CatherineGathukumi Месяц назад +4

    Mzee anaongea kama babakafue ama ni mm nasikia zangu

    • @PhiliceIsutse
      @PhiliceIsutse Месяц назад

      Not Really, he is strait and organized 😂

    • @josphinekimando
      @josphinekimando Месяц назад

      Ya but wa kabue n hi 🐐 ( king Solomon

  • @nicholasmuli8418
    @nicholasmuli8418 Месяц назад +3

    2m or 3m,you are always out of your mind

  • @ScholasticahMoraaMakori
    @ScholasticahMoraaMakori Месяц назад +1

    Mbona siamini hii story,is it real

  • @vincentwambua7907
    @vincentwambua7907 Месяц назад +2

    Tamaa mbele... mauti nyuma...... na mtaka yote ukosa yotee

  • @Miriam-Smith
    @Miriam-Smith 4 дня назад

    I'm back to watch again after he was found at Baba kafue house

  • @BariisSamatar
    @BariisSamatar Месяц назад +1

    OMG wanawake wangine wana taka nini I am very sorry mzee

    • @gladyskemunto6152
      @gladyskemunto6152 29 дней назад

      It’s not easy waking up next to an old every day for a young lady.. don’t blame her 😂

  • @lucioman67-i6r
    @lucioman67-i6r Месяц назад

    The lady is tensed already.She doesn't want wedding for now😢

  • @BeatriceWairimu-j4x
    @BeatriceWairimu-j4x Месяц назад

    For sure it's hard for somebody to stay like that mzee understand her .

  • @johnmeshack4431
    @johnmeshack4431 Месяц назад

    Bora nitafute pesa kupendwa naomba mungu anipende❤

  • @rebeccqhnyqngoso3772
    @rebeccqhnyqngoso3772 Месяц назад

    Baba stave niambie na Mimi niase business please ❤❤❤❤

  • @blessed_one6
    @blessed_one6 Месяц назад +1

    Madam amesikia kupewa pesa na dave akatullia😂😂😂

  • @petermugambi9122
    @petermugambi9122 19 дней назад

    Hii jina, beib , ilitoka wapi?

  • @nashryans7727
    @nashryans7727 Месяц назад +2

    Senior wacha kucheka aki😂😂😂

  • @MaryOchoki
    @MaryOchoki Месяц назад +3

    Wanawake wengine awana akili wanafunja ndoa yao wenyewe alafu wanaanza kulia,

    • @gladyskemunto6152
      @gladyskemunto6152 29 дней назад

      There was no marriage here.. the old man is the only one in love.. she wasn’t.. she was there for the money

  • @JanewambuinNjoronge
    @JanewambuinNjoronge Месяц назад

    God reveal what ever is darkness's to those struggle to make there families are living a good life with out knowing they're others want their down fall

  • @anastaciawairimu7763
    @anastaciawairimu7763 Месяц назад

    Dave that's too bad to keep on laughing when mzee is hurting,that is a very serious matter never do that again.

  • @Njeri-mc8ns
    @Njeri-mc8ns Месяц назад +3

    Huyu dam anakaa kupenda pesa sana na hiyo dio itamuingiza kwa shinda

    • @kambatv5000
      @kambatv5000 Месяц назад

      Ishamuigiza already 😢

  • @StellaShiks-m3d
    @StellaShiks-m3d Месяц назад

    I love this Mzee,Love people who are steadfast

  • @florencemumbe5230
    @florencemumbe5230 Месяц назад +1

    Bt ,..huyu ni mzee kuliko huyu dem,......

  • @josephbongo8272
    @josephbongo8272 Месяц назад +2

    Umemu save aje ati utamuona tu. Pia wazee marry your agement 😂plz these young ladies don't love mstly they are behind your properties

  • @Nusrahajjahmad
    @Nusrahajjahmad Месяц назад +1

    Watu ni wawili wawili ndanj ya safina

  • @JoshuaKaringuri
    @JoshuaKaringuri Месяц назад

    The woman when heard about giving phone she started panicking long time ago

  • @FaithChemutai-mp2ou
    @FaithChemutai-mp2ou Месяц назад

    Ati father 😢😢😢kwn anashiriki ngono

  • @Faustinesimasi
    @Faustinesimasi Месяц назад

    Dave wacha kuweka chumvi ww, utamuuwa mzee

  • @edwardaron729
    @edwardaron729 Месяц назад +4

    Acheni kuita wake wenu Baby watakuwa watoto .sawa.

  • @konekone8045
    @konekone8045 Месяц назад +1

    This is why some women end up single alafu wanaanza kulaumu wanaume

  • @eunicesemere5555
    @eunicesemere5555 Месяц назад +1

    Mtu akamshikilie madam km haja anguka bado tunataka ukweli