KESHENI CHOIR YERIKO-NAFASI YAKO (FULL VIDEO HD )Live performance 111 234

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 60

  • @teresiandemeke1284
    @teresiandemeke1284 2 месяца назад +1

    jamani mmeimba
    wimbo umenibarik mda wote najisikia kuusimiliza Mungu was mbinguni azidi kuwainua zaidi mbalikiwe sana kwa kazi ya bwana

  • @SEVOTAMWAMAHONJE
    @SEVOTAMWAMAHONJE Месяц назад +1

    Leo tena naangalia wimbo huu , nabarikiwa sana ❤

  • @PatrickMalakasuka
    @PatrickMalakasuka 4 месяца назад +2

    Very beautiful song. Dada unaye lead unajua sana Mungu akuinue zaidi na akupe Unyenyekevu. You have a very good vocal with a feeling.

  • @NellySaimon
    @NellySaimon Месяц назад

    Wimbo wangu wakufungia mwaka wimbo nimzuri mbarikiwe🙏🙏

  • @rahelmzena7638
    @rahelmzena7638 7 месяцев назад +4

    Huu wimbo unanibariki sana hasa dada uliyeshika mike…..aiseeeee ni fireeeee

  • @OmariMwichumu
    @OmariMwichumu 5 месяцев назад +2

    Mungu awabariki sana kila siku naskiliza uhu wimbo

  • @SelizeMasika
    @SelizeMasika 2 месяца назад

    Mungu awabariki watumishi kwa kutumika vyena na kugusa mioyo ya watu

  • @nesianampashi2621
    @nesianampashi2621 7 месяцев назад +1

    Nsichoki kuwatazama hongereni mno kwa wimbo mzuri Mwenyezi Mungu azidi kuwainua ktk viwango vingine mbarikiwe 🙏🙏🙏🙏

  • @MariaNjella
    @MariaNjella 7 месяцев назад +1

    Mungu awabariki kwa huduma nzuri 🥰🥰

  • @rachelabraham2480
    @rachelabraham2480 7 месяцев назад +1

    Mbarikiwe sana na bwana kwa huduma nzuri

  • @SEVOTAMWAMAHONJE
    @SEVOTAMWAMAHONJE Месяц назад

    Mbarikiwe sana ❤

  • @SEVOTAMWAMAHONJE
    @SEVOTAMWAMAHONJE 7 месяцев назад +1

    Mungu awabariki saana mnanibariki sana❤

  • @AnithaJuma-o5s
    @AnithaJuma-o5s 6 месяцев назад +1

    Daah uu wimbo aisee🙌

  • @TunsumeMchewere
    @TunsumeMchewere 7 месяцев назад

    Mungu awabariki sana kwa nyimbo nzuri na zenye maana kubwa sana

  • @PetroZabron-f2c
    @PetroZabron-f2c 5 месяцев назад

    Mubarikiwe na bwana huduma yenu njema sana

  • @FelisterBukuku-oq7qu
    @FelisterBukuku-oq7qu 7 месяцев назад

    Aiseee nimebarikiwa na huu wimbo hongereni kazi nzur

  • @barakamwangunda
    @barakamwangunda 7 месяцев назад

    Mungu ainuliwe juu sana kwa Utukufu wake Mkuu.BARIKIWA SANA WANA WA MUNGU

  • @alfakayange8060
    @alfakayange8060 7 месяцев назад

    Kesheni Hongera kwa kazi nzuri

  • @AngomwileMwashela
    @AngomwileMwashela 7 месяцев назад

    Hongera sana kazi nzuri

  • @eliufoosimonchuri4160
    @eliufoosimonchuri4160 7 месяцев назад

    Mzuri sana. Bwana Yesu awabariki sana.

  • @LucyGidion
    @LucyGidion 7 месяцев назад

    Ni nomaaa! Solorist shikamoo

  • @jastinjoshua9040
    @jastinjoshua9040 7 месяцев назад +1

    Hii nyimbo ni 🔥🔥

  • @JescaJosephath-bx8hi
    @JescaJosephath-bx8hi 7 месяцев назад

    Nimebarikiwa mno 🙌

  • @deborahanderson1461
    @deborahanderson1461 7 месяцев назад

    Hongereni sana kwa uimbaji uliotukuka

  • @lucysanga1779
    @lucysanga1779 5 месяцев назад

    Nice song🙏🙏🙏

  • @HurumaKisabilo
    @HurumaKisabilo 7 месяцев назад

    Mungu azidi sana katika huduma yenu.

  • @Stellamkameta
    @Stellamkameta 7 месяцев назад

    Mubaliwe sana Mungu awe pamoja nanyi

  • @AmiriGodfrey
    @AmiriGodfrey 7 месяцев назад

    Ongeleni sana jmn kesheni jmn mweeeh munguu mwema

  • @BettyKinyali
    @BettyKinyali 7 месяцев назад

    Mubarikiwe sana Wana wamungu

  • @shamtemwasumbwe2538
    @shamtemwasumbwe2538 7 месяцев назад

    Barikiwa sana watumishi wa Mungu

  • @ZelaNswila
    @ZelaNswila 7 месяцев назад +1

    Roho mtakatifu awe pamoja nanyi.

  • @JohnMhina-lb1vk
    @JohnMhina-lb1vk 7 месяцев назад

    Mbarikiwe sana watumishi wa mungu

  • @GloryGeorge-qc6py
    @GloryGeorge-qc6py 7 месяцев назад

    Nyimbo zenu zinaleta Toba nawapenda sana

  • @JudyMnandi-tm8ec
    @JudyMnandi-tm8ec 6 месяцев назад

    Huu wimbo hua unanibariki sana jamani.

  • @DebbyJerry-ch4fn
    @DebbyJerry-ch4fn 7 месяцев назад

    Barikiwa sana watumishi

  • @NehemiaSiwale-si8jh
    @NehemiaSiwale-si8jh 7 месяцев назад +1

    Mungu awe nanyii

  • @agathaMwakalebela
    @agathaMwakalebela 7 месяцев назад

    Nice song🔥

  • @AnyimikeKilembe
    @AnyimikeKilembe 7 месяцев назад +2

    Amina

  • @DanielKadunda-v9j
    @DanielKadunda-v9j 5 месяцев назад

    hongera sana

  • @KMTJMKASKAZINI
    @KMTJMKASKAZINI 7 месяцев назад

    Naombeni namba ya mtunzi wa wimbo huu..
    Niwapongeze Sana pia waimbaji na waombaj kwa kuyafanya mawazo ya mwalimu aliyetumika kama chombo ky

  • @SabinaMwampamba
    @SabinaMwampamba 7 месяцев назад

    Mungu awakumbuke ktk huduma yenu

    • @michaelambangile3632
      @michaelambangile3632 7 месяцев назад

      Wimbo unagusa kweli kweli. Maneno ya wimbo ni ya kibiblia. BWANA awabariki.

  • @MatridaArgent
    @MatridaArgent 7 месяцев назад

    Hongeren sana kecheni choir

  • @AngomwileMwashela
    @AngomwileMwashela 7 месяцев назад +1

    Hongera sana

  • @jenipherlwinga5263
    @jenipherlwinga5263 7 месяцев назад

    Nawapenda sana

  • @SamwelTweve-wo8es
    @SamwelTweve-wo8es 7 месяцев назад

    Mungu awabariki

  • @MatridaArgent
    @MatridaArgent 7 месяцев назад +2

    Hongeren

  • @AnyimikeKilembe
    @AnyimikeKilembe 7 месяцев назад

    Mungu awe nasi

  • @justinahaule4158
    @justinahaule4158 5 месяцев назад

    Naupataje ule wimbo wa TUNAKOSEA TUSAMEHE BABA toka kwenu??

  • @WatsonMwaigaga-uy5jk
    @WatsonMwaigaga-uy5jk 7 месяцев назад

    👏🙏

  • @AshaAmosi
    @AshaAmosi 7 месяцев назад

    Wimbo umenibariki

  • @happyjacob4252
    @happyjacob4252 8 дней назад

    2025 January nafurahi

  • @KaziBure-g8h
    @KaziBure-g8h 6 месяцев назад

    Zakaria na shaddy muko live

  • @OmariMwichumu
    @OmariMwichumu 5 месяцев назад

    Mungu awabariki sana kila siku naskiliza uhu wimbo

  • @barikisichone9697
    @barikisichone9697 6 месяцев назад

    Mungu awabariki

  • @MatridaArgent
    @MatridaArgent 7 месяцев назад +1

    Hongeren

  • @MatridaArgent
    @MatridaArgent 7 месяцев назад +1

    Hongeren

  • @MatridaArgent
    @MatridaArgent 7 месяцев назад

    Hongeren