WANAJESHI 40 WA KOREA KASKAZINI WAUAWA NCHINI URUSI, KIM JONG UN KULIPIZA KISASI KWA NATO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024
  • #vladimirputin #kimjongun #ukraine #ukrainewar #usaelection #trump

Комментарии • 20

  • @saidmtenda1628
    @saidmtenda1628 8 дней назад

    Korea kusini hawawezi kutoa taarifa sahihi kuhusu Korea kaskazini ❤

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 10 дней назад

    Safi

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 10 дней назад +2

    Kumbe urusi n maneno

    • @lukafbbwebelof3874
      @lukafbbwebelof3874 10 дней назад

      Sasa Hambia Nato na Marekani waingie vitani, au wamruusu Zelesky kutumia bunduki za masafa marefu ndani ya Urusi kisha tuone kitakacho kuja kudumu.

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 10 дней назад +1

    Wataisha hawajuwi kupogana vita

  • @JacobernestMlula
    @JacobernestMlula 8 дней назад

    Akae wamalize vita

  • @nightwolf7577
    @nightwolf7577 10 дней назад +1

    unadodosa kama mtoto wa chekechea tuoneshe maiti

  • @lucksonsikaona505
    @lucksonsikaona505 10 дней назад +1

    Urus imeomba musaada korea

  • @AmaniLwabe
    @AmaniLwabe 10 дней назад +1

    Urusi yakawaida tu sikiliza itakavyo pigika

  • @JacobernestMlula
    @JacobernestMlula 10 дней назад +1

    Panakucha sass

  • @Kassim-o6m
    @Kassim-o6m 10 дней назад +1

    So ni waongo na propaganda tu hwameshapigwa hao Ukraine wanalia wasaidiwe

  • @Masudisengabo
    @Masudisengabo 10 дней назад

    Maiti ziko wapi wa magharibi wanawadanganya

  • @HamiduMrisho-ck1ft
    @HamiduMrisho-ck1ft 9 дней назад +1

    Peleka propagazako za kimagharibi uko.

  • @AnordMboma
    @AnordMboma 10 дней назад +1

    (//

  • @EsterJulius-v2x
    @EsterJulius-v2x 10 дней назад +1

    Maiti muulize putin ukiona Rais wa nchi anaomba msaada wa wanajeshi ujue wa kwake wameisha
    Sasa urus ni nchi ya kuomba wanajeshi Korea kweli?