Usiyoyajua kuhusiana na jengo jipya la abiria, Mwanza Airport

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 сен 2024

Комментарии • 39

  • @emmanuelmkama3000
    @emmanuelmkama3000 3 года назад +3

    Asanteni sana BMG, ninyi mko juu sana, hamna haraka na kazi zenu, nilisubiri sana maendeleo ya huu mradi leo mmenikosha sana. Endeleeni kujikita kwenye miradi yote ya kimkakati ya mkoa wa Mwanza, sisi watazamaji wenu tupo pamoja na ninyi BMG.

  • @pauldaniel5685
    @pauldaniel5685 3 года назад +2

    Binafsi naona bado mwanza hamjaitendea haki. Jengo hilo lilipaswa kuwa na boarding bridges. Design ni nzuri ila jengo dogo. Such building linafaa liwe chato, kigoma, katavi, n.k but not international airport

    • @lameckseko979
      @lameckseko979 3 года назад

      Mwaka jana aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi bwana Isack Kamwelwe, alipotembelea na kukagua maendeleo ya ukarabati wa uwanja wa ndege wa mwanza, alisema kuwa Rais ameigiza Wizara yake (ujenzi na uchukuzi) kuanza mara moja usanifu wa jengo kubwa la abiria ktk uwanja wa ndege wa mwanza. Hili linalojengwa sasa ni awamu ya kwanza, awamu ya pili ndo itahusisha jengo lingine ambalo ndo litakuwa kubwa. Kwa kweli mimi mwenyewe mwanzoni sikuridhika na idadi ya abiria jengo hili linaweza kuhudumia, ni dogo kwa uwanja wa ndege kama wa Mwanza. Nilipomsikia Waziri anaongelea usanifu wa jengo jingine, nikatulia kidogo. Mwandishi anaweza kufanya ufuatiliaji kuhusu awamu ya pili ya ujenzi ktk mamlaka husika.

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 3 года назад

      Hata mimi mkuu naona kwa jiji kama Mwanza hili jengo lilitakiwa liwe na jet bridges na jengo kubwa . Na Airport yenye jet bridges ni uwanja wa Dar tu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 года назад

      @@lameckseko979 Maendeleo ni hatua kwa hatua, tukamilishe hili kwanza. Itakuwa ni hatua nzuri pia. Fikiria lililopo sasa na linalojengwa, je hiyo si hatua nzuri?

    • @lameckseko979
      @lameckseko979 3 года назад +1

      Kwanza, hongereni sana kwa kazi nzuri. Nakubali kabisa kuwa maendeleo yanakuja hatua kwa hatua, na jengo hili linalojengwa ni hatua kubwa ukizingatia jengo linalotumika sasa jinsi lilivyo. Hili linalojengwa sasa ni la kisasa zaidi na ni zuri sana, tunachokosoa wadau ni kuwa jengo hili ni dogo ulinganisha ongezeko la watu wanaotumia uwanja wa ndege wa mwanza. Kwahiyo jengo jipya linaweza kuanza kufanya kazi na kuzidiwa mzigo baada ya muda mfupi sana. Kwa asili au kijiografia mwanza sio 'destination airport'- yaani mwanza ndo mwisho wa safari yao, bali wengi wanapita kuelekea sehemu nyingine( mikoa na nchi jirani ). Kwahiyo kwa asili yake mwanza ni 'hub airport '. Viwanja vya asili hii vinakuwa na wasafiri wengi sana wanaopita au kuunganisha ndege kwenda sehemu mbalimbali. Tatizo la mwanza airport kwa muda mrefu limekuwa ni miundo mbinu na sio uhaba wa wasafiri au mizigo. Kwahiyo tulitegemea jengo moja kubwa, lakini kwakuwa wanasema kutakuwa na phase two,hilo litakuwa jambo jema.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 года назад

      @@lameckseko979 Ahsante kwa ufafanuzi mzuri

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 3 года назад +2

    Nyumbani Mwanza hapo sawa🇹🇿😂👍

  • @capherseseja1714
    @capherseseja1714 3 года назад +1

    MWANZA SASA JIJI HONGERA SANA RAIS WETU

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 3 года назад +1

    Dah...yaan kwakwel sifa apewe magu....nch inajengwa vizur kwel...japo pesa ngumu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 года назад

      Baada ya nchi kungwa, faida ya pesa itapatikana zaidi

  • @nasseralhabsi1483
    @nasseralhabsi1483 3 года назад +1

    Waweeja... Jengo linapendeza sana.

  • @donaldndagula816
    @donaldndagula816 3 года назад +1

    BMG tujuze pia kuhusu uzio wa uwanja wa Mwanza na jengo la Zimamoto vipi maendeleo?

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 года назад

      sawa

    • @guillermocaspian7657
      @guillermocaspian7657 3 года назад

      i know I'm kind of off topic but does anyone know of a good place to watch newly released tv shows online?

    • @wyattgibson2559
      @wyattgibson2559 3 года назад

      @Guillermo Caspian Flixportal xD

    • @guillermocaspian7657
      @guillermocaspian7657 3 года назад

      @Wyatt Gibson Thanks, I signed up and it seems like they got a lot of movies there =) I appreciate it!

    • @wyattgibson2559
      @wyattgibson2559 3 года назад

      @Guillermo Caspian happy to help =)

  • @laheonlinetv2161
    @laheonlinetv2161 3 года назад

    Mbona picha ya HD na jengo ni tofauti upande wa departure sioni lile gorofa juu km arrival kwa ajili ya maofisi.

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 3 года назад +1

    Hongera saana Engineer Mahenge

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 3 года назад

    Huyu engineer yuko vizuri sana na inaonekana anapenda kazi yake jinsi anavyouelezea mradi

  • @allenmsuya002
    @allenmsuya002 3 года назад +1

    Kazi nzuri Ila majaa wapo slow sana

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 3 года назад

    Tabora jengo lao la abiria wa ndani litachukua watu 500,nyie mnajenga jengo la abiria 400 😂😂😂

  • @drgerwinegosbert2547
    @drgerwinegosbert2547 3 года назад

    Safi sana ...je kuna mradi wa upanuzi wa barabara ya Kenyatta maana ndio lango kuu la kuingia ndani ya jiji la mwanza

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 года назад

      Kwa sasa hatuna tarifa juu ya hilo!

    • @lameckseko979
      @lameckseko979 3 года назад +1

      Huo mradi upo, kupata maelezo ya kina ndugu mwandishi afike ofisi za Tanroads Mkoa wa Mwanza. Huku maeneo ya Usagara na Ukiriguru wameshafanya mikutano na wananchi kuhusu huo upanuzi wa Barabara.

    • @benjaminiemmanuelj3486
      @benjaminiemmanuelj3486 3 года назад

      @@lameckseko979 Njia ngapi?

    • @lameckseko979
      @lameckseko979 3 года назад

      @@benjaminiemmanuelj3486 wanasema itakuwa njia nne.