unachotakiwa kujua ni kwamba usalama wa taifa hawana mipaka na hicjo ndicjo kinachofanya hadi wanaogopeka kuliko hata Wanajeshi na huwez kuwajua hadi uwachunguze sana na katika utendaji kazi wao na ndomana kila unapoenda katika kila ofisi,taasis binafsi na za kiserikali hao watu wapo huwekwa kwa kisili ili kufanya kazi husika...na usalama wa taifa hawashtakiwi na hawapandishwi mahakaman labda awe feki...huyo mzee hapo aliwatetea tu na kingine usalama wa taifa ni idara iliyochini ya Rais ..mkuu wanchi.
Kwelii kabisaa Shida ya watanzania wengi tunalaumu TU ila hatufuatilii undani wa kitu,.TISS siku zote ipo Kwa ajili ya kukusanya taarifa tu za ndani na nje ili kuzuia mambo ya kigaidi mbali mbali
Wale waliomfuata Zakaria ni police au ni usalama wa taifa acheni kujifanya amjui wakati ushaidi hupo na kwa nape je yule aliemtolea nape silaha ni police
Tanzania unaweza kamatwa na hata mgambo wakati kisheria hawana power of arrest,nchi yetu ni kuoneana tuu sababu hao wasiojulikana ndio usalama wenyewe na lini waliwahi kuchukuliwa hatua????? Wanainhilia kazi za polisi kila siku na wanaachwa tuu
Mie nawapa ushauri usalama wanapo ajiri wasichukuwe tu kundi kwa mfano wote kutoka jkt wanakosea wakifanya ivo kama walivyo fanya 2019 huwezi kupata sifa zote, sikuizi watoto wakirud mafunzo wanaropokwa tu na hii tatizo naona ni kuwacha kuchukuwa wale wanostahili mana wengine usije shangaa ajira iyo watu ikawapata kwa kununua, wastaafu mumewatenga hamuchukiwi watoto wao wakati duniani idara inaenda na combination ya urithi pia hilo mumeliwacha na kungefanya hivyo sidhani kama habari zingeweza kuvuja vuja ovyo, maana mtoto hufata nyayoo za ulezii za wazee wake na hata ushaur mda mwengine huwa anapewa na mzee wake ila sikuiz watu wanajifanya wanajua sana ndo mana kumevurugika mnoo uko rejeshen mdumo wazaman
Naipenda sana kazi hii na nitaipenda mpaka uzee wangu oote
Umeongea kweli aisee Mkuchika; Hongera sana.
Wanatakiwa wajue tofauti ya usalama wa Taifa na Makachero wa police....
Hayo yapo kwenye vitabu vya sheria lakini vitendo ni tofauti!
Nchi inaendeshwa kwa kutumia sifware ya zamani sana.
Mzee mkuchika uko sawa ! Lakini hawa vijana wa usalama wanaingilia Sasa kazi za polisi.... ! Nao wanataka waonekane tuuuuu !
unachotakiwa kujua ni kwamba usalama wa taifa hawana mipaka na hicjo ndicjo kinachofanya hadi wanaogopeka kuliko hata Wanajeshi na huwez kuwajua hadi uwachunguze sana na katika utendaji kazi wao na ndomana kila unapoenda katika kila ofisi,taasis binafsi na za kiserikali hao watu wapo huwekwa kwa kisili ili kufanya kazi husika...na usalama wa taifa hawashtakiwi na hawapandishwi mahakaman labda awe feki...huyo mzee hapo aliwatetea tu
na kingine usalama wa taifa ni idara iliyochini ya Rais ..mkuu wanchi.
Tatizo polisi wakipewa report hawazifanyii kazi
@@ignasiissaya1718Hawashitakiwi kwasababu ccm inawalinda maana TISS wapo chini ya ccm
@@ignasiissaya1718aliye kwambia usalama hashitakiwi nani
tz sheria haifatwi wabunge mnatunga sheria viongozi hao hao ndio wakwanza kuivunja hainamana yakuwa nashnn
Sawa comrade huruma
wanatakiwa kutofautisha usalama wa taifa na makachero wa polisi
Waambie gwiji
Nyinyi mnatuchanganya bona mnawatuma wanakamata watu
Mzee kushukru afadhali umewaambia ukweli,
Waongezewe majukumu kwa masrahi ya Taifa, ugaidi na ufisadi imekuwa ni shida sana.
Ugaidi uko wapi hapa acha kuongopa ongop1 hapa ..
Kwelii kabisaa Shida ya watanzania wengi tunalaumu TU ila hatufuatilii undani wa kitu,.TISS siku zote ipo Kwa ajili ya kukusanya taarifa tu za ndani na nje ili kuzuia mambo ya kigaidi mbali mbali
😮😮
Tanzania hata palisi Jamie wakielekezwa wanawakamata watu na kuwatafutia kesi ilimradi mioyo yao iridhike
Mhh jaman yaani uongo mtupu
Wale waliomfuata Zakaria ni police au ni usalama wa taifa acheni kujifanya amjui wakati ushaidi hupo na kwa nape je yule aliemtolea nape silaha ni police
Siyo kila mpelelezi ni usalama wengine ni makachero wa police
hahahahaa sasa kwazakaria tajiri wamabasi ilikuaje?kama usalama wataifa walitaka kumkamata
Barcelona vs real Madrid Copa de la rey
mbona issue ya Dp world wame ufyata
Mh. 🙏👏
Plz plz hizo kazi za law enforcement ni kazi za polisi naomba msiwaingilie polisi hizi ni kazi zao
Tanzania unaweza kamatwa na hata mgambo wakati kisheria hawana power of arrest,nchi yetu ni kuoneana tuu sababu hao wasiojulikana ndio usalama wenyewe na lini waliwahi kuchukuliwa hatua????? Wanainhilia kazi za polisi kila siku na wanaachwa tuu
Mie nawapa ushauri usalama wanapo ajiri wasichukuwe tu kundi kwa mfano wote kutoka jkt wanakosea wakifanya ivo kama walivyo fanya 2019 huwezi kupata sifa zote, sikuizi watoto wakirud mafunzo wanaropokwa tu na hii tatizo naona ni kuwacha kuchukuwa wale wanostahili mana wengine usije shangaa ajira iyo watu ikawapata kwa kununua, wastaafu mumewatenga hamuchukiwi watoto wao wakati duniani idara inaenda na combination ya urithi pia hilo mumeliwacha na kungefanya hivyo sidhani kama habari zingeweza kuvuja vuja ovyo, maana mtoto hufata nyayoo za ulezii za wazee wake na hata ushaur mda mwengine huwa anapewa na mzee wake ila sikuiz watu wanajifanya wanajua sana ndo mana kumevurugika mnoo uko rejeshen mdumo wazaman
Sas vip kuhusu tozo za hovyo na kupora wamachinga vitu vyao