ZUCHU: Kabla Ya Kusainiwa Wasafi, Nilikuwa Nalia, DIAMOND Akanitumia Meseji, Nilitaka Kuolewa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 157

  • @carolshiru4374
    @carolshiru4374 4 года назад +26

    Team no makeup mkono juu shes very beautiful 😍😍😍😍

  • @donomar6876
    @donomar6876 4 года назад +7

    HUYU AMENIFANYA KUAMINI KUWA MZIKI MZURI NA WA ASILI YETU BADO UPO...I LOVE ZUCHU

  • @salmaahumansalmaathuman5190
    @salmaahumansalmaathuman5190 4 года назад +2

    Nampenda sana zuchu mpole sana mungu akujaalie ufike mbal

  • @aceotz2579
    @aceotz2579 4 года назад +7

    ZUCHU una sauti ya mahaba kama yangu👌😙😙😙😍😍😍❤❤❤😙😙😙❤❤❤😍😍😍❤❤❤😙😙😙❤❤❤😍😍😍😙😙😙

  • @adijaadija8339
    @adijaadija8339 4 года назад +3

    Nakapenda aka😍😍😍

  • @ijsound5149
    @ijsound5149 4 года назад +5

    bila makeup ni rosaree akiwa na makeup ni Zuchu like kama unakubaliana na mm ahaha ni utani tu...Zuchu unajua sana na unajielewa.

  • @janetwawira5673
    @janetwawira5673 4 года назад +5

    Uko na talent Zuchu..uko na sauti..lakini focus na muziki mzuri kuliko vedio nzuri!!!!Na pia usifanye ya wa bongo kubeef....Be you!!!!

  • @hawaasaidi2246
    @hawaasaidi2246 4 года назад +12

    Mungu mungu tuongozee sio kwakupotea huku na ustar wa dunia sasa narasta hizo kuna swala kweli mungu akipenda saum iko njiani nywele hiyo mtihani

  • @sanuraali2096
    @sanuraali2096 4 года назад +1

    Na mungu umjuee tuuu na ujue nn ulitendaloo mamaa

  • @nanapega3802
    @nanapega3802 4 года назад +2

    Mziki upo juu sana punguzeli.interviews nzuri

  • @denismushi8834
    @denismushi8834 4 года назад +28

    Is that Official zuchu without makeup? Oouwh, then she so cute than beautiful in makeups 🤔

  • @bibi-yk8ut
    @bibi-yk8ut 4 года назад +3

    Nakubali sana sammisago tv

  • @kwizerazenab814
    @kwizerazenab814 4 года назад +1

    Masha Allah

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 4 года назад +5

    Hicho kebeat mlichoingiza kimemeza sauti ya mahojiano,msirudie tena kuviweka kwenye interviews nyinginezo nikama uchafu😎

  • @abduljvo5549
    @abduljvo5549 4 года назад +2

    Zuchu Your Time Is Now!! Warm Up!

  • @bakarymchimika9843
    @bakarymchimika9843 4 года назад +1

    Nn kwan nyie mnasura nzury zuchu mkakali sana

  • @fatmaabrahman5228
    @fatmaabrahman5228 4 года назад

    I love you somuch zuchu

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 года назад +6

    Tanasha hajui kuvaa!

    • @aishamohammed1254
      @aishamohammed1254 4 года назад +1

      Ladan Adan binadam kaz mnayo wapangia m2 nguo yakuvaa na apa akujatajwa m2

  • @athumanmgissasimbadamu1781
    @athumanmgissasimbadamu1781 4 года назад +11

    Zuchu zuchu 🏃🏼‍♂️

  • @elbanikebrosi1702
    @elbanikebrosi1702 4 года назад +4

    Jamani izo nyimbo atusikiyi vizuri maneno

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 4 года назад +9

    6:05 mtangazaji umechemka huyu ni mwanamke unasemaje son hebu kueni makini tumieni kiswahili mwanzo mwisho ni kizuri ama kiingereza mwanzo mwisho

    • @Majambo_Duniani_Tv
      @Majambo_Duniani_Tv 4 года назад

      Hajajipanga kabisaaaaa

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 года назад

      Msamee siunatujua wabongo😔😔😔😭

    • @iamlevybrian5914
      @iamlevybrian5914 4 года назад

      Exactly nimeskia hilo

    • @almasially6509
      @almasially6509 4 года назад +1

      Hyo ni slang mzee, acha ushamba

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 года назад

      @@almasially6509 hata km
      Slang inaflow naturally ye anaonkana alkwama kbsa😂😂😂👌

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 4 года назад +19

    Yaaan mnakera Sana na hilo muziki lenu sasa muziki wa nini wakati wa interview ni kelele tu hakuna hata raha Wala utulivu.

  • @kingofwithdrawals
    @kingofwithdrawals 4 года назад +4

    WASAFI WAZEE WA MIPANGO.

  • @JoumahB
    @JoumahB 4 года назад

    Eishh sura la dada nichitu

  • @thedangotetv2962
    @thedangotetv2962 4 года назад +3

    First kucomente goga like yangu

  • @emanuelgavile7474
    @emanuelgavile7474 4 года назад +4

    Zuchu kama zuchu

  • @neemamjema4094
    @neemamjema4094 4 года назад +1

    yaani zuchu hata usipoaka mekapu unapendeza tena ushauri wangu usipake kwani we mzur xanaaa

  • @jumalove2631
    @jumalove2631 4 года назад

    Ila mzuri jaman

  • @lisaliza9788
    @lisaliza9788 4 года назад +4

    SamMisagotv tuwasikize ama tusikize hizo beat‘s?🇩🇪

  • @levinaleonard7652
    @levinaleonard7652 2 года назад

    Duuuh zuchu napenda saut yako

  • @sophiageorge2405
    @sophiageorge2405 4 года назад

    Mtangazaji sio mzuri

  • @salehsaleh548
    @salehsaleh548 4 года назад

    Hii hair style ya Nywele 😘😘😘😘

  • @maulidipazi6770
    @maulidipazi6770 4 года назад +4

    Don't worry your son or don't worry your daughter!? We mtangazaji vip

  • @frankfidelis8915
    @frankfidelis8915 4 года назад +1

    Huyu presenter anajua San yan hii ndomaana ya presenter

  • @lilym704
    @lilym704 4 года назад +1

    Mm mbaya bado hizo miwani zimeficha mengi mbovu 😟😤

  • @luluadam3086
    @luluadam3086 4 года назад

    Pamoja zuchuu

  • @abdalayusuph3332
    @abdalayusuph3332 4 года назад +3

    Jaman sisi wengine hatujui kingereza .mnapo ongea kiswahili uongeeni kiswahili tu😔😔

  • @fadhilaally1826
    @fadhilaally1826 4 года назад

    anaongea km kameza CD 😂😂😂mate hamezi😂😂😂

  • @justinmganiwa2790
    @justinmganiwa2790 4 года назад

    Ni yeyeeee

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 4 года назад +1

    kumbe zuchu kwa x wangu x wangu mzuri.

  • @iamlevybrian5914
    @iamlevybrian5914 4 года назад +3

    Wee hyo sio son ni daughter. ....kua makini

  • @OmanOman-iu7jf
    @OmanOman-iu7jf 4 года назад

    Zuchu mbaya kweli nayo mnywele aaaka

    • @asmanicolaus1328
      @asmanicolaus1328 4 года назад

      Roho mbaya tu🤔

    • @OmanOman-iu7jf
      @OmanOman-iu7jf 4 года назад

      @@asmanicolaus1328 roho mbaya ya nn mtu hupewa sifa yake zuchu mbaya kweli naiyo mnywele bas aaak

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 года назад

      @@OmanOman-iu7jf mzuriiii
      Utakua shoga ww

    • @OmanOman-iu7jf
      @OmanOman-iu7jf 4 года назад +1

      @@iammusic3404 mm mwamke mwezio lakini zuchu acha msihara m baya kweli sura nzito kweli kama zegèe

    • @husseinremmy2834
      @husseinremmy2834 4 года назад

      Basi kafirwe na baba yako Kama Una sura nzur mbona unadanga

  • @delekalxon7221
    @delekalxon7221 4 года назад +3

    Zuchu kama zuchu weweeeee ...

  • @gka9147
    @gka9147 4 года назад

    Don't worry my Son Zuchu

    • @nice4really503
      @nice4really503 4 года назад

      Son??

    • @gka9147
      @gka9147 4 года назад

      @@nice4really503 hujamsikia myangazaji akisema hivyo

  • @mesabendo4480
    @mesabendo4480 4 года назад +1

    Zuchu mrembo ila unakaa mkubwa mkubwa 😂😂

  • @harmonizetz6595
    @harmonizetz6595 4 года назад +6

    Mbona zuchu Mbaya Ivo😅😂😂
    Kwenye vidéo nikazani kazuli Sana kumbe kama ebitoke tu 😅😂😂😂

  • @ashayasin1716
    @ashayasin1716 4 года назад +2

    One love

  • @bahationesmo6268
    @bahationesmo6268 4 года назад

    Kweli Wasafi hawapoi Zuchu kiboko

  • @ezradaniel4613
    @ezradaniel4613 4 года назад +2

    I wanna know mbona nying jombaaaaaa

  • @akibarahamadi5058
    @akibarahamadi5058 4 года назад +1

    zuchu we mkali sana

  • @meshackcharles8126
    @meshackcharles8126 4 года назад +1

    You know

  • @albertmugiraneza7152
    @albertmugiraneza7152 4 года назад

    Hey

  • @neemajackson6711
    @neemajackson6711 4 года назад

    Mbona ni mbaya iv

  • @kelpeacedasenior7128
    @kelpeacedasenior7128 4 года назад +1

    Miwani ume haribu

  • @ummuadam2423
    @ummuadam2423 4 года назад +2

    Wcb washaaanza muharibu na miwani kubwa kubwa kma wolper 🏃‍♀️🏃‍♀️😂

  • @fakimwinyi3648
    @fakimwinyi3648 4 года назад +2

    Mamiziki ya nn Sasa

  • @mryansoo4217
    @mryansoo4217 4 года назад

    Acheni ushamba sasa hilo limziki hapo la nini wakati sisi tunataka kumsikia

  • @sabahumedia7053
    @sabahumedia7053 4 года назад +3

    Kama unapenda tips za urembo asilia ama kupunguza uzito mpk kg 4.5 kwa week subscribe kwenye channel yangu

  • @Bantushine_film
    @Bantushine_film 4 года назад

    Duhh bila make up hauwezi kwenda sehemu yoyote mpaka upake make up

  • @user-uk8pk5vn9b
    @user-uk8pk5vn9b 4 года назад

    Uko vizur kwenye kujibu maswali

  • @othinielkamyola7269
    @othinielkamyola7269 4 года назад

    nimekubarriii

  • @hajibabylon9759
    @hajibabylon9759 4 года назад

    Ni yeye

  • @cestlaviecestlavie4073
    @cestlaviecestlavie4073 4 года назад

    wewe ulijaliwa, ila kuhusu Mavoko alikuwa mkali kwa kuimba, ila Mondi kamuuwia maisha 😏

  • @selestineosoo5045
    @selestineosoo5045 4 года назад

    Uswahili kingi

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 4 года назад +2

    Tafuta maswali yako..mfatilie msanii msaniiii kunavitu kashaviongea

  • @fakimwinyi3648
    @fakimwinyi3648 4 года назад +3

    Iyo mizioi ya nn Sasa si angaliibtena imteview zenu

  • @abubakkhamis6400
    @abubakkhamis6400 4 года назад

    Bado tunataraji makubwa kutoka kwako

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 года назад +4

    Bila makeup wakawaida kumbe hivi..

  • @justinyohana5074
    @justinyohana5074 4 года назад +2

    🌸

  • @brighton9011
    @brighton9011 4 года назад

    Mbona ka huyu demu wa ma pepe sana

  • @Dalaman10
    @Dalaman10 4 года назад +1

    Umeshakua blind fury. Sheria namba moja vaa miwani za sunglasses mpaka usiku. Tena hakikisha hata zikiwa kubwa na zimekuchusha weee vaa tuu. Masikini weee hujakaa sawa bado , umechanganyikiwa mpaka leo. Ziangalie hizi interview zako baada ya mwaka mmoja ikiwa uhai upo. Inaonekana mlihaha kweli maana bado hamjiamini. Ila mwambie mamaako apunguze jeuri bado mapema sana. Kaonyesha jeuri day one na maringo. Kisa nini hasa? Wewe afadhali uko chini ya miguu bado BOSI ,BOSI,BOSI. Jiamini sauti unayo , mama kakukabidhi kwa domo hana shaka hata likitokea basi ni poa tuu muhimu anayo ya GOLD.

    • @asmanicolaus1328
      @asmanicolaus1328 4 года назад +1

      Kwani unaugomvi na mama ake

    • @Dalaman10
      @Dalaman10 4 года назад

      @@asmanicolaus1328 no , na wewe

    • @husseinremmy2834
      @husseinremmy2834 4 года назад

      Utafirwa wew acha wivu

    • @Dalaman10
      @Dalaman10 4 года назад

      @@husseinremmy2834 kama unavyofirwa wewe au?

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 4 года назад

    Nilimuomba mama akanitafutia band....Kama mama alivyomuomba Diamond akupe kiki bila kujua kuomba for sure unabebwa tu ila kaza may b utajua kuimba

    • @alonelyrics9061
      @alonelyrics9061 4 года назад +2

      Moris Collins ni wivu tu ndugu yangu

    • @harmonizetz6595
      @harmonizetz6595 4 года назад +1

      @@alonelyrics9061 wivu

    • @dulaxo77
      @dulaxo77 4 года назад +2

      Imba wewe

    • @harmonizetz6595
      @harmonizetz6595 4 года назад

      @@dulaxo77 afu zuchu Mbaya Ivo 😅😅😂 je suis un Tanzanien

    • @ashanalinga8719
      @ashanalinga8719 4 года назад +2

      Kunywa maji mengi alfu Relax utaacha roho mbaya

  • @nice4really503
    @nice4really503 4 года назад

    She is not zuchu huyu sio zuchuu

  • @islandgirl4578
    @islandgirl4578 4 года назад +2

    Bro you talk to much

  • @justinjoshua1059
    @justinjoshua1059 4 года назад

    Unaingia wcb uko no make up tutakushiba corona ikiisha.kumbuka ww nimtoto waki eslam

    • @esthermbatha3143
      @esthermbatha3143 4 года назад +2

      Ebu kapeleke maoni yako mabaya uko, Tutakushiba ama utamshiba ,? usiwaongeze wenzako , nkt

    • @ayoayoo1222
      @ayoayoo1222 4 года назад +2

      Kamshauri mamako au hauna dada ww wakumshauri?

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango7410 4 года назад +1

    Is this zuchu,mbona sielewi,ugly

    • @Nderemi786
      @Nderemi786 4 года назад +2

      She is beautiful she is not ugly because she is black many people think black is ugly she is beautiful and black is beautiful

    • @Jackiedaniel75
      @Jackiedaniel75 4 года назад +1

      She ain’t ugly.. be careful with what you say

    • @rusakanyohenry6932
      @rusakanyohenry6932 4 года назад

      No body ugly bro, duniani wote wa baba mmoja hivyo wote wazuri kwa mungu

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 года назад

      Are u really not gay???
      Go to hell bitch

  • @janatahmad7048
    @janatahmad7048 4 года назад

    zuchu kama zuchu