MAMA KUKU DODOMA HAKUWAHI KUAJIRIWA NA HATAKI KABISA - HUU NDIO UJUMBE WAKE WA MWAKA MPYA 2025 !

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 82

  • @veronicaollomi6112
    @veronicaollomi6112 16 дней назад +1

    Nakupenda mama, endelea kupambana. Hapo ndo hasa penyewe👌 Nakuona mbaaaaaali sana.❤ Mungu abariki kazi ya mikono yako

  • @MariamMariam-cs8ts
    @MariamMariam-cs8ts 17 дней назад +1

    Habari dada Joyce masawe naomba tuwasiliane ninahitaji vifaranga wa vijogoo

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  17 дней назад

      Tafadhali WhatsApp: 0757757968.
      SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI 🙏🏿

  • @JoyceMassawe-lp4wb
    @JoyceMassawe-lp4wb Месяц назад +2

    Habari Mariam nafuga Vijogoo

  • @JoyceMassawe-lp4wb
    @JoyceMassawe-lp4wb Месяц назад +1

    Habari zenu Wapendwa Wafugaji Wenzengu.... Nawapenda sana...Krb kwenye kilimo Cha Kuku.❤

  • @JoyceMassawe-lp4wb
    @JoyceMassawe-lp4wb Месяц назад +1

    Asante sana Lilian krb kwenye kilimo cha kuku kinalipa

  • @GuillaumeLumande-j3d
    @GuillaumeLumande-j3d Месяц назад +1

    Ongera sanaaa na mimi ni mmoja nafuga pia ❤🇨🇩

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Upo nchi gani ? Tafadhali tuma ujumbe kwa WhatsApp 0757757968. Tunaweza kukufikia nchi yoyote na kukuinua.
      Subscribe, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI 🙏🏿

    • @GuillaumeLumande-j3d
      @GuillaumeLumande-j3d 23 дня назад +1

      Niko mu inchi ya congo RDC lubumbashi

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  23 дня назад

      @GuillaumeLumande-j3d Sawa, tafadhali tutumie ujumbe kwa WhatsApp: +255 757757968

  • @RoseMwakatungila-wf9do
    @RoseMwakatungila-wf9do Месяц назад +1

    Human no.dada

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Tafadhali WhatsApp 0757757968.
      Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI 🙏🏿

  • @JoyceMassawe-lp4wb
    @JoyceMassawe-lp4wb 24 дня назад +1

    Karibu Sana Alfred

  • @alfredjoshua8625
    @alfredjoshua8625 Месяц назад +1

    napenda sana kufuga nitakupaje mama kuku.

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Kwa mawasiliano zaidi WhatsApp:0757757968.
      Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI 🙏🏿🙏🏿

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI 🙏🏿

  • @JoyceMassawe-lp4wb
    @JoyceMassawe-lp4wb Месяц назад +1

    Caro karibu Mm Mwenyewe ndy mpokea Odar kama unahitaji utatoa Odar yako

  • @marthajohn1390
    @marthajohn1390 5 дней назад +1

    Naomba namba mama kuku jmn

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  5 дней назад

      Hello Martha, karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.
      Tafadhali tuma ujumbe kwa WhatsApp: 0743812853.
      Subscribe, LIKE NA SHARE VIDEO HII 🙏🏿

  • @franciscaollomy1279
    @franciscaollomy1279 Месяц назад +2

    Woow Mama Kuku dodoma nakupenda wee mama umenitoa mbali sana Mungu akubariki , na mimi ni mfugaji nmekuwa mfugaji kuku kupitia huyu mama na nipo mkoani , anatoa Elimu nzuri sana hutojutia .

    • @liliannkya8183
      @liliannkya8183 Месяц назад +1

      @@franciscaollomy1279 Hongera sana dada .

    • @liliannkya8183
      @liliannkya8183 Месяц назад +1

      @@franciscaollomy1279 Inapatikana wapi dada Francisca Ulomi maa

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Tafadhali WhatsApp 0757757968 ili kuweza kujiunga katika masomo yake juu ya UFUGAJI WA kuku VIJOGOO.

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Tafadhali WhatsApp 0757757968 ili kujiunga kwenye masomo yake ya ufugaji wa kuku Vijogoo.

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI NA KUBADILI FIKRA ZAO.
      🙏🏿

  • @CarolineThadei
    @CarolineThadei Месяц назад +1

    Jamani dada hongera na Mimi nimeanza kufuga naomba mawasiliano ya hapo unapo nunua vifaranga na Mimi nikachukue nifuge

  • @mwampwanimathias4804
    @mwampwanimathias4804 8 дней назад +1

    Unawapataje hao kuku wa vijogoo pia mama kuku ajataja mawasiliano yake

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  8 дней назад

      Tafadhali tuma ujumbe kwa WhatsApp: 0743812853 ili kupatiwa mawasiliano yake.
      Subscribe, LIKE NA SHARE VIDEO HII.

  • @JoyceMassawe-lp4wb
    @JoyceMassawe-lp4wb Месяц назад +1

    Karibu sana Zuena

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI 🙏🏿

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Hello, karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA na tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI 🙏🏿

  • @DicksonMandalu
    @DicksonMandalu 20 дней назад +1

    Yn umeshindwa hata kumwambia aweke namba yake ya simu ili kumfungulia soko we jamaa una roho mbaya sn

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  20 дней назад

      Ooh! Hakuna roho mbaya. Tumemfikia huyu mama kwa gharama kubwa sana nyuma ya pazia.
      Ikiwa unahitaji kupata mafunzo moja kwa moja kutoka kwake tafadhali WhatsApp: 0757757968.
      Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA 🙏🏿

  • @liliannkya8183
    @liliannkya8183 Месяц назад +1

    Mama Massawe hongera dada

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад +1

      Hawa ndio akina mama tunaowahitaji TANZANIA.
      Je ungependa kukutana na MAMA KUKU VIJOGOO? Sasa anapatikana katika chetu cha ushauri na mafunzo mtandaoni.
      JE Unahitaji USHAURI AU UNA SWALI JUU YA KILIMO/UFUGAJI NA UNGEHITAJI KUJIBIWA KWA KINA NA WATAALAMU WETU WA KILIMO, UFUGAJI NA MASOKO YA MAZAO ? Bonyeza link hii 👉🏿 direct.lc.chat/18957423/
      SASA HUDUMA ZETU NI MASAA YOTE!

    • @judicateurassa7817
      @judicateurassa7817 Месяц назад +2

      Naomba namba yake

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад +1

      @judicateurassa7817 tafadhali WhatsApp 0757757968

    • @liliannkya8183
      @liliannkya8183 Месяц назад

      Naomba namna ya upatikanaji wa kuku vijogoo nipo moshi.

  • @zuenachanzi
    @zuenachanzi Месяц назад +1

    Safi sana

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Hello Zuena!
      Unaweza kukutana moja kwa moja na mama kuku Vijogoo katika chumba cha ushauri na mafunzo mtandaoni.
      JE Unahitaji USHAURI AU UNA SWALI JUU YA KILIMO/UFUGAJI NA UNGEHITAJI KUJIBIWA KWA KINA NA WATAALAMU WETU WA KILIMO, UFUGAJI NA MASOKO YA MAZAO ? Bonyeza link hii 👉🏿 direct.lc.chat/18957423/
      SASA HUDUMA ZETU NI MASAA YOTE!

  • @JoyceMassawe-lp4wb
    @JoyceMassawe-lp4wb Месяц назад +1

    Lucy Naishi Dodoma Mail mbili

  • @mektlidamarco2588
    @mektlidamarco2588 Месяц назад +1

    Hampatikani

  • @groliamzee2764
    @groliamzee2764 Месяц назад +2

    Naomba namba mama kuku nipo lindi

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Tafadhali WhatsApp 0757757968 .
      Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI 🙏🏿

  • @marthajohn1390
    @marthajohn1390 Месяц назад +1

    Naomba namba mama kuku

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Tafadhali WhatsApp 0757757968
      SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI 🙏🏿

  • @DicksonMandalu
    @DicksonMandalu 20 дней назад +1

    Mtangazaji unaongea mnoooooo yan humpi muda wa kujieleza au kujibu unachomuuliza jirekebishe bhana

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  20 дней назад

      Ahsante sana kwa mrejesho wako.
      Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI UWEZE KUONA VIDEO BORA ZAIDI 🙏🏿

  • @MariamDilla
    @MariamDilla Месяц назад +2

    Aina gani ya kuku unafuga dada

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Hawa ni kuku Vijogoo. Unaweza kukutana na mama kuku Vijogoo katika chumba cha ushauri na mafunzo mtandaoni.
      JE Unahitaji USHAURI AU UNA SWALI JUU YA KILIMO/UFUGAJI NA UNGEHITAJI KUJIBIWA KWA KINA NA WATAALAMU WETU WA KILIMO, UFUGAJI NA MASOKO YA MAZAO ? Bonyeza link hii 👉🏿 direct.lc.chat/18957423/
      SASA HUDUMA ZETU NI MASAA YOTE!

  • @FatumaTura-y1s
    @FatumaTura-y1s Месяц назад +1

    Mama.kuku.naomba.namba.zako

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Hello Fatuma! Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.
      Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII.
      Kwa mawasiliano zaidi juu ya ufugaji wa kuku Vijogoo WhatsApp: 0757 757 968

  • @LucyPeter-d2m
    @LucyPeter-d2m Месяц назад +1

    Dodoma sehemu gani naomba plese

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Hello Lucy. Unaweza kukutana moja kwa moja na mama kuku Vijogoo katika chumba cha ushauri mtandaoni.
      JE Unahitaji USHAURI AU UNA SWALI JUU YA KILIMO/UFUGAJI NA UNGEHITAJI KUJIBIWA KWA KINA NA WATAALAMU WETU WA KILIMO, UFUGAJI NA MASOKO YA MAZAO ? Bonyeza link hii 👉🏿 direct.lc.chat/18957423/
      SASA HUDUMA ZETU NI MASAA YOTE!

  • @MariamDilla
    @MariamDilla Месяц назад +1

    Bei ya mbegu kwa kifaranga ni shs. Ngapi

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Hello Mariam!
      Unaweza kukutana moja kwa moja na mama kuku Vijogoo katika chumba cha ushauri na mafunzo mtandaoni na utapata kuuliza maswali yako yote na kujibiwa vizuri kabisa.
      JE Unahitaji USHAURI AU UNA SWALI JUU YA KILIMO/UFUGAJI NA UNGEHITAJI KUJIBIWA KWA KINA NA WATAALAMU WETU WA KILIMO, UFUGAJI NA MASOKO YA MAZAO ? Bonyeza link hii 👉🏿 direct.lc.chat/18957423/
      SASA HUDUMA ZETU NI MASAA YOTE!

  • @shelamsongwe8500
    @shelamsongwe8500 21 день назад +1

    Hao kuku anachukulia kampuni gani na wanaitwaje?

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  21 день назад

      Hello ,kwa mawasiliano zaidi WhatsApp:0757757968.
      Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.
      Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI 🙏🏿.

  • @zuenachanzi
    @zuenachanzi Месяц назад +1

    Naomba number ya mama kuku dodoma

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад +1

      Unaweza kukutana na mama kuku Vijogoo katika chumba cha ushauri na mafunzo.
      JE Unahitaji USHAURI AU UNA SWALI JUU YA KILIMO/UFUGAJI NA UNGEHITAJI KUJIBIWA KWA KINA NA WATAALAMU WETU WA KILIMO, UFUGAJI NA MASOKO YA MAZAO ? Bonyeza link hii 👉🏿 direct.lc.chat/18957423/
      SASA HUDUMA ZETU NI MASAA YOTE!

  • @NasibuAlban
    @NasibuAlban Месяц назад +1

    Weka namba

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Mama kuku Vijogoo unaweza kukutana naye katika chumba cha ushauri mtandaoni.
      JE Unahitaji USHAURI AU UNA SWALI JUU YA KILIMO/UFUGAJI NA UNGEHITAJI KUJIBIWA KWA KINA NA WATAALAMU WETU WA KILIMO, UFUGAJI NA MASOKO YA MAZAO ? Bonyeza link hii 👉🏿 direct.lc.chat/18957423/
      SASA HUDUMA ZETU NI MASAA YOTE!

  • @MariamDilla
    @MariamDilla Месяц назад +2

    Naomba namba Yako dada na inapatikana Dodoma sehem gn

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Месяц назад

      Hello Mariam !
      Unaweza kukutana na mama kuku Vijogoo katika chumba cha ushauri na mafunzo mtandaoni.