Nay Wa Mitego - Sijalewa (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 июн 2019
  • Free Nation Proudly presents SIJALEWA by Nay Wa Mitego
    Produced by : Mr LG & GACHI B
    Video Directed by : DEO ABEL
    ENJOY.....
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 870

  • @emmanuelelisha6090
    @emmanuelelisha6090 4 года назад +2

    Stan, kobelo nimewasee kama unakubaliana na mm gonga lky

  • @solanuskomba82
    @solanuskomba82 5 лет назад +27

    ..ney wa mitego on treeeeend ✊✊👍..ney namfananisha na 50 cent wa U.S.A kikamandaa zaid..bt again i do appreciates your work ov art.....kama unamkubali ney piga likes zenu mazee 👍

  • @wazambulitv5735
    @wazambulitv5735 5 лет назад +3

    likwidiii..pombeka...chiiii...everybody say yeah sijalewa😂 #WazambuliTV @MK_TV

  • @christophersoty101
    @christophersoty101 5 лет назад +83

    Nimëkuwa WA 51 duh wapi like za Mitego
    True boy umeuwa mzee

  • @wilfredog2884
    @wilfredog2884 5 лет назад +38

    sijalewa big up ney wamitego kama unamkubali ney gonga like hapa👍👍

  • @philemonkiller315
    @philemonkiller315 5 лет назад +6

    Nc kama una Mkubali nay like apo first

    • @abdulbasit5289
      @abdulbasit5289 5 лет назад

      Ney we noma xana ni balaaa hiii kaka kudadadeki ngoma ya club sio ya kinyonge nyonge by Chapa mswat kutoka faraja media and faraja TV znz

  • @franknurudin8456
    @franknurudin8456 5 лет назад +52

    Wee jaamaaa cjui jini kila ngoma kaliii tunataka kusahau shida na unatufanya tusahau shda

  • @cyborgmatumula650
    @cyborgmatumula650 3 года назад

    DUH NOMA YANI LEO NDIO NAMSIKIA HUYU JAMAA MKALI KILA NYIMBO 100% KWELI BONGO YETU SAFI KEEP GOOD WORK GEEZER BLESS!!! MASSAPALAA!!!!!!!!!!!!

  • @ellybilaly586
    @ellybilaly586 5 лет назад +2

    mamb ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 5 лет назад +10

    Kwl pombe sio chai true boy umeanza kunichekesha viatu miguun pea tofauti afu kamwli kadogo najiona kam Tyson hahah

  • @myroshtz8
    @myroshtz8 5 лет назад +2

    Daaah utabaki juu hili goma nimeliplay mara kumi

  • @zachaa255-eone2
    @zachaa255-eone2 5 лет назад +16

    Mr T Touch naona mmemaliza tofauti zenu,goma liko🔥

  • @shukurukikakale1017
    @shukurukikakale1017 5 лет назад

    Sijalewa hakuna pombe zaburee bhana wekunywaaa tu! Watakubaka""✋✋✋✋☝️👊

  • @tizotouchz
    @tizotouchz 5 лет назад

    Daaaah kakah sikufichi hii ngoma kali sanaaaaaa broo daaaah

  • @chirrakibona4962
    @chirrakibona4962 5 лет назад

    Tujijuhe watu wha Ney jomon Nakukubari brother Ney

  • @waziriwaziri12
    @waziriwaziri12 4 года назад +5

    Kama umemuona kobero na stan Bakora maneno ya kuambiwa nipeni like from 254.

  • @calebmwanzia1922
    @calebmwanzia1922 4 года назад +4

    huyu jamaa moto sana..much love from +254

  • @crispindeleli9300
    @crispindeleli9300 5 лет назад +8

    We kunywa tuu watakubaka
    😂😂😂 ney bhna bonge LA ngomaa

  • @obhealthlaboratoriesohl8702
    @obhealthlaboratoriesohl8702 5 лет назад +43

    Yaan hiii ngoma Kali sema wabongo wakuhtaji nyimbo za mapenz tu awataisupport .but keep going bro never gv up

  • @edduhmmoja7448
    @edduhmmoja7448 5 лет назад

    jamani hiii noma sana. mimi nimelewa. stanbakora na kobelo kama umemuona tia like hapa, Mfalme wa RAP NAY kama alivokuwa anamuita mpenzi wake muhindi

  • @lukambaofficial5541
    @lukambaofficial5541 5 лет назад +210

    Kama umemuona likwidi very bary say yeeee .gonga like apo chin.
    Ila sjalewa

  • @mararegiononline3457
    @mararegiononline3457 5 лет назад

    Ngoma ni kaliii, Fundi Ney huishiwi ubunifu. Unaonekana mpya kwenye kila ngoma sio daily mapenzi tu.
    Nakubali uwezo kaka @MTAFYA nakuona mbali sana.... naamini kuna watu wataipenda nyimbo kwa sababu ya kasehemu kadogo ulikopita. Toa nyimbo na wewe sasa usijifanye star soko kwa sasa linahitaji kutoa ngoma back to back ukimya umetosha mzee

  • @pendoanthony6402
    @pendoanthony6402 5 лет назад

    Good song ...namuona Mr.piere... Stan huhuhu na kobeloooo safiii kabsa

  • @hassanmdunguma3168
    @hassanmdunguma3168 5 лет назад

    Ngoma kaliiiiiiiiiii xana... huyu #kobelo chapombo.. kanichekesha sana

  • @Blacky_Franky
    @Blacky_Franky 5 лет назад +4

    🔥🔥🔥Nay wa Mitego🔥🔥🔥🙌baba yao

  • @Manfilly
    @Manfilly 4 года назад

    My man kobelooooooooo chatungiiiii naye hajalewaaaa

  • @gilmangeorge366
    @gilmangeorge366 5 лет назад +97

    BONGE LA NGOMA NAKUBALI SANA MR NEY💪💪💪watching from CANADA please like KAMA unampenda huyu baba yaga hata kama upo nje ya nchi

  • @richardmadoshi529
    @richardmadoshi529 5 лет назад +2

    Wee kunywa tu watakubaka!!

  • @ramseyrmsy3366
    @ramseyrmsy3366 5 лет назад +7

    Kama umemuona Mr T kama mimi like hapa

  • @jacobmartin6686
    @jacobmartin6686 3 года назад +2

    Naay truuuboy

  • @kiteboy5834
    @kiteboy5834 5 лет назад +9

    Sijalewa kama ujarewa gonga like twende sawa

  • @saidiabdallah5208
    @saidiabdallah5208 5 лет назад +2

    🔥🔥🔥

  • @pigapesa1013
    @pigapesa1013 5 лет назад +5

    Mr t tach ndani big up sana Mr ney umoja ni nguvu!

  • @hajikhatib8840
    @hajikhatib8840 5 лет назад +3

    Sawa kaka kitu kingine na box ..unabang!!! ,🔥🔥🔥🔥🔥🔥Nakubali free nation

  • @tembomnyama2310
    @tembomnyama2310 5 лет назад +3

    Goma la kwendaaa Hilooo
    🔥🔥🔥

  • @peterjulius5923
    @peterjulius5923 5 лет назад

    Sijalewa Ney Hukoseagi kawaida yako Goma zur sana Sijalewa naendelea kutazam

  • @jumamwandoro8586
    @jumamwandoro8586 5 лет назад

    oooooona akilewa aanatapika.......akuna bombe zzza bure

  • @miyazakitakanabe9225
    @miyazakitakanabe9225 5 лет назад +7

    KAMA UMESHAVUTA VITU VYA "K" anaempiga picha ney,like twende sawa

  • @FahadAli-dj4jp
    @FahadAli-dj4jp 5 лет назад +1

    Daaaaa ww nomaa ney

  • @alvinoveen2572
    @alvinoveen2572 5 лет назад +5

    Kawaida Mr nay hajawai niangusha,kubwaaaaaaa gonga like tusonge fire.......

  • @majistarmusic8477
    @majistarmusic8477 5 лет назад +5

    Ney WEH SO MTU MZUR ATA KIDOGO IYO NGOMA CHIIII💪💪💪💪

  • @focustz4408
    @focustz4408 5 лет назад +5

    💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
    ``` Wewe ni zaidi ya mwanamke bora kwangu, wewe ni kila kitu kwangu. Nakupenda kwa moyo wangu wote.```
    💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞

  • @amanmzola8101
    @amanmzola8101 5 лет назад +3

    Bonge la ngoma congratulations true boy

  • @IYANIZZO
    @IYANIZZO 4 года назад +4

    Nimefurahi Kumwona Rais Wa Walevi Konki Liquid 😂😂🔥🔥

  • @meshkiarie1085
    @meshkiarie1085 5 лет назад +19

    Kitale in the music😂😂😂kila mahali Mlevi watching from Dubai..nice one buddies

  • @hijakitipa9345
    @hijakitipa9345 5 лет назад +2

    Hapo walevi ndo wenyewe kabisaa

  • @isackboymanda6041
    @isackboymanda6041 5 лет назад

    we kunywa tu watakuba...Ney forever naomben likes na. mm jaman ili twende sawa

  • @josephwaigi4754
    @josephwaigi4754 2 года назад

    Qatar unafika poa Nay.good job

  • @edenchulla5663
    @edenchulla5663 5 лет назад +1

    Ambao hatuja lewa likeee Hapa

  • @FMurad333
    @FMurad333 5 лет назад +35

    Ggoma Kali , from KE🔥🔥 , Like Twende woteee !!!

  • @mkapaliberatus3636
    @mkapaliberatus3636 5 лет назад

    Bloo w noma sana2 kaz nzr baba yaga

  • @movietrailers4810
    @movietrailers4810 5 лет назад +1

    Hongera kaka piere liquid fire piga kazi uckate tamaa

  • @antonnyshadrack4136
    @antonnyshadrack4136 5 лет назад +2

    bonge La Ngomaaaaa

  • @vickelangel5502
    @vickelangel5502 5 лет назад

    Ila mr.Nay katuliza sana ivo basi kidogo wenzio wanagonga visogo kwa kuporomosha mizinga kila kuchao.Punguza starehe na urejee kwenye game bado twakuhitaji

  • @officalmagoogemagooge5554
    @officalmagoogemagooge5554 5 лет назад

    daaaah ww mkali kwel mzeee baba big up

  • @jasnafclassic8559
    @jasnafclassic8559 5 лет назад +22

    Mtu wa pili USA naitaji like zenu hpa km unakubali bro Nay mitego

  • @masebetv5008
    @masebetv5008 5 лет назад +1

    Saf san ngoma kali 💗❤

  • @Directorhernrypro
    @Directorhernrypro 5 лет назад +1

    cjalewa bhana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kistofua8344
    @kistofua8344 5 лет назад +13

    Umeashia video kali sana hii nikali sana

  • @africanchief3523
    @africanchief3523 5 лет назад +7

    Awesome song. Just when I was sipping my Hennessy

  • @jovinuskalunde4326
    @jovinuskalunde4326 5 лет назад

    Oyooooo bonge la joint

  • @happynejohn8901
    @happynejohn8901 5 лет назад +2

    Daaah Nice song 😍😍sijalewa 😍😍 I like this song

  • @yassinmakumulo7445
    @yassinmakumulo7445 5 лет назад

    Ngali kali kinyamaaaaaaa respect sana

  • @saidamsangi6670
    @saidamsangi6670 5 лет назад

    ndonn sasa kawawekeeni kina diamond na sada Ndio wanapenda wakiwa disco ujinga fyuuuuuu

  • @dazzleabdulaziz7059
    @dazzleabdulaziz7059 5 лет назад +3

    Kali mzee pia hongera kwa kurudisha ukaribu wako na t touch
    Jicho la fukunyuku limefukunyua hadi alikoonekana Mr T touch

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 5 лет назад

    saafi saana ngomaa ni kali ile mbayaa kama kawaida ney ukoseagi

  • @pendocharles8786
    @pendocharles8786 5 лет назад

    nan kamuona kobelo wakwenye maneno yakuambiwa gonga like twende sawa sema kawimbo ni kazurii haka jaman sijalewa

  • @kassimutekele4277
    @kassimutekele4277 5 лет назад

    Bonge la Goma...sema Kobelooooooooo 😁😁

  • @merryjulius4098
    @merryjulius4098 5 лет назад +1

    Wamemsahau masele pia..kideo kizuri😁😁kobelo kila nikikuangalia nchk mwenyew,maan mlevi ww hunaga nguvu

  • @davidchavala6611
    @davidchavala6611 5 лет назад +2

    nakubalin mwamba kaliii...

  • @emilalex9222
    @emilalex9222 5 лет назад

    Bala sana, huyoo ndo nay wa mitego.
    mwenyewe ngoma inavyonichoma ukiniona HATA Sijalewa
    ngonga like tulewe too hakuna wakutubaka

  • @trending_memes7783
    @trending_memes7783 Год назад

    Nay na Stamina ni beasts 🔥🔥

  • @leonardgichia6393
    @leonardgichia6393 5 лет назад

    Nay hii ni ngori hadi 254 ndani ushatulewesha sisi bigup unoself

  • @hamadkhamis9959
    @hamadkhamis9959 5 лет назад +2

    Thijalewa...ndo mana naiangalia mara ya 3 thatha...gonga like twende thawa👍

  • @clementsapanjo9159
    @clementsapanjo9159 5 лет назад

    nakubali nakubali nakubali mkali wao broo nay

  • @anoldjose7793
    @anoldjose7793 5 лет назад

    Good idea ya video Mr ney👏👏

  • @augustinomgembe6363
    @augustinomgembe6363 5 лет назад

    Hatari 🔥 ndan, kobero, stani wote wazeee WA gambe #sijalewa Mr #nay wa mitego

  • @japharyjuma5660
    @japharyjuma5660 5 лет назад

    Hajawahi kuniangusha Ney. Big up

  • @jacksonbaba1608
    @jacksonbaba1608 5 лет назад +3

    Yani hapo liquid wamempatia kabisa kama nawe umeona weka like twende sawa!

  • @mrfix6596
    @mrfix6596 5 лет назад +3

    Wa maneno ya kuambiwa km umewahesabu km mm twende sote

  • @victarterry9217
    @victarterry9217 5 лет назад +1

    Kali sana bro song

  • @atikfamily7540
    @atikfamily7540 5 лет назад

    Top top Nay💥
    *Big Love From Uk*

  • @eliaslameckdotto8348
    @eliaslameckdotto8348 5 лет назад

    My braza napenda kuskiriza goma zako sanaaaaa nahii imenissmuwa

  • @0yh964
    @0yh964 5 лет назад

    I'm from USA. Yaani sijui kiswahili kabisa. Ila hili ni bonge la ngoma.💥💥💥

  • @bahatevagre933
    @bahatevagre933 5 лет назад

    yaaan kama unanisema kweli SIJALEWA imebamba kinouma,kama umemkubali huyu MTU gonga like tulisongeshe

  • @zachariambasha1391
    @zachariambasha1391 5 лет назад

    umeuwaaaa Mzee baba #freenation

  • @officialgtzmusic8055
    @officialgtzmusic8055 5 лет назад

    ngoma konki sana shareup broo

  • @Directorjax55
    @Directorjax55 4 года назад

    Nmeikubali Kali Sana Mr Nay

  • @rahelmilami1271
    @rahelmilami1271 5 лет назад

    wewe ukoseagi kabisa Kembe letu😘👌👌

  • @willywilson3442
    @willywilson3442 5 лет назад

    Everybody say yeeeeeeeee!!!!
    Liquidii

  • @musamalomomusamalomo2414
    @musamalomomusamalomo2414 3 года назад

    KamandaAaah Nakubar Ankor

  • @Jwasafiog
    @Jwasafiog 5 лет назад +2

    Ngoma nikali Sana big up nay wa mitego

  • @kelvinmartin6296
    @kelvinmartin6296 3 года назад

    Nakubl sana broh ukosei👊👊

  • @mkenyahalisi1047
    @mkenyahalisi1047 5 лет назад

    Nay am your big fan from Kenya..big up tz

  • @kusagaramadhan7045
    @kusagaramadhan7045 5 лет назад

    oy oy cjawahi omba like but naziihitaji leo kama umemuona stani bakola mzee wa totozi hpo cjalewa

  • @yusuphcosco9851
    @yusuphcosco9851 5 лет назад

    Sijaelewa we ni ngombe kubali sana brother

  • @gaspermnzava6229
    @gaspermnzava6229 5 лет назад

    Ngoma Kali saaaana asiyeielewa ana lake

  • @switchtv9409
    @switchtv9409 5 лет назад

    Dah wajanja kama wote gud sana mzee

  • @cjkamandajumannnejumanne1979
    @cjkamandajumannnejumanne1979 3 года назад +1

    manzese hakuna raisi wala mbunge.......nawewe ndio rais

  • @erastongore1778
    @erastongore1778 5 лет назад +1

    NAY! NAY! NAY! ww! ukiendelea ivi utafanya tuache kusikiliza miziki ya watu wengine