SIMU AINA HIZI ZINAKUUA TARATIBU ZIEPUKE!!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 окт 2024
  • Kuna baadhi ya aina za makampuni ya simu zimetajwa kuwa na hatari zaidi ya sumu itakanayo na kiwango kikubwa cha mionzi. Ambacho simu aina hizo zinatoa hasa zinapotumika kinyume na mashart na maelekezo.
    Angalia Video hii kujua aina hizi za simu na jinsi ya kuzitumia vizuri.
    SUBSCRIBE na kama una maoni usisahau ku comment chini ya video hii na sisi tutaijibu mara 1
    Tembelea channel zingine
    ‪@dplatnumz‬ ‪@joelnanauka‬ ‪@glovaltv8787‬ ‪@EastAfricaTV‬ ‪@EastAfricaRadio‬ ‪@Vinei‬ ‪@FAFANUOMEDIA‬ ‪@ITVTanzaniaTz‬
    Tembelea ukurasa wetu wa facebook Wa ‪@Shabirimohamed255‬

Комментарии • 305

  • @AllyMohammed-b4o
    @AllyMohammed-b4o 3 дня назад +2

    Je ukitumia infx 6 nahii inamadhara??

  • @NancyNaomi-od6ng
    @NancyNaomi-od6ng 15 дней назад +4

    Hellen G white mu Adventist church alisha Nena kwenye vitabu alivyoviandika B4 Christ Kwa hatari ya technology mpango wa shetani kuwamaliza watu duniani

  • @NasibuamoninyamuhibaNasibuamon
    @NasibuamoninyamuhibaNasibuamon 2 дня назад +1

    Musingi.tujikabidhi.kwa mungutu

  • @SamhaBaraka-fl3nk
    @SamhaBaraka-fl3nk 3 дня назад +1

    Yangu Galaxy S6 edge+ haizuru

  • @AllyMohammed-b4o
    @AllyMohammed-b4o 3 дня назад +1

    Je ukitumia infx 6 nahii inamadhara??

  • @AllyMohammed-b4o
    @AllyMohammed-b4o 3 дня назад +1

    Je ukitumia infx 6 nahii inamadhara??

  • @MshigilaKarume
    @MshigilaKarume 16 дней назад +5

    Lisemwalo lipo

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 14 дней назад +4

    Naomba ututajie hizo nzuri zusizo na madhara

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 16 дней назад +3

    Kuchaji maranyingi kunategemeana na matumizi,kujam kwa simu ni kutokana na konection na simu zenye nguvu zaidi na aina tofauti,hivyo masikio kuuma sometimes.

  • @PhyllisWangui-k4c
    @PhyllisWangui-k4c 3 дня назад +1

    Yesu anawenza yote

  • @GreysonTz
    @GreysonTz 2 дня назад +1

    SoMo zuri sana

  • @GadnagihabashiHassani
    @GadnagihabashiHassani 12 дней назад +2

    Nyinyi mwataka tutumie kampun gan aitel kis aina soko apa nimwendo wa matambo t

  • @Alexwilliam-k9b
    @Alexwilliam-k9b 15 дней назад +3

    Watu wengi huotea kwakukosa maarifa.anayepuzia mashauri hayo basi hana bahati

  • @CrispinSamson-hj8tf
    @CrispinSamson-hj8tf 6 дней назад +2

    Kakosa kazi atengeneze ya kwake iliyo salama

    • @MagrethThobias-fm8bm
      @MagrethThobias-fm8bm 6 дней назад

      Kila kitu siku hizi kina madhara kwa hiyo ni kumuomba Mungu atuepushie😢😢 kuacha sm kuna vyakula tun avyo kula kila siku,wengine maisha yetu ni ya chini hatuwezi kununua sim za gharama

  • @AllyMohammed-b4o
    @AllyMohammed-b4o 3 дня назад +1

    Je ukitumia infx 6 nahii inamadhara??

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 9 дней назад +2

    Kwa hali hii habak mtu...Mungu atulinde na mitihan ya duniya .. Yarrab 🤲

  • @EricShao-v9d
    @EricShao-v9d 15 дней назад +4

    Nashukuru MUNGU mimi natumia XIAOMI 13

  • @mwitamahende4394
    @mwitamahende4394 15 дней назад +3

    Ni kweli hizo dalili zinatokea Sana ukitumia baadhi ya simu, wewe umetimiza sehemu yako.

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk 17 дней назад +6

    hakuna siraha yeyote iwe simu au uchawi unaoweza kumudhuru mtu yeyote aliye imara kwa Bwana watu Yesu Kiristo watishe waoga na wasio mwamini Yesu.

    • @Alexwilliam-k9b
      @Alexwilliam-k9b 15 дней назад

      Bwana yesu nasimu wapi na wapi broo? Wanaomwamini yesu hawauguwi ukimwi?ukipuuza ushauri kifo kinakuhusu

    • @ernesttogorowambura1568
      @ernesttogorowambura1568 9 дней назад

      Taarifa hizi umezipata wapi?

    • @BarakaTz-f1f
      @BarakaTz-f1f 6 дней назад

      huna akili za kufikiri unaangamia kwa kukosa maarifa

    • @Ibrahim-d9y
      @Ibrahim-d9y 4 дня назад

      🤣🤣🤣kila kitu kikizidi kiasi unakua ujinga, wote tunamwamini MUNGU lakin wewe ni mwehu, sidhan km hata la saba ulimaliza aisee😂😂😂

  • @JumaMussa-x9i
    @JumaMussa-x9i 17 дней назад +15

    Mwenyezi mungu akubariki juu ya elimu ya utumiaji wa Aina za simu ,tumejifunza mengi na mungu akuzidishie elimu ,ujuzi ,utambuzi na maarifa maana hii dunia tunayoishi Sasa Ni dunia ya kupenda pesa na vitu sio afya na utu wa watu .lsije ikafikia badala ya kutumia simu ,mwisho wa siku tukatumia mabomu .thank you for your ❤❤❤❤❤❤ training.

    • @jumanesaidi7635
      @jumanesaidi7635 14 дней назад +1

      Habari ni mzuri, na inaelimisha sana, lakini mzunguko ni mrefu mpaka kufikia hoja ya msingi, (maneno menngi).

    • @saidihungwe8291
      @saidihungwe8291 7 дней назад

      Umejifunza wewe tu na usiseme kwamba tumejifunza ungesema kwamba nimejifunza! vifo vipo tu! hata kabla ya simu kuenea hapa nchini watu walikuwa wanakufa tu!!! zungumzieni pikipiki bajaji na magari yanayouwa watu hazarani acheni kuongelea mambo ambayo hayaonekani machoni pawatu!!!!

  • @AthmanJuma-f5g
    @AthmanJuma-f5g 6 дней назад

    Wacha wewe mikwaraa,umekosa kazii ya kufanya inabidii ujirecordii kwa hiyo;hiyo simu ambayo umetumia kujirecord ni ninii?ama si simu,usitufanyee macartoon sawa shabir🤣🤣

  • @JoachimMwananjela
    @JoachimMwananjela 3 дня назад

    Taja sim sasa Ni sim gani?.mbona.hueleweki.onge.vya.maana

  • @DavidMusonda-o5v
    @DavidMusonda-o5v 17 дней назад +11

    Haya tuonyeshe simu nzuri

    • @Shabirimohamed255
      @Shabirimohamed255  17 дней назад

      @@DavidMusonda-o5v Simu nzuri ni zile ambazo ni matoleo makubwa kwenye kampuni husika la simu. Mfano infinix Hot 7 na hot 8 ni matoleo ya mwanzoni ambayo yanaweza yakawa ni sehemu ya majaribio ya ubora na soko. Ila infinix hot 30 na hot 40 kidogo ni nzuri kwa maana ni matoleo yaliyoendelea na makubwa hivyo hivyo na kwa makampuni mengine. Toleo la kwanza sio zuri kama toleo la hivi karibuni

  • @mohammedjecha1730
    @mohammedjecha1730 3 дня назад

    Naomba nikuulize je kuna utofauti kati ya sim ya Infinix Hot 7 na Infinix smart 7

  • @Mussa-z6q
    @Mussa-z6q 5 дней назад

    Je cm aina ya aqous zero 6 na. R6 ZINAMADHARA

  • @mohamedimiraji5495
    @mohamedimiraji5495 14 дней назад +2

    Kinacholeta madhara ni "Electromotive waves" kitu ambacho hata minara kukaa kwenye makazi athari lazima, kwa upande wa simu inategemea na matumizi, kwa mfano ni bora kutumia earphones kuliko kuweka simu karibu na sikio. Na kwa wale bodaboda au kinadada wanaoichomeka kwenye kofia ili waendelee na kazi nyingine wakati wanaongea. Pia simu zenye antena ni bora zaidi kuliko yale mabapa n.k

  • @thadeusmacha9437
    @thadeusmacha9437 15 дней назад +3

    Naomba kuzijua simu za samsun zenye madhara tafadhali mwalimu wetu

    • @Shabirimohamed255
      @Shabirimohamed255  15 дней назад

      Simu za samsung hazina madhara. Ni aina chache tu na hasa matoleo ya zamani ndo mabaya

  • @RehemaSaidi-kt9gq
    @RehemaSaidi-kt9gq 3 дня назад

    Mimi nasema hv wkt mwengine punguza sauti za miziki ni rahis kwa msikilizaji kuskia unachokisema kwa wepesi ila c kwa ubaya yng ni maoni tu

  • @KawereMustafamuawiya
    @KawereMustafamuawiya 7 дней назад +1

    Mwenzangu! Yangu ni AO5 Samsung galaxy je Haina ubaya wa mionzi?

  • @NyamjaMabele
    @NyamjaMabele 7 дней назад

    Naomba kujua simu ya sumsang Galax J 2 au J7 nayo in hatari kwani huwa in tabia ya kuchemka.?

  • @mbuyaelyaoni6266
    @mbuyaelyaoni6266 13 дней назад +1

    Duh, elimu Yako ya ajabu', hujui namna ya kueleza jambo. Hopeless kabisa

  • @DooPesa
    @DooPesa 4 часа назад

    Kaka je kwa upande wa aquos na docomo, sio hatari?

  • @Wildforlife182
    @Wildforlife182 2 дня назад +1

    bro iphone 11 iko salama

  • @placidegirukwishaka3967
    @placidegirukwishaka3967 17 дней назад +2

    Kipi ca kutumia ili hiyo miyonzi isituzuru

  • @SdfSdf-vk1qy
    @SdfSdf-vk1qy 8 дней назад +1

    sasa vindore zangu hua zinafura usiku sana nakuna rangi imetokea vindore

  • @fasilamohammed1560
    @fasilamohammed1560 12 дней назад +1

    Hii ni faida kwà atakae asotaka atajisikia mwenuewe hujalazimishwa kijijadhari. Na kama ni cancel imeenea western countries almost every two to three out of ten people have the said decease. Kwà hio kuambiana kuko kufuata na kusikiza ni khiari. Majito ni mjukuu.

  • @Jeandededieu
    @Jeandededieu 12 дней назад +2

    Asante kabisa ufanya vizuri tumepata kuelewa kuhusu simu zenye sumu

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 7 дней назад +1

    Nikweli kabisaa Aowanao Isha watajua Awajakutana nayo Aidha wafanya biashara Awajali Afiya zawatu mimi nimesha tumia cm ya Samsung Ayo uliyo yataja yote yalikuwemo nimeitumia myezi 6 tuu ikanishinda sikutaka kumpa Atamtu nili Ipasua nilijua inamadhara makubwa

  • @HadjaNinga
    @HadjaNinga 6 дней назад

    Simu gani sasa ndio haina madhara kama kupata magonjwa tumepat

  • @AllyMohammed-b4o
    @AllyMohammed-b4o 3 дня назад

    Je ulitumia infx 6 nahii inamadhara????

  • @Djf2hb
    @Djf2hb 16 дней назад +3

    Natumia infinix hot 40i na nyengine ni not 12i nazijawahi kunifanyia shida yoyote muache uongo wabiashara baanah

    • @blessnhano3437
      @blessnhano3437 6 дней назад

      kwani umesikia anataja hot 40 ,kasema ni hot 7,8 na siyo infinix zote,jamaa yuko sawaa maana samsung s10 zinachemka sana halfu charge zinakimbiza

  • @chinasaid4353
    @chinasaid4353 18 дней назад +3

    Iphone mbona inaripuka kwenye charge

    • @Shabirimohamed255
      @Shabirimohamed255  18 дней назад

      @@chinasaid4353 Milipuko ya betri za iPhone wakati wa kuchaji husababishwa na hitilafu za kiufundi kwenye betri, kama vile uharibifu wa ndani, mzunguko mfupi, au udhibiti mbovu wa joto. Kuchaji katika mazingira yenye joto kali au kutumia chaja mbovu, zilizoharibika, au tofauti na chaja ya simu yenyewe kunaweza kufanya betri izidiwe na kupasha joto kupita kiasi, hali inayoweza kusababisha moto au mlipuko. Aidha, uharibifu wa nje kama vile kuanguka au kupigwa kwa simu unaweza kudhoofisha muundo wa betri, kuleta matatizo ya ndani yanayosababisha mlipuko.

  • @isaacemmanuel-v5w
    @isaacemmanuel-v5w 6 дней назад

    Kwa hiyo simu IPI ninzuri kutumia?

  • @valentinohamisi1882
    @valentinohamisi1882 16 дней назад +4

    Asante kwa elimu, naomba matini hii video

  • @JoséFaustinoFranciscoUssen-i3d
    @JoséFaustinoFranciscoUssen-i3d 5 дней назад

    Sasa Infinix Smart 7 nae uma sumu????

  • @peterhemma7997
    @peterhemma7997 15 дней назад +1

    Na siyo sm tu hata tv,mikanda,miwan,brazia,viatu

  • @JanathMsedemu
    @JanathMsedemu 19 дней назад +2

    Ngera kwa utafuti huo

  • @elizabethawuor5402
    @elizabethawuor5402 15 дней назад +5

    Kaka mungu atatusaidia hatuna other wise God is great

  • @XasanXuseen-c5n
    @XasanXuseen-c5n 10 дней назад +1

    Hii ni baada ya mlipuko wa hizibula huko jordan au?

  • @abdulziadiibrahim6758
    @abdulziadiibrahim6758 16 дней назад +1

    Watanzania mpaka mpate madhla ndo mseme kumbee nikwer

  • @salumyusuph6633
    @salumyusuph6633 16 дней назад +1

    Ahsante kwa taarifa
    Kwenye matoleo ya Samsung ambayo yameripotiwa kuwa sio salama ni Galaxy 10, je hii ndio Galaxy S10 5G ?

  • @SafiyaAbdallah-h9w
    @SafiyaAbdallah-h9w 17 дней назад +3

    Mm naamini huwnda ikawa kweli

  • @FedhaVanbility
    @FedhaVanbility 18 дней назад +2

    kumbe zinaua taratibu mi nikajua haraka tutafutie zinazo ua haraka mkuu

    • @mathiaspaschal8477
      @mathiaspaschal8477 16 дней назад

      Weww ,huenda mapenz ndo yanakuchanga ushajichokea😅😅😅😅

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 15 дней назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @OlverMtayoba
    @OlverMtayoba 11 дней назад +1

    Je Infinix smart 7 nayo Ina shida

  • @SdfSdf-vk1qy
    @SdfSdf-vk1qy 8 дней назад +1

    hi Mimi simu yangu nilinunua Saudi Arabia na ninapi itumia hua naskia nikama naganda vindore simu yenyewe ni benco

  • @halemasuliman-js8ug
    @halemasuliman-js8ug 18 дней назад +5

    Asante sana kaka nikweli kabisa tunakushkuru kwa kutuelewesha

    • @Shabirimohamed255
      @Shabirimohamed255  18 дней назад +1

      @@halemasuliman-js8ug Ahsante sana

    • @HeleneOyster
      @HeleneOyster 15 дней назад

      Ni kweli kabisa naelewa sana ila wale waliosomea mambo ya ufundi wa elekronic

    • @HeleneOyster
      @HeleneOyster 15 дней назад

      Kaka naomba unipigie ili nikuulize kitu kuhusu haya haya mambo ya elektronic. Inbox

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 17 дней назад +3

    Asante sana barikiwa sanaaaana

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 9 дней назад +1

    Subhana Allah 😭😭 laa illah haillah 😭🤲 Yarrab atupe Khushi khatma

  • @JacobKabika-o8f
    @JacobKabika-o8f 15 дней назад +2

    Elimiu hii ifundishwe Kwa watu wote

  • @celestinemasondole
    @celestinemasondole 4 дня назад

    Simu aina ya zte

  • @DavidMusonda-o5v
    @DavidMusonda-o5v 17 дней назад +3

    Asante sana

  • @TimothyAsman
    @TimothyAsman 18 часов назад

    Uwongooo

  • @Christine045
    @Christine045 11 дней назад

    😂😂😂sasa tuepuke na utaka tuwatch channel yako😂

    • @Shabirimohamed255
      @Shabirimohamed255  11 дней назад

      Hakikisha ume SUBSRIBE, like na Whare video hii kwa uwapendao. Hii itafanya uwe wa kwanza kupata video zetu mara tu tunapo wela video mpya RUclips. Malengo yetu sio mabaya

  • @damianmbunda9310
    @damianmbunda9310 6 дней назад

    😂 hizo zinazoua Taratibu si ndo nzuri, kwani ni nani kakwambia anataka kufa haraka?

  • @MeMbwana
    @MeMbwana 6 часов назад

    Infinx 665

  • @MamaAfrica-f7i
    @MamaAfrica-f7i 15 дней назад +3

    Nakuruhusu sana kwa maelekezo mazuri

  • @AthumaniMkawa-vv9uh
    @AthumaniMkawa-vv9uh 14 дней назад +1

    Samahan kwahy cm sahihi ya kutumia niipi, ? Nipe jibu niepuke haya

    • @Shabirimohamed255
      @Shabirimohamed255  14 дней назад

      Simu zenye kiwango cha chini cha mionzi,.... zinqtoa mionzi kidogo sana wakati wa matumizi ya kawaida. Mfano
      Google Pixel 6a
      Samsung Galaxy A32
      Apple iPhone 13
      Motorola Edge 20
      Ubunifu bora wa antena inapunguza matumizi ya nguvu, hivyo simu inatoa mionzi kidogo zaidi. Mfano
      OnePlus 9 Pro
      Samsung Galaxy S21 FE
      Sony Xperia 1 III
      Xiaomi Mi 11
      Teknolojia za kisasa kama 5G au 4G hii inasaidia simu kufanya kazi kwa ufanisi, ikitoa mionzi kidogo. Mfano
      Apple iPhone 14 Pro
      Google Pixel 7
      Samsung Galaxy Z Fold 4
      Oppo Find X3 Pro
      Simu zenye uwezo mzuri wa kushika mawimbi hazihitaji kutumia nguvu nyingi, hivyo mionzi hupungua.
      Nokia G50
      Realme GT Neo 2
      Vivo X60 Pro
      Asus Zenfone 8
      Ubunifu wa vifaa bora vya ndani hupunguza uzalishaji wa joto na matumizi ya umeme, hivyo mionzi ni kidogo.
      Samsung Galaxy A52 5G
      Xiaomi Poco F3
      Sony Xperia 10 III
      Motorola Moto G Power 2022
      ANGALIA MOJA KATI YA SIMU HIZO

  • @MgoreCharles
    @MgoreCharles 18 дней назад +1

    Wewe mwenyewe umetumia sim ten ww umetuzd ad unajua kuapproad elim yak imekusaidia nn andik kitabu tununue

    • @Shabirimohamed255
      @Shabirimohamed255  18 дней назад

      Ni asilimia chache za watu wanaopenda kusoma. Wengi wanapenda kuskiliza na kuangalia kuliko kusoma kwa sababu wanahisi kama wanatumia nuda mwingi kusoma. Hivyo ndio maana hata wanaoandika vitabu wana makala zao mitandaoni ili wasiopenda kusoma watumie zile makala. Ahsante sana kwa maoni yako

  • @saidihungwe8291
    @saidihungwe8291 7 дней назад

    Hawa wasomi wasitake kutuchanganya wanajikita kuzungumzia vitu vyenye mazara pindi vinapotumiwa na watu!!! lakini pikipiki zinazouwa kila siku hawaziongelei!!! sasa kinachouwa hadharani na kinachouwa bila kujua kipi kiaminiwe? tafuteni hela haya mambo ya matatizo na majanga mbalimbali ni sahemu ya maisha!

  • @KhaririKahindi
    @KhaririKahindi 6 дней назад

    Na ww yko n gn,na huo uchunguz wko ulianza ukiwa tyr wajua n aina gn za simu yapaswa or yastihili kutumia,

  • @patricklwegenzya981
    @patricklwegenzya981 5 дней назад

    God bless

  • @HyrieneAkinyi
    @HyrieneAkinyi 5 дней назад

    Amen 🙏 🎉

  • @KhaririKahindi
    @KhaririKahindi 6 дней назад

    Nonces

  • @Rick_the_mogul
    @Rick_the_mogul 9 дней назад

    Nonsense.

  • @angulujos-rb2sd
    @angulujos-rb2sd 8 дней назад

    Hakuna binadamu atakaye ishi milele sio laziauwawe kwa simu

  • @سليفياكينيا
    @سليفياكينيا 11 дней назад

    Hio nikweli
    . Nilipata simu kama hio ilasikuelewa Shida ya letwa na Nini ilinishinda nikaenda irudisha dukani

  • @fasilkais5669
    @fasilkais5669 17 дней назад +1

    Tumeisha Kabuki lilee linaonekana tulio kwisha tumia tuendelee au tufanyajee

    • @Shabirimohamed255
      @Shabirimohamed255  17 дней назад

      @@fasilkais5669Tumia simu bora na nzuri.
      Simu nzuri ni zile ambazo ni matoleo makubwa kwenye kampuni husika la simu. Mfano infinix Hot 7 na hot 8 ni matoleo ya mwanzoni ambayo yanaweza yakawa ni sehemu ya majaribio ya ubora na soko. Ila infinix hot 30 na hot 40 kidogo ni nzuri kwa maana ni matoleo yaliyoendelea na makubwa hivyo hivyo na kwa makampuni mengine. Toleo la kwanza sio zuri kama toleo la hivi karibuni

  • @DavidMusonda-o5v
    @DavidMusonda-o5v 17 дней назад +1

    Bro tuonyeshe simu bora

    • @Shabirimohamed255
      @Shabirimohamed255  17 дней назад

      @@DavidMusonda-o5vMakampuni mazuri ya simu ni Iphone, Google pixel , Samsung na Huawei.
      Simu nzuri ni zile ambazo ni matoleo makubwa kwenye kampuni husika la simu. Mfano infinix Hot 7 na hot 8 ni matoleo ya mwanzoni ambayo yanaweza yakawa ni sehemu ya majaribio ya ubora na soko. Ila infinix hot 30 na hot 40 kidogo ni nzuri kwa maana ni matoleo yaliyoendelea na makubwa hivyo hivyo na kwa makampuni mengine. Toleo la kwanza sio zuri kama toleo la hivi karibuni.

  • @AbduliMaulidi-u2s
    @AbduliMaulidi-u2s 12 дней назад +1

    Asante sana brother

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw 14 дней назад

    Simu zipi tutumie? Maana umetaja zenye simu lakini zisizo na simu hukutaja

  • @samuelndegwamburu3273
    @samuelndegwamburu3273 13 дней назад

    Wazimu mwingine, kwani ametoroka mathare

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 16 дней назад +2

    Mi nina sumsung galax j 4, na samsung galax j 4+ je nahizo zina tatizo lipi?

    • @Shabirimohamed255
      @Shabirimohamed255  15 дней назад

      Zipo salama

    • @Veronicamassinga
      @Veronicamassinga 7 дней назад

      Mi nina Samsung galaxy A02 vp ina shida nayo maana mpaka nimeogopa

    • @Shabirimohamed255
      @Shabirimohamed255  7 дней назад

      @@glorysungura3180 ni nzuri ila mwanga wake n mkali sana kwa usalama wa macho washa Eye care

  • @PaulKisui
    @PaulKisui 9 дней назад

    shinda yenu ni maelezo ya maneno mengi hayana maana na kurudiarudia maneno moja

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 14 дней назад

    Huyu mtu ni mwongo sana wewe kama ww huna uwezo wa kuunda simu utajuaje madhara yake ww utakuwa na matatizo ya kichwa wewe mpotoshaji chaji mbovu

  • @herbertgowelle9156
    @herbertgowelle9156 15 дней назад

    Natumia Samsung galaxy S10e, hiyo je?

  • @JeanBahati-k5w
    @JeanBahati-k5w 13 дней назад

    Halafu sim techno supark 10 haina madhara?

  • @elishamwachali7439
    @elishamwachali7439 9 дней назад

    Naomba kujua ni aina gani ya simu ambazo hazina hiyo shida ?

  • @alawichilimali9679
    @alawichilimali9679 11 дней назад

    Pamoja. Kuwa ni biashara...je Srikali halijui hilo,...

  • @KagitoNdullu
    @KagitoNdullu 9 дней назад

    Bro acha kupotosha watu hamna ushaid wowote apo👂👂

  • @AnithaLulambo
    @AnithaLulambo 12 дней назад

    Simu yangu Infinix hot 12 vp Haina tatizo

  • @ZUHURAOMARHAMAD
    @ZUHURAOMARHAMAD 7 дней назад

    Tueleze na hizo ambazo hazina madhara

  • @EmilyOdede-m2v
    @EmilyOdede-m2v 7 дней назад

    Ata watoto wanavaa miwani mapema waaaa

  • @TimothyKijumbe-gx9jl
    @TimothyKijumbe-gx9jl 13 дней назад

    Kama simu zinamatatizo kwanini zinaingizwa sokoni

  • @RamadhanIdd-bz2te
    @RamadhanIdd-bz2te 12 дней назад

    Mm simu yangu ni Nokia but iko na Moto Sana tena huwa inanichoma

  • @nabiiplatnumz147
    @nabiiplatnumz147 16 дней назад +4

    AHSANTE SANA KWA USHAURI WAKO

  • @fasilkais5669
    @fasilkais5669 17 дней назад

    Dimewaomba rihusa wenyevkampunii)( tumechoka kusikia kuwa huyu katekwaa

  • @sylvanjosam3402
    @sylvanjosam3402 13 дней назад

    Tafta ela ww usije ukauponza

  • @Frank2545
    @Frank2545 16 дней назад +1

    Na Samsung galaxy A02 pia hyo n hatar

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 12 дней назад

    Wewe unataka kuishi milele duniani?

  • @PascasMathew
    @PascasMathew 11 дней назад

    Lomgolongo nyingi neda kweny point