Apart from watu kusema wambo anaharibu ndoa ya yenyewe ile kazi amefanya mungu amubaliki njuu hakuna kitu mzuri kama mtu kukusaidia kama wakati huu dave ako hivo.
Hyo mwenye ndoa yake inaharibiwa alikua wapi wamboi akipiga magaidi mateke ?Anita angeonyesha love yake Ile time but wapi...Dave songa na wapo mosi mosi you deserve love
Without Wambui Dave was going to die because he was in water for long time and //She did CPR well qualified make Dave breath DCI Fred are hard worker God bless u all time
In short achana na Wambo thats a clever, courageous, confident, prayerful girl ...she can risk extra miles to safe others,,imani yake maombi na all over..huyu bibi hata kama mlikuwa mmekosana honestly ukisikia kitu imetendekea bwanako huna ile kahuruma wewe hata kama utakaa kwa boot
Ile kazi alifanya wamboi ilikua inafaa annita amfanyie bwana wake mbona ameshindwa SSA hii yote wallahi wamboi amefanyia sdave kwa roho safi wamboi aoleke na sdave
Wamboi ako roho safi kabisaa , Dave mwenye waluzaa na yy mtoto alikuwa anataka akufe ,kama alikuwa anapenda mbona hakuwa anajiunga na akina Fred hili watafute Dave, saa zile anezaapatikana ndio anatuma Caleb ,na Caleb naye anasema awakete pamoja juu wako na mtoto ,hata Hauna haya Caleb, sisi tunajua wamboi
Wee dci pigia Fred umjulie haki pls coz huyo mama aliyekidnap Dave alisema alipea ocs pesa fred atapewa transfer,hala pia wale ma askari wa Kikuyu walikuwa wanataka pesa wakaambia Fred ATI ataona huku ni central sio kwa wajaluo,do you remember
This story of senior dave not adding up... First aid anapelekwa kirwara in muranga county. Walisema ako kinangop forest in nyandarua county. This champee is behaving as if they are acting. I remember in the forest i saw red soil and am from nyandarua where we don't have red soil.. Redflags
Waume wote wataona hii usiwahi kubali bibi yako kutoroka na vitu za nyumba arafu arudi nazo mara ya mwisho atatoroka utashangaa vile anniter alifanya 😢😢
Uyu Alice simuon vixury alisema boss wake yuamtesa mbona akutoraka nafas y kukuja kw baba kafue alipa lkn y kutoroka akakosa akawa ametulua to yuatumiwa n vijan aangaliwe san uyu msichan
But kwan uyu alifanyiwa nn na anita coz for sure sidhani ka anapenda dave vile anavo sema kama anaweza tusi annita kila siku wakati anajua wamezaa na dave na hajawai ona dave akimrushia matuc ivo
Ww bro surely unajisikiliza cos uwez sema unapenda dave na ujali kama mtu unataka aoe alichoma mtoto.wat if ikue ni story za ukweli alichoma mtoto ? Si mtu anaeza choma mtoto wake anaeza kukuua ww mtu hakujui? Nkt
Wambui alirongwa wakarudi wakaronge Elvis wakitafuka Elvis wakapata wambu kwa msitu na wakaambiwa Elvis ako kisumu, then Wambui hakuwa na mahali pa kulala wakamuacha akilala kwa studio baadaye wakatuma Jeremy wakaenda kwa baba kafue ,Wambui alikuwa anasaidia Dave vile alimsaidia, alikuwa anasema ati Wambui ndiye alimfanya aende kama ni yeye si angekuwa na nyumba?? Hii story ya Anita haina any sense
Wambui is beautiful inside and out side
True
She is a hypocrite , go back and watch the first show where Dave met her
Mimi mtu nataka achunguswe vizuri ni alice koz nikama ako na mambo mingi sana pia siri fiche
True
Umeongea mara n family dev atuambie km yuamjua
Alice hana shida ulisikia huyo Mary akisema vle huyo kanono alikua anatesa Alice
But Kwa hiyo video ya anita huyo Dem anafanana Alice or ni Mimi tu naona
Wambo alisaidie senior kwa sababu senior alisaidie pia, that's why wambo amesimama n deva
Dci Simon you got good heart and you are straight forward
Wanbo, Fred , True K family and Directors for SD they worked , may God bless them all
WAMBOI IS MERCIFUL, AND THIS IS BECAUSE SHE IS FULL OF DIVINE SPIRIT
Always never forget someone who's defend and fight for you and any supporting you kwa kila jambo... wamboo you've a good heart ❤️ Dear
Malaika ako right uko sawa kabisa Simeon 👍👍👍😂😂😂
Ati unakaa kama nyani,😮 NO!! You are fearfully and wonderfully made the Bible says so👏👏
Anita ameze wembe akitaka,wambui mungu akumbariki kusimama na your boss
Kwanza Ile kubwa ama panga
You makes us happy continue
Wambui be blessed dear❤
We listen by we don't judge
😂😂😂😂😂uo mzi bro wangu nakupendaga sana
Wasokunda kazî wanayo
Apart from watu kusema wambo anaharibu ndoa ya yenyewe ile kazi amefanya mungu amubaliki njuu hakuna kitu mzuri kama mtu kukusaidia kama wakati huu dave ako hivo.
Hyo mwenye ndoa yake inaharibiwa alikua wapi wamboi akipiga magaidi mateke ?Anita angeonyesha love yake Ile time but wapi...Dave songa na wapo mosi mosi you deserve love
Without Wambui Dave was going to die because he was in water for long time and //She did CPR well qualified make Dave breath DCI Fred are hard worker God bless u all time
Wambo ako na roho safi dci Fredrick be blessed ❤
That the real meaning ya jina wambui ( kikuyu) wako roho safi na.hawajui kujifanya
😂😂😂😂😂😂Wivuuuu
Umesema.ukweri❤❤❤wamboy.akokaz😂😂😂❤❤❤
Jaluo roho safii sana..niulizeni vipi...
😂😂😂😂😂😂 kasongo yeyeeee mbali na ngaiiii 😂😂
Alice ako kwa mission kama annita anasema ni wao kuna kitu fiche hapa bt tutanjua tu
Walijuliana wapi na Anita ,,,,Alice anatupima
@IvyWambui-v2f .Ati ni wa side ya dave hukuona annita aliweka pic yao wakiwa wa tatu sasa hpa hatunjui kama ni annita anaongea ukweli .
Bt watu hufanana😅
Simon you straight forward.
Thanks
Umeongea ukweli hapo bro🎉❤❤ wambo hataki lawama na hio ndio team work
Simon nmekupenda siku hizi unaongea.kweli mtupu c kama hapo.nyuma, kumbe uko tu na points poa hivi❤❤❤❤
Dave alisadia wambo alimtoa kwa kijaka do good with good
Ni kweli uko smt bro lkn michongoano nayo waaaaa 😂😂😂😂😂😂 unachongoa vbaya
In short achana na Wambo thats a clever, courageous, confident, prayerful girl ...she can risk extra miles to safe others,,imani yake maombi na all over..huyu bibi hata kama mlikuwa mmekosana honestly ukisikia kitu imetendekea bwanako huna ile kahuruma wewe hata kama utakaa kwa boot
😂😂😂 ongea ikutoka
🎉🎉🎉🎉for u Mr simeon
Those five really know how to act for sure
Venye wambo alipotea Dave alimtafuta Sasa wambo alisaidia Dave venye Dave alimsaidia
Ile kazi alifanya wamboi ilikua inafaa annita amfanyie bwana wake mbona ameshindwa SSA hii yote wallahi wamboi amefanyia sdave kwa roho safi wamboi aoleke na sdave
Mm unabamba na hyo matusi 2 😂😂😂😂
Ata wambo akiolewa Na senior hakuna shida huyo Ndio mwanamke mwema
😂😂😂😂😂😂😂😂😂ongea na malaika nyuma ya camera 😂😂
Ngoko wa nguli is disturbing Anita with uchawi he said wambo is in a mission to finish Dave
But wambo is agood wife 🎉❤
Wamboi ako roho safi kabisaa , Dave mwenye waluzaa na yy mtoto alikuwa anataka akufe ,kama alikuwa anapenda mbona hakuwa anajiunga na akina Fred hili watafute Dave, saa zile anezaapatikana ndio anatuma Caleb ,na Caleb naye anasema awakete pamoja juu wako na mtoto ,hata Hauna haya Caleb, sisi tunajua wamboi
Wee dci pigia Fred umjulie haki pls coz huyo mama aliyekidnap Dave alisema alipea ocs pesa fred atapewa transfer,hala pia wale ma askari wa Kikuyu walikuwa wanataka pesa wakaambia Fred ATI ataona huku ni central sio kwa wajaluo,do you remember
Simeon ,wambo was planning to kill her kdf husband but Dave saved his husband that’s how wambo lands kwa studio ya Dave
They were acting eambo was not married they acted with her cuzo hubby
😂😂😂😂Eti amepiga watu mateke
This story of senior dave not adding up...
First aid anapelekwa kirwara in muranga county.
Walisema ako kinangop forest in nyandarua county.
This champee is behaving as if they are acting.
I remember in the forest i saw red soil and am from nyandarua where we don't have red soil..
Redflags
Waume wote wataona hii usiwahi kubali bibi yako kutoroka na vitu za nyumba arafu arudi nazo mara ya mwisho atatoroka utashangaa vile anniter alifanya 😢😢
😂😂😂😂😂😂ongea itoke
Alice ni group ya Anita cz ni cuzo sis yake atolewe uko apelekwe kwa Anita...plan yote Alice anayajua na anajifanya innocent ATI ni yatima
Marayika hayamuhusu kuingiriya ndowa yaweyewe
ONGEA JUU YA MABIBI NA SOLOMON UTAKOSA DINNER
😂😂😂😂😂supper hapewi leo😂😂
Nikweli Fred aliona fisi kwa msitu mbona wakatoroka ilikua wakae wakuliwe na wanyama ndio waskie Raha maadui
Uyu Alice simuon vixury alisema boss wake yuamtesa mbona akutoraka nafas y kukuja kw baba kafue alipa lkn y kutoroka akakosa akawa ametulua to yuatumiwa n vijan aangaliwe san uyu msichan
Jamani ndugu achana na Anita wewe ukusikia mtu anakaribia mke wako utasikia vizuri kweli?ussizahau kuna wivu ya mapenzi
mm sitatusi annita tungonjee what next
But kwan uyu alifanyiwa nn na anita coz for sure sidhani ka anapenda dave vile anavo sema kama anaweza tusi annita kila siku wakati anajua wamezaa na dave na hajawai ona dave akimrushia matuc ivo
Before wambo kupotea rumours zao na dave kucheat zilikuwa plz wacheni kudivert story
Wambo akuletee bibi Tena what about your wife wololo Simeon
Alice ni cousin ya annita hapelekwe uko
Bac tuambie picha ya alice na annita ilitoka wap na ni miaka pasts mm nataka mtu anilezee juu ii ndio ndio inanichanganya plz
Hiyo pic hawaezi zungumzia,red flag
By the way nilikuwa nasema wee nikafupi na tumbo kubwa nisamehe sina lowyer.
Mimi nilikuwa nafikiri unakaa kama nyani kumbe wewe ni mali safi
wewe chunga maneno yako
Huwo.anit.ataki.kwikakwanyumba.anataka.
Hao wenye wanasema they're acting walaniwe mara Saba sabuini
Ww bro surely unajisikiliza cos uwez sema unapenda dave na ujali kama mtu unataka aoe alichoma mtoto.wat if ikue ni story za ukweli alichoma mtoto ? Si mtu anaeza choma mtoto wake anaeza kukuua ww mtu hakujui? Nkt
Wambui alirongwa wakarudi wakaronge Elvis wakitafuka Elvis wakapata wambu kwa msitu na wakaambiwa Elvis ako kisumu, then Wambui hakuwa na mahali pa kulala wakamuacha akilala kwa studio baadaye wakatuma Jeremy wakaenda kwa baba kafue ,Wambui alikuwa anasaidia Dave vile alimsaidia, alikuwa anasema ati Wambui ndiye alimfanya aende kama ni yeye si angekuwa na nyumba?? Hii story ya Anita haina any sense
Dave aki owa wambo hakuna shida kwa sababu kazi ya Anita nikutoanga vitu via nyumba inje kisha akirudi Anita is no mature
We kwenda 🤕🤕
Caleb achana na dave chukua anita pamoja na mtoto
😅😅😅
You are naive!
Umepata content shame on you