Mash allah tabarak rahman Achari tamu hiyo kwa lunch na dinner allah atakulipa mema kama unavyojitolea sadaka kutufundisha mapishi yako Allahuma Amin yarab
I just made this today using your recepe, ila niliongeza kitungu nikablendia na pilipili(habanero, jalapeno kidogo) na ndimu, nasubiria siku 3. I wish youtube allows pics. Cant waaait. Nililetewa achari ya mbirimbi toka Tanzania, niliipenda sana. Na ni tabu kidogo kupata mbirimbi hapa US kwa baadhi ya states. So nikayoutube nikakuta unawezakutengeneza ya embe. Nadhani nilishakula ya embe kipindi naishi Zanzibar. So am so excited to see the results. Thanks for your help😍😍😍😍😍👌🏾👌🏾👌🏾
@@aromaofzanzibar finger accross lol. Mi naishi Kansas. Ntaweka picha instagramm. Shukran kwa muda wako kujibu. I really love your recipies.. U r the best
@@aromaofzanzibar by the way funny stories, nilitafuta habanero karibia mji mzima. Finally nikazipata wholefood, sasa our 2 year old akaziona kwenye countertop akaamza kula wife alistuka, akasubiria matokeo yatakuwaje in few mins after her eating anaona hata anaendelea kula tu, akashangaa akaonja akaona hata sio kali kabisaaaa yaani kwa mbaaaali. Ikabidi nikachukue jalapeno kuweka ukali thats why nimeadd jalapeno, but when I came to test one of the habanero some were hot some were zero hot, do u have an idea why? Tulishangaa sana. Je kuna aina tofauti za habanero some sweet na zingine hot?
@@Bisekoson Duuh pole , nimewahi kupata hivyo lakini zilikua zote haziwashi ni kahisi labda ni wrong label na vizuri ilikua hivyo maana mtoto angewashwa sana
Dear nimeeleza hapo kama achari hii haitaki joto ...???? nimeeleza clearly kama unaishi sehemu ya joto weka kwenye fridge kama upo sehemu ya baridi kiasi 65F utaweka nje . Joto linaharibu achari kama hii kwasabu ya acidity
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatu vp hali yako aunty, miss u alot nine change my account from mylovlyhusby to dis one. Its my last daughter's name. Wooow ajab maa shaa Allah. Aunty waeza kutumia maembe yeyote ama ni lazma yawe maembe ngowe?
Mashaa Allah shukran habbty jazaka Allahu kheir Yarab Amiin
Hii sadakatujariah Allah akuzidishie kheri love u my habbty 😍😘 جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
Amin ya Rabb
Mash allah tabarak rahman
Achari tamu hiyo kwa lunch na dinner allah atakulipa mema kama unavyojitolea sadaka kutufundisha mapishi yako
Allahuma Amin yarab
Amin ya rabb
Ok nashukur nimekuelew sas vzr
I just made this today using your recepe, ila niliongeza kitungu nikablendia na pilipili(habanero, jalapeno kidogo) na ndimu, nasubiria siku 3. I wish youtube allows pics. Cant waaait. Nililetewa achari ya mbirimbi toka Tanzania, niliipenda sana. Na ni tabu kidogo kupata mbirimbi hapa US kwa baadhi ya states. So nikayoutube nikakuta unawezakutengeneza ya embe. Nadhani nilishakula ya embe kipindi naishi Zanzibar. So am so excited to see the results. Thanks for your help😍😍😍😍😍👌🏾👌🏾👌🏾
Am happy for you huku US hata Texas hakuna mbirimbi. I hope yr achari turns out well you can send me pictures on Instagram.. take 😘
@@aromaofzanzibar finger accross lol. Mi naishi Kansas. Ntaweka picha instagramm. Shukran kwa muda wako kujibu. I really love your recipies.. U r the best
@@aromaofzanzibar by the way funny stories, nilitafuta habanero karibia mji mzima. Finally nikazipata wholefood, sasa our 2 year old akaziona kwenye countertop akaamza kula wife alistuka, akasubiria matokeo yatakuwaje in few mins after her eating anaona hata anaendelea kula tu, akashangaa akaonja akaona hata sio kali kabisaaaa yaani kwa mbaaaali. Ikabidi nikachukue jalapeno kuweka ukali thats why nimeadd jalapeno, but when I came to test one of the habanero some were hot some were zero hot, do u have an idea why? Tulishangaa sana. Je kuna aina tofauti za habanero some sweet na zingine hot?
@@Bisekoson I will be waiting
@@Bisekoson Duuh pole , nimewahi kupata hivyo lakini zilikua zote haziwashi ni kahisi labda ni wrong label na vizuri ilikua hivyo maana mtoto angewashwa sana
Mashallah tabarak Rahman shukran ukhty aroma ❤🥰🥰🌹👌
🌹🌹😘😘🥰
Ahsante pia, Madame!
Hadi nameza mate👌
This is very nice ! Definitely making it . ❤. Superb !
Enjoy!
Mashallah shukran mum
Maa Shaa Allah shukran habibty kwa kushare nasi hili pishi. Allah akulipe kheir In Shaa Allah ❤❤😍🌷
Amin kwetu sote 🙏🏽🌹😘
Maashallah
Mashaallah very nice shukran
Mashalllllah nzuri sana
Inaonesha tamu 😋
Ma sha Allah am going yo try this
Wow!🤤😋👌🏻very simple Recipe..❤👍🏻
MashaaAllAH halafu nauliza hayo maembe wayapika kidogo ama
Sijapika dear kama nilivyeleza na kuonyesha
@@aromaofzanzibar shukran jazakaAllAH khayr
@@aromaofzanzibar waeza saga pilpili na vinegar kiwa hauna ndimu
Mashallah nime miss mapish yako
Masha’Allah very nice, mate yananitoka 😀
That'd the idea
MashaAllah nzuri sana nataka nitengeneze ya naweza kuweka vinegar ili isiharibike
Unaweza lakini ladha itakua tofauti
Mashaa Allah yummy
Nice ❤
Thanks 🔥
Walaykum salaam waramathulahi wabarakatu
Mashaa Allah
Aroma ubarikiwe sana, hunaga chojo huwa unamwelekez mtu vzr, nimejifunza vitu vingi kupitia naomba namba yako kwakweli
Shukran sana kwa support, namba yangu ni vigumu kutoa hapa hadharani nifate istagram au facebook kama huto mind
Haina shida nakuj
Haina shida nakuj
Haina shida nakuj
Haina shida nakuj
In shallah nitajarbu
Inshallah
WOW
Delish😋...Jazakallah khayran
Very simple recipe
MashaAllah 👌😋
Why you didn't add the ingredients in the description
Sorry about that , the reason is because all the ingredients are optional but I will write
Mashallah
Missed you 😍
Me too!!
Hiyo siku tatu unazoweka unaweka kweny joto san au baridi au temp y kawaid pls
Dear nimeeleza hapo kama achari hii haitaki joto ...???? nimeeleza clearly kama unaishi sehemu ya joto weka kwenye fridge kama upo sehemu ya baridi kiasi 65F utaweka nje . Joto linaharibu achari kama hii kwasabu ya acidity
Thank you
Mashalllllaha 🥰🥰🥰🇴🇲
Shukran habibty...vipi nikitumia mbirimbi badala ya embe?
Unaweza lakini itachukua mda zaidi
I see myself finishing the whole jar in one sitting😂
Not a bad idea
Nice! Masha'Allah ! I miss you and your recipes. Hope that you will post a video in your other chanel
It will take a while thank you for the love 😘
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatu vp hali yako aunty, miss u alot nine change my account from mylovlyhusby to dis one. Its my last daughter's name. Wooow ajab maa shaa Allah. Aunty waeza kutumia maembe yeyote ama ni lazma yawe maembe ngowe?
Wa aleikum musalaam embe yoyote ulokua nayo
@@aromaofzanzibar shukran aunty
Lazima kuweka pilipili nzima?
nimesema sio lazima
👌
Wooowww!so delicious mamii!
Thank you 😋
Unaweza kuweka vinegar
Yes but the taste will be different
Ukitia tungule jee itoza
Sijawahi ni kitu cha kujaribu uone
Inakaa muda gn kuharibik ukishaifungua
Mda mrefu lakini weka kwenye friji, sehemu ya joto itaharibika na usitumie kitu kimaji kutoa achari ndani ya chupa
Maa shaa Allah
🙏🏽😘
Mashallah
Mashallah 😋😋😋
Aroma ubarikiwe sana, hunaga chojo huwa unamwelekez mtu vzr, nimejifunza vitu vingi kupitia naomba namba yako kwakweli
Shukran sana, nifate instagram au facebook dear siwezi kuandika namba yangu hapa mitandaoni
Kweli kabisa yuko vizuri sana aroma shukrani sana