MKANDARASI AVIC ABANWA, APEWA WIKI TATU VIFAA VIWE 'SITE'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2024
  • Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa wiki tatu kwa Mkandarasi wa kampuni ya China National Aero-Technology International Engineering Corporation (AVIC) anayetekeleza ujenzi wa barabara ya Isyonje - Kitondo - Makete sehemu ya Kitulo - Iniho (km36.3) kwa kiwango cha lami kufikisha vifaa, mitambo na wataalamu wote katika eneo la mradi ili kazi ifanyike kwa haraka.
    Waziri Bashungwa ametoa agizo hilo leo Januari 22, 2024 wilayani Makete mkoani Njombe katika ziara ya kikazi na kukagua utekelezaji wa mradi huo ambao upo nyuma kwa mujibu wa mkataba.

Комментарии • 4

  • @bharyasarbjit1187
    @bharyasarbjit1187 5 месяцев назад +2

    Very Good Mhe Waziri you say local contractor hawezi Babaishaji sasa onja hawa wacha wana kula wa Furahi na kula hela zote Ku peleka nje. Umpatie support local contractor they can do better then these Tapelis.

  • @zabronlusana1019
    @zabronlusana1019 3 месяца назад +2

    Kumbukeni barabara ya sengerema nyehunge vimbi jamani

  • @user-hw9lt8kk3f
    @user-hw9lt8kk3f 5 месяцев назад +1

    Makofi kwa mama

  • @matheobaha773
    @matheobaha773 5 месяцев назад

    Mbna wanapata nafasi ya kuchekacheka , ? Wanakera