SUBHANALLAH ALLAH ATUHIFADHI MTOTO WA ALHAJ NA HAJAT,NIKWELI ROHO ZA WANAWAKE ZIMEONEKANA NYINGI MOTONI,WANAUME WOTE WAMEVAA, WANAWAKE MTIHANII UCHI ,NAMZIKI YAARABY TUJAALIE UCHAMUNGU.
Hapana hapa za wanaume zitakuwepo maana kila mchunga ataulizwa na hapa wanaume walikuwepo ikiwemo baba,mume na kina kaka je walikataza???mbona wanaonekana kufurahia ......moto hautachagua mwanamke wala mwanaume kila mmoja ataingia kwa mizani yake na kuongoka kwa mizani yake
@@zakiaSalim-v3e Halafu kila ijumaa misikitini ,,na hotuba nzuri nzuri,,lakini uhalisia ni huu unaoonekana ,,,Ama kweli kama inaingia akilini kidogo vile watu wasemavyo mtu ukitaka kumjua uhalisia wa imani yake yoyote ile anayoiamini basi kwanza kuangalie nyumbani kwake kukoje hapo ndipo itasaidia kupata picha halisi ya yeye mwenyewe alivyo
Kweli tena binadam mnapenda kuhukumu mwachen Mungu atahukumu mwenyewe humdhaniae ni mdhambi sana wewe mwenyewe jitazame kwenye roho yako kwanza na kama unaona ni mbaya wewe unatazama ya nini nawewe pia utakuwa umeshiriki
Salmahalfani hujinui2 lakini wewe ndowahovyo tena uhovyo wako umepita huo uhovyo wenyewe hujitambui kabisa isome dini yako vzr ndoutajua kwamba wewe nimtu wa hovyo kabisa
Acheni wivu ukafiri ni tabia yako tu ukristo na uislam ni kitu kimoja tu, Mungu wetu ni mmoja na harusi ilifana sana tena vbaya mno hongera dr.cheni kwa kazi nzuri na haujamuangisha mzee mwinyi hyo ni harusi ya taifa na history yake itabaki kukumbukwa sana...nmependa sana kazi ya nchi hii mtoto wa rais ni Rais pia daima tutawasapot na kuwaheshimu hii ni harusi ya kimataifa kaka hakuna ukafiri hapa kazi imeenda wao wanaofunga na kuendeshwa tofaut na makafiri ndio wafanya maovu na harusi zao za wiki moja tu wameachana...piga kazi baba
Pesa za umma zinateketea, hakika viongozi mnayo ya kwenda kujibu mbele ya ALLAH, juu ya kuchunga mali za umma na amana ya uongozi, pesa ya umma inateketea
Muongoooo ww Bora sema sababu nyengine uyo Hussein mwinyi pesa anayo kabla ya harusi acha siasa mbovu apa na tuseme maendeleo huyaoni au roho ya kisonokoro tuu penda maendeleo Wacha siasa ktk maisha ya watu
Ingekuwa simple mungesema imekua ya gharama mungesema binadamu hamna jema harusi imependeza hakunana ukafiri hapa ndoa ni jambo jema Mungu abariki ndoa yao
@@mohammedmussa7378 kweli kabisa maneno yako,,hii harusi kwa wale waislamu wasioipenda dini yao pamoja na wale wenzetu wakiristo kwao ni shughuli nzuri na ya kufana sana,,lakini kwa muislamu yoyote mwenye imani japo kidogo,ya dini yake shughuli kama hii hasa iliyonasibishwa na kiongozi anaejipambanua na kujinasibisha na uislamu ,inakera na kuhuzunisha sana,,kiasi ya hata mtu kushindwa kuiangalia mara mbili
Ilikuwa nzuri sana hongera sana kaka yangu dr cheni ulifabya vizuri sana kaka hongera sana lkn huyu aliyeongea hapo mwambie asiseme loyal ni royal asante😊
Umependeza sana mtoto wa doctor Mwinyi achana na watu wanaohoji nywele ,kwani nani alisema kufunika kichwa ndiyo kwenda mbinguni? huko mbinguni tutafika kwa matendo mema nasiyo kufunika nywele huo ni utamaduni tu kama masai anavyovaa lakini haufikishi mtu popote
Kwa Rais akifanya kazi halipwi mshahara? Ama hana ndugu, narafiki na jamaa wa kumchangia pia msisahau kua nae pia alikua ni mtoto wa Rais hata urithi wa marehemu babaake pia anao.
Mie nadhani kila mtu na maoni yake lakini katika maisha fanya kitu ukipendacho kuliko kufanya usicho kipenda ukaishia kutamani na hakuna dhambi mbaya kama tamaa. Maisha yenyewe mafup❤
Ukafiri ni Kwenda Kinyume na Maadili ya MUNGU wetu, Mfano: 1, Kuowana Mme na Mme mwenzako, au Mwanamke kwa Mwanamke, Huo ndiyo Ukafiri. 2, Kusagana, Kulawiti, Mwanamke Kuingiliwa Kinyume na Maumbile Sahihi, Huo ni Ukafiri. 3, Kutokuswali, au Kusali na Kumshukuru Mungu wetu, Huo pia ni Ukafiri.
Kwanin lakin mnamponda bib harus kunika kichwa so lazima mume ndo kapenda iwe Ivo na pia sku zote iman ndo inampeleka mtu mbingun unaweza ukafunga malemba Yako matendo ovyo moyon mwako mwachen mtoto wa rais alipendeza waafrika tuna shida sana yote haya kukosa elim
Muache rohombaya za kisiasa kwani pale raiya wakawaida wanapofanya harusi zaajabu na mtu huwa hana uwezo ...tuseme pesa zinatoka wapi mafisadi nyie mie niraiya mwenzenu muache roho za kwanini .muache hasad loh .poh yasini ....nilie tuma huu ujumbe naitwa halima salum suleiman
Mie nilijua atafanya sherehe kwa kufuata tamaduni za dini ya kislamu dada apO rais wangu umefeli nakwambia asa rud kwa mungu ustahafiru . Fahmu hao uliowalika kila mtu na njia yake
Hizi sio mila na desturi zetu wazanzibar,,mimi nilitarajia hawa wanaojiita viongozi wafanane au wawe mbele zaidi ya kudumisha ule uhalisia wa ile jamii wanayoiongoza,, Kama hapa kwa mazingira yaliyoandaliwa hapa sisi wazanzibai ambao wengi wetu ni waislamu tunajifunza nini ,,ktk shughuli za viongozi wetu
😂😂😂 ni kweli kabisa hakuna harusi ya kiislamu ya namna hii eti harusi ya mtoto wa rais ya kipuuzi namna hii sasa watu wataiga nn kwa rais. eti alhaji ,
Nikisoma comment za wanaojiita Islamu utakuta wengi ninkujihesabia haki kwamna ni wasafi, aliyewaambia dini ndiyo muumna yupo hapo ni nani? Kwanza aliyetuumba hana dini! Sasa ni kulalamika kavaa uchi, mara ohoo hakuna uislam hapo dini haipo hapo, aise Poleni sana bado mna safari ya kumjua aliyewaumna yukoje.
Amka kabla hujafa Acha kiburi na Ibilis muweke pembeni fuata din y allah invotaka kil kit dunian kin muongozo wake n mwisho wake Allah ametuumb kisha akatuekea muongozo kwamb tujisalimish kwake yaan tuwe waislam tumtii yy tutii na amri zake ww kam nan unashindwa kumshukur aliekuumb kw kutii amri zake atakaefuata amri za Allah pepo itakuwa makaaz yake baad y kufa kwake atakae kataa moto nd makazi yake Acha kiburi jisalimish
SUBHANALLAH ALLAH ATUHIFADHI MTOTO WA ALHAJ NA HAJAT,NIKWELI ROHO ZA WANAWAKE ZIMEONEKANA NYINGI MOTONI,WANAUME WOTE WAMEVAA, WANAWAKE MTIHANII UCHI ,NAMZIKI YAARABY TUJAALIE UCHAMUNGU.
Hapana hapa za wanaume zitakuwepo maana kila mchunga ataulizwa na hapa wanaume walikuwepo ikiwemo baba,mume na kina kaka je walikataza???mbona wanaonekana kufurahia ......moto hautachagua mwanamke wala mwanaume kila mmoja ataingia kwa mizani yake na kuongoka kwa mizani yake
Binaadam kama huwezi kuangalia usikosoe watu au ndio ivyo mufanye nyie tu akifanya mwingine Soo ... harusi nzuri .watu hufanya laana hamsemi
@@zakiaSalim-v3e Halafu kila ijumaa misikitini ,,na hotuba nzuri nzuri,,lakini uhalisia ni huu unaoonekana ,,,Ama kweli kama inaingia akilini kidogo vile watu wasemavyo mtu ukitaka kumjua uhalisia wa imani yake yoyote ile anayoiamini basi kwanza kuangalie nyumbani kwake kukoje hapo ndipo itasaidia kupata picha halisi ya yeye mwenyewe alivyo
Kweli tena binadam mnapenda kuhukumu mwachen Mungu atahukumu mwenyewe humdhaniae ni mdhambi sana wewe mwenyewe jitazame kwenye roho yako kwanza na kama unaona ni mbaya wewe unatazama ya nini nawewe pia utakuwa umeshiriki
Alfu mabrooqin maharusi na wazazi pia. Allah aidumishe ndoa ya wawili hawa. Maharusi hoyeeeeeee💃
Kwa kweli ni mtihani. Allah atusamehe na atuhifadhi kwa matendo yetu
Matendo Gani mliyaona wameyafanya kuzidi wengine ama ni roho zenu tu za fitna, choyo na chuki.
Hovyooo
Salmahalfani hujinui2 lakini wewe ndowahovyo tena uhovyo wako umepita huo uhovyo wenyewe hujitambui kabisa isome dini yako vzr ndoutajua kwamba wewe nimtu wa hovyo kabisa
Watu mna nini
Jamaan ,ndoa ya kiislamu haiko hivo , tena bibi harusi kichwa wazi kweli duuh ,Allah atusamehe sana
Acheni wivu ukafiri ni tabia yako tu ukristo na uislam ni kitu kimoja tu, Mungu wetu ni mmoja na harusi ilifana sana tena vbaya mno hongera dr.cheni kwa kazi nzuri na haujamuangisha mzee mwinyi hyo ni harusi ya taifa na history yake itabaki kukumbukwa sana...nmependa sana kazi ya nchi hii mtoto wa rais ni Rais pia daima tutawasapot na kuwaheshimu hii ni harusi ya kimataifa kaka hakuna ukafiri hapa kazi imeenda wao wanaofunga na kuendeshwa tofaut na makafiri ndio wafanya maovu na harusi zao za wiki moja tu wameachana...piga kazi baba
Ongera sana Rais Hussein kwa kupata mkwe❤❤❤🎉🎉Mungu awajalie ndoa yao iwe na amani Milele. By Mtwara.
Jamani kumbe dokta cheni upo msanii wa utoto wangu nilikuwa nakupenda sana ubarikiwe baba yangu mungu azidi kukupa Afya njema Amina
Imekaribia watu hisabu yao lakin wao wameghafiliaka na maisha yadunian
Ongera kwa harusi .Tunawaombea kwa Allah awangoze mwende madrasa mkasome..yaani kuacha kichwa wazi Subhannallah
Wallah mtihan dini imewekwa nyuma jaman msiba
Mtiani ndugu yangu
Ujue mie mnanifurahishaga sana nyie watu kwahyo nyinyi mnaabudu dini na sio MUNGU yan kila kitu dini dini dini. 😂😂@@fatmafatu1128
Dini kama kinvuli tu hakuna haya na bila haya hakuna imani
Asiokua na haya na imani hana
Kwa sababu huna, ungekuwa nacho ungefanya zaidi ya hivyo
Nzuri sana
Rais wangu hongera Kwa kupata mkwe mungu awabark wanandoa mkawe wa her katika maisha yenu
Kwel wanaloo mbaya walipendeza Sana jaman mungu awajalie maisha malefu Sana na hongera dkt mwinyi
Mbona hawasemi bwana harusi ni nani? Duh! Kiukweli wamependeza sana. Hongera Mhe. Dkt. Mwinyi na Mama pamoja na Wakwe wazaa kijana 👏🏽👏🏽👏🏽
Hatari kama ikulu inasimama kwa ujinga ujinga ila wanetuonesha ni watu wa aina gani
Jamani mependeza sanaa mungu awatunze
Mashallah
Dr chen
Good job🥰
Mm sina tuu izo pesa lkn nizipate wallah nafanya hasaa watu waone
Aibu wallahi
Bismillah mashalah ❤❤❤❤
Mmependeza
Yani Harusi mashallwa sisemi mengi lkn Allah ndie Hakim.
Pesa za umma zinateketea, hakika viongozi mnayo ya kwenda kujibu mbele ya ALLAH, juu ya kuchunga mali za umma na amana ya uongozi, pesa ya umma inateketea
We kweli kireja kwan uyo husen alipwi mshahara adi useme ivi kas punguza masiriko ulitumwa uzaliwe ktk umasikini
😅😅😅😅😅@@nishaabdula5015
Sio viongozi tu wanayo ya kwenda kujibu hata mm na weye tunayo ya kwenda kujibu Kwa Allah
Choyo tu
Muongoooo ww Bora sema sababu nyengine uyo Hussein mwinyi pesa anayo kabla ya harusi acha siasa mbovu apa na tuseme maendeleo huyaoni au roho ya kisonokoro tuu penda maendeleo Wacha siasa ktk maisha ya watu
Allah atunusuru kwani tumekuwa tukifuata tamaduni za kigeni na kuacha kufuata maamrisho ya Allah
Mzuri
Mcha mungu kateleza
Mungu awatuze maharusi wetu ongera sana wazazi kupata mkwe
Jamni hata ungekuwa wewe ungefanya maan zaidi ya hayo Wacha kila mtu na wakati wake muombe Mungu akupe nawe furaha
Sio kweli rabda wewe tu ndio ungefanya. ila furaha Yako isiwe sababu ya kumuasi Muumba lakuomba Allah atuongoe, atufahamishe na atusamehe
Nchi tamu hiii😂😂😂😂
Sijafurahia harusi hii jinsi ilivyoendeshwa haina tofauti na ya kikafiri.Allah atuongoze waja wake
Walifurahi Familia inatoshaaaa,wewe naniiiiiiii?? Poleeeee weweeeee,katafute hela usivae kanzu siku ya Ndoa ya mwanao au nduguyooooo bwana sheheeeee
Safiii sn doct chen hurigi km.mwenzsko upovzt sn
Mapozi yawazidi mpaka wanaboa ila cheni safi mwanaume unaringa mpk haibu
Uislam hauruusu sherehe kamahiyo 😂
Subhannallah ×3 hawata waridhia mpka mtakapo fuata mila zao
Pesa zetu izo
Ila jaman ukiwa huna mengi utasema, ila wapo vzr
Safi bint kwa kuolewa
Mwezi wa mama samia yuko wapi au ndo single
Congrats
Ingekuwa simple mungesema imekua ya gharama mungesema binadamu hamna jema harusi imependeza hakunana ukafiri hapa ndoa ni jambo jema Mungu abariki ndoa yao
Loyol wedding au Royal wedding
😂
Haina tafauti na kikafiri leo waislam wametoka katika Mila ya na wanafata Mila za wayahudi 😢
@@mohammedmussa7378 kweli kabisa maneno yako,,hii harusi kwa wale waislamu wasioipenda dini yao pamoja na wale wenzetu wakiristo kwao ni shughuli nzuri na ya kufana sana,,lakini kwa muislamu yoyote mwenye imani japo kidogo,ya dini yake shughuli kama hii hasa iliyonasibishwa na kiongozi anaejipambanua na kujinasibisha na uislamu ,inakera na kuhuzunisha sana,,kiasi ya hata mtu kushindwa kuiangalia mara mbili
Wanafik mmejazana hapa na comments zenu za kinafik,,mnajifanya kuijua dini saana,,hamna lolote umaskini na chuki ndio zinawasumbua
Hizi pesa za wanainchi ndio zinatumika kwenye sherehe hii iko kaxi
@@abdullahabdul9246 ulijuwaje itakuwa na weye umo kwenye hao wanaokula pesa za wananchi
@@abdullahabdul9246 kwani usipo changa wewe wengine hawachangi ukizingatia yupo kwenye mamlaka midomo kazi yake kusema na si kwenda chooni
Acha roho mbaya kwan halipwi ?
Ilikuwa nzuri sana hongera sana kaka yangu dr cheni ulifabya vizuri sana kaka hongera sana lkn huyu aliyeongea hapo mwambie asiseme loyal ni royal asante😊
Ndoa ikawe yenye kheri
Umependeza sana mtoto wa doctor Mwinyi achana na watu wanaohoji nywele ,kwani nani alisema kufunika kichwa ndiyo kwenda mbinguni? huko mbinguni tutafika kwa matendo mema nasiyo kufunika nywele huo ni utamaduni tu kama masai anavyovaa lakini haufikishi mtu popote
Siungi mkono harusi ii Allah ni mkali wa kuadhibu
😂😂😂😂 Kuna aliyekuomba ujiunge mkono? Mbona kiherehere kwenye mambo yasiyokuhusu?
Kila kitu kimeandikwa ,mmtaenda kujibu mbele Allah
Mishahara mpk leo kimya watu wanaumia njaa ila hz hela zilizopotea hapa.
Mungu ndie hakimu
Kwa Rais akifanya kazi halipwi mshahara? Ama hana ndugu, narafiki na jamaa wa kumchangia pia msisahau kua nae pia alikua ni mtoto wa Rais hata urithi wa marehemu babaake pia anao.
Inna lillah wainna ilayhi raajiuna
ROYAL SIO LOYAL JIFUNZE MATAMSHI UNAJIKANYAGA
Ukafiki na uislam ni vitu viwiii tofauti
Mie nadhani kila mtu na maoni yake lakini katika maisha fanya kitu ukipendacho kuliko kufanya usicho kipenda ukaishia kutamani na hakuna dhambi mbaya kama tamaa. Maisha yenyewe mafup❤
Arusi ya kiislam
Kama si waislam mtihani
Yaa rabb tunusuru
Waislaam ndo nn maan hata dunian hamjai bas
@@deviselisaria5488haikuhusu
Masking unakusumbua
@@3leggedbird222 jifunze kuandika bs
Kwakweli pesa zetu za Kodi zimeteketea doh, harusi kama ya kifalme
Fanya kazi ujienjoy hao kwa nafasi walizokuwa nazo sio mshangao kufanya walivyofanya ni majibu ya kufanya kazi
Kuna watu co marais wanafanya shuulj za garama acheni makasiriko masikini
Hawataridhika mayahudi na makafiri mpaka mufuate milazao hatua kwa hatua, innah lillahi wainnah ilayhi rajiuun😢
Nashangaa wanawake wa kiislam wote vichwa wazi
Dini ndo nini?
acha ujinga wewe dini huijui?
Ukafiri ni Kwenda Kinyume na Maadili ya MUNGU wetu, Mfano:
1, Kuowana Mme na Mme mwenzako, au Mwanamke kwa Mwanamke, Huo ndiyo Ukafiri.
2, Kusagana, Kulawiti, Mwanamke Kuingiliwa Kinyume na Maumbile Sahihi, Huo ni Ukafiri.
3, Kutokuswali, au Kusali na Kumshukuru Mungu wetu, Huo pia ni Ukafiri.
Mara ngapi mnafanya harusi kubwa na nzito zinashinda harusi za kifalme ...tena leo imekua vioja raisi kufanya harusi yamwanawe namna iyo
Naogopa kusema nisije nikatumiwa ugeni
Faida ya karafu na pesa za wanyonge wanaotoa kodi zimekwenda Allah anaona Mahkama kubwa ipo
B harusi angejitanda kamtandio kazuri angependeza sana. Watu wamejiachia tu, bara hata ingekua wanawake tu na hairushwi mitandaoni hapo kweli.
Hta mm nimewaza angejitanda angependeza sana
@@fettiemaganza1484jitanda wewe yeye ndio kapenda hvy hvyo na mumewe
@@myunaniniahmad6463 Huyo kaolewa na mkiristo bana uisilam mwisho leo. Huko bara maigizo tu
naona alhaji mwinyi kaghafilika kidogo
Sasa ndoa imefungwa wapi hata makanisa ukijiacha wazi wanawagomea mpaka ujshone nguo iliyofunika
Cheni anskiheshimu sana Hana kashifa
Ila jamna harusi imependeza bibi harusi angejitupia kimtandio hapo ingependeza zaidi
Mnaosema eti ukafiri nyie mmekamilika kwa kila kitu?
Subirini ijumaa mukafunguliwe msikiti.hiyo ndio dini na Dunia.duniani tunapita tu tumuogopeni Allah
"Loyal" wedding tena jamani😅. Ni Royal bwana
Asahihishe matamshi
Mvumilie tu kwani ndo aina ya wanahabari wa siku hizi, zero professionalism hasa kwenye hizi online media😪
Kwanin lakin mnamponda bib harus kunika kichwa so lazima mume ndo kapenda iwe Ivo na pia sku zote iman ndo inampeleka mtu mbingun unaweza ukafunga malemba Yako matendo ovyo moyon mwako mwachen mtoto wa rais alipendeza waafrika tuna shida sana yote haya kukosa elim
Upuuz mtupu waisam wenzio wajifunze nn
Achen usenge uwo tena harus ya mtt wa rais mnataka ifanywe vp hamna shukran wanadam nyinyi ingefanywa simpo pia mngefuja
Si shida kupendeza shida ajitambue yeye Nani na inasemakana kaenda maka kuhiji ss faida ya hija iko wp
Muache rohombaya za kisiasa kwani pale raiya wakawaida wanapofanya harusi zaajabu na mtu huwa hana uwezo ...tuseme pesa zinatoka wapi mafisadi nyie mie niraiya mwenzenu muache roho za kwanini .muache hasad loh .poh yasini ....nilie tuma huu ujumbe naitwa halima salum suleiman
Très très belle robe 🎉
Mie nilijua atafanya sherehe kwa kufuata tamaduni za dini ya kislamu dada apO rais wangu umefeli nakwambia asa rud kwa mungu ustahafiru . Fahmu hao uliowalika kila mtu na njia yake
acheni ujinga fedha za umma hizi!!
akakae uyo sio sherehe kubwa.mwez kwao
wanaokoment upuuzi wanaroho mbaya
Sasa mnatuonyesha iweje mbona ni kama harusi zingine tu !
Kwan waislamu wanaozeshana ivii hii ni dini gani
sio ndoa ya kidini ni ndoa ya kitamaduni
Kwan lais husen mwinginyi nikaka ako
Makafiri wanaoona wenzao ni makafiri. Msijihesabie haki kwa maarifa machache mlionayo juu ya ukuu wa Mungu
Sheykh athman maalim uko wapi waona munkar huwo
Mashekhe watasema kwa wanyonge Tu mawaidha makubwa lkn kwa wakubwa kimyaaaa Wanalinda ugali wao
Ivo wao ndio wa kwanza kuoana! Sikuhiz wata wafanya harusi sio ndoa.
Mmasai ameramba dume,heshima kwa wamasai
Rungu,sime ruhsa zanzibar
Waislamu tunakocopy kwa wakiristo na kupaste kwenye mambo yetu. Ni mtihani kwa kweli
Hizi sio mila na desturi zetu wazanzibar,,mimi nilitarajia hawa wanaojiita viongozi wafanane au wawe mbele zaidi ya kudumisha ule uhalisia wa ile jamii wanayoiongoza,,
Kama hapa kwa mazingira yaliyoandaliwa hapa sisi wazanzibai ambao wengi wetu ni waislamu tunajifunza nini ,,ktk shughuli za viongozi wetu
Walifunga ndoa kanisa gani
😂😂😂 ni kweli kabisa hakuna harusi ya kiislamu ya namna hii eti harusi ya mtoto wa rais ya kipuuzi namna hii sasa watu wataiga nn kwa rais. eti alhaji ,
Mbona samia hn nwenza wk 😂
Mbona mwenza Samia hstumuoni aje nae ukumbini au mama yupo single nn😅😅😅
Harus ya kiislamu na kila siku makanzu na vibaraka shia uislam wa majina tu
Sanaaaa
pesa sabuni ya roho😀
Wasidhani kwamba allah ameghaflika kwa wanayoyatenda madhalimu..😢
Wakifanya wengine hamsemi
@@MassoudMaghwaly-jo8sh na wewe una yako unayoyafanya Mungu anakusamehe tu ,punguza mdomo
Acha roho mbaya tafta pesa, we mwenyewe mwanga unakwangia watu na mungu anakuona
@@MafraSurname-n9xanakwanga na babaako uyoo
Hio ni familia wote wanajuana hao
Nikisoma comment za wanaojiita Islamu utakuta wengi ninkujihesabia haki kwamna ni wasafi, aliyewaambia dini ndiyo muumna yupo hapo ni nani? Kwanza aliyetuumba hana dini! Sasa ni kulalamika kavaa uchi, mara ohoo hakuna uislam hapo dini haipo hapo, aise Poleni sana bado mna safari ya kumjua aliyewaumna yukoje.
Amka kabla hujafa Acha kiburi na Ibilis muweke pembeni fuata din y allah invotaka kil kit dunian kin muongozo wake n mwisho wake Allah ametuumb kisha akatuekea muongozo kwamb tujisalimish kwake yaan tuwe waislam tumtii yy tutii na amri zake ww kam nan unashindwa kumshukur aliekuumb kw kutii amri zake atakaefuata amri za Allah pepo itakuwa makaaz yake baad y kufa kwake atakae kataa moto nd makazi yake Acha kiburi jisalimish
Nakumbuka hao watoto wa mwinyi walivyokuwa wakitoka Shule Africa kusini na kuja ubarozi flani hivi Kwa ajili ya Likizo na utalii