Nay Wa Mitego - Michano

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2018
  • FREE NATION RECORDS PROUDLY PRESENTS MICHANO BY - Baba Yaga (NAY WA MITEGO)
    AUDIO PRODUCED BY DRAMA & MR LG
    FREE NATION 2O18
    ENJOY......
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 807

  • @HabilyTech
    @HabilyTech 5 лет назад +204

    Wale tuliopakubali "shabiki maandaz kamshabikie mamako" gonga like hapa

    • @erickmuli1030
      @erickmuli1030 5 лет назад

      Sema Mwana mwnywe cap kazngua hcho kpande

  • @robertmwandambo9785
    @robertmwandambo9785 5 лет назад +49

    Bongo fleva sio bongo movie sikuizi kila malaya wa mjini anataka kuimba,,, hahaha tushawajua ney we ni mot jmn naombeni like zenu bas

  • @dattyamma4630
    @dattyamma4630 5 лет назад +11

    Hii ni bonge la ngoma ni balaaaa wanaoamini hii ndio yenyewe gonga like twenzetu

  • @DbashTV
    @DbashTV 5 лет назад +18

    Awamu hii kila kabila litapata Ngoma yake ya kujidai 'VITA NI VITA MURA' Watu wangu wa Mara , Musoma GONGA LIKE KAMA MMEILEWA HII

    • @MohamedAhmed-ht5yi
      @MohamedAhmed-ht5yi Год назад +1

      Tupo kaka,,,,,,ila kenya mbona huwa mnapenda kutusahau,we do also exit right 👍👍👍👍

  • @harunashabani7368
    @harunashabani7368 5 лет назад +4

    Qumaaaamake walah! Mwaka huu lazima mav yagonge chupi, u kill it bruh #ney blessed and unstoppable

  • @reubzdullahboymusic685
    @reubzdullahboymusic685 5 лет назад +3

    Wanangu wa 254 mnaomkubali nay tupeni likes zenu hapo,pia Mimi nimemiss ninii...likes

  • @aishamahundi813
    @aishamahundi813 5 лет назад +135

    Kama umeangalia zaidi ya mara moja gonga like

  • @issajohn8983
    @issajohn8983 5 лет назад +20

    Kudadaaadeki mbonge la track utawaonaa basata ooooh ka2kana ka2kana nini hii nimichano mura big up broo Emanuel mpe hai broo Nassoro mwambie atishe na dude jingine mura

  • @desonedesigner4529
    @desonedesigner4529 5 лет назад +2

    Huu ndo mziki wako mr ney japo kidogo ulkua umeusahau ila nimeipenda hii kazi nzur mziki mzur na nichano mikali

  • @littleangelslearn9332
    @littleangelslearn9332 5 лет назад

    Asante ney ni kitambo toka niskilize mziki mzuri sikuhizi ujinga ujinga tu hata fid q amejisahau....asante sana hii ndo rington yangu sasa.

  • @ntawurusigajaphetomari882
    @ntawurusigajaphetomari882 5 лет назад +25

    Watching from Burundi
    Kama wewe ni shabiki Wa Nay pia nipe like twende sambamba

  • @aruaamon1409
    @aruaamon1409 3 года назад

    Safi sana Nay. Bora kuwachana tu. Ukiimba nyimbo zenye maana wabongo wanakaza tu. Hamna hata views. Bora hivi hivi. Kaza mwanangu. Michano tu

  • @ngoshamc9400
    @ngoshamc9400 5 лет назад +36

    Aiseeee hiki ndio tulikua tumekimiss mzee baba #mpaka wanyoookeee
    Unajiita shabiki angu halafu unanitukutana we ni shabiki maandazi kamshabikie mama yako
    Kama umeusikia huuu mstari weka like twende sawa 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @dizodi_vituko
      @dizodi_vituko 5 лет назад

      Kweli kk

    • @omarymbalala6224
      @omarymbalala6224 5 лет назад

      Nay hadi mashabiki.maandazi umetuchana we kweli noma🤔😃😄😄😃😄 badata msitusumbue ss mashabiki maandaz tumeipenda hiii

    • @lubnaabubakar2671
      @lubnaabubakar2671 5 лет назад

      Dhoooooooooo

  • @dzosam4462
    @dzosam4462 5 лет назад +6

    Kudadekiiiii umeuwaaaaaaa hizi ndio mambo yakooo Mr Ney,, tia like hapa

  • @kennedyn.mwango5067
    @kennedyn.mwango5067 5 лет назад

    Waaa....this the True Nay wa Enzi zile..+254 gonga like

  • @edwardbakhoya9030
    @edwardbakhoya9030 5 месяцев назад +1

    This is so deep ... Nay killing it👏👏👏

  • @keydoli8578
    @keydoli8578 5 лет назад +2

    Kali saaana Nay love 💕 from kenya 🇰🇪

  • @tonymnyamatv8483
    @tonymnyamatv8483 5 лет назад +1

    True Booooooooyyy Umewauwa Bado bado mpaka mwezi wakuminambili wauone mchungu Angusha MZEE baba We ni moto🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎙🎙🎧🔊🔊🔊🔊🔊💪💪💪 #neyTrueBoy

  • @edwardbakhoya9030
    @edwardbakhoya9030 5 месяцев назад +1

    This goes hard and different Mr. Nay☝️

  • @butalaetv2208
    @butalaetv2208 5 лет назад

    MICHANO on map BABA YAGA.... Keep it up bro.

  • @zawadinjoro9312
    @zawadinjoro9312 5 лет назад

    Hapa Ney ushanimaliza.... wakashabikie mama zao.... nipeni likes wakali wa Ney

  • @directortariq1455
    @directortariq1455 5 лет назад +34

    yani mm ata nikicoment xipati like😨😨😨😨😨

  • @kusemererwakenneth2882
    @kusemererwakenneth2882 3 года назад +2

    Wow 🔥🔥🔥 just love the way u rhyme 🤝

  • @augustinemakete4438
    @augustinemakete4438 5 лет назад +2

    Kazi imekubali...
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪+254 representing

  • @Ev_Hance
    @Ev_Hance 5 лет назад

    Your biggest fan from Nairobi Kenya 🇰🇪 🇰🇪 na hawa watu wanaomba likes waache ujinga bana 😜. Kama unakubali gonga like hapa🙈

  • @fat-tipsmrhelper7596
    @fat-tipsmrhelper7596 5 лет назад

    nasema kaka nay...baba hitila... mjomba benito musolini...rafiki gadafi....🦁🦁🦁🦁🦁 like

  • @sangoyaniyamati8008
    @sangoyaniyamati8008 5 лет назад

    Aaaaah broooo michano ya hela yooote bless up bro nay nakukubali kwa michano bro

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 2 года назад +2

    I'm fans frm South Africa 🇿🇦 Cape Town wynberg, SALUTE Wanangu wa Docha kimala baruti

  • @mohamedarbabu2007
    @mohamedarbabu2007 5 лет назад

    Mzeee Mwenzangu sasa apa umenirudisha 2006 mzee baba yaga😃😃😃😃woyoooooo izo ndo zetu sasa awa makuma awa watafute pakwenda round hiii

  • @mimasaitoti1523
    @mimasaitoti1523 5 лет назад +6

    4 sure I really love this guy,especially his voice🎤 keep it up💕💕

  • @mikeliwan8256
    @mikeliwan8256 5 лет назад +1

    freeenation I really like dis guy kwanza mm kama shabiki wake nilikua nimemiss mchano ile mbaya den I head dat there is another one coming

  • @johnmwandu2116
    @johnmwandu2116 5 лет назад +1

    Mbona sichoki kuiangalia na kusikiliza, TRUE BOY is BACK, KAMSHABIKIE MAMA AKOOOOOOOOO

  • @daniellala4951
    @daniellala4951 5 лет назад +4

    Ngoma kali kwel kama na wewe umelipenda ngonga like hapa

  • @chaudryramos7397
    @chaudryramos7397 5 лет назад +1

    Mimi sio shabiki mandazi, me shabiki damu wa Nay representing +254.

  • @maryamhassan9664
    @maryamhassan9664 5 лет назад

    Go Go Go Ney me saut yako tuuuuu ata kama ukiimba Pumba inanikosha barabara
    ila Ngoma Hii Ni Konki kabisaaa Ujumbe ushafika kwa walengwa

  • @bossrashid3042
    @bossrashid3042 5 лет назад +4

    Wao good song,good message my number one artist nay live from Uganda,message to diamond platinum

  • @bizmanaeli1941
    @bizmanaeli1941 5 лет назад

    duh kweli nimechelewa leo kumbe baba yaga unatukumbuka sana tunacho kimisi kama nawewe umemisi michano like hapa tufurahie michano ijayo hivi karibuni

  • @hebronkaziyo1492
    @hebronkaziyo1492 5 лет назад

    Nay sio baba akoo....
    Gonga like kma wew sio shabiki feki wa nay

  • @hiyanuntouchboy7463
    @hiyanuntouchboy7463 5 лет назад +3

    from +255 I'm still watching this hit ngoma 2019

  • @westmahiza6764
    @westmahiza6764 5 лет назад

    Duuuu hii ni zaidi ya komesha ndo maana nalikubali sana hili jamaaa nyimbo zake shidaaaaaasa

  • @josephkishe203
    @josephkishe203 5 лет назад

    Me shabiki wa kweli sio shabiki maandazi so nipeni like zangu

  • @alvinoveen2572
    @alvinoveen2572 5 лет назад

    Wah!!!! Napenda hii Mr nay, wish to join you in this game, wape mchano

  • @hommie9627
    @hommie9627 5 лет назад +34

    JAMN HIP HOP KWELI NGUMUU🤣🤣🤣
    Emu acha like apa kama umenielewa

  • @diannamtema8056
    @diannamtema8056 5 лет назад

    hahahaaaaaaa ney we kichaa umenikosha anae sema umebolonga aimbe wake tuone nyambafu sana kamshabikie mama akooooooooooooo

  • @tobidosquaresquare9264
    @tobidosquaresquare9264 5 лет назад +4

    Gonga like kama unawa kubali freenation. 🔥🔥🔥Mrlgtz🔥🔥🔥 nakuelewa kaka. Tutafika tu kikubwa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ibrahkazoba3678
    @ibrahkazoba3678 5 лет назад

    All the way from Sweden.. Wapi likes zangu

  • @michaelgodwini7087
    @michaelgodwini7087 5 лет назад

    BIg brother aisee wew niatar mzee nakuk baliii kinyamaaa ucinisahau me fans wakoo no 1 on this site I like ur freestyle fantastic OM BOY appreciate

  • @munishiamedeus
    @munishiamedeus 5 лет назад +1

    Hehehehehehe, unasema wanakunyonya... kwani we una maziwa!! 😁😁😁
    Trueeeeeeeeeeee boy!!

  • @imasonjohn3810
    @imasonjohn3810 5 лет назад

    Ni shigd shida aseee ... freenation ..... bigup baba la Michano . Wataelewa tuuuuu

  • @mbwanasaid8272
    @mbwanasaid8272 5 лет назад +1

    Haya basata fanyeni kazi yenu... Maana nyegezi... Faini m.9.. Je hii.. Sh.ngapi na mnaifungia lini..mm msema kweli.. Fanyeni haki kama hii haifungiwi basi nyegezi nayo.. Iwe huru

  • @oxo6904
    @oxo6904 5 лет назад +3

    Yooo this goes so hard nay HMU bro
    Edit: you’re fire 🔥🤭🤭🤭🤭

  • @lusekelomnange
    @lusekelomnange 5 лет назад

    Nakukubali sana mzee piga kazi Mwana #FearLess Mr True boy..

  • @EliyacostantinoPius
    @EliyacostantinoPius 5 лет назад

    wewe ni mpuuzi mmoja yaan nadhan kipindi unatoka na lile linyimbo lako la kwanza lililojaa mitusi basata walikuwa wamelewa mbege .Usingetoboa kuku wewe.Unaumia sana mwenzio kukupiga gap..Si una freenation pambana acha kudis!!!!Hip Hop gan wewe

  • @khalidimakame8568
    @khalidimakame8568 5 лет назад

    Eeeh bhaaan ngom Kali san good job my brother

  • @evaristmathias1730
    @evaristmathias1730 5 лет назад +2

    Ney umetisha mzazi kinomanoma
    BABA YAGA NOMA MZEE BABA

  • @sylvanusludaila7975
    @sylvanusludaila7975 5 лет назад

    Ney Ni shidaaaa. Nyimbo za ney zina Content za maana. Bigup

  • @francisc.mwinami9916
    @francisc.mwinami9916 5 лет назад

    nikuelewa Nay vita in vita mura mwendo huu mtam watu wengine dunian waliletwa ili kuwa chachu ya wanyongee kamua baba

  • @emmanuelsambay8571
    @emmanuelsambay8571 5 лет назад +14

    Sikuhizi kila Malaya wa mjini wanataka kuimba 😂 😂 😂 😂
    Kazi nzuri @Mr Ney

  • @noahgodwin4194
    @noahgodwin4194 5 лет назад +1

    Umesifiwa mbio ,umepitiliza hadi kwenu , like twende sawa

  • @pablosun1123
    @pablosun1123 5 лет назад +2

    Vita ni vita mura 👊🏾.. like kama umemwela blaza. Eti mmemiss nn😂

  • @paschalboniface8319
    @paschalboniface8319 5 лет назад +1

    Masikini akipata makalio ulia mbwata mambo ni moto Nay anatumalizia Mwana kiivi yani sema safiiiiiiiiiiiiiii nay

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 5 лет назад

    big up Mzee babaa...bonge la ngomaaaaa,watanyooka tu

  • @qaisalfuliti6729
    @qaisalfuliti6729 5 лет назад

    Ngoma kaliiii mzee baba waache mashabiki madanziii hhhh Michano mitam balaa Kama umeikubal like hapa😋😎

  • @michoourassa1907
    @michoourassa1907 5 лет назад

    Jembe umetishaa ukoo ndo tunapapenda mzee waukwel wachanee mze baba

  • @user-mh1pi5yw5z
    @user-mh1pi5yw5z 3 месяца назад +1

    Kuna fita muraaa🙌🙌🙌🇹🇿

  • @mwanakijana31
    @mwanakijana31 5 лет назад

    Qaaaaaliiii sanaaa big up ney wataelwa tu#shabiki maandazi kamshabikie mamako

  • @nagonation7855
    @nagonation7855 5 лет назад +7

    Sijawai Pata like pls ngoma ya moto sana nipeni like zangu

  • @tanzaniaafrica8580
    @tanzaniaafrica8580 5 лет назад

    🙌🔥🔥🔥👌👌 kamshabikie mamaakoooooh

  • @petermaniche1009
    @petermaniche1009 5 лет назад

    Naomba mshirikishe na Chid Benz kweny michano mingine kama hii... Litakuw bonge la ngoma one..

  • @mwandishisimbampole9451
    @mwandishisimbampole9451 5 лет назад +1

    Mzee baba hadi nimekuogopa muheshimiwa

  • @Views-mf8ir
    @Views-mf8ir 5 лет назад +3

    Haya Sisi wa Kenya tuwait zile Sarakasi za #Basata ...!!!
    🔥🔥🇺🇸🇰🇪🇰🇪

  • @songashukuru349
    @songashukuru349 5 лет назад

    Daaaaah the true boy nomaaa,ngom kalii

  • @cheguevara8871
    @cheguevara8871 5 лет назад +1

    First comment @Mr nay

  • @poolboypoolboymanstrong8570
    @poolboypoolboymanstrong8570 5 лет назад +1

    sio utani Emmanuel ebariki @ney wa mitegO 🔥🔥 song mkuu 🙏🙋

  • @diegomnus1991
    @diegomnus1991 5 лет назад

    hongera sana Mr ney tuongeze michano kweli nafurahia nyimbo kama hizi big up sana

  • @goldendesertmrgolden5976
    @goldendesertmrgolden5976 5 лет назад

    Good songs ney mbona humu kilamtu naombeni like mnaombaomba like tu mmekuwa matonya nyinyi Pumbavu

  • @khassankhamis3422
    @khassankhamis3422 5 лет назад

    Ney ni noma Sana'a kama unamkubali gonga like yako apo

  • @paulelias5975
    @paulelias5975 5 лет назад

    Ney noma aisee.....naqubaliii......

  • @jildow4533
    @jildow4533 5 лет назад

    Kama unamkubali Nay Wamitego,gonga like twende saresare.

  • @davidavda2922
    @davidavda2922 5 лет назад +1

    Dabiliyusibi hahahaa....asanteee ney nilimic michanooo

  • @negro-vz1qk
    @negro-vz1qk 5 лет назад

    kaliiiiiiiiiii..... babaaaaaaa..........
    tumerudi pale zamani kama unaamini gonga like apa
    +254

  • @adoniamaseneje5669
    @adoniamaseneje5669 5 лет назад

    ngoma ikopoa
    kinoma noma
    E..bwana ney...ee
    wanyoosheee
    kitu michanooo

  • @kamandabrianjuma2527
    @kamandabrianjuma2527 Год назад

    hii inakuwa amaizing zaidi, napenda nyimbo za nay saana

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 5 лет назад +1

    This is so deep salute you Nay wa #Michano

  • @musasondo5819
    @musasondo5819 5 лет назад +6

    "Wanambwembwe mitandaon afu kwenye shows amna kitu " "wakina fulani wananinyonya kwani ww una maziwa " ... kama umeelewa amewatukana DIAMOND na WCB like apaa teenzetu

  • @DJBABYSTONE01
    @DJBABYSTONE01 5 лет назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kweli tulikua tumemiss michano

  • @pollyodeny5047
    @pollyodeny5047 5 лет назад

    Kama umeelewa maana ya jogoo hapandi mtungi mpaka atamie cha mkongo gonga like tuende..

  • @saidifaustine9981
    @saidifaustine9981 5 лет назад +1

    Kama umemuelewa huyu jamaa KAMA UMEMUELEWA gonga like ili twende saWA

  • @shaymaadreamer711
    @shaymaadreamer711 5 лет назад

    966,BABA YAGA, TRUEBOY, MICHANOOOOOOOOOOOO
    NATABILI ITAKUA HIT SONG

  • @rangstermstar9389
    @rangstermstar9389 5 лет назад +5

    Ney huntuzi mashabiki,,,freshy tu tiajuudi tuko nyuma yako Kenya.

  • @SamuelBlueMedia
    @SamuelBlueMedia 5 лет назад

    🔥🔥🔥🔥 Drop official Mr Nay

  • @cashbizzoofficial4067
    @cashbizzoofficial4067 5 лет назад +1

    Mr ney hili goma uliuwa broo yani hii ni nyundo MTU akomboe akazikwe

  • @shillaazuwaji5438
    @shillaazuwaji5438 5 лет назад

    Big up,Nay mwaaaaaa chanachana bebe

  • @habarinamichezo6427
    @habarinamichezo6427 5 лет назад

    Kilichotokea ni kama hice kulalamikia bajaji kunyimwa liziki kubwa jinga lisilo na shukrani...

  • @emmanuelsambay8571
    @emmanuelsambay8571 5 лет назад +3

    Sikuhizi Malaya mjini wote wanataka kuimba😂😂😂
    Kazi nzuri @Mr. Ney

  • @polykappetoriboy3464
    @polykappetoriboy3464 5 лет назад

    254....michano....team ear phones nipe likes za kikwetu.....hii ni noma #babayaga

  • @michaelrambo6207
    @michaelrambo6207 5 лет назад +11

    Ney umenifurahisha kifara eti akina fulan wanakunyonya kwan una maziwa

  • @mohamedally1460
    @mohamedally1460 5 лет назад

    First Class song ndio mana siachi kumshabikia hiyu jamaa anaigusa jamii hasa

  • @clappertoncharo8602
    @clappertoncharo8602 5 лет назад

    Wacha tulidownload kabla lifungiwe aisee one love from 254

  • @sanho97
    @sanho97 5 лет назад +1

    kkkkkkkkkkkkkkk estou feliz por ouvir a grande verdade, muito obrigado por grande hit