Mafunzo ya kinanda 12

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 52

  • @goldenhopechannel9251
    @goldenhopechannel9251 4 года назад +1

    Asante sana Mwalimu.. Umebarikiwa kufundisha vizuri sana.

  • @stevenaiman3654
    @stevenaiman3654 2 года назад

    safi sana mwalm tuko pamoja ktk somo

  • @atiliohassan9055
    @atiliohassan9055 2 года назад

    Asante kwa mafunzo teacher ila kwa funguo d hiyo mm nikuombe hiyo krip

  • @orgenesslema8768
    @orgenesslema8768 2 года назад

    Asante sana mwalimu kwa mafunzo mazuri ya vidole je naweza pata noti zake?

  • @magaliesalal6054
    @magaliesalal6054 2 года назад

    Mimi acha ni mwambie mwalimu wangu au wetu nimefulaiya staili yake ya kucheza kinanda sijanza zoezi zake ila nimeziona si ngumu kabisa.ubarikiwe dhaidi

  • @yustoonesmoofficial7225
    @yustoonesmoofficial7225 2 года назад

    Wewe ni mkarimu sana

  • @sabainyansiri4888
    @sabainyansiri4888 День назад

    Mie inabidi nianze moja

  • @maingomorris4489
    @maingomorris4489 3 года назад

    nafurahia mafunzo yako sana nikiwa Kenya. Mungu akubariki sana

  • @Samuelshinyangaofficial
    @Samuelshinyangaofficial 3 года назад

    Mwalimu kweli mzuri barikiwa

  • @BabaManu2024
    @BabaManu2024 4 года назад

    Kazi Nzuri Mwalimu .....najivunia kazi yako

  • @amaniassenga150
    @amaniassenga150 5 лет назад +1

    Mwalimu unafundisha vizuri umenibadili sana mikono yangu mizito tu lakini kwa hiyo style yako ya mafunzo nitatoboa tu.ubarikiwe

  • @severinakayombo7348
    @severinakayombo7348 2 года назад

    Daudi.tunashukuru
    Kwa.mafundisho.mazuri.tunaomba.urushe.mawasiriano.yako.mwalimu

  • @PauloMilia-g1s
    @PauloMilia-g1s 9 месяцев назад

    Mwambaa ako ya whasp

  • @AnthonyPiusi
    @AnthonyPiusi 3 месяца назад

    Napata vitu vingi ila ningekuwa nawe karibu

  • @flancesngaga5513
    @flancesngaga5513 4 года назад

    Asant

  • @tuntufyekapesa3901
    @tuntufyekapesa3901 5 лет назад

    Mwalimu nazan part hii tusaidie kwenda slow zaid,,umeenda haraka saana

  • @lucymkenda4022
    @lucymkenda4022 5 лет назад

    Safii sana mwalimu wa kupiga piano

  • @mmbebamaonokivuyo981
    @mmbebamaonokivuyo981 4 года назад

    Mwl sehemu ya 15 mbona haitoki???

  • @joephatjustine1139
    @joephatjustine1139 4 года назад

    Unapatikana wapi?

  • @mbulabuluda211
    @mbulabuluda211 4 года назад

    mbona zinaishia sehemu ya 12

  • @festomsigwa8967
    @festomsigwa8967 8 месяцев назад

    Nawezaje kuafuatilia kwa mti'iliko unao takiwa manake mala niione clip ya 6 yambele yake unakutana na ya 15
    Yaan clip sizipati kwa mtilililko unao tkiwa

  • @deomomburi8768
    @deomomburi8768 5 лет назад +1

    Nikupongeze sana Mwl ,kwa utume,wa mafuzo kinanda or piano.
    Mwl unapatikana mkoa gani?
    nahitajii kujifunza kwa nadharia.

  • @jocalproduction8102
    @jocalproduction8102 4 года назад

    Uli changanya mambo mbona ivi haraka ya nini aupendi onesha namna ya ku panga vidole why ? Afu fujo iko nyingi
    Oni langu unge anza fundisha iyi soma upywa sababu ni la muhimbu sana
    From Kinshasa DRc

  • @mbulabuluda211
    @mbulabuluda211 4 года назад

    zinaishia sehemu ya 12 t?

  • @michaelgabriel8352
    @michaelgabriel8352 5 лет назад

    Mwalimu tunahitaji mazoezi zaid plz!!

  • @emanueljulius6839
    @emanueljulius6839 5 лет назад

    Mwalimu nahisinimeokota dhahabu kwa mafunzo haya

  • @pambacharles8149
    @pambacharles8149 4 года назад

    nakuomba unitumie zote hatua kwa hatua kama unavyoeleza

  • @jiverkasigara6504
    @jiverkasigara6504 5 лет назад

    Asante kwa mafunzo

    • @leandrodominic5822
      @leandrodominic5822 3 года назад

      I guess I'm kind of off topic but do anybody know of a good site to stream newly released tv shows online ?

    • @nicochristopher8846
      @nicochristopher8846 3 года назад

      @Leandro Dominic Flixportal :)

    • @leandrodominic5822
      @leandrodominic5822 3 года назад

      @Nico Christopher thanks, I signed up and it seems like they got a lot of movies there :) I appreciate it!!

    • @nicochristopher8846
      @nicochristopher8846 3 года назад

      @Leandro Dominic glad I could help =)

  • @jocalproduction8102
    @jocalproduction8102 4 года назад

    Jambo mwalimu mimi nili anza piano upya na soma zako zote kwanziya mwazo adi apa na ku shukuru kwa kazi ambazo una zifanya ajili ya kufundisha kinanda ila somo ili Lina ni shinda kabisa sababu akuonesha namna ya ku panga vidole na iyi uli ifundisha haraka sana na omba uni eleweshe vizuri asante
    +243991416396 whatsapp number

  • @aamponi1
    @aamponi1 5 лет назад

    Naomba namba yako mwalimu. Nimejifunza mengi siku ya leo. Mungu akubariki!

  • @amaniassenga150
    @amaniassenga150 5 лет назад

    Mbona sehemu ya tano hakuna mwalimu?

    • @shuleyetutv2090
      @shuleyetutv2090 5 лет назад

      ruclips.net/video/_FAgayxP3YY/видео.html

  • @pambacharles8149
    @pambacharles8149 4 года назад

    mwalimu ubarikiwe je unaweza kunitumia hizo video zote za kujifunza njimefurahi baada tu kuona nikushii unitumie kwa email hii .pamba.charles.vero@mail.co au whatsap 0755936142

  • @stevenmkukuri4660
    @stevenmkukuri4660 4 года назад

    Ahsante mwl lakn nataka kujua ulipo nitumie namba ako kupitia hii no 0762921559

  • @amaniassenga150
    @amaniassenga150 5 лет назад +1

    Mbona sehemu ya tano hakuna mwalimu?

    • @7davmarecords296
      @7davmarecords296  5 лет назад +1

      Ipo jaribu kuangalia vizuri

    • @amaniassenga150
      @amaniassenga150 5 лет назад

      @@7davmarecords296 nimeona mwalimu assante

    • @7davmarecords296
      @7davmarecords296  5 лет назад +1

      Asante pia endelea kufuatilia

    • @amaniassenga150
      @amaniassenga150 5 лет назад +1

      @@7davmarecords296 Sawa teacher nakufutilia vizuri sana na nikupongeze tu maana una kipaji cha kipekee kabisa Mungu kakujalia cha kufundisha

    • @vicebakila892
      @vicebakila892 5 лет назад +1

      Tatizo huweki namba ya cm