yani ktk radio imejaa wachambuzi wapuuzi ni hii, hata wanacho kichambua sina hakika kama wanakijua. naona ni kama kijiwe tu cha kupotezea muda, hivi how comes Simba inayovurugana na Ahly eti ikasumbuliwe na Al Masri, Simba inavurugana na Wyadad etii ikasumbuliwe na Berkane, hivi nyie watu mna akili timamu kweli?
Simba ni miongoni mwa teams tishio
yani ktk radio imejaa wachambuzi wapuuzi ni hii, hata wanacho kichambua sina hakika kama wanakijua.
naona ni kama kijiwe tu cha kupotezea muda, hivi how comes Simba inayovurugana na Ahly eti ikasumbuliwe na Al Masri, Simba inavurugana na Wyadad etii ikasumbuliwe na Berkane, hivi nyie watu mna akili timamu kweli?