TUNALO JINA BY SIFAELI MWABUKA ( OFFICIAL VIDEO) VOLUME ONE 2014

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 72

  • @kevinbarasa
    @kevinbarasa 2 года назад +2

    Very inspiring message has been delivered to people by this song. God bless you Sifaeli mwambuka.

  • @jacintamuiruri8627
    @jacintamuiruri8627 4 года назад +1

    Tunalo Jina la Yesu Kristo wa Nazareth ambaye ndiye Mwokozi wangu, Jina la Yesu Kristo wa Nazareth ndiye Mkombozi wangu,Jina la Yesu Kristo wa Nazareth ndiye msaada wangu , Jina la Yesu Kristo wa Nazareth ndiye amani yangu,Jina la Yesu Kristo wa Nazareth ndiye ushindi wangu

  • @zawadiamanda3143
    @zawadiamanda3143 4 года назад +2

    True his Name has power's I love the name (jesus )🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @jonathanluginalugina8646
    @jonathanluginalugina8646 5 лет назад +6

    Enzi hizo duh toka tunalojina mpaka washangaze wajue ni safari ndefu sana hongera sana
    A men of god
    Sifaer mwabuka
    Heri lawama

  • @gloriahyusuph5624
    @gloriahyusuph5624 5 лет назад +4

    Amen mbarikiwe watumishi wa mungu najivunia jina lake jina lenye nguvu jina lenye uwezo jina lenye amani hakuna jina jingine kama Yesu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  5 лет назад

      Amina Sana Asante kwa kunitia moyo

    • @marykibali7568
      @marykibali7568 5 лет назад

      Ningependa kufanya wimbo na wewe mtumishi wa mungu na penda sana kazi yako Mary kibali kutoka Kenya Nairobi kama utapata hii message hii ndio number yangu +254725336330,+254780877150

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 5 лет назад +1

    Kabisa tunalo jina ukitaja tu kila kitu inakua sawa ×2 jina yesu barikiwa sana brother 🙏🙏🙏🎶🎶

  • @phannyshiggs1185
    @phannyshiggs1185 5 лет назад +2

    Tunalo jina ambalo ni YESU ukilitaja kila kitu kiko shwari mbarikiwa mtumishi 👏👏👏👏👏👏

  • @roseombui323
    @roseombui323 4 года назад

    Mungu apewa sifa kila wakati Amen

  • @fatumahassan8212
    @fatumahassan8212 5 лет назад +1

    Ubarikiwe sana katika majukumu yako, mungu akusimamiye kwa kila hatuwa uzidi kulitangaz jina la kusamehe

  • @lucynduta2848
    @lucynduta2848 5 лет назад +2

    Thenk you Jesus 🕺🕺🕺💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽Jina ya Yesu🙌🙌🙌🙌Jina lenye nguvu 🕺🕺🕺💃🏽💃🏽💃🏽be blessed Pastor 🙏more grace 🙏happy new year 🎑🎑🎑✨✨✨🎆🎆🎆🎆

  • @fraternemalula7155
    @fraternemalula7155 5 лет назад +3

    Hilo jina la Yesu, ni jina nzuri kabisa.

  • @esthernyaboke1764
    @esthernyaboke1764 5 лет назад

    Eeee tunalo jina ambolo Ni jina yesu woooo mbarikiwe Sana ndugu unanibless na nyimbo zako

  • @emmanuelosiche7394
    @emmanuelosiche7394 4 года назад +1

    Bwana akuinue sana mtumishi am from kenya,,,,,,and glory be to God

  • @rosemalombo6507
    @rosemalombo6507 4 года назад +1

    Amen ooh yes tunalo jina barikiwa Sana ndungu Safiel

  • @gaudenciamukami9769
    @gaudenciamukami9769 3 года назад

    Your anointing in ya kipekee.thanks for blessing and uplifting me.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @salmamrisho5313
    @salmamrisho5313 4 года назад +1

    Aminaa honger kaz yako nzur

  • @silveysilvey7744
    @silveysilvey7744 5 лет назад +1

    Thanks so much,kupitia kwa nyimbo zako nko huru

  • @catherinemakokha336
    @catherinemakokha336 4 года назад +1

    Amen 🙏 my God bless you brother. Your song make me to feel strong in God. 🙋‍♂️ AMEN 🙏🙏.always glory be to God.

  • @catherinenafuna5467
    @catherinenafuna5467 5 лет назад +1

    Amen,,,, Am blessed with this song pastor jina lake yesu ndio tosha kwa maisha yetu,, happy new year 2020

  • @unismwende4715
    @unismwende4715 5 лет назад +1

    Waaao blessed Brothers, kweli jina lake Ni kila kitu,be blessed

  • @directormwanguku
    @directormwanguku 4 года назад

    Aisee miaka inasogea this is nice song

  • @erooshashchirchir2960
    @erooshashchirchir2960 5 лет назад

    Oohh,,tunalo jina kweli kaka,,,Be blessed my brother,, watching you from Kenya nyali barracks,,,

  • @evanmaniac2549
    @evanmaniac2549 4 года назад +1

    Jina kubwa, jina moja nooma, jina power power.

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Год назад

    Àmina sanaaa. Ubaŕikiwe .

  • @catherinemakokha336
    @catherinemakokha336 4 года назад +2

    Amen always glory be to God.

  • @robertmwangi7401
    @robertmwangi7401 2 года назад

    Great message ila Kuna hitilafu kwa instrumentals,kwa umbali

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others

  • @emilykageha6467
    @emilykageha6467 5 лет назад +1

    Thank you, God blessed you more love your songs

  • @wilkisteregesa7588
    @wilkisteregesa7588 5 лет назад +1

    Amen watumishi wa mungu mubarikiwe

  • @fortniteplus7591
    @fortniteplus7591 5 лет назад +1

    Say hello to Pascal amen jina la nguvu

  • @richardchriss2308
    @richardchriss2308 5 лет назад

    Amina, Bwana awatie nguvu

  • @Melisacr1147
    @Melisacr1147 5 лет назад +1

    Dahh mtumishi hii ni babkubwa.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  5 лет назад +1

      Ndio ulikuwa mwanzo wangu wa Safari ya uimbaji Asante kunitia moyo

    • @Melisacr1147
      @Melisacr1147 5 лет назад

      Kwel safari ni ndefu lakini Ameahidi hatatuacha unaenda mbali MUNGU akutunze barikiwa sana sana

  • @millicentdayo2060
    @millicentdayo2060 5 лет назад

    Hallelujah💪💪my favourite 2020.Amen Amen

  • @jackiemalezi36
    @jackiemalezi36 4 года назад

    Amen.yesu pekee

  • @gayomoyo3693
    @gayomoyo3693 2 года назад

    nakukubari sana sifaeli

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +1

      Amen thanks for your support to watch my videos please dont forget to subscribe, like and share to others pia nakushukuru sana by sifaeli mwabuka ni maombi yangu Mungu AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE

  • @karendikitchen8439
    @karendikitchen8439 5 лет назад +2

    Huyo kaka pascal alipotelea wapi na alipona?

  • @larmicedwin3366
    @larmicedwin3366 4 года назад +1

    Good job

  • @josephinemwambe3385
    @josephinemwambe3385 4 года назад +1

    Hilo ni jina lenye nguvu

  • @lydianafula1692
    @lydianafula1692 5 лет назад

    Atoke kwa jina la yesu kristo

  • @magnifiquentkrtmna320
    @magnifiquentkrtmna320 5 лет назад

    Amen nabarikiwa sana.

  • @magnifiquentkrtmna320
    @magnifiquentkrtmna320 5 лет назад

    Jameni chalom kwanza .pascal ameanza na mwaka mupya.

  • @faimakassm2024
    @faimakassm2024 4 года назад +1

    👏👏👏👏👏👏amen

  • @annjuma3395
    @annjuma3395 5 лет назад

    Amen.glory to God

  • @ShirimpakaEvariste
    @ShirimpakaEvariste Год назад

    RUclips
    😊

  • @mcabrahamomoding
    @mcabrahamomoding 5 лет назад

    good song,very empowering

  • @marcosdasilva7183
    @marcosdasilva7183 4 года назад +2

    Marcos da Silva

  • @yasmineyasmine5489
    @yasmineyasmine5489 5 лет назад +1

    Amen

  • @ElizabethAwinja-x5b
    @ElizabethAwinja-x5b 5 лет назад +10

    Mwanzo wa Sifaeli mwabuka album yake ya kwanza volume one

  • @stecybeib948
    @stecybeib948 5 лет назад +1

    Amen

  • @duluxbahrain6429
    @duluxbahrain6429 5 лет назад +1

    Amen

  • @maximillamutoka4313
    @maximillamutoka4313 4 года назад

    Amen