Tajairi wa Timu Gani kwani? kumbe Tanzania bado tuna wachambuzi mbumbumbu wengi, acha kubwabwaja maneno wewe, na Faisal akija Simba utasemaje? Upuuzi tu
mimi niko pamoja na mchambuzi, sasa kweli vilabu vyetu vipaambane na timu za south Africa? mimi ni Simba ila ukweli tuukubali sema alipokosea ni kusema Azam inapesa kuliko vilabu vya Simba na Yanga maana MO ni tajili kuliko yeyote sema MO hajaingia miguu yote kwa ajili ya Simba

Wewe nimuongo unaongea unabahatisha kwani luisi mikson
Alikuwaanalipwa zaidi yahayo mapesa
Mmeandika kingine mnaongea kingine😢😢ujinga tuu
Au xio mchambuzi we2 sema ha2kuonag cjui unachambuliaga wab
Nyuma mwiko wamepanic
Africa hakuna timu inayolipa kwa wiki ww ni muongo na kipara chako
mimi niko pamoja na mchambuzi, sasa kweli vilabu vyetu vipaambane na timu za south Africa? mimi ni Simba ila ukweli tuukubali sema alipokosea ni kusema Azam inapesa kuliko vilabu vya Simba na Yanga maana MO ni tajili kuliko yeyote sema MO hajaingia miguu yote kwa ajili ya Simba
😮😢😮
Ww mchambuzi huelewi Kwan azam walimununua kiasi?
HUYU ANAONGEA NINI? KWANI LAZINA KILA MTU AWE MCHAMBUZI HAKUNA KAZI NYINGINE YAKUFANYA?
Huyu jamaa hajui lolote yaani mburula kabisaaaa... No research no light to speak
Hidi media uchwala bule kabisa