Wafungwa 3 waliotoroka gerezani Kamiti walitoroka kwa saa 96

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2021
  • Wafungwa 3 waliotoroka gerezani Kamiti walitoroka kwa saa 96
    Walisafiri kutoka Nairobi hadi Machakos kwa usafiri wa kibinafsi
    Walichukua usafiri wa umma hadi Machakos, na kisha Kamuluyuni
    Wakaazi wazungumzia walivyotangamana nao tangu jumanne

Комментарии • 101

  • @xjxjxnxn2673
    @xjxjxnxn2673 2 года назад +8

    Kweli walikosea sana,Bt nawaonea imani uchovu njaa kiu,waaaaa mungu wasamehe midhambi zao wabadilishe wawe wanadamu,wawe na utu,mkono wa siri kali ni mrefu kweli

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 2 года назад +5

    Is only in kenya where mwizi wa kuku uchugwa ka bomu bt alshabab hachugwi😃😃😃😃

  • @mh1893
    @mh1893 2 года назад +16

    God watch over this villagers but I think they're being exposed so badly and this might bring harm to them, the media and the security should be intelligent enough to understand the times we live in.

    • @whimsymaverick3057
      @whimsymaverick3057 2 года назад

      Why publish their names and pictures? These good people will be in mortal danger all their lives. And be their blood will be on your stupid inconsiderate heads!!!!!

  • @alluminiumexperttz.12mview13
    @alluminiumexperttz.12mview13 2 года назад +5

    Hao sio magaidi ni mavideo vixen. Gaidi haombi chakula anahitaji tu kiberiti chakula kipo msituni.

  • @mwantimazdombo6049
    @mwantimazdombo6049 2 года назад +5

    Vijana hawana kazi Jmn wapeni kazi Jmn niwanadamu pia wao

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 2 года назад +1

    It very interesting isipokuwa nimahabushu

  • @harrisonmarira2062
    @harrisonmarira2062 2 года назад +4

    Kufunaniwa is a word with many meanings

  • @nicholuskilonzo55
    @nicholuskilonzo55 2 года назад +1

    Very interested

  • @daisyakhini9331
    @daisyakhini9331 2 года назад +9

    Dj AFro ndo atawezana 🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️

  • @annenduku5243
    @annenduku5243 2 года назад +4

    Are they the ones that ran from kamiti,or are they different people falling in the same trapeze?

  • @suziecutecute6274
    @suziecutecute6274 2 года назад +7

    That lady should be made a DCI she saved the Kenyans at large, our 2021 hero.

  • @Officiallincon_Arts
    @Officiallincon_Arts 2 года назад +3

    Okie

  • @ashaomina8094
    @ashaomina8094 2 года назад +1

    Ongera sana kwe serikali kazi mzuri sana hongera

  • @agieulerohojuu3238
    @agieulerohojuu3238 2 года назад +8

    Kidogo uskie waliowashika dio waliwasaidia

    • @priscilawamburu8576
      @priscilawamburu8576 2 года назад

      Imgn

    • @janet7740
      @janet7740 2 года назад

      @@priscilawamburu8576 🤣🤣 Jesus is coming. To rescue the world. From liers.

  • @dorcasatieno3705
    @dorcasatieno3705 2 года назад +4

    Mimi naonelea tu hizo pesa mfyngue mradi muwajiri vijana wa kitui maana aitasaulika maoni yangu lakini jamani si kwaubaya

    • @husna34562
      @husna34562 2 года назад +1

      Tupo hapa iyo pesa hatotoka

  • @steuerveronicah3766
    @steuerveronicah3766 2 года назад +4

    Wata fanya nini.kazi akuna, wasichana nao.l saudia kurudi ni sanduku
    Young Generation Lord help them but pia ni vizuri kuomba kuliko hii

    • @mumblessed001
      @mumblessed001 2 года назад +1

      😭😭😭only God atatuhurumia aki

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 3 месяца назад +1

    Wakenya oyeeeeee vipi na makenzi yu wapi kwa sasa 😂😂

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 2 года назад +2

    Ujamaliza story fatilia Kama huyo mama kapewa pesa zake au hapana

  • @BabuNL
    @BabuNL 2 года назад +2

    Walipata wapi peza za kuabiri gari na chakula

  • @NassorSuleiman-wg8ic
    @NassorSuleiman-wg8ic 3 месяца назад

    Mawaizakishk

  • @johnsi2012sh20
    @johnsi2012sh20 2 года назад +15

    Siri ya Gava ni Kali? Wafungwa gani hawa awakuwa wame nyuolewa nywele, ....hata na ndevu? experiments?

    • @sammiesammie1469
      @sammiesammie1469 2 года назад +1

      Ni waislamu kunyolewa nywele si lazima.

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 2 года назад

      @@sammiesammie1469 Acha unafik, uliona serikali inajua mambo ya dini? Au ulimsikia na nani kua uislamu aufai mtu kunyolewa? Tupe andiko na wewe kwa bibilia kua kunyoa ndio ukristo, sham on you

    • @janet7740
      @janet7740 2 года назад

      @@yusufmwangichannel6692 🤣🤣 kweli alisikia wapi .

    • @mwinyihathib7120
      @mwinyihathib7120 2 года назад

      @@yusufmwangichannel6692 TAQBIR

    • @wachiramoses9388
      @wachiramoses9388 2 года назад

      @@sammiesammie1469 mbona wananyoa Wakristo?

  • @juliussafari686
    @juliussafari686 2 года назад +4

    With everything said everyone did a good job but the 60 million belongs to the lady she initiated everything

  • @lokeredavid9754
    @lokeredavid9754 2 года назад +2

    Mluhya na mjaluo nini mnajihusisha na Kenye hamuezi .kutembea .

  • @goodday1101
    @goodday1101 2 года назад +2

    Forever fugitive.

  • @ruthisabella955
    @ruthisabella955 2 года назад +1

    Listening

  • @360vr-tours
    @360vr-tours 2 года назад +12

    This story keeps getting interesting.

  • @dedanpasil10
    @dedanpasil10 2 года назад +3

    aky ingekua western Hawa watu wangepatwa dead

  • @asiagomogere4348
    @asiagomogere4348 2 года назад +1

    Hi

  • @dickensojiambo275
    @dickensojiambo275 3 месяца назад +1

    Kamiti inekwa police post

  • @teresiakimatu8088
    @teresiakimatu8088 3 месяца назад

    More power

  • @justusmedia2050
    @justusmedia2050 2 года назад +2

    How did their hair grow within 2 days??? Many questions than answers anyway hii ni Kenya

    • @abdulazizkilai7285
      @abdulazizkilai7285 Год назад

      Siri-kali inatuchezea akili hapa.. terrorists have a lot of money once they escape wameenda ...hapa Kuna karata ya serikali

  • @user-bh5cc4cp7u
    @user-bh5cc4cp7u 3 месяца назад

    Kweli serikali inanusa mbali

  • @wlkmwlkm3381
    @wlkmwlkm3381 2 года назад +2

    Hehehe walikuwa sonko ata wakiwa kamiti l think kuna alshabaab wengine Kenya wenye wanawatumianga pesa na my question is mbona wawekwa pahali pamoja Kwa prison kila mtu anafaa awe kivyake prison

  • @winnierono6271
    @winnierono6271 2 года назад +1

    We are now safe

  • @TualibeIssa-kn8oi
    @TualibeIssa-kn8oi 3 месяца назад

  • @agnesmwikali539
    @agnesmwikali539 2 года назад +1

    Siku hizi kwani kuna nooks gani ?watu wanatoroka toroka hivi.ama ni Ile siku inafika ya Paulo na siira waliomba Hadi milango ya gereza ikafunga ,end time is near

  • @aishaathman7340
    @aishaathman7340 2 года назад +3

    Bora wangetumikia kifungo tu. Sasa walitoroka nini na wamerudi pale pale kuanza upya hukumu yao.

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 2 года назад

      Na his hawakuwa na plani.kabisa wamejikamarisha wenyewe ,ilikuwa watembee Poli Kwa Poli wangefika walipo taka kwenda

  • @shangaziwataifa8675
    @shangaziwataifa8675 2 года назад +1

    Mngewaacha tu....mjue mungu mbinguni ndie atoae hukumu..

  • @jamesvmusic2677
    @jamesvmusic2677 2 года назад

    🤔🤔🤔

  • @charitymurimi8876
    @charitymurimi8876 2 года назад +1

    Am yet to know who ferried them here with a personal car, also where did they get money from to shop, and finally who were they communicating to, and where they got phn from

    • @agnesmuchira7941
      @agnesmuchira7941 2 года назад +1

      Highest degree of corruption in our country. 😢 😢.

    • @charitymurimi8876
      @charitymurimi8876 2 года назад

      @@agnesmuchira7941 zile drama ziko Kenya... Western wamewaamiini🤣

  • @jontecaros3194
    @jontecaros3194 2 года назад

    2:26 huu ndo msako? 🤣

  • @leahmwangimwangi6600
    @leahmwangimwangi6600 2 года назад +2

    Mathe alipwe 60m sasa

  • @maikoandrew58
    @maikoandrew58 2 года назад

    Nyie wakenya mnanichesha kweli, alafu huyo chief kavaa nguo za kijeshi, nyie comedians kweli, utazani vihoja mahakamani

  • @noahlarapho3411
    @noahlarapho3411 2 года назад

    🥺🥺🥺

  • @uwezohekima-qk8ss
    @uwezohekima-qk8ss 5 месяцев назад

    they escaped due to stupidity of soldiers!

  • @dennismcodhis776
    @dennismcodhis776 2 года назад

    Vitu zilikua tu sawa adi polisi waliskia Mkuu amefutwa kasi ndio kukuaanza kuumana

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 2 года назад

    🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤨🤨🤨🤨🤨

  • @edwinmwenda7772
    @edwinmwenda7772 2 года назад

    Ngakuja karibu na yeye....

  • @maikoandrew58
    @maikoandrew58 2 года назад

    Nyie wakenya mnanichekesha

  • @Kezia-rashford
    @Kezia-rashford 2 года назад

    ATPU anti terror police unit hawa naskia ni wire eeh wire wire ya umeme.arrrrrrlight ashalale

  • @fauzishma8033
    @fauzishma8033 2 года назад

    Basi limefanwya jambo kubwa

  • @alfaofficial2239
    @alfaofficial2239 2 года назад +1

    96 nayo walipelekwa wapi😂

  • @Lorinakavai
    @Lorinakavai 4 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂

  • @juliusmutungi4163
    @juliusmutungi4163 2 года назад

    Hawa gaidi wariria damu ya innocent Kenyans..sasa wakenya wanataka awa ..dead also

  • @jcobnyamweya8464
    @jcobnyamweya8464 2 года назад

    Hii 60m naona mkikosa

  • @jessebenjamin3383
    @jessebenjamin3383 2 года назад

    Ngaleta😂😂😂

  • @mohamedabdullahi9004
    @mohamedabdullahi9004 2 года назад

    Y
    Hh oo

  • @mbalukxofficial
    @mbalukxofficial 2 года назад +1

    wah Kenya moto wa kuotea mbali....wafungwa walitoka 96hrs na ndevu na nywele zimegrow hivi ...i have noticed a most of prisoners are clean shaven ama ....only God knows

  • @zadockrono3665
    @zadockrono3665 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @wilsonngugi1769
    @wilsonngugi1769 2 года назад

    Poa

  • @georgeasalla8542
    @georgeasalla8542 Год назад

    Chifu wewe Ni shenzi sana ilikuhusu nini hata kama walitoroka

  • @bestfitpro874
    @bestfitpro874 5 месяцев назад

    Story za Jaba all made up story

  • @transforminggraceministries
    @transforminggraceministries 2 года назад +1

    Sasa huyo assistant chief atapewa milioni

  • @maxwellanyika7209
    @maxwellanyika7209 2 года назад +2

    Saa 96 ndio gani

  • @jacklinemuthee1932
    @jacklinemuthee1932 2 года назад

    Hiyo pesa ingawanywe bila ku bagua kwa hao good citizens

    • @wachiramoses9388
      @wachiramoses9388 2 года назад

      Wakenya tuko 47 million,tupate kila mtu mojamoja ya kuvuta heri,13 million zipewe wenye walisaidia kunasa hao Majangili