Innalilahi wainna ilahi rajuun mbele yake nyuma yetu tusijisahau tukiwa katika duniani mauti nimlango kila mtu ataupita mauti nikilasi kilamtu atakunyia maji mungu mlaze pema. Popon amin
Daah jmn mbn siamn me kwl umeondoka kipenz cha watu didah😭😭💔💔tutakukumbuka daima wasafi media pole san kwa msiba na famly yake piah na vipenz vya didah mungu katwaa jina la bwana liimidiwe amen🙏🙏
@@MageJoseph unatakiwa uamini na ujiandae kwasababu dunia ni njia sote tunapita ila akhera ndio makazi ya milele fida keshamaliza muda wake imebaki mimi na wewe tujitafakari je maisha tunayoishi yanampendeza mungu wetu na kama yanampendeza tuzidi kufanya mema na ikiwa yanamchukiza mungu tutubie maana hatujui siku saa wala dakika tumrudie mungu mauti huja ghafla
dida dida dida duuuuuhh kipenzi changu miiyee jamani nakuombea kwa mungu akupe kauli thabiti,akusamehe makosa yake sisi sote ni tutarejea kwake inalillah wainaillah rajiuun nimeumia mno naona kama ndoto wallah
Tusijisahau tukae tukijua maisha ya duniani ni mafupi sana yasitusahaulishe tukasahau maisha ya kaburini yatakuwa makazi ya milele tutende wema tufanye ibada huko kaburini kunatisha sana kwa mtu ambae aliikumbatia dunia na akiisahau akhera yake
@@richbanksmshigati3327 ndio maana nikasema tujiandae maana kwenda huko ni lazma tutakwenda tu kwahiyo ihesabu nafsi yako imejaza nini je umejaza mema ama maovu? Na kama ukitaka kujua kunatisha kalale usiku mmoja eneo la makaburindio utaona je kunatisha ama hskutishi
Maisha ya duniani na matamu sana tena, ni mafupi mno hakuna anayejuwa kesho yake, hivyo basi tupendaneni, tuheshimiane tukikoseana,,tuombane msamaha,,,Leo hii dada yetu kipenzi chetu, hatuponae, amesuruhisha mambo mengi,,sina lakusema, eee MWENYEZI MUNGU futa jina la DIDA kwenye kitabu Cha hukumu tunakuomba uandike jina lake kwenye kitabu Cha UZIMA ,pumzika kwa AMANI dada,,
Marehem alikuwa na uwezo wa kusuluhisha sana tofauti za watu alikuwa na uwezo mkubwa sna kuwaweka sawa watu waliotofautiana Mungu ampe kauli dhabiti
Aamina
Doto magari na mke mwenzie
Mwenyezii MUNGU ampumzishe salaama yaallah
Innalillah alikuwa anaumwa au ajali?
Aise maisha ya binadamu ni mafupi sana Mungu ampe malipo anayostahili.
Ni safali moja ngumu sana ambayo kila mmoja wetu hatapitia inshaallah mwenyenz mungu tufanyie wepes wa mwìsho mwema inshaallah
Amin ishallah
Jamani roho imeniuma sana sijalala usiku mzm r.i.p dida 😭😭😭😭😭😭
Poleni sana family
Innalillah wainna ilayhi rajiun Allah amjalie kauli thabit
Mungu akulaze maali pena peponi
Mungu na amlaze pema peponi "Amina"
PUMZIKA KWA AMANI Dada Dida😭😭😭
Apumzike salama jaman
Mtoto w kiume unavaa mtandiio!!!
Inalilah wainalilah rajiun 😊
Poleni sana Wana familia😭😭
😭😭😭😭😭😭 mavumbini tumetoka na tutarudi mavumbini sote, Mungu ampumzishe mahali pema peponi na kumpunguzia adhabu ya kaburi dada Dida😭😭😭😭😭😭🙏
Pole sana family ya Dida na wasafi Fm/Media
R.i.p😢
Inallillaih wa inallillaih lajun😢😢😢
Innalillah wanna ilahi rajuun nidida shaibu ama ni yup sijafahamu vzr
Ama kweli 💔💔😭😭😭kifo mungu tupe mwisho mwema pumzika kwa Amani dida
Pumzk kwa amani dada Allah akupe kauli dhabit😭😭😭
Mungu ampumzishe jaman aunt dida ila inaumiza sanaaa
Hiii dunia si lolote kweli, subhanallah Dida unatuua kwei😭😭😭😭
Mmh polen jaman siamin hata
Inalilay waina hilay rajiun.
Innalilahi wainna ilahi rajuun mbele yake nyuma yetu tusijisahau tukiwa katika duniani mauti nimlango kila mtu ataupita mauti nikilasi kilamtu atakunyia maji mungu mlaze pema. Popon amin
Siamini yani,dah Mungu aturehemu
Jmn roho imeniuma 😭😭😭
ILWIR......Maisha ya duniani kweli upuzi mtupu 😢😢😢😢😢😢
KIFO KITEMBEE KICHWANI MWAKO,,,SO UKISKIA MTU KAFA NDO UNAJIFANYA KUSHTUKA,,,,UNATAKIWA KUKIWAZA KIFO KILA SIKU YA MUNGU
Allah amsamehe madhambi yake
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiuun. Mwenyezi Mungu amuhifadhi.
Daah jmn mbn siamn me kwl umeondoka kipenz cha watu didah😭😭💔💔tutakukumbuka daima wasafi media pole san kwa msiba na famly yake piah na vipenz vya didah mungu katwaa jina la bwana liimidiwe amen🙏🙏
@@MageJoseph unatakiwa uamini na ujiandae kwasababu dunia ni njia sote tunapita ila akhera ndio makazi ya milele fida keshamaliza muda wake imebaki mimi na wewe tujitafakari je maisha tunayoishi yanampendeza mungu wetu na kama yanampendeza tuzidi kufanya mema na ikiwa yanamchukiza mungu tutubie maana hatujui siku saa wala dakika tumrudie mungu mauti huja ghafla
INNALLILAH WAINNA ILLEIH RAJIUN 😭🙏💔🥺
Innalillahy Wainnaillayh Rajioun
Dunia ni mapito
Iññallilah wanna illeih rajiun😭😭😭
Jamani kumb
E alikuwa anaumwaa wikitatu wadau tunauliza dida Yuko wapi kumbe😢😢😢😢😢😢
Dida dida wangu mahisi natoa sikuamini Jana eemungu inalilah wainailah rajiun
Ohhhhhhhh Nooooooooo Dida
What happened 😭😭😭
😭😭😭😭dunia tunapita jaman tukumbuke kutenda yalio mema wakati tungali hai
Innalillah wainalillah radjuin kifo kweliiiiii
Inalilaah wainairahi raanjiiuni
Nipo njiani Kuelekea Shekirangu😢😢
Asee poleni sana 😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
dida dida dida duuuuuhh kipenzi changu miiyee jamani nakuombea kwa mungu akupe kauli thabiti,akusamehe makosa yake sisi sote ni tutarejea kwake inalillah wainaillah rajiuun nimeumia mno naona kama ndoto wallah
Jamani dida duuu
Inalilah wainailah rajiun
Tasnia imempoteza mtu imara sana duuu nilikuwa namkubaliii sana R I P
Tusijisahau tukae tukijua maisha ya duniani ni mafupi sana yasitusahaulishe tukasahau maisha ya kaburini yatakuwa makazi ya milele tutende wema tufanye ibada huko kaburini kunatisha sana kwa mtu ambae aliikumbatia dunia na akiisahau akhera yake
Huko kaburini kunatisha ulishawahi kwenda?
Innalilah wainnaIlah rajioun HakunaSehem inayo Tisha KamaKaburini Tufanye Ibadan tutor sadaka Kwa AjiliYaKumuogopa na kumtiiAllah
@@richbanksmshigati3327 ndio maana nikasema tujiandae maana kwenda huko ni lazma tutakwenda tu kwahiyo ihesabu nafsi yako imejaza nini je umejaza mema ama maovu? Na kama ukitaka kujua kunatisha kalale usiku mmoja eneo la makaburindio utaona je kunatisha ama hskutishi
Bora uishi kwa imani ya kuwa mungu yupo ukifa hujakutana nae sawa kuliko kuishi ukiamini mungu hayupo halafu siku umekufa ukakutana nae
😂😂😂😂😂😂@@richbanksmshigati3327
Innalilah wainna illahi rajiuon
Dida,
descanse em paz
Maisha ni mafipi jamani - tupendane! Pumzika kwa amani Dida
Love dida
😂 inalilaalh wainailah rajiun
Natamann kuliaa😭😭😭😭😭
Dah yan nimeumia sana
😭😭😭😭😭didaaaaa
Punzik Kwa Amani kipenz
siamini jaman😢😢😢
🤲
Rest in peace my sister 😭😭😭😭
inalilai awinalilai lanjyul
Rest in peace dear umetutoka
Polen sana
Idris kasema alikuwa na vidonda vya tumbo
Dah dunia tunapita jaman
Ndomananilikuwa simuoni kwenye kipindi
💔🤲😭
Tuishi tukijua ipo siku utarejea kwa mola wetu
😭😭😭😭
💔💔💔💔
Ukifa utapabwa

😢😢😢
😭😭😭
😢😢😢😢😢