Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Kuna waigizaji wazuri sana hapa bongo kuliko wale ambao tumezoea kuwaona kwenye majukwaa makubwa 🙌 HONGEREN KIUKWEL
Asante sana
Stor nzuri ina uharisia wa maisha harisi na ambayo haijachezwa❤ Hongera kwako
@@echikyabu6154asante sana
@@tanuplus Kazi mzuri Tanu❤
Tanu huyu mwamba ambao kacheZa kama mkongo aji taidi kubadili lafuzi yake ita mpendeza zaidi acheze uhalisiya wa lafuzi yakikongo
Mashallah dadake kim napenda unapoigiza kupeana ushauri wa dini unakua 👌... ushauri mzuri kwa kim # team nzima inatendea haki nafasi zao🎉🎉🎉
Uyu Dada yake Kim anajitahid sana kweny kuigiza nakuitendea haki nafasi anayoipewa
Ya leo nzuri sana tena zaidi
Mwina 😢😢unaloho mbaya
Kazi yenu ni safi sana from Kenya
My Halima 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Halima Mtto Wakike Ume Weza kabisa yaani, mbwela tanu Nawatakia kila la khery from Toronto Canada 🇨🇦
Yaan ninavyo uma meno kwa uyu mdada anaye wekewa dawa njiani ili asidhurike utadhani vyanihusu😂😂😂😂😂
😂😂😂 yakera kweli❤❤❤
😂😂😂😂😂😂
shukran tanu and team
Watu si mnapenda like😂😂😂😂😢amuogopii nyiee😅
Hongera sana kaka Burundi 🇧🇮 tupo nyuma yako movie nzuri jitaidi basi kutubuludish kwa dakika hafu tunaitaji kumuona clam vevo aka snake boy🔥🔥
Ila Tanu 😂😂❤❤
Mashaallah nimependa dadaake kim kwa maneno mazuri unaemsii mdg wako
I'm frome Kenya I love you so much ❤️ kaka tanu kwa kazi nzuri
Yn hii filamu kila ikiendelea ni ya moto sana hongereni sana team tanu❤🎉
Mzigo wa kwenda sana huu Jamaa amecheza sana Mhina upo good kaka.
Asante Sana ndugu yangu
@@afrankmhinafilmsuko vzr sana kk
Nimechelewa lakin ilikua ni lazima nije tanu mtu wangu😂😂😂😂😂🎉🎉🎉nakukubali sana ujue
Wa kwanza ❤❤❤
Funga funga tuondoke leo mchawi hana huruma ❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Aisha mashallah uko vizur nakuelewa sana❤
Asante Kwa muendelezo
Msiwe mnatucheleweshea sana wakuu tunasahau
Huyo dada mwenye mwanya simkubali kinoma noma
Stanly fusi congraturation sana
🇰🇪🇰🇪unapendwa broh
Ķazi safi sana mungu azidi kuku inua upate kusonga mbele zaidi
kwakwel nawapenda sana mnatoa story nzur ya uhalisia wa maisha
Kwa TANU + KUNA KAZI
=na tanu kazi😂😂😂😂❤
Ba congolais 🇨🇩 na pesi bino mbote.❤❤❤
Tunaihitaj zaid nzur sana
kweli funga funga tuondokeeeeeee😂😂😂
Hii movie bhna 🙌🏻
Haya kaka Tanu na ile minyoosho kweli akubali mkoba sio kweli da Halima we 😅😅😂😂😂
Kazi nzuri tanu Big up sana guys
Safi🔥
Mwina ufai kusaidiwa kwa sababu uko na roho chafu sana
Tatizo huyo Tanu wazazi wake walimfanyia kitu cha kinyama Baba yangu.
Wee dada Kim nimekupenda bureeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hadiraaaa
Tanu mzee risi mikoba hiyo Uokoe Watu Ww
Wakwanza hapa
Mpo vizuri sana 🎉🎉🎉❤❤
Kazi ipo 😂😂🇧🇮
sasa ilipoishia leo tanu usitugandishe sana mana siyo powa
Hzi move z kijijini nimzur sna
Ila kuna watu wanakhera um😅😅 anyway tupen huo mwendelezo sasa😊
Poa Sana kwa kazi nzur
Nice work I like it and ue need much congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
mpo vzuri kweli big up bro👌👌
Safi tanu nakupa kongole
Asante San dada yake kimu kw ushauri kw mabinti waolewaji .alaf huy mdogo wake n halimu punguza umbea il cinéma inoge
Hatari
Huy mdogo ake halima mashallah kajaliwa mdomo kwer kwer
Umakaya tu
Amaganbo nibukebuke
Dada ake kimm apewe ulinzi jmn😂😂😂 amejuwa kutendea haki uhusika wake
Mungu Ahzidi kuwapiginia
Yan sjui kwann kila nikimuangalia tanu namkumbuka kanumba😢
Duh jaman
@@tanuplus kwer kaka aina ya uigizaji wako kidogo muendane na kanumba
Halima 😢😢😢😢😢
TANU on life 🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤ wa 20 leo
Amagambo n bukebuke aya bas🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mwenderezo rini tano sijamuina
Dada Kim, na kukubali saana.
Muina ww n muwaji ulijua tu kitakuramba 😢😢
Huyo anakiherehere kuingilia yasiyomuhusu muache nimpige kitu, kataka vita na Mimi mtoto wa kike
ha kweli
😂😂😂😂😂😂@@afrankmhinafilms
Mwina unajiliza ucimvi nawendo mubaya 😢unamucukiya Tano bila sababu
Tanu ninakisasi naye kwasababu wazazi wake walifanya unyama kwa Baba yangu
@@afrankmhinafilms ohoo pole sana
Nimeipata hiyo kwamba TANU atafika mbinguni amechoka . Ila siyo mbaya kwa kuwa atafika
Kwa mbindeee😁
😂😂😂
Kazi kazin
Nmefika🎉🎉🎉❤❤
Tanu atafika mbinguni akiwa amechoka kama venye dadake amesema 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Umeonaee
Watu mpo faster
Kazi nzuri sana
Mbona unaanza kufanya tuisahau back to back atuoni kz tn tanu
SafI🔥🔥
kazi safi
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Halima KAPOTEA NJIA JAMANI😢
Unyama sana
Imeenda
❤❤❤❤
Yaleo moto
I ❤ u guyz 👍👍 from 🇰🇪🇰🇪😂😂😂😂
Makini san
MKOBA WA MAMA EPISODE 18 NI MOTO WA KUOTEA MBALI, TANU HUNA JAMBO DOGO.
Duhh halima wawatuu😢
Haiwezekan wataalam nyote hapo msijuwe alichokifanya muhina kwa alima lazima km wataalam mungepata hisia na kujuwa halima kimempata nini
Isichelewe episode 19 mbwela na tanu Ujumbe Wangu kutoka Toronto Canada 🍁
Kiukweli sauda 🎉🎉🎉uko poa sana sijui zakufika comment zetu ila 🫴❤❤
Tanu nakukubali Kaka
Msichelewe kutowa vipande tunaka adituna saau
Mnaweza jamani
Tanu umeweza bila vita kaka
Mwina unaenda kutiwa hadharani kam ndio wew umemtega huyo halima lazima watamtibu wagaga wenzake na nilazim uchawi utatambulila umetoka wapi😂
😂😂😂Acha tuone ila huyu HALIMA anawashwa na sijui anataka nini kwangu.
@@afrankmhinafilms😂😂😂
Wa 34 kutok Burundi wanyuma like my coment
ha kweli😀😀😀🐽
Wa Kwanza naombeni like
Tumeziacha kwa nyumba tutakuletea kesho
@@graffinamisi😂😂😂
Tanu tafadhari kubali mkoba wa bi mkubwa😂😂
😁😁😁😁wina mze wamafuti wina mabaya autaaca muhina ana uruma unamfanya nini arima😢
Halima kayataka mwemyewe sasa ameyatimba
Dada halima jamani 😭😭😭
Nadai like ya wakenya pekee hapa 😅😅😅...ma mkumbuke mbio iko hapa mbele tena GENz
Muhina kavaa abaya 😂😂
Ubaya ubwela
Wakwaza APA like zugu tanu🎉
Huzipeleke wapi dada
Muhina una roho mbya kama sura yako ilivyo mbaya😢
Lakini wameniulia Baba yangu, nataka kulipa kisasi.
Mmmmmmh baba yako ni kisingizio tu ni una roho mbaya tuu kwan hujuw kusameh wew😂😂, embu jishkilie bwana@@afrankmhinafilms