Iiiiiiiiiiiiii aiiiiiiiiiii ivi niko ndoton au nimekufa niko mbinguni make naona mapichapicha wapambanaji wenzangu huu mwaka ni wakuforc kila kitu kinawezekana
Neelemi niko dar es laam na nidakital hakika ume shain wasukuma tunatisha njooo ndar ufanye shouting nitakupa nyumba ya kulala mpaka umalize shouting zako.ahsante
Safi sana umewakilsha vizuri
Hongera kwa ubunifu wa kazi
wasukuma guvu moja💪
Nimewapata vizuri
Limela,,mama leti na shughuli nakupàta sana nikiwa mwime kahama ila nyumbani ni nyanisingisi ya kwibhàzu apo senta kwa kusekwa
😂😂😂😂, nogoleku gete egebufu Bho ngano. This kind of saying had make my day to be fantastic
ruclips.net/video/vvFunVZVl-M/видео.html
Nakuona mwamba
nakupata sana Bhudagala,
mama leti,iko powa saana.
Iiiiiiiiiiiiii aiiiiiiiiiii ivi niko ndoton au nimekufa niko mbinguni make naona mapichapicha wapambanaji wenzangu huu mwaka ni wakuforc kila kitu kinawezekana
Kazi nzuri sana asili inapiga hatua kubwa
Ok sawa kazi nzuri
Ngoma nzuri
Iko Poa hiyo kaka
Safi sana Nelemi,,,,, kazi murua sana hii
❤❤❤❤❤❤ imetisha
Unazidi kuwa mbunifu hongea
ibheshi chapa kazi
The big boss IBHESHIIIIIIII ❤❤❤❤❤❤❤❤❤️❤️❤️❤️❤️
The big turampo 🌹🌹🌹 hawakuwezii Wana .........😅😅
❤❤❤❤❤❤❤
Nelemi na producton zote husika na wimbo huu mmenichanganya huyo mzungu wenu ivi ni kwel au naota
🤣🤣🤣🤣
Huelew nin sas hapo mkuu,huyo pure mzungu kbsaa,tena ni mwitaliano kwel Kwa sura yake ilivo
Kaka hiyo ni siliaz hata location ni majimoto kwa macho yangu mawili
Kizungu tunaita creativity 🎉🎉🎉🎉
Iko poa
Nelemi unaubunifu sana ❤❤🎉🎉
🌹🌹🌹🌹🌹🦅🦅🦅🦅🦅🦅
Au xyo nelemi!!!
Nimeona umetisha
Masha Allah
Duh mpaka ki Italiano ❤❤❤❤😊😊😂😂
Hongera
bhuhagika jidagu
Sana
🔥🔥🔥🔥
Malonguma😂😂😂😂
Hatari sana
Umetisha brother
Nakuelewa
Wow umekuwa kaka
Mootoooo
Nomaaa
Pomoja broo kutoka pande za mwanza kazi safii 🔥🔥🔥🔥
Tupo kaka tumekusubili kwaham sana
Kaka nimekubar hakuna wakuku pata wanajisumbua tu
Huna akili
Kali sana hii mzee inauza sana hapa Jinja Uganda kwenye ma bar
Nelemi wanyoshe ili wajue wewe sio Saiz yao wewe ni mkubwa
Safiiiiii ibeshi❤❤❤❤❤❤
Nelemi chukuwa maua yako rafiki yangu ukija kagongwa studio 🎙️ nakupa zaward yako maana sio kwa ubunifu huuu jamaa angu
hii ya moto💥💥💥
Nalemi asili ya kisukuma utaifikisha mbali Sana nimeona na collabo na Ney wamitego
Kaz Zuri sana❤❤❤❤
Unazidi kuwa wa moto 🔥🔥🔥🔥
KAZI NZURI SANA NEREMI MBASA NDO FT BIYANKA
Hexhia bro
Watasubr sana nelemi
Ribeshi rigigi mm shabiki yako kutoka salamit
Safii sanaaa ngoshaaqqq
Kaka noma sana kwer hy mu dada noma
🎉maua Yako umetisha sana nakubar
ibeshi safisana
Watochenga lolo hange 🤣🤣
Nelemi unaubunifu sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Goood🎉
Hatari mwamba iko vizu
Ubunifu mzur tuna pata radha tofaut
Uko vizir san hage na b hazung good technique
Acha inyeshe
Mwamba pamoja sana
Vizur sana
Nimekusoma naibeba sasa
Pamoja ibeshi
Neelemi niko dar es laam na nidakital hakika ume shain wasukuma tunatisha njooo ndar ufanye shouting nitakupa nyumba ya kulala mpaka umalize shouting zako.ahsante
❤
nice
Acha asili itembee
nimekupata nikiwa huku tunduma boda ya zambia na tanzania
❤❤❤❤❤❤ imetisha