Subhanallah unaweza kumuona mtu wa maana kumbe ana kasoro zake dini yetu ina sisitiza sana kuunga undugu kwa sababu kuna baraka kupitia kwa ndugu na ni dhambi kubwa kuvunja udugu zama rudi kwa Mungu unga udugu upate baraka na Kheri kwa Mungu wako
Haya maisha kuna mambo mengine unabidi ni kuacha tu na kupambana na maisha yako mengine , na ili uweze kuishi usikumbuke tu mabaya angalia na mema , kisha fumba macho mshukuru Mungu anza kupambana
Pole sana kwa yote ikiwa ni kweli, lkn nyinyi ni ndugu km ulivosema mwenyewe wa damu moja, jitahidini kustiriana musawazishe migogoro yenu kwa kufuata taratibu husika. Msiwe mnaanikana mitandaoni, mnawapa wabaya wenu faida bure, kesho na keshokutwa mkishapatana mtaweka wapi sura zenu?. Haya mambo kweli yanatokea ktk jamii zetu, binadaamu si mkamilifu, kukoseana kupo, lkn "Damu nzito kuliko maji". Imani yangu mtakaa chini muyaongee muyamalize. ZAMARADI tafadhali kaa chini na mdogo wako muyamalize. JISHUSHE hautapungua chochote. ALLAH atuongoze ktk njia iliyokua sawa.
Kama huko kwa ndugu hakuna wa kumsaidia afanyaje Kuna familia nyingine hazina huo utaratibu wa kumsikiliza mtu kila mtu Yuko na mambo yako kukutana ni misibani tuu 😢
Mtafuteni Mungu Ayamalize hayo wanangu tafadhari Sana Sana Mbarikiwe Nawaombea. Siku za mwisho Yako wazi yanatafuta pa kuingia sio nyie ni wengi yapo. ibilisi ameyamwangwa kukolofishana ajaze jehanamu wanangu shetani ashidwe kwa Jina la Yesu Kristo Aliyehai poleni sana. Bwana wponye watoto waokoe watoe huko hadi washangae.watakuwa walimu wazuri Yehova.
Labda kama ni wa 2000 haya yapo toka enzi za Sister p na tunatamba nayo. Usichojua sasa HIVI KIK ndio mpango mzima Dar. Kwanini hawalalamiki watu wa mikoani ni Dar tu. Bila KIK hutoboi Dar mimi nilikuwa simjui leo ndio namjua.
itakuwa mko hohe hahe usiombe uwe na japo kidogo yatakukuta mambo hutoamini ndugu mtihani sanaa mimi muhanga nalia kila kukicha namwachia mungu ndio hakimu wetu
@SaudaShabani-b6c hohehahe na hali ya kuwa mnajimudu kundi lipi ni rahisi kufarakiana,unajua umaskini unabadilisha mpaka roho,usipokuwa na khofu ya M'mungu unakuwa zaidi ya Mnyama
Kuna ndugu,na kuna rafiki ndugu.kwahiyo kama ndugu yako hataki urafiki na wewe,bakini kuwa ndugu tu.mtakutana nyumbani xmas,msibani, kwenye magonjwa,basi.msilazimishe ndugu akupende,nimejifunza,anayenipenda nitampenda hata kama sio ndugu yangu, period.hivi hivi ni kujidhalilisha
Tutajua mengi sana kwenye hizi familiya zenye pesa namajigambo mitandao.Ama kweli pesa zinabadilisha watu.Sura zenu mitandaoni Nika malaika kumbe nje yahpo nimashetani kwenye familiya znu.Mnatembelea marenchi majumba yakifahari kumbe mnarohoo zakikatili sana
Umaarufu mgumu mungu tunusuru waja wako kukosa zamarad kua maarufu msingesikika huku ivi atoke nyankumba huko atapata wapi nguvu mnatia aibu ndugu ni ndugu tu hakuna family yyt isiyokua na migongano mnajidhalilisha mwisho wa ckukuu ukwel utabak pale pale kua udugu haufiii
Nakumbuka Zamaradi alikopa vitu kwangu, kumbe alikuwa hana nia ya kunilipa! Ni Tapeli !!! Niliamua kumfuata kazini enzi za ITV ni miaka mingi, alinilipa kiasi kidogo tu cha pesa, kingine kilichobaki sikupata.
Dunia ngumu sana hii. Ukiona mtu anakuja hadharani ujue ni mazito na yamemshika kweli yaani kavurugwa mno yaani full hekaheka .yaani ni problem.yaani yakimshinda gizani atakuja katika Mwanga.Mwacheni alipuke
Huyu dada ameongea point SANA kuweka mambo hadharani ktk mitandao ni vizuri sana maana kuficha ficha haisaidii ; bora dunia ijue kwamba unavyo muona mtu sivyo Alivyo. Maana hataunaweza kumuamini kiwango cha fedha kingi utajua sio dhulumati kumbe unamkosha mwana na maji ya moto ( nijizi )
Ummy Majuto Please Kaeni Myajenge kama family Haifai kuvunja Udugu kwaajili ya Maisha ya Duniani Hakka hapa kwenye Mgongo Wa Ardhi Sio Sehemu pa kudumu kwa Mwanadamu hapa ni Mapito Allah Anasema laatadikhuri l.jannatu Qaatu Rahmaan kwamba Hatoingia peponi yeyote yule Mwenye Kukata Udugu please please please Ummy kunywa Maji Maliza Stress Kisha Rejeeni kwa Allah Acha Msijiweke Hadharani Tena Kila lenye Mwanzo hua linamwisho insha Allah yatapita🙏🏿👏
Ssa hapa kaja kufanyaje zaidi ya kumchafua ndugu yake? Ndugu km hawa hua ni wanafik na ndio mana mwisho Allah huwafichua. Hii si tabia nzuri kwa ndugu. Haya ayafanye wa mbali lkn si ndugu
Anaedai yupo sahihi kabisa.usijaribu kukopesha pesa , ndugu yako wa tumbo moja. Mtaishia kugombana na kuvunja undugu. Akikuomba mkopo wewe mpe kiasi kidogo cha pesa alafua uachane nae. Matokeo na kama hivyo
Mimi nimemuelewa huyu dada coz yamenukuta, ukiwa mdogo husikilizwi hasa kama wazazi hawapo, wakubwa wote watakukandamiza wewe, binafsi nimeamua tu kuishi kivyangu ili niepushe magonjwa, huyu dada anapoongea anatafuta uponyaji, mwacheni tu
Sikuizi ndg wameamua kuweka mambo ya familia kuyaweka kwenye midia watu wazima kwenye familia wameisha kufa wamebakia watoto TU Make tunaona matha mwaipaja Leo zamaradi jamani mungu simama na vizazi vya Sasa hivi 😢😢😢😢😢 naomba mkono WA upendo kwa. Vizazi vya Sasa sijui ni utandawazi au Mali za urithi tunavyoo waachia watoto?
Jamani mimi naweza sema kama kweli da zama alifanya yote hayo alikosea sana maama zama alipofikia anapakuishi anaendesha magari mazuri lakini mdogo wake ndo anajitafuta kiufupi anaitaji support kutoka kwake , alafu unasikia mtu akisema huyo nindugu yako mimi kivyangu ndugu asiye nitakia maendeleo sina muda nae ,zamaradi namjuwa sana nimubinafsi anataka afanikiwe yeye tuu ili wadogo zake waendelee kumushujudia
Siku zote, marafiki ndo bora zaidi kuliko ndugu. Kwa marafiki ni wepesi kusaidia, na kukupa deal au msaada kwenye Tatizo lako la kimaendeleo kuliko ndugu. Hapa pia tunapata funzo kupitia zamaradi na mdogo wake.Mdogo hakuwa na nia mbaya kabisa ila ila amechoshwa na visa, na vitimbwi vya mkubwa wake.jamani msikopeshane pesa ndugu wa tumbo moja kuepusha balaa kama hili
Watu wengine mnaweza kuzaliwa tumbo moja lakini rafiki yako anaweza kukujali na kukuthamini kuliko ndugu wako wa damu huyu dada naweza kumuelewa hapendi unafiki ameamua kusema yote
Jaman kwwni hamna wakubwa nyie ? Iiteni wazee wenu au viongozi wa dini kumaliza tofauti zenu. Mambo ya familia yanamalizwa kifamilia.. Huku mtandaoni kila mtu ana matatizo kwenye familia yake mtandaoni hakuna msaada zaidi ya aibu tu.
Pole Sana ila kuamini story ya upande mmoja ni mtihani. Wacha tusubirie upande wa pili. By the way Waislam epukeni kugombana hasa mkiwa ndugu sababu ni dhambi kubwa mno endapo mtavunja udugu
Ndugu hamna shukrani ata mfanyiwe nn. Alikupiga kama mdogowake na ukikosea unaoneka ulikua sio mtiifu. Vunashinda na nadada yako unataka kuajuu ndio walivyo wado wengi. jitafakari
Kakayangu na mwanae nimewaleta ninapoishi nimewatoabongo na miaka 9 yeye na mwanae wameniblock kwa Hiyo ndugu yanguhayo ni maisha tuu yanapita pole sana
Ukiisha sema kila kitu mitandaoni halafu itakusaidia nini au unadhani huku mitandaoni utapata nani wa kukusaidia zaidi ya kukuharibia tu?. Hebu jiulize yote unayoyasema humu mitandaoni ungemkumbuka Mungu na kumuomba akusaidie huoni ungekuwa mbali zaidi na huu uhasama unaoujenga?
Wacheni ateme nyongo labda hapa ndio atapata nafuu ujinga wake nini zama kina faiza walosema mkorofi kabla na jee huyu mdogo wake je?? Wacheni kujifanya washauri nasaha
Huyu Binti yupo sahihi kiukweli ktk Familia zetu za ki -Africa kuna watu Mwenyezi Mungu akiwainua wanawanyanyasa wengine Nakumbuka Zamaradi aliwahi kubandika Bango la 10 mill sikubya valentine Day sasa alikuwa na maana gani wakati anachukua mill 8 za mdogo wake na hamrudishii? Kwakweli inaskitisha
Dawa ya mchawi ni kumsema hadharani .dada mtu ongea yote ajulikane ubaya wake mtu anadhulum miloni 8 tena unaenda fanya sherehe? Rudisha fedha ya wenyewe. Ndio uungwana
Nahisi mdogo mtu yu tayari kupatanishwa ndo maana hata alipopata taarifa za birthday ya dada yake kwa watu baki alithubutu kumpigia simu dada yake na akahudhuria kwenye shughuli. Binafsi nimwombe ZAMARADI atumie ukubwa wake kuyamaliza haya. Mungu awatangulie katika mahusiano Yao🤲 Aaaaamin
mbona mnafanana jamani huyu shetani anaewatenganisha na ashindwe kabisa siku izi ndugu tumeingiliwa na nini tumwombe MUNGU aingilie kati mungu apendi ndugu kutengana jamani tuanguke miguuni mwake tulie tuomboleze jua lisichwe amjapatana n
Sitaki mazoeya na ndugu ndugu hawana shukrani undugu kazi baazi ya ndugu ata umpe nini hawana shukrani
Sio wote
@shifaaal-baity4503 ndugu ndugu msaidie akiwa mbali sio kukaanae nyumba moja
sio wote lakini wengi wao.
Mi naanza kuwaogopa ndugu zangu naona wananipendea hela tu. Nisipotoa hela nawaona jinsi wanavonitenga😢😢😢
@vanessalaizer4363 dd Vanessa routine alisema ndugu kaa nao mbali wakijya unauwezo wanaweza kukurushia bom
Nawapenda sana dada zangu na naepuka magomvi sana sababu naijua gharama ya kuvunja undugu
Hizi familia, MUNGU atulinde 🙌🙌🙌🙌🙌
Subhanallah unaweza kumuona mtu wa maana kumbe ana kasoro zake dini yetu ina sisitiza sana kuunga undugu kwa sababu kuna baraka kupitia kwa ndugu na ni dhambi kubwa kuvunja udugu zama rudi kwa Mungu unga udugu upate baraka na Kheri kwa Mungu wako
Haya maisha kuna mambo mengine unabidi ni kuacha tu na kupambana na maisha yako mengine , na ili uweze kuishi usikumbuke tu mabaya angalia na mema , kisha fumba macho mshukuru Mungu anza kupambana
😂😂😂😂🤣🤣 ndugu ni ndugu.....! Ogopa internet........this will live on forever!!
Hata kama, bi dada kashaushusha mzigo wake ulokua ukimkera.
Kazinguaa😢this is sad😢😢
Subhanallah Allah Akbar inasikitisha sanaaa 😊😊😊
Pole sana kwa yote ikiwa ni kweli, lkn nyinyi ni ndugu km ulivosema mwenyewe wa damu moja, jitahidini kustiriana musawazishe migogoro yenu kwa kufuata taratibu husika. Msiwe mnaanikana mitandaoni, mnawapa wabaya wenu faida bure, kesho na keshokutwa mkishapatana mtaweka wapi sura zenu?. Haya mambo kweli yanatokea ktk jamii zetu, binadaamu si mkamilifu, kukoseana kupo, lkn "Damu nzito kuliko maji". Imani yangu mtakaa chini muyaongee muyamalize. ZAMARADI tafadhali kaa chini na mdogo wako muyamalize. JISHUSHE hautapungua chochote. ALLAH atuongoze ktk njia iliyokua sawa.
Mnatia aibu ninyi ni ndugu ninavyofahamu meno yambwa
Hayang,atani
Kiki tuu za ujinga
Mpaka yapo mitamdaoni kunashida kubwa Sana siwezi sema wakae wao lzima wasimamiwe na viongozi wadini
Ndugu wanashida sana wakiona wenzao wanasonga.Waone hivyohivyo
Ndio ukamuona kaingia mtandaoni ujue nafs yake si nzuri tangu mwanzo
Wanandugu wakigombana shika jembe ukalimeeeeeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tena haraka
Ndugu ni ndugu tuu wataelewa na hata msibani
Dada yako mwizi na yamewakuta wengi ogopa ndugu usiwaamini ni mijizi sana bora rafiki kuliko ndugu ndugu yako mwizi
Yaaan Kama mm sitaki😮😮😮 kabisa kusikia ndugu fadhili mbuzi utamla nyama ndugu afadhiliki jamani😂 8:03 8:03
Jamani sasa kwa nini ndugu mnakuja kuleta mambo ya familia kwenye mtandao jamani😢 .mnajiaibisha
Acha aseme nafsi ipone mpaka kafika huku huenda imepitiliza
Hakuna kupitiliza ni roho mbaya tu. Haya wayafanye wa nje na sio ndugu
Kama huko kwa ndugu hakuna wa kumsaidia afanyaje Kuna familia nyingine hazina huo utaratibu wa kumsikiliza mtu kila mtu Yuko na mambo yako kukutana ni misibani tuu 😢
NI vibaya sana😢 sio rahisi kupatana tena
@@AnthonyShirima-z6vsasa kapata faida gani??wewe unaweza kumsaidia??
Mama angu aliwai kuniambia pesa ilivunja undugu nikawa namshangaa Leo ndo nmedhibitisha
Inavunja undugu urafiki pia kama huna pia unatengwa sijui lipi jema
@@Zuuh107 kabisa mm s naangaliaga ata familia yangu ukiwa nacho unathaminiwa usipokua nacho hawakujui
@@Zuuh107
Jema pesa tu
Kama kweli pole mdogo wangu.zamarad kuwa mwema kunaanzia ndani nasio nnje😭😭😭
Namwelewa huyu dada ,
Pole ndugu yangu muelewane kwa nini muzalilishane mpaka akitemee mate usoni hizo ni zarau sasa😢😢
Mtafuteni Mungu Ayamalize hayo wanangu tafadhari Sana Sana Mbarikiwe Nawaombea. Siku za mwisho Yako wazi yanatafuta pa kuingia sio nyie ni wengi yapo. ibilisi ameyamwangwa kukolofishana ajaze jehanamu wanangu shetani ashidwe kwa Jina la Yesu Kristo Aliyehai poleni sana. Bwana wponye watoto waokoe watoe huko hadi washangae.watakuwa walimu wazuri Yehova.
Afadhali Beatrice Mwaipaja kafungulia njia
Labda kama ni wa 2000 haya yapo toka enzi za Sister p na tunatamba nayo. Usichojua sasa HIVI KIK ndio mpango mzima Dar. Kwanini hawalalamiki watu wa mikoani ni Dar tu. Bila KIK hutoboi Dar mimi nilikuwa simjui leo ndio namjua.
Pole sana. Lakini sasa tusikie upande wa Zamaradi
Zama ni Martha aliyechangamka😢
Mhuuu jamani ,mm ndugu yangu akinichukia naachana naye kimya Kuna ndugu vichomi
Nashukuru mungu Mimi na wadigo zangu tumezaliwa 4 tunapendana sn tunajaliana sn na hata mtu aseme ana tatizo lazima tulitatue Kwa shida na raha
Allah awajazie kheri ❤
Mungu awabariki 🎉
Itakuwa hamna hela
itakuwa mko hohe hahe usiombe uwe na japo kidogo yatakukuta mambo hutoamini ndugu mtihani sanaa mimi muhanga nalia kila kukicha namwachia mungu ndio hakimu wetu
@SaudaShabani-b6c hohehahe na hali ya kuwa mnajimudu kundi lipi ni rahisi kufarakiana,unajua umaskini unabadilisha mpaka roho,usipokuwa na khofu ya M'mungu unakuwa zaidi ya Mnyama
Heshimu sana ndugu wa damu moja hata kuwe na nini kuna kesho
Kuna ndugu,na kuna rafiki ndugu.kwahiyo kama ndugu yako hataki urafiki na wewe,bakini kuwa ndugu tu.mtakutana nyumbani xmas,msibani, kwenye magonjwa,basi.msilazimishe ndugu akupende,nimejifunza,anayenipenda nitampenda hata kama sio ndugu yangu, period.hivi hivi ni kujidhalilisha
Hakika
Sadkta hata mimi nampenda anaenipenda awe ndugu awe si ndugu
Tutajua mengi sana kwenye hizi familiya zenye pesa namajigambo mitandao.Ama kweli pesa zinabadilisha watu.Sura zenu mitandaoni Nika malaika kumbe nje yahpo nimashetani kwenye familiya znu.Mnatembelea marenchi majumba yakifahari kumbe mnarohoo zakikatili sana
Ana kingereza kizuri
Umaarufu mgumu mungu tunusuru waja wako kukosa zamarad kua maarufu msingesikika huku ivi atoke nyankumba huko atapata wapi nguvu mnatia aibu ndugu ni ndugu tu hakuna family yyt isiyokua na migongano mnajidhalilisha mwisho wa ckukuu ukwel utabak pale pale kua udugu haufiii
Kama HAYAJAKUKUTA HUWEZI KUELEWA ANACHOONGEA..OMBA MUNGU YASIKUKUTE..
Hakika
Upo sahihi kabisa
Hela hiziiiiii,omba uzimiliki zisikumiliki😢😢😢
Kabisa km hayajakukuta utayaona ya kawaida
Kwanini ndugu meemaken mitandaoni jamaniiii. Hii mitandao mbona imetuharibia mila na desturi zetu jamaniiii. Allah tuhifadhie vizazi vyetu.
Sababu mna wa support na ujinga wao
Yaan acha mitandao hii mwe siri nje nje Mungu turehemu
Mbona unasoma😊
Nakumbuka Zamaradi alikopa vitu kwangu, kumbe alikuwa hana nia ya kunilipa! Ni Tapeli !!! Niliamua kumfuata kazini enzi za ITV ni miaka mingi, alinilipa kiasi kidogo tu cha pesa, kingine kilichobaki sikupata.
Mungu awasaidie mfikie mwafaka mwema. Zamaradi wajua ukweli chukua hatua.
Ndugu ni hatari sana mm na mdogo wangu alishanileteha polic kbs anasema anijui nimwingilia kwake na kumfanyia fujo ndugu sio kbs
Dunia ngumu sana hii.
Ukiona mtu anakuja hadharani ujue ni mazito na yamemshika kweli yaani kavurugwa mno yaani full hekaheka .yaani ni problem.yaani yakimshinda gizani atakuja katika Mwanga.Mwacheni alipuke
Ukiona mtu anakuja hadharani ujue ni mbaya wako tangu zamani alikua akijificha tu
@@Fear_Allah394
Siri ya mtungi aijuae kata huwezi jua nini kinaendelea, waache watajuana wenyewe
@@Fear_Allah394kweli kabisa afu limeandika kabisa waraka wa vita
Huyu dada ameongea point SANA kuweka mambo hadharani ktk mitandao ni vizuri sana maana kuficha ficha haisaidii ; bora dunia ijue kwamba unavyo muona mtu sivyo Alivyo. Maana hataunaweza kumuamini kiwango cha fedha kingi utajua sio dhulumati kumbe unamkosha mwana na maji ya moto ( nijizi )
Ummy Majuto Please Kaeni Myajenge kama family Haifai kuvunja Udugu kwaajili ya Maisha ya Duniani Hakka hapa kwenye Mgongo Wa Ardhi Sio Sehemu pa kudumu kwa Mwanadamu hapa ni Mapito Allah Anasema laatadikhuri l.jannatu Qaatu Rahmaan kwamba Hatoingia peponi yeyote yule Mwenye Kukata Udugu please please please Ummy kunywa Maji Maliza Stress Kisha Rejeeni kwa Allah Acha Msijiweke Hadharani Tena Kila lenye Mwanzo hua linamwisho insha Allah yatapita🙏🏿👏
Hiyo ni Qur'an au,na kama ndio ipo kwenye sura gani,ulichoandika ndio maana yake?
Toa aibu hapa malizeni tofauti zenu kifamilia hapo.
Hapana jamani ukiona hivyo kote kapita kumeshindikana. Huku pengine zamarsdi Kuna watu anawasikilixa wakimweleza
Ssa hapa kaja kufanyaje zaidi ya kumchafua ndugu yake? Ndugu km hawa hua ni wanafik na ndio mana mwisho Allah huwafichua. Hii si tabia nzuri kwa ndugu. Haya ayafanye wa mbali lkn si ndugu
Unaonekana unaroho mbaya, namna unavoitamka tu iyo blablabla
Kapia wapi ako kadada ni kajeuri uwiiii@@njuka3515
Anaedai yupo sahihi kabisa.usijaribu kukopesha pesa , ndugu yako wa tumbo moja. Mtaishia kugombana na kuvunja undugu. Akikuomba mkopo wewe mpe kiasi kidogo cha pesa alafua uachane nae. Matokeo na kama hivyo
Dada nendeni mkakae kikao Cha familia acheni hizo kuchafuana wanafamilia
Mimi nimemuelewa huyu dada coz yamenukuta, ukiwa mdogo husikilizwi hasa kama wazazi hawapo, wakubwa wote watakukandamiza wewe, binafsi nimeamua tu kuishi kivyangu ili niepushe magonjwa, huyu dada anapoongea anatafuta uponyaji, mwacheni tu
Hakuna haja ya kikao cha familia kwa sababu mara nyingi, mwenye umaarufu ndiyo hupata ushindi, kinachotakiwa alipe deni analodaiwa . Basi
Tanzania😂😂...Sijui Martha...Sijui zamaradi😂
Tupo weng sana yani inaumiza ila hatuna jins
😂😂😂😂😂
Awa sio mda wanapatana ❤
Sikuizi ndg wameamua kuweka mambo ya familia kuyaweka kwenye midia watu wazima kwenye familia wameisha kufa wamebakia watoto TU
Make tunaona matha mwaipaja Leo zamaradi jamani mungu simama na vizazi vya Sasa hivi 😢😢😢😢😢 naomba mkono WA upendo kwa. Vizazi vya Sasa sijui ni utandawazi au Mali za urithi tunavyoo waachia watoto?
Wazee wapo lkn watu siku hzi hawaheshimu wazee. Ulimwengu wa mabata huu wtto mbele mama bata nyuma
Kuna familia zinazokosa wazee/wakubwa wakusuluhisha? Basi tu ujinga watu umewaandama
Jamani mimi naweza sema kama kweli da zama alifanya yote hayo alikosea sana maama zama alipofikia anapakuishi anaendesha magari mazuri lakini mdogo wake ndo anajitafuta kiufupi anaitaji support kutoka kwake , alafu unasikia mtu akisema huyo nindugu yako mimi kivyangu ndugu asiye nitakia maendeleo sina muda nae ,zamaradi namjuwa sana nimubinafsi anataka afanikiwe yeye tuu ili wadogo zake waendelee kumushujudia
Sialikupaga gari lakini
Siku zote, marafiki ndo bora zaidi kuliko ndugu. Kwa marafiki ni wepesi kusaidia, na kukupa deal au msaada kwenye Tatizo lako la kimaendeleo kuliko ndugu. Hapa pia tunapata funzo kupitia zamaradi na mdogo wake.Mdogo hakuwa na nia mbaya kabisa ila ila amechoshwa na visa, na vitimbwi vya mkubwa wake.jamani msikopeshane pesa ndugu wa tumbo moja kuepusha balaa kama hili
Neno la MUNGU siku za mwisho ndugu hawatapendana
Mrudishe hela yake mdogo wako nae apambanie kizazi chake kijacho. Milion 8 unamdhulumu mdogo wako ili ukafanye birthday, sio sawa hyo
Asalam alaikum kwani singer ongea faragha kama familia mkayamaliza mpaka uongelee kwenye social media sio vizuri my sister
Mdogo wangu pole ndugu lawama uyo dada yko ukimuona kama kondoo kumbe mbwa mwitu amekosea kukutapeli mdogo wako ufai ss yuo janja kasha kuvua nguo tamba tena ufai keenye jamiii zamaradi ujiheshm
Kwenye familia kuna mambo mengi wengi wanajisafisha nje lkn ndani kunateketea
Shukuru mungu Mimi ndugu yangualienda kwa mtu fulani akasema. Washirikiane wanaume kwa kupitia mganga fulani huyo ni ndugu yangu baba mmoja mama mmoja
sibusara mambo ya familia kuyaleta mitandaoni kuweni na subira muyamalize Allah akujaalien msikilizane
Ongea haraka haraka niko na asira😊
😂😂😂😂😂
Watu wengine mnaweza kuzaliwa tumbo moja lakini rafiki yako anaweza kukujali na kukuthamini kuliko ndugu wako wa damu huyu dada naweza kumuelewa hapendi unafiki ameamua kusema yote
Sidhani kama social media itasaidia....kaeni malice M/mungu awasaidie
Ndugu wakigombana beba jembe ukalime wakipatana beba kapu ukavune
Ndugu wa zamani lbd sio wa sasa..vichomi tuu,wamejaa wivu mpk bc
Jaman kwwni hamna wakubwa nyie ? Iiteni wazee wenu au viongozi wa dini kumaliza tofauti zenu. Mambo ya familia yanamalizwa kifamilia.. Huku mtandaoni kila mtu ana matatizo kwenye familia yake mtandaoni hakuna msaada zaidi ya aibu tu.
Kwann mnaleta maisha binafsi mitandaoni??
Udugu🙌
Ugomvi wandugu waachie wenyewe ww oga pendeza Toka ukafanye kazi zako zakusaka tonge
Ila zamaradi,ndo maana faiza ally anamkataaa sanaa
Kusema Ndiyo dawa sema Dada
Irine Paul na faiza ally walisema lakini zama ni kiboko ila tuliona wanaongea uongo na wanamuonea wivu
Watoto wadada angu jamaani Ummy umesababisha nilie nnemkumbuka sana dada mbona mumelelewa vzr hayo yote ametoka wapi aisee naumia sana
Pole Sana ila kuamini story ya upande mmoja ni mtihani. Wacha tusubirie upande wa pili. By the way Waislam epukeni kugombana hasa mkiwa ndugu sababu ni dhambi kubwa mno endapo mtavunja udugu
Kwahyo mdogo wake Martha mwaipaja beatrice ndo kawafundisha ndo muwanze kujitokeza mitandaoni kuanza kujidharirisha???
Huyu ninani?
Muache atoe ushuhuda wa maisha yake, looh😂😂😂
Tupo na Beatrice na martha leo yameibuka ya zamarad tena😂
Hii tofauti hawa wawili ni urithi ,Beatrice anataka kuvuna asichopanda
ZAMA NI MNAFIKI SANA, NI WACHACHE WANAOMFAHAMU KWA UNDANI, NI MSHENZI SANA, MDOGO MTU KACHOKAAAAA HALAFU KACHOKA TENA.
Hakuna aliyekamilika nyia ndugu damu nzitu kuliko maji msamehane Allah hafiz
😂😂😂mzee damu ilikuwa nzito zamani imebaki fact kisayansi tu lkn ndg wamekuwa miyeyusho wa kwanza siku hz
Acha kuongelea mitandaoni. Au unatumia madawa kweli? Mana km ni usomi si ivooo. Mtafute ndugu yako mpe live ..... si hivi .. 😢
Hivi kumetokea nini wana ndugu kuanikana mitandaoni?
Kumbe ni.waislam hawa. Subuhanallah.
Ndugu hamna shukrani ata mfanyiwe nn. Alikupiga kama mdogowake na ukikosea unaoneka ulikua sio mtiifu. Vunashinda na nadada yako unataka kuajuu ndio walivyo wado wengi. jitafakari
Kakayangu na mwanae nimewaleta ninapoishi nimewatoabongo na miaka 9 yeye na mwanae wameniblock kwa Hiyo ndugu yanguhayo ni maisha tuu yanapita pole sana
Ukiisha sema kila kitu mitandaoni halafu itakusaidia nini au unadhani huku mitandaoni utapata nani wa kukusaidia zaidi ya kukuharibia tu?. Hebu jiulize yote unayoyasema humu mitandaoni ungemkumbuka Mungu na kumuomba akusaidie huoni ungekuwa mbali zaidi na huu uhasama unaoujenga?
Wacheni ateme nyongo labda hapa ndio atapata nafuu ujinga wake nini zama kina faiza walosema mkorofi kabla na jee huyu mdogo wake je?? Wacheni kujifanya washauri nasaha
Huyu Binti yupo sahihi kiukweli ktk Familia zetu za ki -Africa kuna watu Mwenyezi Mungu akiwainua wanawanyanyasa wengine
Nakumbuka Zamaradi aliwahi kubandika Bango la 10 mill sikubya valentine Day sasa alikuwa na maana gani wakati anachukua mill 8 za mdogo wake na hamrudishii?
Kwakweli inaskitisha
Dawa ya mchawi ni kumsema hadharani .dada mtu ongea yote ajulikane ubaya wake mtu anadhulum miloni 8 tena unaenda fanya sherehe? Rudisha fedha ya wenyewe. Ndio uungwana
Kwa hiyo siku hizi kila ndugu mambo hadharani huyu naye kafuata nyayo za Beatrice jamani malizeji ndani MWe Sikh za mwisho hiz Mungu tutetee
Sikiliza mdd Bora ungemsutiri ndg yako ungemsamehenna pia ungeyamakixia kifamilia yaishe siyo hivyo kutaabika mtandaoni siyo vzr
Nahisi mdogo mtu yu tayari kupatanishwa ndo maana hata alipopata taarifa za birthday ya dada yake kwa watu baki alithubutu kumpigia simu dada yake na akahudhuria kwenye shughuli. Binafsi nimwombe ZAMARADI atumie ukubwa wake kuyamaliza haya. Mungu awatangulie katika mahusiano Yao🤲 Aaaaamin
Mie naumia jamani hili wimbi la ndugu kutokuelewana tuombeane na tusameheane tusimpe mharibu nafasi
Hizi ni siku za mwisho😢
Hamna vikao vya familia huko kwenu??? Ukiwa na lidogo kama hili ni kazi kweli 🤔
mbona mnafanana jamani huyu shetani anaewatenganisha na ashindwe kabisa siku izi ndugu tumeingiliwa na nini tumwombe MUNGU aingilie kati mungu apendi ndugu kutengana jamani tuanguke miguuni mwake tulie tuomboleze jua lisichwe amjapatana n
Mtu asiepatana na watu wa nyumbn kwake ni sawasawa na muuwaji
So yamalizen km ndugu
Suluhu ya ndugu sio mitandaoni acha upumbavu
yote ya nini jamani
Mbona wanaolalamika ni wadogo wanashida Gani na mitandao
Hii mitandao hii noma sana, sasa y humu???😡😡
Nenda kayaongee huko kwa ndugubzenu wakubwa siobhuku
Zama usimjibu kimtandao kaa kimya
Km teja iyo miwani😅
Madawa au unga haujawahi kumuacha mtu salama Unga ni hatari sana
Huyu nae em atulie uko asitusumbue akili zetu uku, kwendraaa
Tumefunga na Martha 2mefungua na boabab hatujakaa sawa tunaendelea na Zamaradi😮😮😮😂😂😂😂
Baadhi ya ndugu hua na roho mbaya na vinyongo sana mwisho wake ndio huu. Huona wadhalilishane mitandaoni
Mmegeuza kiki asaivi tumewachoka kwaiyo unavyotuhadithia ndo tufanyeje kakaeni na familia zenu msuruishe uko
Duuuuh kama ni kweli huu ni unyama kwa nini unamfayia hivi mdogo wako. Rudisha upendo kwa mdogo wako. Umaarufu usikutenganishe na ndugu zako.
alafu huwa amna mahali kwa kuongea maneno yenu mpaka mitandaoni ila nyia hamna akili kweli ujinga tu
Ummy, you are too kind people misuse it your kindness . Don't trust anyone.
Zamaradi akukope ww 8m kweli mmh! dada wacha uongo
Hivi huyu sindo Yule alipewaga zawadi ya gari na Zama au?
Sasa kuanikana mitandaoni ndio undugu
Huo ni ujinga matatizo yenu ya kifamilia kuyaweka wazi kwenye mitandao
mbona kama unasoma