Wow Maa Shaa ALLah AlhamduliLLah atleast mwisho umekuwa mwema sana shukran za dhati kwenu nyote Mwandishi, msimuliaji D'Oen na crew nzima ya Simulizi Mix JazakumuLLahu Khairan nyote kwa kutuburudisha, kutufurahisha na kutuelimisha we love you guys. 😍🥰
Jumaaa limekishuka shuuu finally tumemalizia kwa mafunzo tele haswaa kwa michoro ya hao machachari hata km kuna mtu kweli hajaelewa tangia mwanzo wa simulizi hapo kweli hawezi toka bure,,, mbarikiwe sana mobyshine na Habibi wetu oen 🙏🙏🥰💞 tuko pamoja
mwisho waziki ni furaha jamani pia na mwisho wa ubaye ni ayibu acha juma na husen ni kundi lake wakavune kile walicho kipanda asata sana simuliz mix kwa adisi zenye mafunzo shukurani sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nimetani isikwishe jamani
Daaah Shukrani za dhati ziwafikie na kuwarudia wote wahusika waandalizi wa simulizi hii ambayo imekuwa na mafundisho mbali mbali na kwa watu wa umri wo wote na kwa watu wahi mbali mbali bila kuwangalia , vipawa, utajiri ama umaskini ila imekuwa ikifundisha mafundisho kwa wote ila kweli apandacho mtu ndicho huvuna maana ukiwa mbinafsi na mwenye madharao utavuna hayo hayo ila ukipanda utu utavuna utu , hongera d oen kwa kazi safi na pia shirika lote la smix kwa ukarimu na juhudi zenu
😂😂😂😂nimecheka kwa sauti watu wakimkaribisha Iqbal.rahma hongera kwa ķupata rafiki wa kweli 🥰D asante kwa simulizi nzuri tamu na yenye hichoshi na mafunzo niko nyuma yako step by step
Hii simulizi ntarudia kuisikiliza mara kwa mara namwomba mungu anijalie uhai mwanangu pia akifikia miaka 10 kama atashindwa kuisikikiza bhc nitamsimulia sintoisahau hat siku moja
Mtunz wa hii simulizi na msimuliaji niombeeni siku moja ntawapa zawadi hat kama ni kidogo hii simulizi imenifundisha mengi mengi nawashukuru sana na mungu awape baraka zake awajalie afya njema siku zote. Mnatuelimesha sanaaah
Asante kwa kutuelimisha nimepata funzo katika simulizi hii katika maisha haya usimdharau mtu usiye mjua❤ asante simulizi mix D’oen na mtunzi wetu Mogshine🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪
❤❤❤
kidume awanyowoshe kabisa sana ekibal waoneshe
Straight away to the state house baby gal Rahman Vs Iqbal
The story was so interesting love it
Ilikuwa tamu sana nasubiri (NANIUKUMIWE TENA)
Wow Maa Shaa ALLah AlhamduliLLah atleast mwisho umekuwa mwema sana shukran za dhati kwenu nyote Mwandishi, msimuliaji D'Oen na crew nzima ya Simulizi Mix JazakumuLLahu Khairan nyote kwa kutuburudisha, kutufurahisha na kutuelimisha we love you guys. 😍🥰
Ahsante sana simuliz mix kwa lakn pia impindiselo tumeimiss malizien bas
Vipenzi wa simulizi mix ,hampotezi hata majira ,ikiwasili tu mumeidaka haaa😁😁
❤❤❤ tusonge mbele na msimuliaji wetu D,oen na mtunzi wetu MobyShine🔥🔥🔥🔥
Jumaaa limekishuka shuuu finally tumemalizia kwa mafunzo tele haswaa kwa michoro ya hao machachari hata km kuna mtu kweli hajaelewa tangia mwanzo wa simulizi hapo kweli hawezi toka bure,,, mbarikiwe sana mobyshine na Habibi wetu oen 🙏🙏🥰💞 tuko pamoja
Nmecheka sana, ety wa mkoa anashuka tupige makofi,...alafu Ikibari anashuka😅😅
Asante kwa simulizi nzuri🥰🥰🥰🥰🇧🇻🇧🇻
Nime wahi leo Asante sana kwa simulizi zuri
Owky! I'm no.1 thanks Smix kwa muendelezo 🙏🏻
Shukran sanaa tumefurahiaa D'oen Mungu awabariki nyotee❤❤
Asante sana MC
mwisho waziki ni furaha jamani pia na mwisho wa ubaye ni ayibu acha juma na husen ni kundi lake wakavune kile walicho kipanda asata sana simuliz mix kwa adisi zenye mafunzo shukurani sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nimetani isikwishe jamani
Yes that's true 👍 Ishi kwa wema utayaone mema hadi mbele ya Mungu☝️ utayaona tu mema yako🙌Shukran sna mubarikiwe kwa sote 🙏
Daaah Shukrani za dhati ziwafikie na kuwarudia wote wahusika waandalizi wa simulizi hii ambayo imekuwa na mafundisho mbali mbali na kwa watu wa umri wo wote na kwa watu wahi mbali mbali bila kuwangalia , vipawa, utajiri ama umaskini ila imekuwa ikifundisha mafundisho kwa wote ila kweli apandacho mtu ndicho huvuna maana ukiwa mbinafsi na mwenye madharao utavuna hayo hayo ila ukipanda utu utavuna utu , hongera d oen kwa kazi safi na pia shirika lote la smix kwa ukarimu na juhudi zenu
😂😂😂😂nimecheka kwa sauti watu wakimkaribisha Iqbal.rahma hongera kwa ķupata rafiki wa kweli 🥰D asante kwa simulizi nzuri tamu na yenye hichoshi na mafunzo niko nyuma yako step by step
🥰🥰🥰nzuri sana
Okay okay tupo tumetulia tu tunaenjoy na shadow of the owner
I salute Heroes of mine, team simulizi,aki najivunia sana kuwajua, blessings.
Hadithi nzuri sana, sasa tunaomba mututafutie Hadithi inaitwa Ambola ya Matayo Mulumbi
Shukran saaaanaa😘😍😍😘😍😍😍😍
Ahsanta kwa simulizi murua,it was soo interesting 🤔👏👏🙏
Shukran sana simulizi mix hatimae tumemaliza Salama kazi nzuri sana
Nimejifunza Aseee asante mtunzi asanteee msimuliaji 🙏
Nice
Nimefurah sn Asante sn simulizi mix love ❤️ ❤️ ❤️❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
💞🙏💞
Shukran sana Mr Director Oen kwa simulizi
Shukran smlz mx ❤❤🎉
Asante tunasonga nayo 🥰🥰🥰😂
😘😘👌👌👌💯💯💯
Natamani isiyishe nimzuri Sana nikiyizikiliza sichoki kufanyakazi
Simuliz tam😘😘😘
Wow
Thankyou 🙏
😘😘😘😘😘😘
Hii simulizi ntarudia kuisikiliza mara kwa mara namwomba mungu anijalie uhai mwanangu pia akifikia miaka 10 kama atashindwa kuisikikiza bhc nitamsimulia sintoisahau hat siku moja
🙏🙏🔥
Shukran Sana
Thanks
❤️❤️❤️👌
Thank you so much
Mtunz wa hii simulizi na msimuliaji niombeeni siku moja ntawapa zawadi hat kama ni kidogo hii simulizi imenifundisha mengi mengi nawashukuru sana na mungu awape baraka zake awajalie afya njema siku zote. Mnatuelimesha sanaaah
Jamani uyu juma..kaa
Asanteee
😂😂😂😂Juma juma loho baya imekupoza asate sana simlizi mix d oen Mbalikiwe sana jamani katam
Wapenzi mpo thank you so much simulizi mix love you 🇰🇪
Asante kwa kutuelimisha nimepata funzo katika simulizi hii katika maisha haya usimdharau mtu usiye mjua❤ asante simulizi mix D’oen na mtunzi wetu Mogshine🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪
Ebwana ndiooo
Ndio waswahili husema ukipanda ubaya utavuna ubaya. Na ucdharau mtu kwa Hali duni alonaya la mwisho ni mwisho wa ubaya ni aibu
leo hiyi husen anajutiya kwamambo ambayo ameyafanya
Nata mani kua mwana tchama weyu
George dactony usituletee nusu kama impindiselo ulikataa kuimalizia😥
Ndio mambo yake hata roho za mabinti Sita hakumaliza yutube.... Omba omba wa daraja la salenda pia Sasa hio nihukumiwe Tena inaogopesha kuianza
@@halimashaib9102 hata sijuwi kwa nini
@@halimashaib9102 umesahau Ile tax ya mauaji
Ikubali good bye bye