Hogereni simulizi mix kwa kazi yenu nzuri na yenye kutupa mafunzo maana hapa nizaidi ya darasa heko D oen tupo pamoja usiupindishe usukani kwani macho na masikio yetu nikwako
Done!Iqbal Macaristan si rafiki 😒thanks to all my best friends for being a good friends Salma quick Recovery mamaaaa❤ be good person coz you might be the one sorry for your actions. D GOOD JOB👍👌
Ila mimi hujiuliza mbona matajiri hujiooona kuwa wao nizaidi ya wanadamu ama zaidi yakujiona sukari na sio chumvi huwa wananipa stress juu nikiwangalia wanashida nyingi kuliko maskini kwani maskini hulala popote na bila mashaka ama kujishitukia wala hofu na haijalishi niporini ama barabarani ama wapi maana wanaamani ya kuwatosha ila hao matajiri wanalala majengo ya mawe na matofali na walinzi kama wote ila bado wanameza dawa zakuutafuta usingizi na bado usingizi unagoma hata hivyo siyatamani maisha hayo ila maisha ya kadri
Babu ndio boss
Kumi bora naomba like zenu
Wazee wenzangu hamuoni mzee gwae ndiye mwenye mali
nikizani
Msiniambie Leo nimeachwa mbali
Hogereni simulizi mix kwa kazi yenu nzuri na yenye kutupa mafunzo maana hapa nizaidi ya darasa heko D oen tupo pamoja usiupindishe usukani kwani macho na masikio yetu nikwako
Pamoja sana mr Director Oen
Shukran sana simulizi mix
Babu gwae huyoooo,,,huku anawachora tu ila jmn mwishowe c watahaibika ndo maana inasemwa usimdharau usiye mjua thanks mobyshine na oen big up
Babu ndio mwenyewe
Asanteni kwa kutuletea mwendelezo 🇰🇪
Babu ngwaya amekuja kuwajaribu wafanyikazi
Babu babu pole ngoja siku wajue ukweli
Nimewahi leo wallah😂😂😂
Nafuatilia bega kwa bega
Mzee gwaya
Wa kwanza kulike wakwanza kuli View 👌👌👌👌👌
Hongera
Babu ndiye boss
Mi nahisi babu ndo boss 😊
Ki2 ❤️❤️❤️👌
Asate sana simlizi mix d oen
Habari zenu wanafamilia tupo pamoja😍😍
Asante kaka
Nimekaribia thanks Smix pamoja sana I'm no.1 👍🏻
Done!Iqbal Macaristan si rafiki 😒thanks to all my best friends for being a good friends Salma quick Recovery mamaaaa❤ be good person coz you might be the one sorry for your actions. D GOOD JOB👍👌
Asante sana simulizi mix
Wow thank you 🙏
Ekibali jamani hawafuraishi nambiyeni
I think 🤔🤔 ni Babu director
❤️❤️❤️👌
🤗🥰🥰
Mmilik atakua ni babu gwae
Binafsi nahisi watu wawili, 1.Babu au Mama ikbar
Boss wa hiyo company ni babu gwai!!!
nikizani ngoja nisikilize
Shukrani sana
Na me nahis babu ni mmilik
Tupo pamoja
Ila mimi hujiuliza mbona matajiri hujiooona kuwa wao nizaidi ya wanadamu ama zaidi yakujiona sukari na sio chumvi huwa wananipa stress juu nikiwangalia wanashida nyingi kuliko maskini kwani maskini hulala popote na bila mashaka ama kujishitukia wala hofu na haijalishi niporini ama barabarani ama wapi maana wanaamani ya kuwatosha ila hao matajiri wanalala majengo ya mawe na matofali na walinzi kama wote ila bado wanameza dawa zakuutafuta usingizi na bado usingizi unagoma hata hivyo siyatamani maisha hayo ila maisha ya kadri
X
Nishalike mda tu sasa nimerudi kusikiliza ❤ asante simulizi mix kwa kutuletea mwendelezo, nasisitiza T-shirt yang mnitunzie🙏
Mzee gwayi yumiss
Kweli matajiri itakuwa ni vigumu kuingia ktk ufalme wa mbinguni
Ukweli mwenye hii Mali ni nani?
❤❤❤😂🎉
😂
so