Killy X Nyanda X Singah - AMENIKAA (Official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2020
  • Brand New Joint Officially Arrives Collaboration Between Killy from Tanzania With (Brick & Lace) Nyanda and Singah from Nigeria.Audio Produced by S2kizzy and Moccogenius.
    Follow Killy
    Instagram: / officialkilly_tz
    Twitter:
    Facebook:
    Listen to Killy
    RUclips: / officialkilly
    Audiomack: audiomack.com/officialkilly
    Apple Music : / killy
    Spotify : open.spotify.com/artist/6YXrb...
    Boomplay: www.boomplay.com/artists/5886...
    Deezet: www.deezer.com/us/artist/1352...
    The official RUclips channel of Officialkilly. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
    For Bookings & More
    Email: bookkilly@gmail.com
    Call:
    #Killy #Nyanda #Singah #Amenikaa
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 782

  • @doctorsuley8704
    @doctorsuley8704 4 года назад +590

    Tutaelewana Taratibu tu Teamkiba wote niwaone likes zenu hapa 😀😀😀🙌

  • @antonyngala1977
    @antonyngala1977 4 года назад +276

    Team kiba acheni roho mbaya hebu naombeni like japo kumi tufurahie mziki wetu

    • @youngmoney4498
      @youngmoney4498 4 года назад +2

      Team kiba hawana roho mbaya dogo, wote ni 1❤

  • @symongona4798
    @symongona4798 4 года назад +155

    Kumbe kuko ivo nshawaelewa sasa kings music yani kiutaniutani bt ndo hivo nawaona mbali sanaaaaaaaa

  • @kandumiladaproff1475
    @kandumiladaproff1475 4 года назад +71

    The bang is international.
    Bongo flava inaenda mbali zaidi.
    Salute kwa Killy.

  • @saisaikalyasi5998
    @saisaikalyasi5998 4 года назад +34

    Duuuh kumbe tupo levels hizi..!!!?? Kings power

  • @Divathebawse
    @Divathebawse 4 года назад +71

    Killy so Proud Of You umenyooosha 🙌

  • @issanaseeb7699
    @issanaseeb7699 4 года назад +32

    Wangapi wanaamini #Killy karudi upya kimziki💪🏻💪🏻🔥🔥👊🏻

  • @4realonlinetv169
    @4realonlinetv169 4 года назад +68

    Killy pale diva pale singa mwaka huu roho itaima

  • @theliquidator8770
    @theliquidator8770 4 года назад +210

    Mambo ya back to back ndo haya sasa! Team kings na team kiba msiniache hivihivi plz..gongeni like bac

  • @dastanmsosa5724
    @dastanmsosa5724 4 года назад +30

    Zakimataifa zaidi 🔥🔥

  • @omardaudi2928
    @omardaudi2928 4 года назад +18

    Mwenye macho hambiwi tizama, ndo kumekucha vo! team kiba fire 🔥🔥🔥

  • @ishabbe4489
    @ishabbe4489 4 года назад +25

    Moto 🔥🔥🔥 kumekucha

  • @willymeshe194
    @willymeshe194 4 года назад +35

    Killy unaticha kolabo maramoja🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kavishejrkavishe9643
    @kavishejrkavishe9643 4 года назад +4

    Niwaombe kitu kimoja watu wa mziki mzurii, tusiweke team kwenye kazi nzuri kama hizi tusaport wote kazi na project kama hizi, team zinau mziki wetu, one love bonge la project 🔥🔥🔥

  • @tadashaclassic7766
    @tadashaclassic7766 4 года назад +40

    Wa 2 naomba like

  • @youngmoney4498
    @youngmoney4498 4 года назад +16

    Cjui nimechelewa wp nikakosa kuskiza ngoma kali. Hii ni zaidi ya 🔥🔥🔥 2ko juu team kiba❤❤❤

  • @dicksonherman1205
    @dicksonherman1205 4 года назад +32

    Yoooooo killy ume
    uwaaa kama team
    kings music naomba likes

  • @mawazotv2185
    @mawazotv2185 4 года назад +36

    Hili Ngoma ni uhai wa fans wa kings music,maj tna sio uhai,tukihis kiu tuna play Ngoma tunaendelea kusumbua dunia

  • @rinusdaniel489
    @rinusdaniel489 4 года назад +46

    Hzo tunaita mapinduzi ya muziki , Kama umeikubali ngoma hii nipe likes za kutosha bhs.

  • @stevenromanos5290
    @stevenromanos5290 4 года назад +10

    Duu hatari hii sio ya kawaidaaa jaaaah!! Kings4life

  • @ishabbe4489
    @ishabbe4489 4 года назад +19

    Amken 🔥🔥🔥 internationaleeee😍

  • @mikemnyamwezi7856
    @mikemnyamwezi7856 4 года назад +10

    Ebwana eeeeeeh...! Amazing song...! Team kiba please naomba japo like 9

  • @musty2025
    @musty2025 4 года назад +19

    Killy ngoma kali sana🔥🔥🔥 #teamkiba 🇰🇪🇰🇪

  • @boazmtilege146
    @boazmtilege146 4 года назад +28

    Yebabaaaaa mambo yameshabkuwa makubwa sasa

  • @antonyngala1977
    @antonyngala1977 4 года назад +20

    Young killy Kali sana bro

  • @artemisneoy9596
    @artemisneoy9596 4 года назад +23

    Safiiii kings music for life

  • @mbembelatv
    @mbembelatv 4 года назад +27

    Ohoo mambo yameshakua biGS🙏👍

  • @kingally7816
    @kingally7816 4 года назад +24

    MAPEPE hana MAPEPE.
    Umetisha sana hadi wakili ikibiki wewe wakills.
    By man from mahembe kigoma.

  • @rejinamhando631
    @rejinamhando631 4 года назад +16

    Imeisha hy oyoooo killy tz from kings music umeua bro

  • @hassansaid9925
    @hassansaid9925 4 года назад +9

    yeeeess whatsap tz to Nigeria ,,,tutaelewana kidogo kidogo

  • @hidayaking3383
    @hidayaking3383 4 года назад +10

    Yeebaba mambo ni 🔥 🔥🔥🔥 kings music tutaelewana tu mwaka hu

  • @sharifumussaalaadabiy9001
    @sharifumussaalaadabiy9001 4 года назад +10

    We #officialkilliy. Hii ngoma nikubwa sanah sio yakibongo bongo embu ipeleke mtvbez

  • @HabilyTech
    @HabilyTech 4 года назад +151

    Likes za Killy weka hapa wewe TEAMKIBA TEAMKINGSMUSIC

  • @MalegesiMakunja
    @MalegesiMakunja 4 года назад +22

    Kings Music firee

  • @amidumahoro2783
    @amidumahoro2783 4 года назад +6

    Killy umeuwa bro good job kaza utafika tuu bro🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Abdulracheed
    @Abdulracheed 4 года назад +119

    Na juwa TEAM kiba ainaga ubaguzi naomba like from CANADA please

  • @hemmedmbwamanzogera3735
    @hemmedmbwamanzogera3735 4 года назад +39

    Kings music is fire weka like kwa kings musuc

  • @giftkyando602
    @giftkyando602 4 года назад +4

    Jamani xijachelewa bado na me nionyexheni upendo team 👑yebaaaaaba💣💥

  • @cororadotag5601
    @cororadotag5601 4 года назад +14

    Mitambo ndo ishawaswa 👑 kings music life

  • @kassammwalo5663
    @kassammwalo5663 4 года назад +5

    Yani safari hii kila MTU ashinde mechi zake tutaelewana tu ebu team Kiba nipeni likes hapa wacheni roho mbaya

  • @nassormohamed4877
    @nassormohamed4877 4 года назад +6

    kule nimechoka beat moja flow moja nyimbo zote , nahamia TeamKiba ndegelesi , nataka Like zangu #TeamKiba

  • @eliudmsey147
    @eliudmsey147 4 года назад +4

    Brother killy komalia humu humu aina hii ya music unaiwezea sana

  • @samagolionlinetv388
    @samagolionlinetv388 4 года назад +3

    yooo yebabaaaaaaa mwaka wao mwaka wa maumivu kudadadeki kili kashaalibu tena hali ya hewa noma sana yoooo

  • @lucasmwinuka3838
    @lucasmwinuka3838 4 года назад +12

    Na bado
    Team wafalme oyeee

  • @Patricestyle1997
    @Patricestyle1997 4 года назад +13

    Nakubali broo surprise

  • @laurentmbakile9389
    @laurentmbakile9389 4 года назад +13

    Mamaaaaaaaah! Kingsssssssss! Killyyyyyyyyyyy!

  • @raphaelntambi6404
    @raphaelntambi6404 4 года назад +233

    Kama unampenda diva jinsi anavyotoa support kwa kings gonga like hapa

    • @dogoshazzy7032
      @dogoshazzy7032 4 года назад +4

      Raphael Burton nampenda sana sana

    • @raphahelymeshack799
      @raphahelymeshack799 4 года назад +3

      Hatari mi mwenyewe namkubar diva

    • @4realonlinetv169
      @4realonlinetv169 4 года назад +4

      Maajabu

    • @adamhashimu4462
      @adamhashimu4462 4 года назад +3

      Yaan anawasapot had rahaa

    • @nasramohamedi4095
      @nasramohamedi4095 4 года назад +1

      Anajichosha coz anatumia nguvu nyng kupromote hao watu alafu angekua anaweza angemvukisha kiba kwenda world lkn mbona anahaha hapa hapa bongo fyuuuuh anajichosha huyo kidiva watu wanasonga mbele!

  • @sixbertkigomakwetu7742
    @sixbertkigomakwetu7742 4 года назад +34

    Wa watajua sisi ni naniii...... nipe like apa team yangu 🔥 🔥(brick and lace

    • @rasaam7701
      @rasaam7701 4 года назад +2

      Wallahi huu mwaka watajua kings ni nani.

  • @micheltito1646
    @micheltito1646 4 года назад +12

    Kitu kizima 🔥🔥🔥🔥

  • @tomasmatumbi8734
    @tomasmatumbi8734 4 года назад +88

    King, hatari sanaa killy nakubar sanaa blood

  • @jadenbobby3352
    @jadenbobby3352 4 года назад +17

    Maninaaah bonge la ngoma

  • @solomoncharo1908
    @solomoncharo1908 4 года назад +3

    You made it KILLY..inaitwa international collabo TZ JAMAICA Nigeria ITS lit

  • @tituschibuzor4657
    @tituschibuzor4657 4 года назад +5

    Singaaah brought me here 🔥🔥🔥🔥

  • @electronique6956
    @electronique6956 4 года назад +45

    Kings Music to the world

  • @husseinally7052
    @husseinally7052 4 года назад +8

    Hiki chungu walichopikwa hawa vijana King Kiba naomba na mimi nimpike mwanangu aje kama King🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mohamadmohamad9522
    @mohamadmohamad9522 4 года назад +4

    Mwaka huu lazima wanyoe vipara wakina mwafulan...mtaa wa pili...mana nywele zitawawasha sana...ahahahaa...polen mtaa wapili...kings music juuu sana

  • @agarlys5556
    @agarlys5556 4 года назад +9

    Kings music all the way up...

  • @laurentmbakile9389
    @laurentmbakile9389 4 года назад +15

    We are waiting for the video

  • @josephjuma7986
    @josephjuma7986 4 года назад +11

    mamaaa weeeee nakufaaaaa jaman hii ngoma ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @rashidkopa
    @rashidkopa 4 года назад +19

    Balaaa zito

  • @MTALIITV
    @MTALIITV 4 года назад +10

    International levels🔥🔥🔥🔥

  • @leonardmassawe7628
    @leonardmassawe7628 4 года назад +5

    🔥🔥🔥🔥💥💥uku kwetu 🔥💥 kwenu vip

  • @Ahmed-fm5fr
    @Ahmed-fm5fr 4 года назад +17

    If u known anything about music,this song is an international song🤙🤙big up killy

  • @KelvinEmersonSteven
    @KelvinEmersonSteven 4 года назад +10

    Good music 🔥🔥🔥

  • @officialnday9918
    @officialnday9918 4 года назад +15

    #KingsMusic4life👑🎻🎺🎷🎹🎤🎧💯🔥🔥🔥

  • @frankchibago833
    @frankchibago833 4 года назад +3

    Umetisha mzeebaba ngoma ya kizazi sana

  • @mrfun-vo5ev
    @mrfun-vo5ev 4 года назад +13

    Goma Moja la 🔥🔥🔥🔥gonga like kama zooteee

  • @kijokombao5345
    @kijokombao5345 4 года назад +3

    Daaaah,we dogo mi sina Cha kusema ila umeniweza fala wewe🙌🙌

  • @husseinmcheni3253
    @husseinmcheni3253 4 года назад +7

    Mm nilikua wcb lakin kwa ngoma hili naamia kings music 🔥💪💪international hit song ..tukubali tu @officialkilly_tz ndio @treysongz wa bongo

  • @hamisiehungwe6367
    @hamisiehungwe6367 4 года назад +10

    Sema ina sound good 👍. Like jamani.

  • @amirichikonyo5770
    @amirichikonyo5770 4 года назад +59

    Oya killy funga sehem ya kudownload apo mzee

    • @khanafrica22
      @khanafrica22 4 года назад

      Inafungwaje please tujuze hii elimu

  • @badboy2577
    @badboy2577 4 года назад +12

    Kings music for life

  • @faulatafahmi7733
    @faulatafahmi7733 4 года назад +1

    Wow wow wow kama ur mom Diva the bawse so proud of u kweli...bonge la nyimbo

  • @mussajames6008
    @mussajames6008 4 года назад +9

    jamani mni like maana nimekosa tu kuingia humo kings ila ningeipata iyo chance ningefanya alichofanya mnyama......SALUTI UNAJUA MNO...........NAIONA TUZO YA MTV INANUKIA.....

  • @matatahamza9375
    @matatahamza9375 4 года назад +6

    Kings music 4life 💪💪💪🔥🔥🔥🔥

  • @mchitomusic8111
    @mchitomusic8111 4 года назад +14

    Ebu huu moto tupe like zetu kwa killy

  • @elizafelix1
    @elizafelix1 4 года назад +13

    Yebabah ❤️😘

  • @ethanemmanuel9669
    @ethanemmanuel9669 4 года назад +8

    Hii ngoma unaeza kwenda kuoa bila mali, talk about quality and quantity of verses🔥

  • @salumhassan6853
    @salumhassan6853 4 года назад +74

    Ngoma baada ya ngoma mwendo ndo huo

  • @meshacksamsonmexher3377
    @meshacksamsonmexher3377 4 года назад +2

    Aisee...hawa Kings 👑 ni viumbe wa dunia nyingine kabisa,wanajua hadi jamaa flan hawatak kuaasikia kabisa...hii ngoma ni hatar balaa aisee!!!

  • @hameedmbogo3633
    @hameedmbogo3633 4 года назад +17

    Mumeamua nn mwaka huu

  • @tygamk8278
    @tygamk8278 4 года назад +6

    Wimbo mkubwaa sanaaa

  • @richardkamanya2951
    @richardkamanya2951 4 года назад +6

    Yanii hii ngoma ni tamu yupoo mzee maufundi yanii #killy mwaka huu utatuuwaa duuuhh kangoma katamuu jamii teamkiba like 💗 jamanii kidogo tujuwaneee

  • @atumwanjala2802
    @atumwanjala2802 Год назад +1

    That one"Girl you makes feel good inside"nailed it.

  • @officialdesiderius
    @officialdesiderius 4 года назад +21

    Kiba kaamua like kama umemsikia s2kzz 😂 bumper to bumper

  • @zawadikiss940
    @zawadikiss940 4 года назад +88

    Mzigo internationaly

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 4 года назад +4

    Kingsmusic back to back👍

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 года назад +11

    MZIKI MZURI🔥😋

  • @hamisijomari7646
    @hamisijomari7646 4 года назад +4

    Killy ni Nini broo! Umeua wataisoma namba kwa King mtoto kwa sasa kawa babalao% hii ngoma ndio imenifungulia mwaka 2020 #killy #kingsmusic #fireee....tia like Twende sawa kwa wapenzi wa mziki mzuri East and Central Africa

  • @nurumwangoka7424
    @nurumwangoka7424 4 года назад +3

    Daaaaa mamboo yametaramadadi🔥🔥🔥💯💯💯💯👏👏👏👏

  • @ambrosezanzibar
    @ambrosezanzibar 4 года назад +6

    Ngoma kali sana 🤗🤗🤗Killy

  • @khalidiabdallah1362
    @khalidiabdallah1362 4 года назад +4

    Unaelekea kuwa king bro

  • @yusuphboli3416
    @yusuphboli3416 4 года назад +8

    duh hii ni hatari sana..this man is crazy good.

  • @giftngailo5442
    @giftngailo5442 4 года назад +4

    King music for life

  • @georgepetermfalme4600
    @georgepetermfalme4600 4 года назад +3

    Kweli diva anafaa kuwa meneja nakubali xn killy Gonga like zakushato sijawahi kupata

  • @jacobmazziwajr6221
    @jacobmazziwajr6221 4 года назад +7

    Killy, killy, killy

  • @evaristekimba5979
    @evaristekimba5979 4 года назад +6

    👊👊👊🔥🔥🔥🔥2020 ......mofaya always

  • @zakingsanga8289
    @zakingsanga8289 4 года назад +5

    Nice 👍 brothers 💪🔥💪💰

  • @clintonmariki6438
    @clintonmariki6438 4 года назад +15

    Sahv mmebadilika wazee

  • @soccerevents6335
    @soccerevents6335 4 года назад +37

    Kings kwa vocal hizo
    Tuambieni siri ya sauti zenu
    Labda ni mofaya inawaonyoosha sauti kinoma