Dada we tulia tuu kama una vyosema, kwa Mungu hakuna kubwa ambalo linamshinba kaa tuu yako macho na kidole, uangalie vile, Mungu anachezesha hikma zake ,
Nimekumbuka mbali amin ipo siku utafanikiwa usikate tamaaaa Nimejawa na furaha ndani nafs yangu kweli mola hamtupi mja wake hata umfunge pingu Walioyataka niadharike kanivua mola
Pandeni juu mkaute, ndipo mtazimba riziki yangu, kwenda kwa wagaga si manbo yote hamjui klipo kitovu changu❤huu wimbo unaitwaje kwa youtube naomba mtu anisaidi##
Riziki mafungu saaba kwa kweli sichokagi hii nyimbo message sent
Miaka ya 2005 Alikuwa Motto wa kuwakia Mbali ukizungumzia Taarabu Miaka hiyo Humuachi Kumtaja Wahenga Tuu Ndio tunajua
Wale wa 2022 tujuane hapa gonga like tukiskiza
💕💕💕💕👌👌👌👌👌
Dada we tulia tuu kama una vyosema, kwa Mungu hakuna kubwa ambalo linamshinba kaa tuu yako macho na kidole, uangalie vile, Mungu anachezesha hikma zake ,
Nimekumbuka mbali amin ipo siku utafanikiwa usikate tamaaaa
Nimejawa na furaha ndani nafs yangu kweli mola hamtupi mja wake hata umfunge pingu
Walioyataka niadharike kanivua mola
Unamaneno mazuri sana
Nampenda jokha kassim mimi Anajua sana joha
Nice one ❤❤❤
Mashaa allah
MZuriiiii❤❤❤❤❤
Pandeni juu mkaute, ndipo mtazimba riziki yangu, kwenda kwa wagaga si manbo yote hamjui klipo kitovu changu❤huu wimbo unaitwaje kwa youtube naomba mtu anisaidi##
Riziki. Mafingu. Saba
Riziki zaba. Mafungu
Hot taarab hadi Kofi cha dunia
2022
Good song
Shani shani ya mungu shani weka video Yake.
Nikweli
Huu wimbo wanitoa roho
Na'mie
MashaAllah MashaAllah ❤️
Merry Christmas
2021 ipo juu bado tunaskiliza
Mko poa sana
Nice song
Kweli nazeeka hii nayo naijua et?
Ridhiki mafungu thaba. Hautochuja milele. Nshathema.
MASHAALLAH!!!!
Nzuri
Anaitwa Nan huyo
Joha khasim
Jokha Kassim
wimb naupend xn una ujumbe balaaa
maneno kuntuu
Maneno umeyatupa
Riziki mafungu Saba
penda sana
penda sana joha mpaka basi
T
M BEN
ninoma dada
nikweli dada usjali