Huyu naye mtu mzima hovyo anataka cheo kingine hapati basi akichwanja yeye inatosha hatutaki makelele wananchi tunataka piece Sawa viongozi wengine bwana walitakiwa wakae nyumbani na wake zao uzee huu muone sasa hizo nywele kama mimopu ya chooni ampe mkewe akapige deki
Chanjo sio lazima usitulazimishe chanja ww cc hatuitaka
Mzee naye vipi?, si yeye ndiye yupo kwenye hatari kubwa ya upungufu wa kinga ya mwili??
Kachanje mwenyewe na kafe mwenyewe, tusilazimishane hapa😏😏😏🧐