SIKILIZA SHEIKH SAID ALIVYO WAFUNDISHA TENA WANAOPINGA BARZANJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 22

  • @jabirhussein4180
    @jabirhussein4180 Год назад +1

    Maashaa Allaah raha sana

  • @ashwaagali5556
    @ashwaagali5556 Год назад

    Mashallah

  • @khalifaahmed5232
    @khalifaahmed5232 Год назад +2

    Asantaa Sanaa sheikh said kusoma Kisha uwe na hekma na adabu Allah akupa fahmu ya kher sio matuc tuu Kila mimbar zakina fulani Ila ikiwa huna kitu kichwani yabidi utafte njia za walokuzidi uwachafue Ila Dini niyake Allah yy ndio aongoza Kila amtakae

  • @jabirhussein4180
    @jabirhussein4180 Год назад

    Mawlid raha sana

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw Год назад

    Kukusikiliza. Tu kuna ladha😂mashall ah

  • @salumsimai642
    @salumsimai642 Год назад

    MashaAllah ingekua wakitoa hoja zinajibiwa kama hivi nahisi mngefikia mahali InshaAllah napenda waislam wajibizane kwa hoja tena sio katika media

  • @babuumohd4290
    @babuumohd4290 Год назад

    Mimi nauliza swali je ukimswalia mtume umesoma maulid na kama umesoma maulid kumaanisha Allah na malaika wamesoma maulid ya mtume?

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 Год назад

    Dini_pana_ila_msikosoane_kwenye_mimbari_jaman_tusojua_mtatuyumbisha

  • @abuunaraimansalumal-shaib9260
    @abuunaraimansalumal-shaib9260 Год назад

    Toka hoja za kielimu sio porojo za siasa

  • @Realrevolutionay
    @Realrevolutionay Год назад

    kuna mambo mazito mazito ambayo yanaangamiza ummma wetu lkn hatuna muda na ujasri wa kuyaongelea,drug addiction run rampant in our society,prostitution,gambling,hustling,money laundering,conmanship,forgery ran rampant in out society..hayo ndio mambo mngekua mwaongelea dip mambo ya maulid that is trivial.

    • @princefeisla3692
      @princefeisla3692 Год назад

      Wafrahisha waloongelea wakaacha mambo Yao wakaingilia wenzao ni Hawa wanaopinga so Hawa wajibu waloharibu na kufya liwe ligi ni mawahabi so tulaumu wao kuleta mada hii

  • @saydouside9468
    @saydouside9468 Год назад

    sisi tusiejuwa ..mtutafsirie hiyo barzanje..kutambiana hakuna maana ..tukananeni mkimaliza mambo yenu ya usomi ..maamuma inatuuma hatujuwi hiyo tafsiri ya barzanji...natunajihisi kuwa kuna mambo mengi mmetuburuza kwa kutojuwa kiarabu...maana kwa sasa kusoma hatujuwi na picha nazo hatuzioni..! wakubwa wa dini..kwani hiyo barzanji na msahaf..mkubwa upi mbona masaf yanatafsiri yake kwa kiswahili..na alietafsiri masaaf kasema barzanj inabidaa..mbona hamkususa .mlikuwa kimya ..tuondoeni katia sintofahamu tutafsiriwe mjadala uishe..

    • @dinocastico8495
      @dinocastico8495 Год назад

      Umefumba macho ikisha unalalamika huoni jua 😂😂

  • @elbattawy2864
    @elbattawy2864 Год назад

    maulid ni matamu sana

  • @abuunaraimansalumal-shaib9260
    @abuunaraimansalumal-shaib9260 Год назад

    Toa hoja sio porojo

    • @Mauakilindo
      @Mauakilindo Год назад

      Hoja si hizo au ulitaka hoja zipi

    • @abuunaraimansalumal-shaib9260
      @abuunaraimansalumal-shaib9260 Год назад

      @@Mauakilindo hayo SI mapambo ya maneno tu atoe dalili zilizowazi

    • @AliAli-lw9bj
      @AliAli-lw9bj Год назад

      ​@@abuunaraimansalumal-shaib9260 katoa dalili labda hukuwa makini sio lazima ukubaliane nae. Mie sikubaliane nae. Lakini kwa aliyoyasema yako katika ikhtilafu muhimu kuheshimiana katika kutofautiana

    • @m7.mmd_
      @m7.mmd_ Год назад

      Ati mapambo .. fanni za lugha hamzipati .. sarfa faslu raabi tu inawashinda 😄