AL BAYAAN TV
AL BAYAAN TV
  • Видео 117
  • Просмотров 88 300

Видео

USICHEKE KOSA LA MWENZAKO | SHEIKH HAMZA AHMED
Просмотров 7Месяц назад
USICHEKE KOSA LA MWENZAKO | SHEIKH HAMZA AHMED
UBINADAMU WA MTUMI MUHAMMAD (S.A.W) | SHEIKH HAMZA AHMED
Просмотров 26Месяц назад
UBINADAMU WA MTUMI MUHAMMAD (S.A.W) | SHEIKH HAMZA AHMED
KWANINI TWATANGAZA VITA NA MOLA? | SHEIKH MBARAK AWES
Просмотров 11Месяц назад
KWANINI TWATANGAZA VITA NA MOLA? | SHEIKH MBARAK AWES
Ni yupi Dayuthi? | sheikh mbarak awes
Просмотров 183 месяца назад
Ni yupi Dayuthi? | sheikh mbarak awes
UFAFANUZI WA ARAFA | SHEIKH FADHIL MUHAMMAD
Просмотров 3575 месяцев назад
UFAFANUZI WA ARAFA | SHEIKH FADHIL MUHAMMAD
NI NANI ATAKAE KULILIA? | SHEIKH AHMED SHIRAZY
Просмотров 796 месяцев назад
NI NANI ATAKAE KULILIA? | SHEIKH AHMED SHIRAZY
KISA CHA OMAR BIN KHATTAB | SHEIKH AHMED SHIRAZY
Просмотров 457 месяцев назад
KISA CHA OMAR BIN KHATTAB | SHEIKH AHMED SHIRAZY
SIKU ITATOA USHAHIDI | SHEIKH AHMED SHIRAZY
Просмотров 99Год назад
SIKU ITATOA USHAHIDI | SHEIKH AHMED SHIRAZY
MKAZANIE MTOTO WAKO AJUE DINI YAKE | SHEIKH AHMAD SAAD
Просмотров 179Год назад
MKAZANIE MTOTO WAKO AJUE DINI YAKE | SHEIKH AHMAD SAAD
TUSOMENI ELIMU YA DINI | SHEIKH AHMAD SAAD
Просмотров 341Год назад
TUSOMENI ELIMU YA DINI | SHEIKH AHMAD SAAD
SHEIKH SAID AMJIBU ALIEULIZA SWALI MTANDAONI
Просмотров 2,2 тыс.Год назад
SHEIKH SAID AMJIBU ALIEULIZA SWALI MTANDAONI
SIKILIZA " WAQAD ANA " ILIVYOSOMWA KIUFUNDI | USTADH OMAR
Просмотров 326Год назад
SIKILIZA " WAQAD ANA " ILIVYOSOMWA KIUFUNDI | USTADH OMAR
UKIMTAKA MUNGU LAZIMA UPITIE KWA MTUMI (S.A.W) | SHEIKH SAID OMAR ABDALLAH
Просмотров 481Год назад
UKIMTAKA MUNGU LAZIMA UPITIE KWA MTUMI (S.A.W) | SHEIKH SAID OMAR ABDALLAH
SIKILIZA SHEIKH SAID ALIVYO WAFUNDISHA TENA WANAOPINGA BARZANJI
Просмотров 2,9 тыс.Год назад
SIKILIZA SHEIKH SAID ALIVYO WAFUNDISHA TENA WANAOPINGA BARZANJI
UTUKUFU WA UMMATI MUHAMMAD | SAYYID MWENYE ABDALLAH AL AHDAL
Просмотров 121Год назад
UTUKUFU WA UMMATI MUHAMMAD | SAYYID MWENYE ABDALLAH AL AHDAL
HASBUNALLAH .
Просмотров 407Год назад
HASBUNALLAH .
SHUHUDIA WAHABI ALIVYO REKEBISHWA KATIKA KUTAMKA LUGHA YA KIARABU
Просмотров 393Год назад
SHUHUDIA WAHABI ALIVYO REKEBISHWA KATIKA KUTAMKA LUGHA YA KIARABU
UJUMBE WA SHEIKH FADHIL KWA ABUU AHMAD
Просмотров 2,2 тыс.Год назад
UJUMBE WA SHEIKH FADHIL KWA ABUU AHMAD
UJUMBE KWA BACHU
Просмотров 1 тыс.Год назад
UJUMBE KWA BACHU
MAULIDI KWA BIN RASHID
Просмотров 6 тыс.Год назад
MAULIDI KWA BIN RASHID
URONGO WA MAWAHABI
Просмотров 959Год назад
URONGO WA MAWAHABI
KUJILINDA NA SHETWANI | SHEIKH HAMZA AHMAD
Просмотров 32Год назад
KUJILINDA NA SHETWANI | SHEIKH HAMZA AHMAD
MANENO NI KAMA JIWE | SHEIKH AHMED SHIRAZY
Просмотров 67Год назад
MANENO NI KAMA JIWE | SHEIKH AHMED SHIRAZY
MAPENZI YA MTUMI ( S. A. W ) SHEIKH FADHIL MUHAMMAD OMAR
Просмотров 119Год назад
MAPENZI YA MTUMI ( S. A. W ) SHEIKH FADHIL MUHAMMAD OMAR
SHETWANI NI ADUI YETU | SHEIKH HAMZA AHMAD
Просмотров 74Год назад
SHETWANI NI ADUI YETU | SHEIKH HAMZA AHMAD
RAFIKI WA UKWELI | BIN YUSUF
Просмотров 98Год назад
RAFIKI WA UKWELI | BIN YUSUF
DUA YA MZAZI KWA MTOTO / SHEIKH AHMED SHIRAZY
Просмотров 227Год назад
DUA YA MZAZI KWA MTOTO / SHEIKH AHMED SHIRAZY
YAA RASULALLAHI KHUDH BI YADII
Просмотров 3 тыс.Год назад
YAA RASULALLAHI KHUDH BI YADII
TAHADHARI JUU YA KUTIRIRISHA MACHOZI AINA TATU / SHEIKH AHMED SHIRAZY
Просмотров 379Год назад
TAHADHARI JUU YA KUTIRIRISHA MACHOZI AINA TATU / SHEIKH AHMED SHIRAZY

Комментарии

  • @alimwacharo7971
    @alimwacharo7971 23 дня назад

    Assalaamu 'alaykum Naomba kuandikiwa abyaati za hiyo qaswida

  • @9119-r4t
    @9119-r4t Месяц назад

    Wewe umesema kwenda kwa makaburi kuomba nisawa. So wewe mshirikina fanya bidi urudi nyuma. Wewe mshirikina

  • @ummusalim1991
    @ummusalim1991 Месяц назад

    TabarakaAllah 🎉❤

  • @ummusalim1991
    @ummusalim1991 Месяц назад

    Ma shaa Allah TabarakaAllah 🎉😊

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 3 месяца назад

    YARABi tunusuru na udayuth amin 🤲 Thuma amin 🤲🤲🤲🤲

  • @badilamu
    @badilamu 6 месяцев назад

    Dancing club

  • @mohamedsalim3356
    @mohamedsalim3356 6 месяцев назад

    Mashaallah

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 6 месяцев назад

    Urong au uongo

  • @UstadhBilal
    @UstadhBilal 7 месяцев назад

    Mashaallh kalima safi kabisa abawa maneno yakisasa kabisa inwan mzurinsana nimeipenda

  • @AlhajiMswaki-de3kb
    @AlhajiMswaki-de3kb 7 месяцев назад

    Huyo ndo kiboko wa mawahabi hata mseme nn huyu ndo mwamba elimu imejaa hapo nenda maka madina ukikutana nae lazima usome kwake

  • @Muhammad_Al-Aufy
    @Muhammad_Al-Aufy 7 месяцев назад

    حسبنا الله ونعم الوكيل نعم المولى ونعم النصير

  • @OmarAli-ko6dg
    @OmarAli-ko6dg 8 месяцев назад

    Mashaallah baarakallahu fyka 😊😊😊😊❤️

  • @abuanisyaxya5750
    @abuanisyaxya5750 10 месяцев назад

    Masha Allah 🎉❤🎉❤

  • @abubbakarazidiq7599
    @abubbakarazidiq7599 10 месяцев назад

    muogopeni Allah enyi masufi... الضلال

  • @sufimuhammadadam6814
    @sufimuhammadadam6814 11 месяцев назад

    MASHA ALLAH SHEKH letu Al Ustadh salim mungu akuhifadhi

  • @abudardaiasaa7700
    @abudardaiasaa7700 11 месяцев назад

    She said waabika ndugu yangu ndio wazungumza Nini hivyo... Dah hahahaaa

    • @muhammadmochenje1409
      @muhammadmochenje1409 10 месяцев назад

      Nenda kasome,kheri ungenyamaza,watetea ujinga sasa ndio umesema nini?watu wasema na wewe wasema,uliye aibika ni wewe.kwa ufupi kasome

  • @hafidhseif1686
    @hafidhseif1686 11 месяцев назад

    Si Kiti Kile Mlikimbia Au Mkitaka Uso Kwa Uso Kiti Bado Kipo Anaejiona Anaweza Aseme Kiti Kipo Sio Kuongea Chumban Kama Upo Kwenye Toka Mbele Tuonee

  • @bagalucha
    @bagalucha 11 месяцев назад

    Hivyo wewe unaijua nakira,kuliko wanazuoni wa Makka na Madina?,ambao wao wanapingana na huo ufahamu wako,kwa hiyo wao hawakujua,wewe ndio unajua zaidi,au ndo unawakokota hao wanaokukodolea macho,wakakupigia kofi,Ni kweli haswa wewe unaweza kuwapinga maulamaa wa Makka na Madina,ukayasema hayohayo mbele yao?mtume Muhammad sallallâhu alayh wasalam,kaipa baraka miji hii miwili,wewe mburu matari,unapinga kwa kudanganya watu?.Duuh.

    • @hafidhseif1686
      @hafidhseif1686 11 месяцев назад

      Kwani Katoa Kichwan Si Kasome Kwenye Ulumul Qur-aan Halafu Pia Uulize Imam Suyuutwi Na Hawo Wanawachuoni Wako Uliwakusudia Nani Mwanawachuoni? Kasomen Mawahabi Acheni Kukurupukaa

    • @bagalucha
      @bagalucha 11 месяцев назад

      @@hafidhseif1686 Ndio hayo aliyoyafafanua yamekosa maana yoyote za kisheria kidini,ni ubabaishaji tu,mwenye elmukwa anayoyaelelezea,hayajaleta maana,kwa maana nyengine,hayafahamiki,kwa lugha nyepesi,anajifahamu mwenyewe,kutilia nguvu kwa hawaa,zake na sio,Kama alivyotuelekeza/alivyotutahadharisha Allah na mtume wake.

    • @bagalucha
      @bagalucha 11 месяцев назад

      Tatizo kila asiyoitaka bidaa ya maulidi anaitwa wahabi,Ama hakika kwa wale Almutaqqin hayawashughulishi hayo,wala hawababaiki,kwao wajibu ni ibada za faradhi na sunna,zilizotakasika na radhi za Allah,na zilizoelekezwa na mtume wake,zinatosha kuwapa utulivu wa nafsi,wakosefu na wapotoshaji ndio wanaohasirika,kila siku wamo katika kuhangaika kutafuta maadhimisho ya uzushi.

    • @hafeedh4694
      @hafeedh4694 11 месяцев назад

      Shida ya wa Africa ni hii mwakimbilia comment na hamjui mnacho kiandika....

    • @bagalucha
      @bagalucha 11 месяцев назад

      @@hafeedh4694 Unajua mambo ya hatma ya binaadamu,si ya Afrika tuu,ni ya kila binaadamu ulimwengu mzima,kila kiumbe ana haki katika uhai wake ,alorehemewa na Mwenyenzi Mungu(Allah),hakuna Ali’ye mwerevu,na hakuna anayeijua hatma yake,na kila mmoja ana fahamu zake alizojaaliwa,inawezekana sana,unalofikiria wewe ndio,kumbe sio.

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 Год назад

    SHEIKH ATUELEZEE ..NENO SAMIALLAHU LIMANHAMIDAR. LIMETOKA WAPI ? KAMA ANAJUA...

  • @mohammedmasudi-dz6hb
    @mohammedmasudi-dz6hb Год назад

    HATA SJAELEWA UMEONGEA NINI

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 Год назад

    Mwahabi akili hawana eti hapo wanadai jibu tena kumbe tunapata shida maskini uelewa ndo shida

    • @bagalucha
      @bagalucha 11 месяцев назад

      Mawahabi ndio walijaaliwa na kuziongoza Makka na Madina,halafu unasema uelewa wao mdogo,wewe unasoma mambrui nini?nasikia Kule mnasomeshwa upotoshaji tuu

  • @USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY
    @USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY Год назад

    SHEIKH SAID WATU KAMA HAO SHEIKH MOHAMAD ABU BAKRI ALIKUWA AKIWAAMBIA :SOMA SOMA KWANZA !

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Год назад

    Unajua waafrica tunapenda kukometi kitu bila kua na elimu nahii inatokana kupenda kujionesha tu kutaka sifa kwa uma!!! Ndugu zaku elimu haijadiliwi kichwa kichwa na kama huna elimu kaa kimnya ,vyenginevyo utaumbuka tu……unataka kubishana na mtu wakati ukiambiwa ichambue suratu lftatiha whuwezi😢😢 msiba mkubwa huu

  • @ABUUDARDAAI
    @ABUUDARDAAI Год назад

    asa 😂😂😂kajibu nini ndio sema upo tevu mzur ni upi

  • @IbrahimSuleyman-j8n
    @IbrahimSuleyman-j8n Год назад

    Sheikh saidi hapo umekwama, nakumin ila hapo umekwama, halafu wenzetu wanauliwa Palestine sisi tunarumbana tuuu

  • @IbrahimSuleyman-j8n
    @IbrahimSuleyman-j8n Год назад

    Hapo sheikh umekwama

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 Год назад

    Toa SoMo fundi

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 Год назад

    falier anaongea na falier toa points za kutetea bidaa zako sio mtu kumuambia hapo umekosea sakna, tetea bidaa na ufahamu suali uliloulizwa sio kutoa kosa kasra cjui sakna. hahaa upotevu mzr halafu bado wato wapo tu wanamckiliza. mbumbu anawafundisha mbumbu

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 Год назад

      Sawa lkn c kama yule

    • @muhammadseif1062
      @muhammadseif1062 Год назад

      Shidaaa huelewi ndio maaana hizo sakna zarajwa mutate kufahamu tafsiri vizuri simutafsiri munavu taka nyinyi😊

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 Год назад

      @@muhammadseif1062 kwaiyo na ww unaamini kua kuna upotevu mwengine ni mzr.

  • @babuumohd4290
    @babuumohd4290 Год назад

    Mimi nauliza swali je ukimswalia mtume umesoma maulid na kama umesoma maulid kumaanisha Allah na malaika wamesoma maulid ya mtume?

  • @mohamedumri4176
    @mohamedumri4176 Год назад

    MAASHA ALLAH.

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 Год назад

    Tendekeza haswa na uvivu wa kusoma

  • @elbattawy2864
    @elbattawy2864 Год назад

    maulid ni matamu sana

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 Год назад

    Munkar,Munkar,Munkar,Hii ndio amali yenu,Hili neno la munkar limefanana na tabia na amali zenu,udhaifu wa kuufahamu na kuupenda ukweli mnaukwepa,Makka na Madina marufuku maulidi,na mtume ndio miji aliyoipa utukfu wa kuwa makao makuu ya elimu,hayo mnayodanganyana,hammwambii Mohammad Bachu,Takribani maulamaa wote wa Saudia,Jordan,Syria (sham)palestina,hayo mnayoyazua hawataki hata kuyaona na kuyasikia,waongo/wazushi,watovu wa adabu,Ni watu wa mijisifa na munkar,yale mliyoyafanya Mombasa yanatosha kuonesha uhalisia wenu kitabia,Hulka na vitimbi venu vilifanana na makureshi waliompinga mtume wakati ule,hamkuwepo pale kwa ajili ya kuelimishana,malengo yenu ni uadui,ulio dhahiri,haswa mkijua kielimu hamngeshinda mjadala ,na badili mkamfundisha huyu mpiga vinanda🎹,kuuchafua munakashi,mjadala kwa kushikilia jambo,lilikosa mantiki ya kielimu,huku akisaidiwa kama walivyopangana,utovu wa adabu wa kukitia kiti maji kwa kumvunjia adabu Sheikh Muhammad Bachu ati kakojoa kitini kwa masuali,ilitosha kuonesha masufi ni watu wa aina gani,vituko hivyo vilifanana na vya makafiri wa Makka kwa mtume,tatizo lenu ni kuwa tabia za kutaka umaarufu wa kilimwengu,na hapo ndipo mnapofeli,sifa zenu ni za kutizamana na kupeana misifa kwa mnafahamu mambo na makarama ya uwongo na kuzua,kwa mwenye akili yake falsafa za kisufi zipo kinyume na Quran na Sunna za mtume,ni watu wa misifa na kujipandisha kielimu kwa ufahari,

  • @abuunaraimansalumal-shaib9260

    Toa hoja sio porojo

    • @Mauakilindo
      @Mauakilindo Год назад

      Hoja si hizo au ulitaka hoja zipi

    • @abuunaraimansalumal-shaib9260
      @abuunaraimansalumal-shaib9260 Год назад

      @@Mauakilindo hayo SI mapambo ya maneno tu atoe dalili zilizowazi

    • @AliAli-lw9bj
      @AliAli-lw9bj Год назад

      ​@@abuunaraimansalumal-shaib9260 katoa dalili labda hukuwa makini sio lazima ukubaliane nae. Mie sikubaliane nae. Lakini kwa aliyoyasema yako katika ikhtilafu muhimu kuheshimiana katika kutofautiana

    • @m7.mmd_
      @m7.mmd_ Год назад

      Ati mapambo .. fanni za lugha hamzipati .. sarfa faslu raabi tu inawashinda 😄

  • @abuunaraimansalumal-shaib9260

    Toka hoja za kielimu sio porojo za siasa

  • @jabirhussein4180
    @jabirhussein4180 Год назад

    Mawlid raha sana

  • @jabirhussein4180
    @jabirhussein4180 Год назад

    Maashaa Allaah raha sana

  • @ashwaagali5556
    @ashwaagali5556 Год назад

    Mashallah

  • @salumsimai642
    @salumsimai642 Год назад

    MashaAllah ingekua wakitoa hoja zinajibiwa kama hivi nahisi mngefikia mahali InshaAllah napenda waislam wajibizane kwa hoja tena sio katika media

  • @Realrevolutionay
    @Realrevolutionay Год назад

    kuna mambo mazito mazito ambayo yanaangamiza ummma wetu lkn hatuna muda na ujasri wa kuyaongelea,drug addiction run rampant in our society,prostitution,gambling,hustling,money laundering,conmanship,forgery ran rampant in out society..hayo ndio mambo mngekua mwaongelea dip mambo ya maulid that is trivial.

    • @princefeisla3692
      @princefeisla3692 Год назад

      Wafrahisha waloongelea wakaacha mambo Yao wakaingilia wenzao ni Hawa wanaopinga so Hawa wajibu waloharibu na kufya liwe ligi ni mawahabi so tulaumu wao kuleta mada hii

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 Год назад

    Dini_pana_ila_msikosoane_kwenye_mimbari_jaman_tusojua_mtatuyumbisha

  • @saydouside9468
    @saydouside9468 Год назад

    sisi tusiejuwa ..mtutafsirie hiyo barzanje..kutambiana hakuna maana ..tukananeni mkimaliza mambo yenu ya usomi ..maamuma inatuuma hatujuwi hiyo tafsiri ya barzanji...natunajihisi kuwa kuna mambo mengi mmetuburuza kwa kutojuwa kiarabu...maana kwa sasa kusoma hatujuwi na picha nazo hatuzioni..! wakubwa wa dini..kwani hiyo barzanji na msahaf..mkubwa upi mbona masaf yanatafsiri yake kwa kiswahili..na alietafsiri masaaf kasema barzanj inabidaa..mbona hamkususa .mlikuwa kimya ..tuondoeni katia sintofahamu tutafsiriwe mjadala uishe..

    • @dinocastico8495
      @dinocastico8495 Год назад

      Umefumba macho ikisha unalalamika huoni jua 😂😂

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw Год назад

    Kukusikiliza. Tu kuna ladha😂mashall ah

  • @khalifaahmed5232
    @khalifaahmed5232 Год назад

    Asantaa Sanaa sheikh said kusoma Kisha uwe na hekma na adabu Allah akupa fahmu ya kher sio matuc tuu Kila mimbar zakina fulani Ila ikiwa huna kitu kichwani yabidi utafte njia za walokuzidi uwachafue Ila Dini niyake Allah yy ndio aongoza Kila amtakae

  • @issamohammednassor8688
    @issamohammednassor8688 Год назад

    Na sura ina nuru kwa uchamungu Elimu hio

  • @issamohammednassor8688
    @issamohammednassor8688 Год назад

    Mashallah umependaza mnoo na haswa mzuzu umekaa kama simba unatisha kwa haiba na kama mtume SAW mfano wake Asante nimependa

  • @nassleydady5783
    @nassleydady5783 Год назад

    Hawa wanadhan kutembea na pazia began au kujifunga shuka kichwan ndio ushekhe nyinyi c mulisema hamuendi pahala au sio kwenye meza pale mbele ya bachu mko pekenu leo mikwala nn hahaha hebu tuachen hatutak ujinga wenu

  • @mahmouddulajara7307
    @mahmouddulajara7307 Год назад

    يا ربي صلي على الحبيب محمد وعلى الأهل من هم الكرماء كيف ترقَى رُقِيَّك الأَنبياءُ يا سماءً ما طاوَلَتْها سماءُ Nywele zake bwana Ni nyeusi sana ( Muhammadi ) Tamu kuziona Manhumul kuramaa Singa za sitawaa Zimeshuka sawa Uso kama yuwa Manhumul kuramaa Mato ya sayyidii Ni mazuri haddi Dawa ya fuwadi Manhumul kuramaa Kifua kipana Chake Maulana (Muhammadi) Tashrihi hana Manhumul kuramaa Kenda mtangani Nyayo huzioni (Muhammadi) Hela Jabalini Manhumul kuramaa Tasifu kisifu Habibi sharifu (Muhammadi) Nipate wongofu Manhumul kuramaa

  • @muhamadyabubakary6750
    @muhamadyabubakary6750 Год назад

    Ostazy said wanyama waonge masanamu yaliangika miti iluonge hii mbona hujawahi jibuu unatuchanganya tuzidi kumuamini bachu kuwa ni mkweliii 😂😂😂😂😂

  • @AliHamad-k7s
    @AliHamad-k7s Год назад

    Mm sio mshabik wa maulid ila ingelikuw vizur Mada ikaw shirk iliyom katk maulid.. Lkn mnzungumzia maneno amboy ymo kwenye hadithi zaifu. Nyiny mmesoma San hukmu ya izo hadithi Hain haja ya kubishana kama waislam.