Tunaomba watuka kama hawa kiundwe kikosi kazi ambacho kitakuwa chini ya JWTZ na TIS. Ni maoni yangu. Nchi yetu itasonga mbele . Tusiangalie sasa tujipange yajayo miaka 20
Yule dogo wa kigoma aliyetegeneza radio station waunganishe na huyu wapewe nguvu na serikali iwatumie kukuza walichonacho ktk akili zao kama nchi tunahitaji watu kama hawa watasaidia kwa namna moja au nyungine sio lazima tuwategemee watu wa mataifa mengine kutufanyia kila kitu
Watu kama hawa ndo serikali iwachukue waje watusaidie kweny mamb ya technology lakin chaajabu serikali yetu inawachukulia poah tujifunze kwa wenzetu urusi na marekan watu kama hawa huchukuliwa na kutumika na vyombo vya usalama ata jeshi kulisaidia kweny vit mbali mbali sasa jesh la zimamot mchkue kijan huyu tuachen umimi tuikuze tanzania yetu
Tayari ni mwalimu ameshasoma ila Tanzania yangu hii utaskia kapelekwa chuo kuongeza ujuzi😁 badala wampe mtaji wamwezeshe atoe elimu kwa wengine afungue darasa lake
Genius..... Uyu na wengine wapewe kipaumbele... Nchi yetu na mfumo wetu wa elimu unapoteza vipawa Kama hivi
Kumbe bado kazindua nyingine hapo awali na bado anaishi maisha duni 😔 watu kama hawa wanahitaji wapewe kipaumbele kwa maendeleo ya Taifa ...
Mashaaallaaaah elimuyko ni muhimu Sana kwetuuu
Tena hiyo ya gesi hiyo safi sana haya inapotokea ajali unaweza kuzima gesi hata ukiwa mbali kwa hatari ya kuungua
Tunaomba serikali watu wa namna hii iwakusanye kwa pamoja wawezeshwe watafanya mambo makubwa . Ndo wanasayansi wetu naipenda Tanzania na Afrika
🙄
Point
hujamsikia raisi wenu anasema wazungu ndio wataalamu kwa kila kitu
Tunaomba watuka kama hawa kiundwe kikosi kazi ambacho kitakuwa chini ya JWTZ na TIS. Ni maoni yangu. Nchi yetu itasonga mbele . Tusiangalie sasa tujipange yajayo miaka 20
waliokuwepo madarakani hivi sasa wanajiangalia wao tuu
Kazi nzuri kijana hongera sana
Tunaomba Serikari imtambue rasmi ili kutambulika kitaifa na kimataifa kwa faida ya Tanzania yetu pendwa
we nomaa..
Duud big up brother 👏👏 unauwezo mkubwa
Geniuses are Born in TANZANIA
Kazi nzuri kaka
Vipaji tunavyo shida IPO kwenye kuendelezwa kitaaluma na jinsi ya kupewa connection na makampuni makubwa ili kupata mikataba minono 🙏🙏
Kijana wa ukweli tunahitaji huyo asapotiwe zaidi niombee Ayo mfikishe huyu kijana aende kwa viongozi wajuu
Mansha'Allah Mungu akuzindishie amiiin
Yule dogo wa kigoma aliyetegeneza radio station waunganishe na huyu wapewe nguvu na serikali iwatumie kukuza walichonacho ktk akili zao kama nchi tunahitaji watu kama hawa watasaidia kwa namna moja au nyungine sio lazima tuwategemee watu wa mataifa mengine kutufanyia kila kitu
Hongera Sana.
keep it up bro
Vivaviva tanzania
Hapo Kwa haraka haraka Kuna APP zaidi ya moja ukipata msimamizi mzuri utapiga mpunga mkubwa sana ,hiyo ya gas's peke yake ni app inayojitegemea nk.
Sio mpya watu wameshafanya kitambo hapa hapa bongo na bado maskini
So sad seeing this Brain 🧠👽 is underrated.
Manshaallah
Ingekuwa nchi zingine angekuwa kasha ajiliwa. Kwenye makampuni makubwa.
Soon mta mskia yuko america make nabii hakubariki home
All the best, natumaini serikali itakuona utufaidishe raia wengi
Whaaaaaatttttt wow
Saafi kaka
Nakushauri mtafute zuberi was kigoma mshilikiane katika kazi zenu za ubunifu mtasonga
Auwezi kuwafungia vifaa vya kuchangamka awa waandika sensa maana duuu akuna kitu
Daa!! Saf sana
Je cct inaweza pia ?
Watu kama hawa ndo serikali iwachukue waje watusaidie kweny mamb ya technology lakin chaajabu serikali yetu inawachukulia poah tujifunze kwa wenzetu urusi na marekan watu kama hawa huchukuliwa na kutumika na vyombo vya usalama ata jeshi kulisaidia kweny vit mbali mbali sasa jesh la zimamot mchkue kijan huyu tuachen umimi tuikuze tanzania yetu
Sahihi kabisaaaaaa
Jamaa anakipaj kikubwa sana,serikal imwone Kama m2 wapekee na kumsaidia
Mimi nahitaji utaalam huo sh ngapi itagarim
JWTZ 👂🧠
🙏🔥🔥🔥🔥
Tayari ni mwalimu ameshasoma ila Tanzania yangu hii utaskia kapelekwa chuo kuongeza ujuzi😁 badala wampe mtaji wamwezeshe atoe elimu kwa wengine afungue darasa lake
Huyu tayr ni prof. Anatakiwa akafundishe elimu ya juu sio kufundishwa ten
Co kufundisha tu aanze kuzarisha tuuze ndan ya inch na nje ya inch pia nasisi twende na kas ya dunia🙋
Naam bro app inaitwaje?
Je nikipoteza izo kad au kutibiwa sm je aetaokota au alieba sm awez kufungua
Angekwepo JPM duh?? chap angekuita mambo kama haya aliyapenda san ? pamoja San kwasasa sijuw pongez kwako ubunifu mzur san
Dah hatar na nusu
Mungu amwinue uyu jamaa lakin serikali lazima itoe kipaumbire kwa wabunifu kuwe na mfuko maarumu ili Taifa lisonge mbere.
Tengeneza ya kuweka luku bila kulipia😆🤣🤣
Unapenda kamseleleko 🤣🤣
Serikali ya Tanzania inajua kunyonya raia tu
Wazo langu waanze mashule
🇹🇿🇹🇿🇹🇿kuna vipajo
Kwahiyo asaidiwe ili watu wasitumie umeme mwingi au? Tunataka umeme usitumike mwingi ili TANESCO wakose mapato? HUYU HASAIDIWI NG'O...
🤣🤣🤣🤣🤣kapigwa na kitu kizito au unasemaje
mchawi wewe
Jamaa anachokifanya kinaitwa Internet of Things (IoT)
Namtafuta huyu mwamba
Huyu apatikane mfadhili apelekwe masomo ya IT ili kipaji kitumike ipasavyo
Wizara ya Elimu sayansi na teknolojia iv kaz kazi yake ni nn jamani naomba nijuzwe tafadhal
Apo kwenye maji tu
ruclips.net/video/zX90G-l2LEk/видео.html
DAWA YA KUPANDISHWA CHEO..*#
ruclips.net/video/zX90G-l2LEk/видео.html
🚒🚒🚒🚒🚒😁😁😁😘😁😁😁
IoT hyoo
.mh
Instagram account?
ruclips.net/video/zX90G-l2LEk/видео.html
DAWA YA KUPANDISHWA CHEO..*#
ruclips.net/video/zX90G-l2LEk/видео.html