Na ndio kinachomponza Ali kamwe hicho kuchukua maneno ya mashabiki kuyatumia yeye na mm nilijua tu Ali kamwe kila siku press Lazima Azue tu ndimi hizi mmmh
Kaka umeongea pumba apo coch ameongea alichokiona yy kama coch ww unataaluma iyo kaka ujuh chochote atakuona uwoni uliongea vyema lakin mwishon umealibu kaka pole sana ujuh mchezaji anapotea kwa mdagan ujuh ww unalopoka tu
Siku ile Kayoko alipoijumu Simba na kupelekea mashabiki wake kufariki dunia si wewe ulinyamaza. Walibya.walitangulia kufanga lakini ilionekana heri hawangelitangulia kufanga maana mwisho wa kwisha walikula chuma tatu.
Hahahah, leo kaka umeongea maneno kuntu sana waabie wajifunze kwa wenzao maneno yabaki kwenu ninyi wa vijiweni Ally Kamwe na wengini waache kelele ila iko siku watakuelewa tu kaka
Wewe unamkosea kocha wachezaji hao wamefikia mwisho wamechoka hao tafuteni wengine waaze kuwajenga yanga mpya wamechoka umri umeenda hao wanawaza starehe tu hawana akili ya mpira tena tulia hawako fiti kabisa
Utofaut ni kwamba Mchome anaanz kutapatapa baada ya Simba kuimarika anaanza kulazmisha mamb ilimrad tu Simba ionekan mbaya lakn huyu ,anaongelea ukweli kwa wa hari ya timu yake kwa Sasa,,
We boya tu kama kweli wange shinda hizo tano ungeeopoka hayo maneno acha kumuiga Mchome mchome anakipaji kwanza anaongea kwa utulivu lakini wewe unaongea mpaka mishipa imeonekana
M Simba ila huyu jamaa Yako vzr sana anaongea point kabisa tofauti na mjinga mmoja anaitwa mchome
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huwa nakufuatilia sana kwenye Speech zako. Unayoongea yote huwa nakubaliana nayo kwa asilimia 💯 %
Ongea mwanangu watanzania hua atupendagi kuambiwa ukweli ndio maana huyu dosa watu baazi hawampendi❤❤❤❤❤
Kwl kabisa Mwamnyeto hakutakiwa kusema maneno yale
Uko sahihi
Nakukubalisana kamanda dadeki vinawaaingia pididi
Dosa big up sana unaongea ukweli
Wachezaji wetu walikuwa wanajidunga sindano ndio maana.sassivi awama
stamina baadae ya kushtukiwa
Polen yanga naimn mtakaa sawa nimapito 2 hayo
Safi doss unaongea uwalisiha kabisa ila kwa wapumbavu wangine wanaic umepewa ela na simba
Huyu dogo dosa na gb 64 wa simba wanafanana sana kimtazamo coz wanazungumzia uhalisia wa mpira na sio mabwana ndio.
Positive attitude.
Wanajua sana na wanaelew wajibu wao
Kweli kabisa@@johnjoseph9596
Na ndio kinachomponza Ali kamwe hicho kuchukua maneno ya mashabiki kuyatumia yeye na mm nilijua tu Ali kamwe kila siku press Lazima Azue tu ndimi hizi mmmh
We k kweli
Yuko sawa jamaa
Kak tatiz yang awakuangalii awakup kiki kish mwandish atutak kiki mt gan ambae anamjadili uy
Huyu hamna kitu ,af anatafuta KICK
Kaka umeongea pumba apo coch ameongea alichokiona yy kama coch ww unataaluma iyo kaka ujuh chochote atakuona uwoni uliongea vyema lakin mwishon umealibu kaka pole sana ujuh mchezaji anapotea kwa mdagan ujuh ww unalopoka tu
We unabomoa !!.punguza maneno!yanga sio wakuisemeaa we!.
Sindano ndo sababu
Dharau zimezidi yanga ,waite press waombe radhi kwa wananchi,mdomo utawaponza sana,hekima ni kitu cha bure
Piga kelele zote. Lkn yanga bingwa tena
Hili dunduka nimelichoka
Sawa ngogwe ....😂
Ukweli usemwe dosa unaipambania sana yanga ila hawaelewi wenye yanga yenu
Mnachukua ligi kwa kununua
kama hawataki kukusikia hama njoo huku achana nao
Waachae ujinga pila linachezwa kwa vitendo
ss zamu yenu kurogan wenyew kw wenyew
ubaya ubwel umewafikia tyrii😂😂😂😂😂😂😂
we are simba ❤❤❤❤❤❤
Wakina god
Asa mobenga ndo mobeto jmn 😂😂
Huyu nae katoka wapi kweli njaa mbaya
Huyu anabwabwaja 😂😂😂
Ttzo cc waafrika tukiongea ukwel waoneka ni upande wa pili
Kaka unjauwa san sie wenye d 2 tusha elew
Siku ile Kayoko alipoijumu Simba na kupelekea mashabiki wake kufariki dunia si wewe ulinyamaza.
Walibya.walitangulia kufanga lakini ilionekana heri hawangelitangulia kufanga maana mwisho wa kwisha walikula chuma tatu.
Hahahah, leo kaka umeongea maneno kuntu sana waabie wajifunze kwa wenzao maneno yabaki kwenu ninyi wa vijiweni Ally Kamwe na wengini waache kelele ila iko siku watakuelewa tu kaka
Wewe unamkosea kocha wachezaji hao wamefikia mwisho wamechoka hao tafuteni wengine waaze kuwajenga yanga mpya wamechoka umri umeenda hao wanawaza starehe tu hawana akili ya mpira tena tulia hawako fiti kabisa
Kweli we ni mamluki
Mobenga wapi ww nyuma mwiko team wazee wengi
We Fala nini hatuhitaji ushauri wako ulisema tukifungwa unahama nenda hatukutaki
Wewe dosa hatukuelew hatujakuona hata siku Moja umvaa jenz ya yanga
Kuvaa jezi wakati akili ya mpira kichwani huna ni ushamba tu😂
Açh ujinga ww, tukushukuru wew ndo umetoa Hela ya usajili, we fala bas, niombee na mm ntakuombea
Dosa kweli mwamunyeto alidai anapiga 5G ziko wapi dosa anauliza
Wanaomlaani huyu dogo wote sio wanasoka.
Halafu wewe dosa hatukuelewi siku hizi
Mobenga
Mbona Wanamchekea Yule mjinga
Na wewe usijifanye una jua kuongea.
Hamtaki kuambiwa ukwel huyu kijana anaongea ukwel sana
Dosa simshabiki maandazi unafaa sana kua kiongozi wewe nimsema ukweli uko poa sana
Ally kamwe hajuwi kuongea hafikirii umeona reo kwani 😅😅😅😅
Utaobgea Bure yanga ulimkuta yanga na utaiacha yanga ni haki yake kuogea kama wewe unavyo ogea anahaki Hana amri ya kutoogea
nikweli mchezaji atkiwili kuongea
KIPROFESSIONAL KABISA
Ww umeanza lini ujinga
We tutakutafuta katetee mamaako
Mchome nae katumwa na nani😅😅😅😅😅
Wewe ndio mnafiki au uatafuta kiki na wewe
Huyu na mchome wanatofauti gani, njaa mbaya
Utofaut ni kwamba Mchome anaanz kutapatapa baada ya Simba kuimarika anaanza kulazmisha mamb ilimrad tu Simba ionekan mbaya lakn huyu ,anaongelea ukweli kwa wa hari ya timu yake kwa Sasa,,
Msenge ww , ww sio shabiki wa yanga ni mamluki tu huyo kufa kabisa.
Halafu ww siku hiz unaropokaa tuuu
Yule chiz tena halina akili lijinga lile kucheza kwenyewe halijui
Dosa anajua sana
Dosa boya tu anamuiga eti na yeye awe eti kama Mchome
@@timotheothadeomgassa4929 Hakika hata mm namkubali sana Dosa Dosa Dosa
@PeterMussa-sm7if Huwezi ukamfananisha Dosa na Mchome, ni Level Tofauti. Dosa ni Upper Level, keep going my favourite speaker 🔊 👏
We boya tu kama kweli wange shinda hizo tano ungeeopoka hayo maneno acha kumuiga Mchome mchome anakipaji kwanza anaongea kwa utulivu lakini wewe unaongea mpaka mishipa imeonekana
Dossa ni mtu na nusu..hongera kwa kusema ukweli ambao maboya wengi wa Utopolo wanagwaya kwa kumuogopa Injinia
Mchome ana kipaji gani si niutoporo tu huyo
Wewe ndo tako kabisa unafata mkumbo bwege wew
@@neemamwijage Basi wewe onesha kipaji chako umzidi mchome hlf ndio tujue kipaji chako kinamzidi mchome.
Anahaki yakuongea dossa safii
Uko sahihi