Girlfriend yangu ni Mwizi | Hali Ilivyo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 313

  • @mutongajr
    @mutongajr 5 лет назад +7

    Mwakide n Jalas are a match made in heaven..

  • @njoramichael7051
    @njoramichael7051 5 лет назад +12

    🤣😂😅😂🤣😂🤣 Mercy mwizi huyu na venye jina yake ni nzuri

  • @bigmanjunior
    @bigmanjunior 5 лет назад +51

    Wapi likes za iyo laughter ya jalass

  • @steventhomas672
    @steventhomas672 5 лет назад +18

    Amebebwa kwa gari na mtoto wa pastor wakatoka mbio😂😂😂😂😂

  • @chrispusmwathe3464
    @chrispusmwathe3464 5 лет назад +4

    Mercy infinite gangster points....huyu dem ni legend😁😁

  • @Chris_Christopher
    @Chris_Christopher 5 лет назад +5

    Jina ni mzuri bt tabia😱😱waa Mercy na mtoto wa pastor

    • @samuelmwangi9780
      @samuelmwangi9780 4 года назад

      If it was me, ningengoja Sunday niaibishe huyo mtoto wa pastor mbele ya kila mtu.

  • @henrywaswa2745
    @henrywaswa2745 5 лет назад +65

    Hahaha, this guy actually let his future mother in law wash the sheets he chewed her daughter on..😂😂😂 Legend!!

    • @danielkiuri396
      @danielkiuri396 5 лет назад +3

      I agree with you. It's quite weird. Huyu aongezewe gangster points😄

    • @ellymelly3135
      @ellymelly3135 5 лет назад

      He needs gangster trophy

    • @simonkimunge1031
      @simonkimunge1031 5 лет назад

      He's a savage 😂😂😂

    • @silviakwayesamtuva1940
      @silviakwayesamtuva1940 5 лет назад

      Haha... It's very funny.

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 5 лет назад +1

      Taboo! visirani hivyo si hiyo nikujilani how does your in law wash ur clothes visieno!poooooh

  • @mercymwangi4462
    @mercymwangi4462 4 года назад +4

    these two make my day Mwakideo na jalas

  • @ezekielbett5253
    @ezekielbett5253 5 лет назад +4

    Am really happy for you guys.. Daktari wagwaan

  • @mercynayian3097
    @mercynayian3097 5 лет назад +6

    Wooooi!From today onwards siitwi Mercy. Nkt!

  • @missdee2543
    @missdee2543 5 лет назад +4

    Dem aliona ajilipe after kutengeneza nyumba😄😄😄

  • @emilyaholi9009
    @emilyaholi9009 4 года назад

    Pole Boy child...muwachie God

  • @francismutisya7057
    @francismutisya7057 5 лет назад +6

    Madem wa wote😂hatariii.. Hao n akina mutindii😂😂

  • @kiniyabh8646
    @kiniyabh8646 5 лет назад +23

    🤣🤣🤣after God, ogopa wanawake, pole boychild
    🙌

  • @virginiawanjiru7253
    @virginiawanjiru7253 5 лет назад +13

    Haahaa aki mercy tabia zako haziambatani na jina lake hehehe

  • @maxwelmutsembi3825
    @maxwelmutsembi3825 5 лет назад +14

    Mercy gangster points awarded = 500,000😂😂😂😂

  • @herexcellency9831
    @herexcellency9831 5 лет назад +9

    Wooi
    Am in wote
    I want to meet this mercy nimwambie alete pesa ya kinyozi

  • @nyamushalaparfait4154
    @nyamushalaparfait4154 5 лет назад +20

    Siku hizi wana wake ni noma xana 😂😂😂😂😂

  • @kamutua6376
    @kamutua6376 5 лет назад

    Asikue ni uyu msichana wetu. Wote ndiko home🏃🏃🏃🏃

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 5 лет назад +6

    😂😂hawa madem holly ni moto wa kuotea mbali.but in the beginning alikuwa mtoto mpole aki waaaah

  • @jackleleito4940
    @jackleleito4940 5 лет назад +24

    " nyumba ikakaa iko na mtu" kwani yeye ni mnyama😆😆😆😆

    • @belindaisdohry5266
      @belindaisdohry5266 5 лет назад +1

      😁😁😁😁😂😂😂😂😂

    • @jackleleito4940
      @jackleleito4940 5 лет назад +3

      @@belindaisdohry5266 🙂🙂🙂 i wonder why he was eating in an hotel.. kumbe yeye ubadilika kua kitu kingine akiwa hao😲😲

    • @belindaisdohry5266
      @belindaisdohry5266 5 лет назад +3

      @@jackleleito4940 eti anasema ametengeneza huyo dem naye amesahau nyumba yake haikua na kitu msichana ndio akatengeneza ikakuwa nyumba.yaani alikuwa anaishi kama panya ya kanisa,.😀😀

    • @jackleleito4940
      @jackleleito4940 5 лет назад +3

      @@belindaisdohry5266 😆😆😆😆 ata afadhali panya ya kanisa juh uishi mahali pasafi na penye kuna vyombo vya kanisa kama viti, masahani nkt.. lakini hiii kimtu hata hana asante kabisaa, 10k😂😂😂 10k tu anamfuata fuata dem wa wenyewe akisema oooh.... ni ingekua 50k sasa eheee😲😲😲 by the way he should thank her for making her live like a human being

    • @belindaisdohry5266
      @belindaisdohry5266 5 лет назад +1

      @@jackleleito4940 dont kill me with lough .😂😂😂😂😂😂😂😂😂 10k na analia hivyo imajine.oh my God you have made my day thank you mungu akulinde mahali popote ulipo..🙋

  • @Dannybahati30
    @Dannybahati30 5 лет назад +6

    Mercy,,, Yaani huruma,, na Haezi hurumia boy wake,,, dah!!!

  • @itsshuga2613
    @itsshuga2613 3 года назад +2

    Making my Day😂😂😂💔💔

  • @maureenwairimu8241
    @maureenwairimu8241 5 лет назад +8

    Girlfriend ni mwizi😂😂😂😂😂😂

  • @jwaitathu
    @jwaitathu 5 лет назад +38

    Jalas toa 5ksh mwakindeu 5ksh na mimi 5ksh tusaidie huyu jamaa... He has a vision.

  • @annettemelodeeh5201
    @annettemelodeeh5201 4 года назад

    Pole for that.....but learn that trust is a very expensive virtue kupea msee......

  • @andrewwatako9964
    @andrewwatako9964 5 лет назад +6

    In these era my brothers we. are suffering because of just relationship

  • @rynelorandrichierynelorand4515
    @rynelorandrichierynelorand4515 5 лет назад +12

    My Siz is called mercy but I don't trust her for sure😁😁

  • @7Newsglobal
    @7Newsglobal 5 лет назад +5

    MARIGA POD PEK✍️ ×2
    JUBILEE POD PEK✍️ ×
    MARIGA TIBIM✍️ × 2
    UHURU INGWEE✍️ × 2
    RUTO IGWEE✍️ × 2
    *Watch & don't forget to subscribe*
    ruclips.net/video/zv_JZVkD-4o/видео.html
    #MercyPodPek

  • @sarahwawuda7638
    @sarahwawuda7638 5 лет назад +1

    Pole MUNGU atakulipia

  • @eunnyq3126
    @eunnyq3126 5 лет назад +9

    😂😂😂ulipomuona gari ilienda mbio hehe wanawake ni wezi ..

  • @becky8531
    @becky8531 5 лет назад +1

    Huyo amejilipa 😂😂hakuna kitu ya bure bwana

  • @7Newsglobal
    @7Newsglobal 5 лет назад +8

    MARIGA POD PEK✍️ ×2
    JUBILEE POD PEK✍️ ×
    MARIGA TIBIM✍️ × 2
    UHURU INGWEE✍️ × 2
    RUTO IGWEE✍️ × 2
    Watch & don't forget to subscribe
    ruclips.net/video/zv_JZVkD-4o/видео.html

  • @virginiawangui1108
    @virginiawangui1108 5 лет назад +2

    Mama wa glfr yako anakufulia Shindwe na utaibiwa sana

  • @silviakwayesamtuva1940
    @silviakwayesamtuva1940 5 лет назад +6

    Ghai... Sasa 10k ni pesa ya ku steal surely?? 😢😢😢

  • @ngiradevies1172
    @ngiradevies1172 5 лет назад +30

    I do believe pple called mercy n purity don't represent the meaning of their Name🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @alecky001
    @alecky001 5 лет назад +9

    This happened to me some times back. Manze after satan fear women :-)

  • @felixchagwa3495
    @felixchagwa3495 5 лет назад

    😁😁😁😁noma sanaaa.I kif up on this @aleky and mzee jalas🤗🤗

  • @gravinouma3990
    @gravinouma3990 5 лет назад +2

    Mercy ni dem mwizi yawa hahahaha!!

  • @CaroLine-qr4re
    @CaroLine-qr4re 4 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣 Mercy woyee rudisha pesa ya wenyewe

  • @Sanyah-le1od
    @Sanyah-le1od 5 лет назад +8

    Hiyo ndiyo shida ya drawer - bank.

  • @Mnjokie
    @Mnjokie 4 года назад +6

    Men so quick in tarnishing the poor ladies image without knowing her side of the story , he might have been abusive or mistreated her,just because his side of the story seem true doesn't mean its should the only truth,for all we know he might have promised her the money to start her business 🤔😔

    • @aaraveverett8696
      @aaraveverett8696 3 года назад

      You all probably dont care but does someone know a method to get back into an Instagram account..?
      I was stupid forgot the account password. I appreciate any tricks you can give me.

  • @Africanvillageactivities
    @Africanvillageactivities 5 лет назад +3

    Hahaa Kila mtu ana damu, mi sijai iba,

  • @feiabdi6085
    @feiabdi6085 5 лет назад +5

    Daaah boy child in trouble 🤣🤣🤣🤣😅😅😅🤣

  • @aneymaalim704
    @aneymaalim704 3 года назад +1

    Woote makwenu ni ndogo sio tao kubwa

  • @samuelmwangi9780
    @samuelmwangi9780 4 года назад

    Madem ni wakora sikuizi. Heri niamini mungu pekee yake.😂😂😂😂

    • @luckydubebello1131
      @luckydubebello1131 4 года назад

      You can trust me not all my dear try me u wl b happy

  • @violaodunga7091
    @violaodunga7091 5 лет назад +8

    To let your mother in law wash your sheets is disrespectful

    • @modiyoify
      @modiyoify 5 лет назад

      I can't imagine this as well!!

  • @norahmwenyewe3696
    @norahmwenyewe3696 4 года назад +3

    Only 11k my bro😳😳watu tumekopesha wanaume around 125k na wakapotea tu hivyo,bt we are still going on🤔thinks like this just forgive and forget.

    • @betsysindani3171
      @betsysindani3171 4 года назад

      How arrogant are you? Only 11k. Do you how much people are hustling and struggling in this country to make ends meet? Haijalishi uko rich she, respect hustlers. Their God is alive. That's a very responsible young man anajitafutia. Wengi wenu ni wezi au wazazi wenu wameiba. Muko na sponsors...then you want to show off. Kaa na million zako. Heshimu 11k zake.

  • @phobenumber3925
    @phobenumber3925 5 лет назад +5

    May thunder strike you mercy,,,,,,boychild ni husler bana,,,,,,nkt

  • @mapettcokenya
    @mapettcokenya 11 месяцев назад

    Nikambadilisha 😂😂😂😂

  • @bbw_anne
    @bbw_anne 5 лет назад +1

    Mimi mkinieka studio na iyo kicheko ya Jalas nitatoka kama nimejikojolea nguo imeloa jameni😂😂😂😂😂

  • @Chairman047
    @Chairman047 5 лет назад +2

    Wakamba mnapenda kuamini sana woi

  • @minayoever3657
    @minayoever3657 4 года назад

    Ata mimi nawemza kukuimbia juu unapea mama yangu kazi yakukufulia

  • @sophiandirangu2206
    @sophiandirangu2206 5 лет назад +6

    😂😂😂Mercy wacha izo rudisha pesa

  • @donaldsigey4250
    @donaldsigey4250 5 лет назад +19

    Tena anaitwa Mercy!! 🤣🤣🤣🤣Kina Brenda, Mercy na Caro, hatari sana

  • @fearlesssimba
    @fearlesssimba 5 лет назад +13

    What goes around comes around.Give her time bro.Don't see that her being in a vehicle while you are on foot and yet you are crying for your money is a big.There come a time when you will be more important than the son of a pastor who is using his father's vehicle for prostitution purposes.Take heart and the said mercy have nowhere to go.A wise lady who wants her future to be peaceful doesn't do what mercy did for.Never take much of your time telling people your problem but tell God!!!!A lady being in church is not a guarantee that she is honest and looks are sometimes deceiving;the more beautiful she looks like is much evil she can do.A beautiful woman is always careless coz she is always valuing her physical appearance forgetting that when an acid is applied on that face she can look like the sister to the devil 😈.

    • @samuelmwangi9780
      @samuelmwangi9780 4 года назад

      Well said my brother. Weeping endures for a night but joy comes in the morning.

  • @ovellahochieng1467
    @ovellahochieng1467 5 лет назад +6

    Wote nindogo washakujuwa 🤣🤣

  • @TopCreators4849
    @TopCreators4849 5 лет назад +8

    Let me trust my God,but nyinyi wanawake siwezi waamini

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 5 лет назад +2

    Noma sana

  • @benreagan9197
    @benreagan9197 5 лет назад +7

    Wote ni ndogo walai,kwa akina mercy ni pale nyuma ya unoa stadium endea yeye😂😂😂😅

  • @bimaisarankamia4153
    @bimaisarankamia4153 4 года назад +1

    Mie naomba kuuliza jmn hizo pesa ni sawa na ngapi kwa psa zetu za tz

  • @freddychebayi9441
    @freddychebayi9441 5 лет назад +1

    Waaaa majabu ya dunia

  • @WANGARINJOROGE
    @WANGARINJOROGE 5 лет назад +3

    Pesa ya kuanza kinyozi vaneee Mercy😂😂😂😂😂😂
    Aleky: Alikuwa wa choir😂😂lol

    • @jackleleito4940
      @jackleleito4940 5 лет назад +1

      niaje Wangari njoroge... need you so much🤫

  • @maggiewanjira2845
    @maggiewanjira2845 5 лет назад +1

    Wote ni ndogo washakujua....hehehehehe jalaaaaas!

  • @collobore8998
    @collobore8998 5 лет назад +5

    Huyu kijana ni honest sana

  • @virginiamutisya6216
    @virginiamutisya6216 4 года назад

    Men infact niwaizi kwa handbag

  • @omwanakamawaenaechwele
    @omwanakamawaenaechwele 5 лет назад +1

    Me nadai kuskia story ya Mercy

  • @lmdelos7609
    @lmdelos7609 5 лет назад +2

    Hiyo jina haimfai kabisa .

  • @halimashaban7637
    @halimashaban7637 5 лет назад +1

    wonders in kenia

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 лет назад +7

    boy child kuchezwa😂😂😂😂pole sana mercy rudisha pesa ya boy child

  • @backsa6214
    @backsa6214 5 лет назад +4

    Kawaida madem Brown wanavituko mingi

  • @blessedsuccessful
    @blessedsuccessful 5 лет назад +7

    We are celebrating under 2 hrs ,you’re not limited find someone else 😉

  • @eunicewairimu5015
    @eunicewairimu5015 5 лет назад +3

    Mercy, Carol, Ann, shiruu, shiku nyambu, bunice, Mary, Nicole, jasmine, Brenda, na wale wakanisa but sio wote boyshoud mtajua hamjui, mercy ameokoka to the next level Sasa ako na kijana WA pastor 🤣🤣, lakini sio fair kuibia chali wake aki

  • @musyokikioko5263
    @musyokikioko5263 5 лет назад +4

    We cn look for mercy wote wa hiyo town ya wote its a small town...

  • @ernestsifuna
    @ernestsifuna 5 лет назад +2

    mnaenda kanisa kutafuta wasichana ama kushiriki....wasichana tafuteni kwa bar

  • @joanasleet9885
    @joanasleet9885 5 лет назад +2

    Aki mercy auna huruma na venye pesa n shida woyee

  • @agnesmutheu6005
    @agnesmutheu6005 5 лет назад

    Anatuaibisha wakamba kwanza....aende na huko

  • @jeropcharity5492
    @jeropcharity5492 5 лет назад +3

    😂😂😂noma sana

  • @ibrahimdumal3547
    @ibrahimdumal3547 5 лет назад +1

    Wote ni ndogo washaa kujua

  • @thewashiifamily7776
    @thewashiifamily7776 5 лет назад +5

    Aki mercy umetuchomea CV😜😜😜😜😜kambas in the hse

  • @maureenchiyumba6634
    @maureenchiyumba6634 5 лет назад +1

    Bana jina lakini sauti naijua😂😂

  • @janewashe7276
    @janewashe7276 5 лет назад

    Aki Mercy venye ulifanya Mungu anakuona

  • @silviakwayesamtuva1940
    @silviakwayesamtuva1940 5 лет назад

    Wooi... Ama ni mercy my sister 😂😂😂😂

  • @ruthkosgey9176
    @ruthkosgey9176 5 лет назад +5

    Ati ee eee eee😂😂😂♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️pole kaka but Mercy please aukumfanya mwenzako poa.

  • @Officialkelvoh
    @Officialkelvoh 5 лет назад

    Acha dame apite nazo si alikubuyia sufuria

  • @nyambukenyangal1383
    @nyambukenyangal1383 5 лет назад +8

    I thought caro ndio tu wameharibu cv🤣🤣🤣🤣

  • @wlkmwlkm3381
    @wlkmwlkm3381 5 лет назад

    Jesus mbona unamwita mama ya dem yako akufulie manguo ahibu maskini wa mungu mbona haungeweza kumusaidia tu

  • @quinncordelia4902
    @quinncordelia4902 5 лет назад +1

    Wah...sasa mercy hana mercy..what's 11k now..kujiharibia..na kuharibia..sasa tutajuaje umpendaye ana nia gani ?

  • @jenipherwawuda
    @jenipherwawuda 5 лет назад +1

    Si poa vile Mercy alifanya

  • @shirowapk
    @shirowapk 5 лет назад +3

    Mercy oooooo

  • @ciirulastborn9655
    @ciirulastborn9655 5 лет назад +1

    Number ya huyo Jamaa

  • @nadiasuzzy9410
    @nadiasuzzy9410 5 лет назад +4

    😂😂😂😂😂😂wooiye

  • @andrewwatako9964
    @andrewwatako9964 5 лет назад

    Manze mademu no mini mbaya

  • @purityokiru7444
    @purityokiru7444 5 лет назад +2

    Mercy unaiba pesa kidogo ivo??

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 5 лет назад +1

      Kwani hio ni kidogo ata giri 1 nipesa mwizi huiba ata 20

  • @leilaadaza9858
    @leilaadaza9858 5 лет назад +1

    Ngai mbona sauti kama ya Ex wangu

  • @3dbamba_ke828
    @3dbamba_ke828 5 лет назад +3

    Khai khai utu tuschana walai🤣🤣

  • @Kaymer_Elias
    @Kaymer_Elias 5 лет назад

    Ati wotee ni ndogo😂😂😂😂😂😂

  • @mercybeikali1769
    @mercybeikali1769 5 лет назад +2

    Aki Namesake yawaa

  • @josephkagwimi1115
    @josephkagwimi1115 5 лет назад +2

    Jalas na mwakideu that lady men

  • @annasannas6210
    @annasannas6210 5 лет назад

    Angalia tabia wacha rangi